LUSAKO ASIMAMA NA TUNDU LISSU KINYANG'ANYIRO CHA UCHAGUZI CHADEMA/ AMSHUKIA VIKALI MBOWE

  Рет қаралды 10,506

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@ChrianusKamuganga
@ChrianusKamuganga 8 сағат бұрын
Mungu aliyemuokoa kwa risasi zile na akaweza kuweka mkono wake kwake mpaka anatembea na risasi mwilini anamakusudi na huyu Mtu na Tz kwa ujumla
@bakermusa9033
@bakermusa9033 10 сағат бұрын
Lissu oyeee
@ChosenCleaningExperts
@ChosenCleaningExperts 10 сағат бұрын
Mh. Lissu all the way. 💪🏾💪🏾
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 11 сағат бұрын
Mbowe ampigie kura lisu
@harunamtiko117
@harunamtiko117 9 сағат бұрын
😊😊😊
@swedystar7970
@swedystar7970 7 сағат бұрын
Jambo tv Tafazali tusikilizeni kwamakini uyu mtangazaji muwekeni chini Mana ajuwii kabisa anacho kifanya ivi ihi press conference ivi kweli ndomwandishi anapaswa kuhuliza maswali jambo tv 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 10 сағат бұрын
Lissu anatosha
@elikanachali4850
@elikanachali4850 8 сағат бұрын
huyu mwandishi kawa upande mmoja wa Mbowe tokea muda nahisi akili yake na ukubwa wa kichwa chake n vitu viwili tofauti kabisa ww kama mwandishi wa habari hupaswi kuwa upande fulan unapofanya mahojiajo plzzzzz jambo tv tunawaheshimu sana huyu kijana mpeni principle za kufanya interview especially kwny mambo ya siasa
@ChrianusKamuganga
@ChrianusKamuganga 8 сағат бұрын
Kwa busara za Mbowe itapendeza kura yake ampigie lissu chama kiendelee
@nestor384
@nestor384 11 сағат бұрын
Lissu👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@mawingu_tv
@mawingu_tv 7 сағат бұрын
Kumbe mwandishi mi ccm
@bakermusa9033
@bakermusa9033 9 сағат бұрын
Mwandishi kama anamhoji mtoto wa mama kambo
@PetroPmibulo
@PetroPmibulo 8 сағат бұрын
Lisu anatosha Mzee pumzika
@PapaaMashana
@PapaaMashana 7 сағат бұрын
Lisu anafaa
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 9 сағат бұрын
Unachekedha watanzania wote tumtegemee lissu ni ajabu kuna watu bado wako mbali Sana kuelewa es uendeshaji wa nchi
@PiusMdoe
@PiusMdoe 8 сағат бұрын
Hata CCM 2015walipoona upepo mgumu,waliona ni bora watafute mtuanayefanana na wakati huo na wakanusulika.Kumbuka ulikuwa wakati mgumu kwa chama Chao.
@kwisa4899
@kwisa4899 7 сағат бұрын
Watu wanajizima data
@petsmore9955
@petsmore9955 8 сағат бұрын
Acheni perepeche. Hatoshi bado. Mwamba anatosha kumalizia ngwe yake. Acheni uchochezi. Acheni democrasia ichukue mfumo wake. Machawa nao yanajitokeza kuzungumza. Wengine haiwahusu!
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 сағат бұрын
👊✌️✌️.
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 10 сағат бұрын
Media imekosa watangazaji mahiri, kwanini nikujaribu kuoonyesha mapungufu ya Lissu tu , Kwani Mbowe ni Malaika?
@barryrioba3934
@barryrioba3934 9 сағат бұрын
LISSU HECHE LISSU HECHE LISSU HECHE
@195941233
@195941233 7 сағат бұрын
Huyu mwandishi anampigania Mbowe
@givembwilo141
@givembwilo141 9 сағат бұрын
jambo tv na lisu 😂😅
@PetroPmibulo
@PetroPmibulo 8 сағат бұрын
Mimi binafisi namuombea kura Lisu wajumbe tendeni haki Kwa huyu mwamba
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 10 сағат бұрын
Lissu mimi kama mkunja ngumi mbangaizaji
@charlesmurimi765
@charlesmurimi765 11 сағат бұрын
Lissu mkt mpya CDM 2024_2029
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 9 сағат бұрын
Namuona Tundu Lisu kwenye picha ya JPM kwenye kupambana na rushwa mafisadi.
@AlbertoAkonaay
@AlbertoAkonaay 9 сағат бұрын
Kaka kweli nchi hatuna ccm kilichopo ni namna ya kuwawezesha wananchi wawe na uwezo wa kuwatenganisha ccm na police na all possible under covers kupitia chama chao pendwa
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 10 сағат бұрын
Wajumbe kumchagua lisu ni ukomavu....na kuonyesha demokrasia imekua....lkn itaonyesha mbowe aliandaaa watu na viongozi wapo.....
@mosesibrahimu-kg1ib
@mosesibrahimu-kg1ib 8 сағат бұрын
Lisu anatosha na chenji inabaki
@muganyiziluharara9668
@muganyiziluharara9668 7 сағат бұрын
Ivi hapo nani anamhoji mwenzake kwani simuelewi mwandishi.
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal 8 сағат бұрын
Mbowe is so passive
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 9 сағат бұрын
Yaan mwandishi huyu ni kipele mpaka anashindwa kujizuiaga anajiharibia san huyu mshikaji.
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 9 сағат бұрын
Mwandishi kichwa kikubwa analazimisha kavulia nguo kwann usimvalishe wew?
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 9 сағат бұрын
Hawa wanatafuta kujaribu Jambo lililo mbele yao baada ya uchguzi afanye hayo kama lissu hatashinda
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal 8 сағат бұрын
Timu ya Musiba mbona huisemi?.
@geraldleger5793
@geraldleger5793 10 сағат бұрын
Muhojiwaji akili kubwa sana ...
@roypeters9829
@roypeters9829 9 сағат бұрын
Huyu mwandishi anawaharibia jambo.. ni kilaza tu
@aloysking649
@aloysking649 10 сағат бұрын
Mwandishi akili ndogoooooo lkn lisako akili kubwa amemjb kiakiliiiiii na utulivuuuuu liamdishi limeonekana boyaa😂😂😂😂 nvji urtu ina wandishi hovyoooooo
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal 8 сағат бұрын
Je Mbowe hakusema hatagombea uenyekiti? Mbona sasa anagombea?
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 11 сағат бұрын
Mwandishi: Yaani unapouliza kuwa wafanye vurugu kwa kukanyaga sheria? Unewahi kuuliza jindi sirikali inavyokanyaga hiyo usemaio kuwa sheria? Wale viongozi wa kccem waliosema polisi wasijihusishe wkt wanawapoteza,ilikuwa ni kunyanyua sheria? Tumwa huko Moz ukaone jinsi maji yakizidi unga! Au badi nenda (K)
@josephmagige874
@josephmagige874 7 сағат бұрын
Lisu heche poa
@judithmwamukinga4448
@judithmwamukinga4448 7 сағат бұрын
Mwandishi unashida jitafinishe kama umepewa kitu rudisha
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 9 сағат бұрын
Huna Sheria ww chumia tumbo Tu kwako
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s 8 сағат бұрын
Mwandsh hajui kubalanc anaongea kama ukoo wa mboe nguluwe kabsa
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 9 сағат бұрын
huyu mwandishi sjawahi mwelewa ni kilaza kweli
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc 9 сағат бұрын
Muandishi wa habari mkali ajabu yuko juu mawinguni ...au na wewe ni taem mbowe ....mana naona unaumia hatari...😂
@PaulKabungo
@PaulKabungo 10 сағат бұрын
Uliza maswali kwa utulivu mbona kama unapaniki mwandishi
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 8 сағат бұрын
Yaani huyu mwanahabari anatakiwa arudi shule.
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal 8 сағат бұрын
Mbona mnahoji mapungufu upande wa Lissu na hamhoji mapungufu ya Mbowe. Au tukusaidie madhaifu yake? Jambo TV jitathimini.
@samsonwilson3762
@samsonwilson3762 11 сағат бұрын
Ni mda sasa kukaa chini kufikiri uchaguzi mkuu 2025 kati ya mwabukusi na tundu lissu nan awe raisi wa tz mabadiliko ni lazima
@geraldleger5793
@geraldleger5793 10 сағат бұрын
Mwandishi !!!!!
@richarddavidmk
@richarddavidmk 10 сағат бұрын
Mwandishi jitahidi,uwe unauliza maswali yenyetija,jitahidi
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 10 сағат бұрын
Tuhuma za TL ni kweli ndio maana hata hela zilikotoka na waliotajwa kuzitoa hawajakanusha chchte! Ww mwandishi umekomalia kuwa tuhuma hazina uthibitisho? Nfiyo maana BWM,akuwa rais alisema;tZ hakuna waandishi!
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 10 сағат бұрын
Mwandishi vipi ,? Umeambiwa watu wanataka Lisu maswali yako hayana.mashiko . Sema Lisu.AMEN ❤❤LISU AMEN❤❤❤❤
@ChristerKok
@ChristerKok 9 сағат бұрын
Lusako mwanangu wewe ni mpiga kura?
@dorahy1579
@dorahy1579 9 сағат бұрын
Huu ni utani mkubwa, upuuzi
@roypeters9829
@roypeters9829 9 сағат бұрын
Mtangazaji ni likilaza tu.. yani ni likichefuchefu kama sura sura yake
@TumainiNyitala
@TumainiNyitala 9 сағат бұрын
Mwandishi apache ushabiki
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 9 сағат бұрын
Huyo ni kilaxa bado hajui propaganda za kisiasa Sheria hajui ingawa,,,,,,
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 9 сағат бұрын
Hajasoma Sheria huyo amedesa KAZI za watu aondoke
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 9 сағат бұрын
Hahahaaa😅😅😅😅😅
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 10 сағат бұрын
😅😅😅😅
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 7 сағат бұрын
Huo uwakili aliupata lini? Bado hajawa wakili huyo, labda kama alipata wa zanzibar
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct 9 сағат бұрын
Huyu mwandishi ni mpumbavu sana pandikizi
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s 8 сағат бұрын
Mwandsh mnafk hana jpya
@patrickmashalla3954
@patrickmashalla3954 9 сағат бұрын
Ametengeneza viongozi ambao wakigombea uongozi anawaita wasàliti. Amèwatengengeneza nani?
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 9 сағат бұрын
Hakuna kitu kama hicho Acha kudanganya umma mnadhani nchi hii inaridhia vurugu huyo mnayemtegemea mnampa mazingira mabovu ya ustawi wa maisha Yake hizo propaganda hazitufai
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 10 сағат бұрын
Mwandishi,,TL alipopitushwa na akagombea Urais,ilikuwa ni taasis ndogo hadi uenyekiti wa CDM uwe ni dili ya kuogopwa?i
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 9 сағат бұрын
Mvunjivu wa katiba huyo kama chama chao Wana katiba ya nanna hivyo eajisamehe wenyewe
@williumgeofrey9587
@williumgeofrey9587 9 сағат бұрын
Kura sio kula
@NuruNurudin
@NuruNurudin 7 сағат бұрын
Acha maswali ya kizushi wewe ni ajenda ya wanachadema na WA Tanzania wewe!
@RobertMshiko
@RobertMshiko 8 сағат бұрын
Mwandishi jaribu kusoma coment za watu ili ujue kuuliza maswali ya kiuandishi siyo kama mko kwenye kijiwe cha kahawa. Unakutana na wasomi walio kuzidi. Siyo kurudia maswali.
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 10 сағат бұрын
Mwandishi imekuwaje ww ndiyo sasa mchambuzi wa op za chadema? Kamuulize Badhite alosrma vigogo vinamtukana rais,ilikuwaje!
@edsonkilatu5211
@edsonkilatu5211 9 сағат бұрын
Mwamba kashapotea
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal 8 сағат бұрын
Mwandishi unaonekana hujui mfumo wa chama unavyofanya kazi. Usiulize kama lay man unasikitisha. Mark you you are asking the same useless questions kila unapofanya interview
@petsmore9955
@petsmore9955 8 сағат бұрын
Mbowe ni mwamba bado muda wake wakuongoza upo sana! Lisu ni mropokaji mno!!
@victorcharlesmwakikoti7764
@victorcharlesmwakikoti7764 8 сағат бұрын
Yale Yale mnayolalamikia chama tawala na nyie ndo hayo hayo mnafanya 😢,Sasa huwa mnailalamikia CCM kitu Gani ?😢
@dorahy1579
@dorahy1579 9 сағат бұрын
Huyu Tundu Lissu ni MKORA tumieni akili zenu zote mlizonazo kichwani
@barryrioba3934
@barryrioba3934 9 сағат бұрын
LISSU HECHE LISSU HECHE LISSU HECHE
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 10 сағат бұрын
Lissu anatosha
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Were Israel’s Actions in the Gaza War Justified? Eylon Levy vs. Mehdi Hasan
1:06:50
Kadyrov Went Against Putin? / Poland Declares War on Russia
11:17
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН