Yes ushauri Mzuri, Nina swali ni jinsi Gani ya kupata hiyo dating digital, na matumizi yake yakoje, please I want appreciate.
@rebekadorothy66254 ай бұрын
Asante na karibu tujifunze. Dating websites zipo hapo kwenye link nimeziorodhesha zaidi ya kumi. Kuna ambazo unalipia kuweza kutumia na kuna ambazo ni free. Ingia angalia jiandikishe halafu utafute unayempenda. Good lucky.
@ShinMinah-m9t2 ай бұрын
Mimi nimelipia lkn sms ikiingia haifunguk 😢
@rebekadorothy66252 ай бұрын
@ itakuwa pesa yako uliyolipia imekwisha
@GhardesGh10 ай бұрын
❤❤safi sana
@rebekadorothy662510 ай бұрын
🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@bebemsouth55082 жыл бұрын
Dada asante umetoa somo nzuri Sana na lamhimu Sana Yani umegusa palepale asante nimejifunza vizuri na notafanyia kazi
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Bebe Msouth Asante sana kwa kuangalia video zangu. Karibu tuendelee kujifunza.🙏🙏🙏
@shidamtanga25208 ай бұрын
Nisaidie ba mimi nimpate mzungu
@rebekadorothy66258 ай бұрын
Jamani nakusaidiaje tena na nimekupa links na nimewaelekeza jinsi ya kujiandikisha. Sasa nitawasaidia wangapi??? Si majukumu ya maisha yangu yatanishinda wapendwa.
@SamiraRamadhan-hd5qw Жыл бұрын
Nimependa niunge siwezi
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
Unatakiwa kujiunga mwenyewe hii siyo dating website yangu
@magrethpeter19183 жыл бұрын
Asante sana dada
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Magreth Peter Karibu sana.
@yvonneirakiza39902 жыл бұрын
Nakupenda dada nakufatilia sana
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Yvonne Irakiza Asante sana my dear.
@rose_Winchester862 жыл бұрын
Katika youtube channel zinazofundisha vizuri yako ni namba moja. I wish watu wengi waje kusikiliza ushauri wako
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Asante sana. Please share youtube yangu na marafiki zako. na Asante kwa kuona kitu kutoka kwangu. Mwenyezi Mungu Akubariki.
@sukariyao65373 жыл бұрын
Allihamdullilah 🤲 mungu ni mwema nimempata wala sikutumia dating yoyote na ananijari kwa kla kitu nashukuru 🙏😘🥰🥰
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Awwww Hongera sana my dear. Mwenyezi Mungu akuongoze ufikiye malengo yako.
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Tuelekeze mwenzetu umempataje wa kukupa kila kitu mana naskia wazungu ni wabahili sanaaa🤣
@mariageorge47293 жыл бұрын
Nimekupendaa sanaaaa
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Maria George Asante sana na karibu tujifunze
@AnnerErneo-vc9yz Жыл бұрын
Nmekupenda bureerrr
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
Anner Emeo asante sana na karibu tujifunze.🙏🙏🙏
@AnnerErneo-vc9yz Жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 ahsantee me nataka mzungu rangi nyeusi siitaki maana matukio nliyokutana nayo hapana nmejaribu kujiunga na detng lkn nmeshindwa
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
@@AnnerErneo-vc9yzsasa kama umeshindwa kujiunga inabidi ukatembelee sehemu ambazo wapo.
@AnnerErneo-vc9yz Жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 okay sawa
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
@@AnnerErneo-vc9yz karibu.🙏🙏🙏
@hidyehidye31433 жыл бұрын
Dada Mimi Nina doto Sana ya kuolewa mzungu Ila tatizo langu ni English tu unanisaidiaj na unanishaurije Ila najua kidog Sana
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Hidye Hidye ushauri wangu ni kujifunza kuongea kiingereza. siyo tuu kitakusaidia mawasiliano ukikutana na mzungu ila pia unaweza kupata kazi kwenye hoteli za kitalii.
