No video

Manabii Wamjibu Askofu Kakobe Kuhusu Mafuta

  Рет қаралды 101,054

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Siku chache zilizo pita Askofu Kakobe aliwajia juu Manabii wenye ibada za kukanyaga mafuta na kusema ni ibada zisizo kuwepo kwenye Maandiko ya Biblia nahuo ni upotoshaji. Manabii wamjibu yeye ni nani awajie juu.
#ChomozaUpdate #Chomoza2019 #Chomozanews

Пікірлер: 875
@elientinizekimaro4258
@elientinizekimaro4258 5 жыл бұрын
Jina la Yesu lina tosha halisaidiwi na chochote. Roho mtktf ni mafuta tosha ww: KAMA UNAAMINI ROHO MTAKATIFU NI MAFUTA TOSHA gonga LIKE YAKO HAPA
@issamsomba7219
@issamsomba7219 4 жыл бұрын
nimawazo yako au unapata hayo katika Bible ?
@manjosekaka8017
@manjosekaka8017 4 жыл бұрын
Naamini
@ekizaberthmakala2919
@ekizaberthmakala2919 4 жыл бұрын
Mungu atusaidie Yesu hakuja na mafuta
@ibrahimmukabane4635
@ibrahimmukabane4635 4 жыл бұрын
Tuombe roho Mungu atusaidie.
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 4 жыл бұрын
Ibrahim Mukabane asante nyote mulio tetea jina rayesu
@ndamezerevocatus1078
@ndamezerevocatus1078 4 жыл бұрын
Acheni kufanya udalali wa neno la Yesu Kristo. Watanzania tunabahati kumpata kakobe aliyethubutu kukosoa hili Mungu ambariki kabisa. Wameshatufanya matahila hawa majamaa kazi mitandaoni tu. Wanatuaibisha wakristo wa Kweli. Asante Askofu D. Batenzi, Pastor Mwita, askofu mkoa Mzee Nkone Mch. M.Nyandwi, Mch. Boazi Mkeya, Mch. D. Nkone. Kwa kutopokea mabadiliko ya upotoshaji wa Neno. Thanks UMPT Current is (FPCT&MMPT)
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 5 жыл бұрын
Hatutaki mafuta, chumvi wala sukari. Yesu tu anatosha.
@jonathanongoli8233
@jonathanongoli8233 4 жыл бұрын
Lawrence Raphael yesuhasaidiwi nakituchochote.yeye.nijana.leo nahata milele..weweunayetumia.mafutaumepoteasana
@jodemachannel.7504
@jodemachannel.7504 4 жыл бұрын
nakuunga mkono mtumishi wa mungu hiyo ni kweli
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 4 жыл бұрын
Kweli wengi wamepotea
@muselematiku2513
@muselematiku2513 4 жыл бұрын
Sema hutaki ww kasome biblia ndo utajua mafuta
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kwanza sukari ya zuchu inatosha
@wistonaugustino7606
@wistonaugustino7606 5 жыл бұрын
Yesu ni yeye yule, jana leo na hata milele, mafuta yenu na chumvi kapikieni Mboga, Yesu wetu anatosha....
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 5 жыл бұрын
Aaaamen Yesu atabaki juu tu!
@johnstonjtenkule7151
@johnstonjtenkule7151 5 жыл бұрын
Amen mtumishi Only JESUS is enough
@winifridarutaindurwa1447
@winifridarutaindurwa1447 4 жыл бұрын
Zaburi 133:1 tuuzingatie. Malumbano hayasaidii.
@perufamily6941
@perufamily6941 4 жыл бұрын
Hahahaaa😂😂😂
@jonaskabonda741
@jonaskabonda741 4 жыл бұрын
Umenena vema
@ErickMkinga
@ErickMkinga 5 жыл бұрын
Mmewapotosha Kondoo wa Mungu na kuwatoa katika Imani ya kweli, badala yake mmewapa vitu, wamekengeuka na kuiacha imani wamegeukia sanamu za mafuta, na maji, na chumvi, na kikombe cha babu! Jina la Yesu peke yake linatosha, Neno linasema Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka( Mdo 2:21, warumi 10:13) Ni fedheha kusimama hadharani na kutetea mafuta na chumvi; manabii wa baali, nini tofauti yako na mganga wa kienyeji? Kipofu akimwongoza kipofu , wote wawili watatumbukia shimoni. Jihadhari
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 5 жыл бұрын
Good Erick
@michaelsikaonga1338
@michaelsikaonga1338 5 жыл бұрын
Sasa atwambie nabii tito anaufunuo gani
@upgo6112
@upgo6112 5 жыл бұрын
Ase hawa jamaa ukweli wanapotosha watu
@setholivier4862
@setholivier4862 5 жыл бұрын
I hate these people
@Pastorlenhardkyamba
@Pastorlenhardkyamba 5 жыл бұрын
Erick Mkinga Hakika kaka nimekuelewa sana Mdo 4:11 imani siku hizi ipo kwenye mafuta ya kinabii, sasa huyu naye anataja miaka yake kwenye wokovu anajisifia nini wakati biblia inasema kuwa wapo wengi walitajao jina la YESU ni wengi kama mchanga wa bahari nao si kitu.
@josephkirita8788
@josephkirita8788 4 жыл бұрын
Kakobe yupo sahihi kabisa, Rudi darasani na kanisani ukatubu na kusoma
@udsmmaae7479
@udsmmaae7479 5 жыл бұрын
Toka Sunday school tunaimba “Neno litasimama,mambo yote yatapita lakini Neno litasimama” Hubirini tu hilo Neno mliloagizwa muhubiri na si vinginevyo. Na unaposema “Kondoo huisikia sauti ya mchungaji wao” haimaanishi the vocals you produce unapoongea. Bali ni uwezo wa waumini kuweza kugundua kweli na isiyo kweli (yawezekana kupitia mawazo yetu binafsi au mawazo ya watu wengine) ,na the only way kutenganisha sauti hizo ni kupitia Neno la Mungu.
@yohanamnyeti7222
@yohanamnyeti7222 5 жыл бұрын
Hubirini Injili ya Msalaba waambieni watu watubu dhambi watengeneze na Bwana,
@ruthklymo4926
@ruthklymo4926 4 жыл бұрын
Hahaa umenena kwel toka sunday school tumeimba neno litasimama
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 жыл бұрын
Mafuta ni njia moja wapo ya shetani ya kuwafanya watu wa Mungu wawe wavivu kuomba, hi haina tofauti na mafuta ya baraka, rozari nk. Hili jambo halitokani na roho mtakatifu.
@lauriansimon2566
@lauriansimon2566 5 жыл бұрын
Go deeper
@udsmmaae7479
@udsmmaae7479 5 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa yaaani..
