ANANJA NA HUYO NDUGU KUSANYENI NA WENGINE WENYE WITO ILI MPATE KULIAMSHA KANISA NA KULIJENGA MAANA KWELI KANISA LIMEJISAHAU NA KUZAMA KWENYE BIASHARA BADALA YA KUTAFUTA ROHO ZA WATU WANAOONEWA. MBARIKIWE SANA NA MKAZIDI.
@atwimikekyando10532 жыл бұрын
Neno lenye kupona hasa kwetu wazaz ambao tuna watoto Amina watumishi wa bwana. Mungu atusaidie kusimamia na watoto wetu.
@atwimikekyando10532 жыл бұрын
Amina
@sarahjacobs8814 Жыл бұрын
Pesa hizo zitawaumiza Sana kanisa lazima lisimame
@valentinemushi11682 жыл бұрын
Tunashukuru watumishi mmetupa na kutukumbusha ya zamani tuwafundishe watoto wetu tumejisahau ati tuko bizzze
@vicentgodda33572 жыл бұрын
Hapo watumishi mmenena kweli.. Miradi maonyesho, na ajira. Turudi kwenye asili.
@johnmakundi24152 жыл бұрын
Ninyi watumishi wa Mungu mmepata neema kubwa ya kuzungumza mambo ya kiroho sana sio ya kanisa la leo,, ni mambo ya rohoni sana tena ni ufunuo mkuu sana,Mungu awabariki sana nimebarikiwa kabisa
@nehemiahbudi57532 жыл бұрын
Kulaum tu, sio msingi mzuri wa kutatua matatizo katika jamii. Iko hivi; Hivi juzi tumefanya sensa ambayo idadi ya wanaume na wanawake ipo sawa. Kibiolojia idadi ya wanawake ni mara tatu hadi nne ya wanaume, Ipo hivi, Mwanamke anaweza kushika ujauzito kuanzia siku ya kumi hadi siku ya kumi na tano tangu anze kuona siku zake za mwezi. Kuanzia siku ya kumi katika siku za mwanamke hadi siku ya kumi na tatu kunauwezekano wa kushika ujauzito wa mtoto wa kike, na siku ya kumi na nne au kumi na tano ndipo kuna uwezekano wa kupatikana au kushika ujauzito wa mtoto wa kiume, tena inategemea uwezo wa vinasaba vya huyo mwanamke inawezekana pia akashika ujauzito wa mtoto wa kike. Kwa ufupi watoto wa kike ndio wengi kuliko watoto wa kiume. Sasa tujiulize ni kitu gani kimeua watoto wa kike. Kampeni za uzazi wa mpango usiofuata ustadi wa hali ya juu ndio chanzo kikuu cha tatizo. Idadi kubwa ya watoto wa kiume inakuwa sawa na maisha ya jela wanaume wanapandana wao kwa wao kwa upungufu wa wanawake.. ukiona wanawake wengi mabarabarani ujue majumbani wamejaa. Kunatakiwa idadi sawa ya wanaume na wanawake mitaani hii itaondoa tabia ya ushoga ambayo baadhi ya wanaume wanayo
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
@@nehemiahbudi5753 SIYO KWELI KABISA USHOGA NI ROHO KAMILI KWANI KUNA WATU WAKO KTK NDOA NA BADO WANATAFUTA KUUZA NYUMA. MASHOGA NA WASAGAJI WASITUDANGANYE KWAMBA WALIKOSA MME AU MKE NA KAMA UNAWEZA NDU WAITE MASHOGA NA WASAGAJI UWAAMBIE WACHAGUANE WA KIUME NA WA KIKE UTASHANGAA WANAKUAMBIA UNAINGILIA UHURU WAO! KUMBE HAO WANAPASWA WAENDEWE NA WATUMISHE NA KUONYWA KWA NENO LA BWANA KWAMBA WAMECHAGUA NJIA YA KUWAPELEKA JEHANAMU. WATUBU NA KUOKOKA ILI WAPOKEE MSAMAHA WA DHAMBI ZAO TU.