@hidyehidye31433 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 Asante Sana dada yangu shukuran Sana najifuza kupitia simu Ila Nina mpango nikirundi Tanzania nitaifuta Shule ya kunifuza kwasasa Niko inchi za kiarabu Kama kiarabu nimekijuwa mungu atanisadia na English nitajua
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
@@hidyehidye3143 Hongera sana kwa kujifunza kwa simu. endelea kujifunza. safi sana
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Mwanatz Karibu sana tujifunze.
@SamiraRamadhan-hd5qw Жыл бұрын
Nimeenda.niunge siwezi
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
Samira Ramadhani jamani hizi siyo dating website yangu.
@lightnessstallon41902 жыл бұрын
jamani mi inakataa
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
@Lightnesstallon4190 si ujaribu hizo nyingine kama hiyo inakataa.
@lightnessstallon41902 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 sawa mama angu ngoja nijaribu
@lightnessstallon41902 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 asante kwa kunijibu sms
@lightnessstallon41902 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 nashukuru sana mungu akubariki
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
@@lightnessstallon4190 Asante sana. God Bless you too my dear.
@fatumahassani20153 жыл бұрын
Da Rebecca et kuna wazungu waslim
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Fatuma Hassani Swali lako gumu maana huku nilipo wazungu wengi asili yao ni wakristo church of England na pia walokole. kuhusu uislamu sina uhakika. kuna website ya dating ya waislamu hepu ingia uangaliye kama kuna wazungu pia.
@fatumahassani20153 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 mmh nimepata mzungu anasema yeye ni mmalekani alafu ni muislam
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
@@fatumahassani2015 hapo sasa ndiyo siwezi kabisa kukujibu maana mimi siishi marekani. Mimi naishi uk so kuhusu wazungu na dini huko marekani siwezi kujuwa.
@fatumahassani20153 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 oooh
@faridaomar76342 жыл бұрын
Asate dada Kwa mawaida Yako,mm pia nilikwa natafuta Kwa miaka mingi sana. but Alhamdhulillah nimepata Yuko karibu kuja.
@christinamichael4626 Жыл бұрын
Jamani dada Rebecca nakupenda Bure Ila mm nahitaji tu kujiwa kama unatafutia watu kazi pia mm nahitaji kazi jamani
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
@christinamichael4626 asante sana my dear. Hapana hapa natoa ushauri tuu ila simtafutii mtu mwanaume wala kazi.
@christinamichael4626 Жыл бұрын
Sawa dada Rebecca Ila ninaomba Jambo Moja ama zaidi Ila sinakusundi la kukusubua Ila naomba unisaindiee tu kama uana watu unao wafaham maagety wa kazi nch uraya naomba uniuge hata kwenye magrp yao tafadhali nisaindie nakuomba
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
@@christinamichael4626 pole yaani kwenye mambo ya kazi sijui ma agent au ma group sina ninalojuwa.
@jescajosephat22302 жыл бұрын
Naomba msaada wako
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Jesca Josephat Msaada Gani my dear?
@aminapeter14493 жыл бұрын
Dada angu nimekuelewa vizuri
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Amina Peter Asante sana.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 zainab saidi ... natuma picha nashindwa. Ni tausi wa kijani.zainabu saidi akaunt tatu zote picha moja ya tausi. Mengi najifundisha apa kwako.
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
@@thumnathumna5946 Kama unaweza ni add instagram then unitumiye ujumbe huko maana facebook sikuoni pia
@stellastanphod50232 жыл бұрын
Dada mimi nipo natafta pia mzungu ni ndoto yangu toka nikiwa mdogo kwa sasa ninaumri wa miaka23 na nipo geita sasa je wazungu wanakaa hotel zipi na beach zipi,? Au kama basi ata atakuwepo huko unapoishi anaetafta mzungu basi nisaidie tafathali
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Stella Stanphod angalia video zangu za youtube nimeelezea mambo yote hayo yapo huko.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Tuliokuwa uswekeni izo sehem ni ngumu kufikia.
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Thumna Thumna sasa kama huwezi kufika maeneo ambao wapo huwezi kukutana nao.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 fb unapatikana kwa jina gani? Kuna jambo nataka nikufahamishe alifai kukulielezea apa.
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
@@thumnathumna5946 Napatikana kwa jina hili hili la Rebeka Dorothy