@udsmmaae7479
@udsmmaae7479 5 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa yaaani..
@protasdismas516
@protasdismas516 5 жыл бұрын
YEEES
@officialalynee4719
@officialalynee4719 5 жыл бұрын
Soma waraka wa Yakobo 5;13_14 na nijb
@mamawadudu48
@mamawadudu48 5 жыл бұрын
Wewe humjui Mungu. Acheni uganga wa kuuza mafuta na vitu vingine. Katika biblia MWANZO mpaja UFUNUO hakuna jambo la kuuza vitu.
@suzzysuzzy2198
@suzzysuzzy2198 4 жыл бұрын
shida mmegeuza Mafuta na chuvi na MAJI ndivyo venue nguvu kuliko yesu nammegeuza biyashala kwanini MTU asije navyo mkaviombea sasa mnauzia
@alisenipeter4307
@alisenipeter4307 4 жыл бұрын
Kama hamuna pesa za saloon njoo kwa mwamposa sio kila siku kuvaa milemba mpk watoto wadogo mnawakomaza kwa malemba inahusu njoo kwa burudoza uku uamke na uangaze kakobe kaishiwa upako Sasa anaanza kuropoka nabado mtasubili Sana nakakobe wenu
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 жыл бұрын
Inawezekana ww ndo humjui mungu
@mamawadudu48
@mamawadudu48 3 жыл бұрын
@@epifaniamilinga2848 Mathayo 10:8 [8]Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
@alexngowo2757
@alexngowo2757 4 жыл бұрын
Kakobe yupo sahihi 100%. Kwa kawaida shetani ana nguvu sana na na anaweza kuwatumia hao watu wa Mungu kufanya kazi zake ama kwa wao wenyewe kujua au kwa kutokujua. Kuna baadhi ya watumishi wameanza kutumika. Sasa ili wasipakaze sumu kwa waumini wanaosimamia neno, lazima wapatikane watu wa kusema, akiwemo askofu Kakobe.
@germanaallay8281
@germanaallay8281 4 жыл бұрын
Wakristo tuna maneno maneno mengi sana badala ya kutafakari neno la Mungu, kubishana tu Utafikiri jukwaa la malumbano, kila mmoja anaona yupo sahihi kuliko mwingine, na sisi waumini tulisome neno la Mungu, watumishi wa Mungu tumwachie Mungu mwenyewe anawajua siyo sisi. Tuache siasa
@willsonjohnstone9118
@willsonjohnstone9118 5 жыл бұрын
Mafta hatukatai tatizo ni pale yanapo tumika kila wakati tena kwa kuuza, hata MANABII wa kale walikuwa wakiyatumia kwa tukio maalum nyie mmegeuza madiri, ''lakini pia! kwa nini mrundikane dar ingieni hata vijijini kwani wao hawataki hiyo huduma au mnaangalia palipo nona?
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 5 жыл бұрын
Mafuta ni takataka na hazikubaliki kabisa kutumia mafuta ni kukosa shule juu ya kwanini zamani yalikuwa yanatumika na kwanini sikuhizi hayatakiwi tena!!
@jbjb9628
@jbjb9628 5 жыл бұрын
hizi ni nyakati za mwisho wakristo yatupasa kuwa macho maana nyakati hizi wataibuka makristo wengi na manabii kibao lakini ukiangalia maana halisi ya unabii haipo ndani yao, hivyo kifuatacho ni kufanya biashara ya mafuta na vinginevyo bila kueleza kweli halisi ya Mungu na toba.
@rev.nuhubombo8795
@rev.nuhubombo8795 5 жыл бұрын
Hongera
@lwitikoasa6899
@lwitikoasa6899 5 жыл бұрын
mtumishi wa MUNGU asante umeongea vizuli saaaaana shida ya watumishi waliotutangulia wanamweka MUNGU kwenye box
@sharonndowo6922
@sharonndowo6922 5 жыл бұрын
@@alexanderkapinga700 uwiii nimeipenda mnoooo nenda deeper plzz
@mchuumchu9801
@mchuumchu9801 5 жыл бұрын
Jukwaa la kumhubiri kristo mko vizuri, hongereni msiogope matapeli wa mafuta wamejaa kupotosha watu.
@reginaldmushi1272
@reginaldmushi1272 5 жыл бұрын
Nakushauri ukae kimya! Hapo unayakanyaga huonyeshi huo ukomavu wa miaka uliyosema! Kakobe ana sifa ya ubaba!!!!
@godwinmwandimo7927
@godwinmwandimo7927 4 жыл бұрын
Kakobe msanii tu.
@clementjames7274
@clementjames7274 5 жыл бұрын
JAMAA POVU LIMEMTOKA,RUDI KWENYE MSTARI MUHUBIRI KRISTO YESU
@magretmwaijibe659
@magretmwaijibe659 4 жыл бұрын
Achen kupotosha watu ,muhubirini Kristo,Yesu yu karibu kuja,mnaujenga mwili wa Kristo kwa kuwauzia watu mafuta,
@marialudovick7708
@marialudovick7708 5 жыл бұрын
Yesu atosha si Maji wala mafuta wala chumvi pollen naona imekuchoma manabii pole tubu kama ulikula ela za watu
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 4 жыл бұрын
Amen Amen. Watumishi wa Mungu tupo pabaya tena Sana. Sisi ni watumishi tufanye Kazi ya Mungu kwa umoja na mshikamano. Siri ya kila mmoja anayo Mungu. Na dini siyo chama cha siasa ambacho kinawa gombea nafasi za uongozi. Dini ni habari iliyo kamili toka wa Mungu mwenyewe. (Sisi tukianza kupinga basi kufa na kufufuka kwa Mwokozi Yesu itakua ni bure na baya atutaeleweka na jamii) Mungu atusaidie na hekima yake. Amen.
@christabellamanyangu3204
@christabellamanyangu3204 5 жыл бұрын
Wakristo tupendane kila mtumishi ameitwa kwa Neema yake tusiwe wepesi kuhukumu watumishi wa Mungu na roho ya mpinga Kristo imeingia kanisani ukiona mtumishi anakosea kaa kimya mwombee sio kuanza kumsanifu Kwa Yesu raha tu
@reubenbusanji2904
@reubenbusanji2904 5 жыл бұрын
Umwombee bila kumkemea?
@jamespatsonjp4935
@jamespatsonjp4935 4 жыл бұрын
Kidonda kimewekwa spiriti..mgonjwa anaanza kutoa machozi....
@epafranyambalo
@epafranyambalo 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu....Mungu akuinue sana sana ...Asiwepo hata mmoja wa kujiona bora kuliko meingine...Yesu aliwakuta wanafunzi wake wakiwakataza watu kuhubiri kupitia jina La Yesu kwa kisa cha kwamba wao si mitume..Yesu aliwambia Asiye kinyume nasi yupo pamoja nasi...Mtumishi kakobe asiingilie mamlaka za wenzake...Kakobe akumbuke...biblia inasema Ole wake aondoaje alama za mipaka...kakobe akae kwenye mipaka yake....Kakobe usimtetee Mungu...Acha mafuta yatumike..wewe utalipwa kwa sehemu yako....Kwanini mnaleta siasa katika kumtangaza kristo...Wasio na ufahamu katika kumjua Mungu ndio wanamshambulia mtumishi aliyezungumza....Mimi ni Anglican kama sijisikii kwenda kwa nabii nisimseme vibaya anayekwenda kule....Acheni ngano na magugu vikuwe pamoja...Kama Bwana Yesu alisema viachwe..kakobe ni nani wa kutaka kung'oa magugu....Utawezea wapi???Na unajuaje hili ni gugu ???Nani kakwambia ni gugu...Yupi nadhan ni ngano uchukue kondoo wako wote waende kule....kwanini ulianzisha Full gospel wakati kuna Lutherani....ACHENI HAYA MAMBO YA KUMPA IBILISI NAFASI 2 Kings 2:20 Akasema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea. Chumvi ilitumika kuponya maji agano la kale...na vitu vingi tu vilitumika na Yesu hakuja kuondoa Torati Cha msingi manabii wajue Hivyo vitu havitumiki siku zote..ni special cases na visiwe biashara ingefaa sana wenye karama wote yani wachungaji,manabii,mitume,wainjilisti na waalimu wakae pamoja kuongelea mambo yao....sasa kama wao kwa wao hamna anaye heshimu karama ya mwingine...watakaaje pamoja na kufundishana BWANA YESU ANAWATAZAMA MBINGUNI AONE anakuta kalama zimehamia kubishana huyu ni bora kuliko huyu Angalieni wezi na wanyang'anyi wasiwatangulie ufalme wa Mbinguni
@alexmpanda2987
@alexmpanda2987 5 жыл бұрын
Kumbe mtu anawzaa kua kwenye huɗuma miaka mingi lakini akawa hana ufahamu wa Mungu etii eee!!! Nimegundua hilo,tatizo nadhani kushika mapokeo kiwango cha kutoliruhusu neno kukubadurisha.
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 5 жыл бұрын
Sio kwamba kweli hawaijui bali wanapotosha kweli ya Mungu kwa ajili ya matumbo yao na kutumiwa na shetani kuwapotosha wana wa Mungu
@alexmpanda2987
@alexmpanda2987 5 жыл бұрын
Hii ni dalili kwamba jukwaa limemtikisa shetani kuzimu.
@tinajonson3724
@tinajonson3724 5 жыл бұрын
Kabisa
@winnievesso4473
@winnievesso4473 5 жыл бұрын
Ni kweli
@protasdismas516
@protasdismas516 5 жыл бұрын
AMEEN KWELI KABISA
@Pastorlenhardkyamba
@Pastorlenhardkyamba 5 жыл бұрын
Alex Mpanda AMEN
@deogratiusshayo9666
@deogratiusshayo9666 5 жыл бұрын
Ameen
@stephenmalilo9833
@stephenmalilo9833 5 жыл бұрын
Tangazeni kuhusu Yesu na sio kuhusu michumvi, nafuta na sabuni. Yesu hafanyiwi SUBSTITUTION na chochote kile. Anajitosheleza kabisaaa....! Tunapotumia vitu kama njia pekee ya kuponya na kusaidia watu, ni ibada ya sanamu.....tutumie jina la Yesu tu bhanaaa!! Tuache kudanganya watu...
@fredrickmichaelmallagi9430
@fredrickmichaelmallagi9430 5 жыл бұрын
Huo uganga wa kienyeji perekeni huko sisi tulie na Yesu tunajua huu ni wakati wenu maana hata Bwana Yesu mwenyewe alitabiri juu yenu wanafiki mataperi wakubwa nyie
@robertmasatu8423
@robertmasatu8423 5 жыл бұрын
Wewe nabii. Mungu amesema tuombe kwa jina Yesu. Mmeambiwa nani kuomba kwa vitu hivyo? Mmeumiza watu maskini kwa kuwapora hata hicho kidogo walicho nacho. Sasa kiama chenu kimefika
@charlesmbunda6215
@charlesmbunda6215 5 жыл бұрын
"NANYI MAFUTA YALE MLIYOPATA, YANAKAA NDANI YENU...." (Yoh 2:27). Nyakati za Agano la kale, Watumishi wa Mungu walipakwa mafuta. Nyakati hizi za Agano jipya, Roho Mtakatifu ndiye mafuta. Maana mambo ya wakati ule ni kivuli cha mambo ya wakati huu. Kivuli si kitu halisi. Mafuta kwa msingi huo, yalikuwa kivuli cha Roho Mtakatifu. Mkristo anapojazwa Roho Mtakatifu, mpango wa Aganojipya ni yale mafuta kuingia ndani yake! Neno la msingi hapo (1Yoh 2:27) ni mafuta au ujazo wa Roho Mtakatifu ndani ya Mkristo! Siyo kupakwa. Na hata ingekuwa hivyo, huu mfumo wa kuuziana ndio unatia shaka. Zaidi ya hilo, msisitizo wa mafuta unapopitiliza mtoa mafuta mwenyewe - Yesu Kristo; ni kuwatoa waumini kwenye Imani juu yake, na kisha kuijenga juu ya vitu! Hii siyo sawa sawa!
@jbjb9628
@jbjb9628 5 жыл бұрын
Charles Mbunda ubarikiwe sana
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 5 жыл бұрын
Kazi yako ni njema Charles ubarikiwe..umenena ukweli usio na mawaa
@matanmahenge5136
@matanmahenge5136 5 жыл бұрын
Haswaaaa mafut ni Roho Mtakatifu unapotetea ya mizeituni unakua na maana yako binafsi , barikiwa mno mtumishi
@Blessedhopefamily
@Blessedhopefamily 4 жыл бұрын
Mtumishi umesema kwa busara sana, ni kweli Mungu hutoa Huduma kwa mtu kwa wakati wake na huiondoa kwa wakati wake. tunaomba fanyeni kazi ya MUNGU bila malumbano
@mathewmadewa1402
@mathewmadewa1402 5 жыл бұрын
Soma biblia bana mzee miaka si shida....bali uelewa wa maandiko acha uongo maana kanisa ni 1 tu Kristo
@perfectkadewele312
@perfectkadewele312 5 жыл бұрын
waambie mtumishi watu wameacha kumtaja YESU na wameanza kuiga waganga wakienyeji
@Prothelogic
@Prothelogic 5 жыл бұрын
You're very very knowledgeble kakobe anapaswa kukumbuka alikotoka alikuwa anapinga had wanawake kuvaa Chen na mikufu ,wanapaswa kusitaafu
@aishampondoma9013
@aishampondoma9013 5 жыл бұрын
James Mzigaba amina james umenikumbusha mbali mno
@betsonmugisha9604
@betsonmugisha9604 5 жыл бұрын
Nikukumbushe kuna vitu unasahau 1) Mchungaji ni mmoja Yesu Kristo na kondoo wote ni Mali Yake 2)Kwanini mnauza mafuta na chumvu nk imeandikwa mmepata bure toeni bure 3)moja kati ya kazi za watumishi ni kukemea uovu bila kujali mipaka ya dini kakobe yuko Sahihi sana 4)tumesutuka mnawapeleka watu kusiko jitafakalini na maelezezo yako hayana mafuta ni makavu japo unauza mafuta!!
@sumahmvellah7476
@sumahmvellah7476 4 жыл бұрын
Tayari umeshasema Kila Jambo linamajira yake,kumbuka hata mafuta na maji na chumvi vilitumika kabla yesu hajatupa mbinu ya milele ambayo Ni Kila Jambo Ni kuliitia jina la yesu kristo basi.hatutaki mafuta,maji,Wala chumvi.kakobe anahaki ya kuwafumbua macho watu wake ,ubarikiwe kakobe mungu akulinde Amen
@davidchungu2701
@davidchungu2701 5 жыл бұрын
NINYI NI WAGANGA WA KIENYEJI WA NYAKATI ZA LEO MNAJIPATIA MAPATO KWA HILA KWANINI MNAUZA HUDUMA MLIOPEWA NA MUNGU BURE. NA HUNAHOJA ZA MSINGI NYAMAZA KIMYA WEWE NI TAPELI TU,
@hacksbahati6466
@hacksbahati6466 5 жыл бұрын
Hata waganga wanayo haki kufanya kazi zao hapa Tanzania, haki inayomlinda ndiyo inakulinda wewe
@davidchungu2701
@davidchungu2701 5 жыл бұрын
@@hacksbahati6466 WAGANGA WANAHAKIGANI HAO MAWAKALA WA SHETANI?!! HAWAPASWI KUONEKANA KABISA HAPA DUNIANI WAENDE KUZIMU,
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 4 жыл бұрын
Kabisa Baba wala ujakosea,ufunuo ni kitu muhimu sana ktk jina la Yesu,ndio kuna maji yalitoka ubavuni mwa Yesu Amen
@priscaaloyce8098
@priscaaloyce8098 5 жыл бұрын
Kakobe usiache kusema kweli ya kristo
@johbernard3628
@johbernard3628 4 жыл бұрын
Nkwel kakobe asiache kusema ukwel,ww Mzee unaonekana una support mahubl ya mafuta
@yoniphamsigwa7592
@yoniphamsigwa7592 3 жыл бұрын
Huwezi kupewa vyote,mwili una viungo viungo vingi,kila kimoja kina kazi yake.siyo kwa sababu huna ndo useme hakipo
@georgeerick3140
@georgeerick3140 5 жыл бұрын
Watumishi mwamposa,bendera,rwakatale,mwingira,jikalien kimya pigen kazi mungu yunanyi akika !!!endeleen kufungua watu ndomana mmanarikiwa sn sn!!
@silvestermakata400
@silvestermakata400 4 жыл бұрын
Hatuhitaji mbwebwe zenu jina la YESU tu latosha askofu kakobe mungu akubariki
@olivafready4554
@olivafready4554 5 жыл бұрын
Pumbavu sana viva kakobe ibada za chumvi,mafuta,pesa,magari,wachimba hats Mungu haubiliwi sijui mnatupeleka wapi na ibada zenu za sanamu
@ntawihacharles8226
@ntawihacharles8226 5 жыл бұрын
Da shetani kakipata cha moto dill za mafuta zimebomolewa tatizo husikilizi unawaza tumbo asante kakobe tumeibiwa sana na hawajamaa hatuibiwi tena. kauze nyanya tandale lasivyo utakufa njaa bali sisi tunamubiri kristo nimekupata Baba Gamanywa, Kakobe na Venon Bwana azidi kuwatumia kikamilifu Amen
@edwinetegamaisho7173
@edwinetegamaisho7173 5 жыл бұрын
Mchungaji ni yesu kristo wew hubir kuhusu ondoleo la dhambi,watu kuacha dhambi na kuenenda katika mapenz ya Mungu ili mwisho tuweze kurudi nyumbani kwetu tulikotoka tumwone yeye alietuumba na tukae nae milele
@donaldshadrack3186
@donaldshadrack3186 5 жыл бұрын
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
@neemasanga416
@neemasanga416 5 жыл бұрын
Mungu amubariki mtumishi amesimama yuko vizuri Sana Mungu atubariki Sana chomoza Tv nawapenda. Kwa kwa kweli Gamanywa ni askofu wangu, amepoteza maono Tangu mwaka 2016 kinachoendelea kwenye madhabahu ni kuwapinga wengine Mpaka Agano la kale kaka jimi Ubarikiwe.
@aminimoshi5474
@aminimoshi5474 Жыл бұрын
Hakika Mtumishi umenena vyema.Mungu aendelee kukutumia
@hildanjau4877
@hildanjau4877 5 жыл бұрын
Asante baba umeongea vyema sana
@saidymtenda9777
@saidymtenda9777 4 жыл бұрын
😂😂😂
@ommygzanzibar4711
@ommygzanzibar4711 4 жыл бұрын
Kazi yenu ni kupotesha watu wote mnaujua ukweli ila mmeshikilia upotoshaji kwa ajili ya kujipatia kipato lakini uwelenu kwa mungu mtakiona cha moto!!!!!
@mpondaahamida2146
@mpondaahamida2146 5 жыл бұрын
Ukisikia paaaaa ujuwe limekupata mzee,, usitowe mapovu lipa kodi endelea na biashara.
@helenjonsob5718
@helenjonsob5718 4 жыл бұрын
Mponda A Hamida hahaaaaaaaa
@godwinmwandimo7927
@godwinmwandimo7927 4 жыл бұрын
Kakobe msanii tu
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 4 жыл бұрын
Msituzingue Ninyi Manabii wa uongo. Tofauti yenu ndiyo 1. Mhuburi mmepanda mgongoni mwa waumini? 2. Mhubiri huku mkiwachojoa chupi waumini wenu wa kike? 3. Mhubiri mkiwapulizia rungu spry mdomoni? 4. Mhubiri huku mkiwadanganya kufufua wafu? 5. Mhubiri huku mkiwabinyabinya matiti watoto wa kike? 6. Mhubiri huku mkiwalaza kifo cha mende waumini? 7. Mhubiri huku wakiwa wamewabeba mgongoni? N.k Mnatuona matahira? Msituzingue Kakobe kapiga kichwa endeleeni kuweweseka tu.
@mapendomrosso2270
@mapendomrosso2270 5 жыл бұрын
Watumishi wa Yesu Mlioliunda jukwala kumhubiri Keristo JKK Bali sisi Tunamhubiri Kristo Mungu awabariki kwa ajili ya Neno la Kristo hakika Neno la Mungu Lii hai hata Milele .
@arnoldleonard4381
@arnoldleonard4381 3 жыл бұрын
Ukileta utapeli hatuwezi kukaa kimya lazima tukuchane ,msitunyamazishe ! Acheni hizo biashara mungu ana hasira sana nanyi
@joycewambui2270
@joycewambui2270 5 жыл бұрын
Wakristo tokeni kuabudu sanam za mafuta chumvi maji vitambaa sabuni tokeni tokeni tumwinue yesu kristo sio kuinamia manabii na mitume
@mchricharderickmtoni438
@mchricharderickmtoni438 5 жыл бұрын
Eti kila mtu anatumika kwa muda wake na upako unaisha huu niuongo maana hata Elisha nabii ametembea na upako wake mpaka amekufa bado anaponya watu...sasa huyu muhuni analeta pumba zake....
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 жыл бұрын
Mungu hainui mtumishi kwa wakati Bali ukiacha njia yake ndiiyo anakuacha. Alafu acha kutudanganya wew baba miaka mingi siyo shida karama niza rohoni yaani wew ndo unawadanganya ivyo watumishi wako siyo kapinga ila anawaelekeza
@lisamichael8091
@lisamichael8091 4 жыл бұрын
Mungu akubariki /umeongea ukweli kila nabii hutembea na ufunua aliopewa na mungu
@blessthegreat6210
@blessthegreat6210 4 жыл бұрын
Wewe Pastor, wafundisheni watu kuliitia jina la Yesu, siyo kutumia mafuta wala takataka zingine
@abrahmanmussa1384
@abrahmanmussa1384 3 жыл бұрын
Mhubili usitudanganye Soma bibilia vizuri miujiza yote aloifanya mungu haipo hata mmoja unofanana nawamwenzie Kama kipofu alimponya akaona kwa kuutumia tope jua mfu alifufuliwa kwa njia nyengine Ila nyie mmetukalilisha kwa mafuta ,udongo ,chumvi ,na mnavifanyia biashara Hanna jipya mnatupoteza kiroho imeandikwa Zama za mwisho Kiana kikikaribia wahubiri Kama nyie mtatokea mtajiita mitume na manabii na mtaponya wagonjwa Ila kwa njia za Imani yakishetani Hanna jipya
@banathdaniel6550
@banathdaniel6550 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana ,lazima tuelewe kwa habari ya wito,huduma,na kazi
@sharondivine8994
@sharondivine8994 5 жыл бұрын
Marko 16 15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa. 17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; 18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya. Hili ndiko agizo juu, hubirini injili. Karama ziko lakini msifanye biashara, Na kujikweza kuwafanya watu waache kumtafuta Mungu ktk Neno lake , waabudu nyie , Kwa kweli manabii wa uongo wako wengi Na wameligawa Kanisa ka Kristo. Fake prophecy, fake miracles, enough is enough, wengine ni cult kabisa. God will reveal you openly.
@MegaKarume
@MegaKarume 4 жыл бұрын
Ninakubaliana na Mtumishi huyu wa Mungu...Amina...
@isacktesha6659
@isacktesha6659 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana siungi mkono wala sipingi mafuta kwa kuwa siyo kazi yangu kuhukumu ,kila mtumishi atatoa hesabu kwa Mungu wake mwenyewe
@upgo6112
@upgo6112 5 жыл бұрын
Yesu ...anatosha vizuri zaid wafundisheni waumin kumjua Mungu na si kuwajua ninyi Shida yenu mnataka watu wawaone Ninyi mnafanya ...wakati Yesu ndo anafanya Wajazeni watu Roho mtakatifu ...na kuwafundisha kuomba Achane sanamu zenu mnapotosha watu na kuwafanya kuwa wavivu na hiyo roho ni ya shetan
@nyangebujari7563
@nyangebujari7563 5 жыл бұрын
Siku hizi shetani amejificha katika vitu. Mfano watu hufanya mafuta Kama Mungu. Hiyo ndiyo shida. Mungu hayuko katika mafuta Wala maji. Jina la Yesu linatosha
@bernardmwenda5186
@bernardmwenda5186 4 жыл бұрын
Ndiyo pana tofauti ya karama, lakini ni katika maandiko, haiwezekani mtu auze mafuta kwamba yana upako halafu tuseme pana tofauti ya karama!. Mimi nadhani inabidi mumelewe Kakobe, Kakobe hajapinga utofauti wa karama, anachopinga ni zole roho zidanganyazo. Kama wewe unashuhudiwa kuwa unafanya kazi ya Mungu ambayo ni kimaandiko kabisa, kwa nini uumie? Fanya kazi yako, mbona akina Ferdinandis na Gamanywa hawaumii na wako tofauti wa huduma bali Roho ni yeye yule? Mtu anayempinga Kakobe inabidi ajipime, kwa nini anatofautiana na pia mpime Kakobe mwenyewe kwamba huduma yake ni ya uwongo? Hizi ni nyakati za mwisho, mtu unapotenda kazi tofauti na kazi ya Mungu huwezi mwenyewe kijitambua, ni mpaka uambiwe, na ukiambiwa jihoji usibishe tu na kusema nimeoneshwa na Mungu, shetani naye huwa anaonesha.
@adammwakibinga1042
@adammwakibinga1042 3 жыл бұрын
Mtumishi ahsante kwa. Mawazo yako. Hizo bíashara mnazofanyo za kuuza keki .maji , máfuta na ghrama za kumúona mchungáji zipo kwenye maandikó gani!? Pili hakuna kupitwa na wakati kwa bwana. Mhubirini Mungu waache kujiinua....
@yusuphstephenkulwa5217
@yusuphstephenkulwa5217 4 жыл бұрын
Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno, bali katika nguvu. 1 Wakorintho 4:20 (20 For the kingdom of God is not a matter of talk but of power.) UKO SAWA MTUMISHI RWAKASOTO.
@Masibayi_Media
@Masibayi_Media 5 жыл бұрын
Tatizo siyo usemaje! Tatizo Ni kilichosemwa! Wafundishe watu kumfuata Yesu Na si mafuta Na chumvi. Hatupingi mafuta Na chumvi ila tunachopinga Ni kureplace nafasi ya Yesu. Pia mmepewa bure Na mnatakiwa kutoa bure! Hao wahasibu Wa kuuza mafuta Na chumvi mnawatoa wapi? Gaweni bure jamani,don't merchandise the anointing baba!
@mary.matullu8279
@mary.matullu8279 5 жыл бұрын
Lakini wapi Yesu aliuza maji au mafuta au kina Paulo? huoni kuwa wamezuka watu wanajiita manabii hawasomi neno wanaseme tu "fire"etc.
@happymsaki1720
@happymsaki1720 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mathewshirima5309
@mathewshirima5309 5 жыл бұрын
@@happymsaki1720 kwani hayo mafuta wanapewa bure
@happymsaki1720
@happymsaki1720 5 жыл бұрын
@@mathewshirima5309 ni kununua mwangu yaani acha tuuuuuu
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 5 жыл бұрын
Good marry
@timothmhangwa4329
@timothmhangwa4329 5 жыл бұрын
😁😁😀😀🔨🔨
@reginakibola5416
@reginakibola5416 5 жыл бұрын
Ndugu zangu nasema hivi kati yenu kuna upande umeshavurugwa angalieni msije jikuta mmepoteza mwelekeo kwa kunena mambo bila uhakika mwenye uhakika ni Mungu anaefanya afanyayo anasema kaambiwa na Mungu ,na ninyi mnaopinga mnasema Mungu hakuagiza hilo acheni mwisho wa yote utajulikana mlingneni Mungu mkifika mbinguni mtajua mbivu na mbichi.
@mbithejustus246
@mbithejustus246 5 жыл бұрын
Yesu alisema ombeni lolote kwa jina langu~yesu ~(ni jina na damu ya yesu/mafuta backfire (holy spirt yuko kitupa mafuta (sio zaituni
@Mrmpinzilemedie
@Mrmpinzilemedie 4 жыл бұрын
Yesu alitupa mamlaka na YESU ALISEMA WEKENI MIKONO JUU YA WAGONJWA HAJA SEMA TUNJWE MAJI WALA MAFUTA IZI NI SIKU ZA MWISHO WAKRSTO TUWENI MAKINI DUNIA TULIYOPO NI YA AYA UNAYO YASIKIYA MTUMISHI KAKOBE SIO KWAMBA ANAINGILIA /YEYE ANASEMA UKWERI
@lovenesskapama2776
@lovenesskapama2776 5 жыл бұрын
unapotosha sana ndugu , okoka umrudie kristo, hizo ni roho zidanganyazo,
@mamagift195
@mamagift195 5 жыл бұрын
Uko sawa kabisa mtumishi wa Mungu wambie hao wanao acha kuhubiri neno la Mungu wanaubiri wachungaji
@tausimhando6866
@tausimhando6866 5 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi mtumishi,tunashinda kila sekunde katika jina la Yesu
@sumamwamalekela1069
@sumamwamalekela1069 5 жыл бұрын
Hata kama yanatumika kwanini muuze...acheni hubirn habari za Kristo nawatu kuacha dhambi hayo mengine hakuagiza Yesu ni yekwetu sisi.tafuteni kwanza ufalme wa Mungu na mengine tutazidishiwa...
@nashatihenjewele3161
@nashatihenjewele3161 5 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu ata bibilia ana ametoa maandiko kwenye bibilia ameweka kwenye kitabu kuona bibilia zito..kama umeona uwache kubeba bibilia una beba kitabu ndio maana unatete biashara yako ..
@nashatihenjewele3161
@nashatihenjewele3161 5 жыл бұрын
Wewe..usigombane na watu.endelea kuuza mafuta kwani sindio biashara yako..hila yeye ajae anakuja wala ata kawia...biashara njema
@fredrickmakas100
@fredrickmakas100 5 жыл бұрын
Wakorintho wa pili 1:21 inatuambia kwamba anayetutia mafuta ni Mungu,pia ukisoma yohana wa kwanza 2:20,25_27 tunapata pale mafuta ni roho mtakatifu ndiposa Yesu mwenyewe anasema kwa mathayo 22:29 kwamba watu wangu wapotea kwa kukosa maandiko,mbarikiwe
@mtumishimatrida5470
@mtumishimatrida5470 5 жыл бұрын
Tuhubirni habari ya Yesu, tumepewa jina moja Yesu sio matuta!!!
@issamsomba7219
@issamsomba7219 3 жыл бұрын
Mtumishi upo vizuri Kuna watu wanafikiri wana mjua Mungu kumbe hawajui, the days of Elijah, siku za kakobe zime kwisha sasa ni siku za mwamposya full stop
@zawadimwasomola5790
@zawadimwasomola5790 5 жыл бұрын
Nyinyi mnapindua maandiko kwa maasilahi yenu sio kwaajili ya mwili wa Yesu
@danielernest3507
@danielernest3507 4 жыл бұрын
HAWA WANAOJIITA MANABII,MIMI SIWAKUBALI KABISA,NI MANABII UCHWARA NDIO MAANA WANATUMIA MIUJIZA YAO YA MAFUTA,VITAMBAA,MAJI YA UPAKO NI UTAPELI MKUBWA,SIKU IKIFIKA WATAVUNA ILIYO YAO,JINA LA YESU LATOSHA NDILO LIPITAYO MAJINA YOTE.
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 4 жыл бұрын
Jina la Mungu latosha,,,,na Jina la Yesu Laongoza ktk mapito,,,,,no mafuta no maji majina ayo ynatosha kwaimani
@tungamwangakala2399
@tungamwangakala2399 3 жыл бұрын
Umenena vema mtumishi. Mungu akubariki.
@mamagift195
@mamagift195 5 жыл бұрын
Askofu kakobe acha kuhubiri wachungaji wenzako hubiri neno la Mungu
@tinaanna7944
@tinaanna7944 4 жыл бұрын
Mpendwa kilichoongelewa si kupinga huduma Bali n kisisitiza tunasimamia neno LA Mungu.. Tusiwatoe watu kwenye neno LA Mungu ambalo msingi wake ni kristo.
@denisakatabazi5196
@denisakatabazi5196 5 жыл бұрын
Na mim kesho nafungua. Kanisan maana utapeli umezidi sii kakobe Wala nyie manabii, Mara maji chumvi,mafuta,ukija ktk ubatizo ubatizo wa visima,vikombe daah alienielewa gonga like
@munuoisaack418
@munuoisaack418 5 жыл бұрын
Kwanza hayo mafuta wanatoa Nigeria,,,,,,, waache vichekesho Biblia inasema hata tujapokuwa wajinga hatutadanganyika. ROHO MTAKATIFU NDIYO MAFUTA HAKUNA ZAIDI
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 5 жыл бұрын
Daaaa sielewi huyu jamaa anaongea nini sijui hawa watu wanaendaga na chuo hata kupata elimu kuhusu Mungu au wanatembea na ndoto za usiku tu!!! Ukifika mahali pa kutetea mafuta na maji badala ta kutete Yesu lazima uwe umefitinika!!!
@medadiissa324
@medadiissa324 5 жыл бұрын
Kwani Mungu anafundishiwa vyuoni?? Au Mungu husema na mtu KWA ndoto na maono? Hebu soma HESABU 12;6 . harafu uje hapa utuambie
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 5 жыл бұрын
@@medadiissa324 kama unataka kujua Mungu ni Elimu kamili nenda kamuulize Samweli alipokuwa mtoto mdogo alafu akaanza kusikia sauti alafu hajui ni nani na pia akawa anaenda kuitika kwa kuhani Heri. Alafu Mungu haongei kwa ndoto tu anaongea kwa njia nyingi sana na njia kuu ni kwa Neno lililoandikwa yaani Bilblia ambacho ni kitabu na ukisikia kitabu ujue ni literature na literature ni elimu ya kukaa darasani na kifundishwa sio kuzuka kama mwenda wazimu unasema Mungu kaniletea Ndoto kwani hata Ndoto shetani anaweza kuleta tu alafu ukapotea vilevile na ndio maana wenzio wameishia kupotelea kwenge mafuta na maji na vitambaa kama mganga wa kienyeji.
@medadiissa324
@medadiissa324 5 жыл бұрын
Kwahiyo MUSA alikikuta kitabu gani kikamuongoza kujua Mungu? Au NUHU,IBRAHIMU,ISAKA NA YAKOBO,nionyeshe vitabu vyao walivyopewa wakasoma na kujifunza Mungu? Mungu akimtokea mtu siyo lazima wewe ukubali au ukatae ndio tuseme nisahihi au siyo sahihi. Msimfunge Mungu kuendelea kutenda kwaajili ya mapokeo yenu! Mnawahi kupinga tu
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 5 жыл бұрын
@@medadiissa324 mzee unaweza unaweza ukaendelea na hicho unachoona sawa ila nafikiri ingekuwa ni jambo la akili sana kama ungetafuta taarifa sahihi ingekusaidia badala ya kujifungia. Swala la msingi sana ujiulize KWANINI tuna kitabu kinaitwa Biblia kama Mungu anaongea kwa ndoto tu inatosha. Na unafikiri Kitabu hicho kiliandikwa na nani na kwanini alikiandika?? Uminiuliza akina Musa na wengine ambao ndio Mungu aliwatumia kuandika kitabu na hicho kitabu kikafungwa kuandikwa baada ya hapo hakuna anayeandika tena Biblia jiulize maswali hayo kabla hujaanza kukimbilia mapokeo neno ambalo hata maana yake nadhani pia hulijui.
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 5 жыл бұрын
Kwa kuongeza tu hapo tafuta historia ya Vyuo vya Biblia au Magombo vilianzia wapi na nani alikuwa mwanzilishi wa chuo cha theolojia yaani elimu kuhusu Mungu ndio uje ukatae maana unaweza kujikuta unawatafsiri mitume na manabii vibaya na kukataa vitu walivyoanzisha wao.
@alfredzunda4655
@alfredzunda4655 5 жыл бұрын
Yaani andiko la Yohana wewe unanukuu Warumi, pole sana, kasome tena biblia vizuri
@jeniphakitosi3270
@jeniphakitosi3270 5 жыл бұрын
Nae nibinadam cy mungu ujue kukosea kupo
@johnchami7546
@johnchami7546 5 жыл бұрын
Tumuombeee kapaniki !!!!
@alphoncejoseph3300
@alphoncejoseph3300 5 жыл бұрын
Huyu hahaa
@davidmkassanga2368
@davidmkassanga2368 3 жыл бұрын
Roho Mtakatifu anapoteza ubora na umuhimu wake na badala yake mafuta, Maji, keki,sabuni, kalamu za upako vipo juu sana kwa watumishi hao na wafuasi wao. Kuna shida gani kukiri uwezo Wa Mungu utokao juu yaani Roho Mtakatifu badala ya vitu hivyo vya upako? o
@ibadaworship5103
@ibadaworship5103 5 жыл бұрын
Mtumishi mimi ni mkomgomani, nakufwata vizuri, neno la Mungu alibadiriki, acheni kuwpa watu mafuta!
@gasperkupangwa6062
@gasperkupangwa6062 5 жыл бұрын
Sasa na ninyi anzisheni jukwaa lenu la kuhubiri mafuta, chumvi, maji nk kama hamuwezi kumhubiri Kristo. Ila naona ujumbe wa JKK wa siku ya ufunguzi ulikupa kisawa sawa
@mcdondosha4151
@mcdondosha4151 5 жыл бұрын
La mwisho nikushauli tu mtumishi Mtu alie na MUNGU wa kweli huwa hajitetei sasa acha kujitetea kama unamtumikia MUNGU wa kweli kaa kimya hiyo ndio hekima ya kinabii nakitumishi. Ila unavyoita wandishi wa habali nakuongea mambo ya kiimani kwenye jamii ya kawaida pia huko nikukosa hekima ya ki MUNGU. Ni kweli manabii wapo wakweli mana ni mandiko yamesema ila kwa dunia ya sasa manabii %90 wanaongozwa na mawazo na msisimko ikichangiwa na umarufu maisha mazuri nk. Hivyo sio raisi kuwatambua haraka mana hata shetani anaweza kufanya mujiza na mujiza sio kigezo cha mtu kujiita nabii mana hata wachawi waweza fanya mujiza.Mana nabii nisauti ya MUNGU sasa sasahivi mtu akiinuliwa kidogo tu anajiita nabii.
@sixteenonline9811
@sixteenonline9811 5 жыл бұрын
Yesu anatosha hakuna haja ya mafuta
@laurentbujashi7112
@laurentbujashi7112 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, lakini ni vizuri pia kujiuliza kulikuwa na haja gani Yesu kutema mate katika mistari hii--> "Marko 7:32-35 [32]Wakamletea kiziwi, naye ni mwenye utasi, wakamsihi amwekee mikono. [33]Akamtenga na mkutano faraghani, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa ulimi, [34]akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Efatha, maana yake, Funguka. [35]Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri." Au pia, katika Marko 8:23-25 [23]Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu? [24]Akatazama juu, akasema, Naona watu kama miti, inakwenda. [25]Ndipo akaweka tena mikono yake juu ya macho yake, naye akatazama sana; akawa mzima, akaona vyote waziwazi.
@reubenbusanji2904
@reubenbusanji2904 5 жыл бұрын
Bujashi@kama hoja ni Yesu kumtemea kipofu mate waambie hao manabii uchwara watembee juu ya maji pia. Hao manabii wasome Yeremia23 wajue kitakacho wapata, wanatawanya kondoo wa Mungu na kuwasahaulisha watu wa Mungu neno la uzima.
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 5 жыл бұрын
@@reubenbusanji2904 no, hujamjibu vizuri. Mtoa hoja alisema Yesu atosha. Kaka akajibu kusema hata yeye Yesu kuna vitu alitumia (vyenye kufanana na mafuta). Nadhan ishu hapa ni kusema kuwa mafuta wala maji si dhambi. Lkn visiwe msingi wa huduma.
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 5 жыл бұрын
Kwanza Wachungaji wengi hata Hao wanaopinga walipakwa mafuta walipoanza huduma
@justinehokororo2580
@justinehokororo2580 5 жыл бұрын
Hakuna muhujiza mkubwa sana kama kuokoka, chumvi,mafuta ni ushirikina, yesu alitenda mihijiza ili watu wamuamini, na ilikuwa kwa wale wasiomfahamu tu, sasa hii ni mihujiza gani ya kila siku ata kwa wahumini muda mrefu ndani ya kanisa
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 5 жыл бұрын
Yote yanatokana na Mafunuo kama hujafunuliwa kaa kimya. Mafuta, maji, chumvi, mchanga... Vyote vilitumika agano la kale na Jipya. Nakuelewa Pastor.
@ndinhesyaasukenie3112
@ndinhesyaasukenie3112 4 жыл бұрын
Waambie mtumishi,kuna wakati Yesu alitumia hata mate kuponya. Wasikariri kutaka kila mtu atende kama wao!
@ibrahimmarwa1219
@ibrahimmarwa1219 4 жыл бұрын
kakobe uko sahihi kabisa maaake imekua shida upakoupako hivi yesu na upako wenu huo ninani mkubwea acheni uongo wa kimachomacho kakobe piga kelele ili watu waaamke wampoke kristo
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 5 жыл бұрын
Yaani wewe nabii unatakiwa utubu kwamajuto makubwa kwamba Mungu nisamehe, Miaka yote therathini na zaidi , Nimewapeleka watu wako jehanamu, Na kusema ,badara ya kukuhubiri Yesu kirsto mwokozi!. Mimi nimesema fire fire fireeeer, nimehubiri chumvi, mafuya, maji na matambara.
@emmaandrew6263
@emmaandrew6263 3 жыл бұрын
mzee umenyooshwa vyakutosha unajua unalolifanya na Mungu anakuona
@rizikipallangyo2211
@rizikipallangyo2211 5 жыл бұрын
Hekima hiyo...Mungu hatetewi ila Mungu anajitetea.Kiufupi ni kwamba usije ukaipinga kazi ya Mungu kumbe unapingana na Mungu mwenyewe (Matendo ya Mitume 5:38-39)
@elienezarumisha9996
@elienezarumisha9996 5 жыл бұрын
Mhubirini Kristro, watu wamjue sana Yesu Kristo,wala hayo mengine hayatakua na maana..mkristo aliyekomaa katika Neno hasumbuliwi na nguvu za giza maana ndani yake anaishi Yesu! Mafut is just a minor thing,
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 4 жыл бұрын
Mjue Sana Mungu ili uwe na Aman ndivyo mema yatakavyokujia Ayubu 22:21 Commentary Kumbe kumjua Mungu Kuna faida Kwanza unakuwa na Aman pili mema utayapata bila Mungu hakuna mema wala hakuna aman moyoni
@abrahmanmussa1384
@abrahmanmussa1384 3 жыл бұрын
Weka nambayako ya cm we mchungaji upewe elimu ya bibilia wokovu Wala kuhubili injiri haviokotwi Kama mnavyozania mmemsahau mungu mafuta na udongo na vyenginevyo ndo mmegeuza kuwa mungu wenu acheni kutupoteza mtawapoteza waliowashetani Imani mnaipotosha
@arbogastmramba5987
@arbogastmramba5987 4 ай бұрын
Hizo tofauti ni za vipawa vya Roho mtakatifu na sio mafuta na chumvi. Soma agano jipya halina hayo mafuta na chumvi na huku mkifanya biashara madhabahuni. Mnatafsiri maandiko kama mnavyopenda wenyewe.
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor
@modestapeter7355
@modestapeter7355 4 жыл бұрын
Duh Kama ukimtumikia mungu kwa miaka mingi anakuacha na sura na muonekano huo mh huyo mungu wenu alie waacha hivyo mi sinta mtumikia
@michaelmasinga7973
@michaelmasinga7973 4 жыл бұрын
Sikweli anapinga huduma ya mwingine , bali kweli lazima izungumziwe, kunakipindi zambia walikuwa wanasema jina la YESU likishindwa tumia mafuta maji na viambatanishi vingine, jina la YESU halijawahi kushindwa , mnadanganya watu kwakupitia shida zao na matatizo yao,na lazima tuyakemee mafuta na viambatanishi lazima yakemeewe , umeguswa unatetea ujinga , mbona mnauza , haulalamiki kuuza,Mimi nimmojawapo niliyekemewa na na sauti iliyo nikemea juu ya mafuta mwaka 2014 nikaacha nikaondoka kanisa hilo, maana kipindi nakombolewa ni neno la Mungu tu lilinikomboa .mnawadanganya watu lakini tutapiga injili bila kuogopa, tukikemea prosperity gosple toa fedha upate fedha, toa kitu upate kitu, yawezekana uliingia huko bila kujua hiyo huduma inatoka wapi na nanimwazilishi njoo tukupige injili ya mitume na manabii, ili utoke huko, usiseme ulichoitiwa kuwafariji watu nakuwamaanisha ukosahihi, hauko sahihi
@geraldcargotransporters8544
@geraldcargotransporters8544 5 жыл бұрын
Kuuza Maji wakati Yesu hakuwauzia
@paskalihauleministries-int9997
@paskalihauleministries-int9997 4 жыл бұрын
Sijaona maana yako hapa, imani ni sawa alafu utendaji kazi tofauti.. Hatuwezi kunyamaza wakati uganga na uchawi unaendelea..
"Mawazo" Sehemu Ya 66 Thoughts Dr Elie VD Waminia
31:29
Chomoza Tv
Рет қаралды 4 М.
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 5 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 69 МЛН
USHUHUDA WA MAMA ERIAKUNDA MWINGIRA
2:51
Efatha Church Mtwara
Рет қаралды 9 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 7 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 468 М.
KWANINI MUNGU ANATAKA MATOLEO YETU
15:58
Bishop Sentozi
Рет қаралды 123
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН