MANARA AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA ZAYLISSA "TUNAPENDANA SANA"

  Рет қаралды 62,077

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 131
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 10 ай бұрын
Haji Manara na Shekhe Abduli Wana uchafua Uislamu kweli kweli Insha Allah iko siku watazinduka
@janetdundul3858
@janetdundul3858 10 ай бұрын
Yani mungu
@bone102
@bone102 10 ай бұрын
Najivunia kuwa mkristo 😂😂
@priyahtz7255
@priyahtz7255 10 ай бұрын
Hivi kwanini muislamu akifanya makosa mnahukumu UISLAMU?????? Muislam ni binadamu na hajakamilika ila UISLAMU ni dini iliyokamilika tukae humo
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 10 ай бұрын
​@@bone102wap mungu amekuambia uwe mkristo
@bone102
@bone102 10 ай бұрын
@@halimahbwelele694 wapi Mungu amekuambia uwe Muislamu
@drallan6879
@drallan6879 4 ай бұрын
haji humanizer
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 10 ай бұрын
Manara ana rahana huyu apigiwe dua
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 ай бұрын
Haji unapenda sifa sana punguza gubuuuuuuuuu
@BHALEEALI
@BHALEEALI 10 ай бұрын
Haji Manara yeye na Diamond Platnumz wote chama kimoja cha Mabinti Damdam
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 10 ай бұрын
Kufa Kupo watajijuwa
@iddybakar1946
@iddybakar1946 10 ай бұрын
didia anauliza mulemule na uzur wake manara kajua kbisaa yuko kwenye.kipind cha aina gani anajibu papo hapo 😂😂😂😄
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 10 ай бұрын
Daaah Kuna vitu vingi vya kujifunza kwa kaka Haji heshima kwako bro❤❤❤❤
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
unajifunza nni hpo hyo mze ni muhuni ni msiri sna anajaribu kujitetea
@lareineminah1353
@lareineminah1353 10 ай бұрын
Khaaa Huu zay asipo kaa vizuri ata maliza vibaya maana 2023 asha hama hama sanaa na anaweka public kila kitu ALLAAH ampee kuji tasmini na aji elewe mapema...
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 10 ай бұрын
Haji umekumbushwa kurejea kwa mungu usitafute visingizio kwenye dhambi za watu wengine na ukumbuke wewe ni ustadhi wa madrasa hivyo unatakiwa kua koo cha jamii na pia kua muangalifu ktk maneno uyasemayo yanaweza kua ni sababu ya kuwashajiisha watu kufanya maasi zaidi kwa kua wanamuona haji (msomi wa dini) anafanya au anaona makosa ni kitu cha kawaida.
@kassidpandu866
@kassidpandu866 10 ай бұрын
eti ni muislamu na zinaa anaifurahia tena Hadharani wee kweli hufai
@razoindeed8228
@razoindeed8228 9 ай бұрын
Ameongea pumba sjawah ona anazalilisha uislam..sawa mtume saw hakua mkamilifu lkn hakufanya huo upuuz anofanya yy..km yy kioo cha jamii anafundsha nn vijana wanaomtazama?
@BintiAboubakari
@BintiAboubakari 10 ай бұрын
Majibu tayari mshayapata❤
@oyay2821
@oyay2821 10 ай бұрын
Yaani Juma anatusiwa yeye kuwadi na hata wasiwasi hana
@felixBenos
@felixBenos 10 ай бұрын
Dah kweli haji bado kwenye swala la kuwa na mke permanent litakusumbua maana unaoa kwa matamanio..USHAURI sasa tafuta mwanamke kwa kumshirikisha Mungu akupe mke sahihi.
@YasiniMahomba-mx6ux
@YasiniMahomba-mx6ux 10 ай бұрын
Uyu mzee mungu atamuona
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 10 ай бұрын
Ata wewe mungu anakuona
@MrCharls-b8m
@MrCharls-b8m 10 ай бұрын
Manara kwann wasimsamehetu arud kwenye football rasmi mwamba akiongea ameongea😅😅😅
@kassidpandu866
@kassidpandu866 10 ай бұрын
Hiyo Hapana bwana Haji kama umeenda Makka hutakiwi kufanya maasi tena usipoteshe watu bure kwa intrest zako
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 10 ай бұрын
Brother ndomana tukaambiwa tusisome dini kwa watu wa bidaa tutapata shida .sasa cc waislam tukiambiwa acha maulidi utaki acha kushika wanawake mtu ndo anaweshika wanawake Jim acha kusikiliza mziki we ndo unacheza .kwasababu atusoma dini zetu kwa watu wa misimamo. Ambao wao wamefunga milango yote
@judyngowi391
@judyngowi391 10 ай бұрын
Hongereni sana watoto wa kiislamu! Mnabadilishana tu wenyewe, dini yenu inaruhusu
@mansoorabdul332
@mansoorabdul332 10 ай бұрын
Hongera mpe haji ila usitaje uislamu ndani yake
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 10 ай бұрын
Tafadhali Sana hata wakristo hawafuati ya Kitabu Chao Sasa nini Mambo Ya Dini.. Kiama kipo Kwa Waislamu na wakristo na Masonia
@luluedibily
@luluedibily 10 ай бұрын
Ewe dada yangu unauzazi bakisha maneno
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 10 ай бұрын
Hatufurahii zinaa kwa kweli , na wanaikosea sana dini ila Allah anawaona na yy ndie hakimu
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 9 ай бұрын
​@@mansoorabdul332tatizo mkristo akikosea mnausema ukristo badala ya mkosaji Leo haji kaanika madudu wanayofanyiwa watoto wa miaka 7 madrasa mnakuwa wakali
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 10 ай бұрын
Mwenyewe anajiona handsome hapo😂😂😂😂😂😂😂jmn
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅😅😅 mecheka
@saidasaid5855
@saidasaid5855 10 ай бұрын
😂😂😂😂senti acha impambe tu mwanaume
@fatimaabdullahmohd2347
@fatimaabdullahmohd2347 10 ай бұрын
Wallahi tena hana habari kamadihizo pesa hakuna mwanamke angemtaka
@deboramartin8111
@deboramartin8111 10 ай бұрын
Pesa inaongea ww endelea kuaa na u hand some wako na pesa huna utaanza kulalamika sipendwi nyooooo
@jahsjjsj583
@jahsjjsj583 10 ай бұрын
Allah , atuongoze na ummat Muhamad .
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 9 ай бұрын
Aamin
@saumumasha-in2qw
@saumumasha-in2qw 10 ай бұрын
How can some deep kiss this man 😢
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 10 ай бұрын
😂😂
@manarakassimmanara3132
@manarakassimmanara3132 10 ай бұрын
Sasa wewe ulitaka anyonywe mama Yako uchi wake?
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 10 ай бұрын
@@manarakassimmanara3132 mmmh punguza ukali wa maneno
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@Jowelia
@Jowelia 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SamirSaid-ip8nn
@SamirSaid-ip8nn 10 ай бұрын
Ndoa tunayo
@KassimAlly-w4y
@KassimAlly-w4y 10 ай бұрын
Mpuuzi sana manara ww haukui unapenda sifa sn unadhalilisha wanawake unakuza pua tu
@bone102
@bone102 10 ай бұрын
NAJIVUNIA KUWA MKRISTO
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 10 ай бұрын
Manara katupiga kitu kizito kichwani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@edinachami4318
@edinachami4318 10 ай бұрын
Ila wanawake wanaroho ngumu
@swafiya254
@swafiya254 10 ай бұрын
Liwa hizo pesa utafute mahali utuwe😂😂😂😂😂
@kelvinsauveur6264
@kelvinsauveur6264 10 ай бұрын
Honestly wanawake wana Tanzania inamanisha iamavi wataweza kula because of money . If is not money huyo Manara ataweza kucezeya wanawake wa ku Tanzania ivo. ? Honestly ! Pesa mbaya kweli tena pesa musema vyote. Si kwa sura awo puwa y’a Haji manara Eti wamefwata! Si si kwameno ( yellow) eti wa mamefwata . Kama siyo pesa kitu gani kinavutiya those tanzania Beautiful ladies ametiya nawo. I think Haji knows akuna ma penzi ni kuonga kwake njo juna mupa awo warembo. Ebu Kamata Haji bugurini bila Hela. Nani ata muangaliye? Be honest si kwa ubaya. M’y point is akamate mwanamuke umoja atuliye akaye naye. Awace izo scandale za ku change wanawake kama malaya. Ukiacana na wanawake wawil awo watatu which means ye Haji njo mubaya wavitendo. I just said . Focus with one woman . Take the mirror ujiangsliye. U don’t needs all those scandals
@munezeroaisha7250
@munezeroaisha7250 10 ай бұрын
Fact 👌🏻
@Mina.15
@Mina.15 9 ай бұрын
Mimi hata kwa millions siweziii kabisa
@alfredinafelix836
@alfredinafelix836 8 ай бұрын
Hujapenda wewe na kukoseakosea kwako. Uzeruzeru wake? mtu yeyote mwenyeupendo na huruma anapedwa na yeyote atakayemkaribia akaona wema wake hata Kama mlemavu...unaongelea ma beautiful lady Hawa ma slay queen kuwa hawana walichoona kwake zaidi ya pesa je unajua kabla hajawa na kipato hiki kuwa kakaa na wake wawili zaidi ya miaka 10 mwengine 7...wewe ni mbaguzi jiongelee wewe...mazeruzeru wengine wanajitunza na anapendeka vzr TU.haji anaupendo mwingi sana na ndio maana anawakamata wengi.sipendi wanaomtazama kwa ulemavu Kama vile hana haki.na ndio Mungu anawaprove wrong sasa.hajakamilika Kama waumezenu/kakazenu yy ni zeruzeru ila ndio mtafutaji,anaakili ya kuishi na watu na anaconnectio na anapata kuliko hao wenye mivuto.Mungu sio Mjinga
@MsodokiSokoine-k2x
@MsodokiSokoine-k2x 9 ай бұрын
Pesa mwanaharam walemvu wa ngozi nao wanasumbua Town 😂😂😂daa😂😂
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 10 ай бұрын
Juma jjma juma
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 10 ай бұрын
Vipindi vingine hivi ni uchulo tu vinatangaza ngono tuuu
@fatimaabdullahmohd2347
@fatimaabdullahmohd2347 10 ай бұрын
Lakini kaka hajji manara inatakiwa ukitoka kuhijji ubadilike kimatendo yako hio ndio sifa yakuhijji
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 10 ай бұрын
watu wakishakuwa wazizi na wazinifu utawaona wanajifanya wanajuwa saaaana dini zina haikuruhusu kwa njia yyt ile tena kwenyee kwenye kuraan umeambiwa usiikaribie zina na weye unazini shahiri zahir
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 10 ай бұрын
HAJI ZEE LA KUFILA MPKA MAVI NA JUA SIE BINA DAM WE ZEEEE WW KAZI UNAWEZA DUUU😅
@bbsahl1242
@bbsahl1242 10 ай бұрын
Wewe manara uko saw umekamilika pumbav
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t 9 ай бұрын
Usihukumu ya mwengine angalia yako
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Umeacha na letter R wataka geuza😂😂😂😂
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 10 ай бұрын
Manara hapoi
@RuweidaMacool
@RuweidaMacool 10 ай бұрын
Wewe fanya maasi yako usitutungie sheria zako mpya apa nawengine ujawaona usiwasemee ww tubia
@ntacobazongira4557
@ntacobazongira4557 8 ай бұрын
Maalim gan wew mzungu huna Maaan kabsa ulienda hijja ili ubadilike sio kulud kwenye maaswi
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 10 ай бұрын
Manara safarii umeingia choo cha ukiume huyo ndo habari zote zipo nje
@JudythAsiko
@JudythAsiko 10 ай бұрын
Woyoooo😂😂😂😂😂🎉
@aishaafricanas7519
@aishaafricanas7519 10 ай бұрын
Wacha tu ninyamaze mm🤐🤐🤐
@EsterAlbert-lg9dx
@EsterAlbert-lg9dx 10 ай бұрын
Mmmmh haji bwana
@salmakiti1517
@salmakiti1517 9 ай бұрын
Chumba cha wageni balaa😂😂😂
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 10 ай бұрын
Sawa lakini niaib watu wa dhulma kweli wako wengi
@aminasaid7386
@aminasaid7386 10 ай бұрын
Ina Lilah wainailah rajiuna 😢baba unalana wewe haji😢
@Mina.15
@Mina.15 9 ай бұрын
Tena ya zeruzeru
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t 9 ай бұрын
Hajji bado hujajua tayari kwa Hijja. Endelea kwanza na uhuni wako.
@rashadmohamed4357
@rashadmohamed4357 10 ай бұрын
Wewe jamaa kiboko yaani propaganda mpaka kwenye Dini. Allah, akuongoze
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 10 ай бұрын
Tuliosomea somea Cuba tushaelew
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 10 ай бұрын
Ndio
@halima23862
@halima23862 10 ай бұрын
Daimond na Manyara sawasawa Kama Daimond na Zuchu
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 10 ай бұрын
Mwanamke mzurii ni bikra tuuuuuuu......!
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 10 ай бұрын
ZAY NI KWELI MOYO WAKE UNAMPENDA WHITE MAPUA?😂
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 10 ай бұрын
Naomba namba ya manara plz
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 10 ай бұрын
Ingia katika channel yake ya manara tv
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
acha unafiki we mzee mbna mnapnda kusema uongo
@bibiejuma5094
@bibiejuma5094 10 ай бұрын
Usitupoteshe bhana nani aliekwambia kuzini ni halali
@SafiaOmar
@SafiaOmar 10 ай бұрын
Haji acha kuropoka wewe unatizamwa na watu wengi. Dhambi ipo kubwa. Sababu hakuna urafiki baina ya mwanaume na mwanamke katika uislam
@oyay2821
@oyay2821 10 ай бұрын
Sisi tulio somea Cuba tumesha muelewa El Bughati
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 10 ай бұрын
Huyu alienda Makka au Makadara? Maskini Zai ameingia chakike
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 10 ай бұрын
Wehu waputu mnamsifia mwanamke ambaye dula mabila ameshatumia na kaacha ,
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 10 ай бұрын
Umra kweli unazini amaa kweli umra imeruka
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
we mzee acha kuaribu dini mnafki nni mana ya kwenda maka ni kwenda kutubu kwa mola yko usifanye zambi wwe unajitetea snaa bado unatamaa za kimwili
@roqayaro9439
@roqayaro9439 10 ай бұрын
Wasanii wananichekesha mala huyu kamchukua huyu kamludisha huyu mutihani
@abdallamohdhiyonineematush408
@abdallamohdhiyonineematush408 10 ай бұрын
Huyu Hana vigezo vywa uislamu huyu siye kabisa
@tabiaramadhani2348
@tabiaramadhani2348 10 ай бұрын
NA HUYU MANARA KUBWA JINA JINGA MIKIKI YA KIJINGA KABISA
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 10 ай бұрын
2:54 moyo unakuuma sana
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 10 ай бұрын
Ahah😅😅😅😂😂😂😅😂😂😅😂
@chimamilion
@chimamilion 10 ай бұрын
Manara anatakiwa aoe mtu ambae sio maarufu embu ajaribu kujambagala chamanzi atatukuta maana kwawatu maarufu hawawez dumu
@classicfunnyguys2582
@classicfunnyguys2582 10 ай бұрын
Wake zake wote hawakuwa maarufu ila wameachana coz akioa tu mwanamke lazma awe maarufu hata kama amemtoa tandahimba
@jumakhamis226
@jumakhamis226 9 ай бұрын
Huna lolote umeongea pumbaaaa kabisaaa
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
kwa mana hija ni kma kwenda msikitini sio na kuomba sio kwenda kutubu kw mola wako we mzee spati picha watoto nahis lazima warisi tu kw tabia hzoo wwe
@tabiaramadhani2348
@tabiaramadhani2348 10 ай бұрын
ACHA KUTAJA NGUZO WEWE KUTWA KWANZA UFUNUE VICHUPI WEEE KISHA UOE HUNA LOLOTE
@Leylaelyas-td4zr
@Leylaelyas-td4zr 10 ай бұрын
Ivi uyu siana mke au kamuacha maana sio kwasifa izo anazo mpa mchepuko kaaah
@mariumseif6751
@mariumseif6751 9 ай бұрын
Mke kashamuacha.na kama kamuacha yule mke wa kwanza basi hatakaa na mwanamke yeyote maana yule alikuwa aweza kuvumilia ujinga wake wote.lakini pia kashashindwa.na pengine kaachwa yy anadai kamuacha kwa kuwa anatoa sili za ndani.ss kwa uchafu huo.nani atavumilia asiwaeleze watu wa kalibu yako wakukanye umeshindikana wewe
@tabiaramadhani2348
@tabiaramadhani2348 10 ай бұрын
DIDA MDOGO WANGU HUTAKI KUKUNJWA UPATE GALI LA TANO
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
unafunza nni waslamu wenzio we ni mnafiki mkubwa mzee mtume wtu mohmad usiji fananishe nae we muhuni tu
@tabiaramadhani2348
@tabiaramadhani2348 10 ай бұрын
KWANZA BUGATI ANA ZAMBI SANA
@Mohaa4309
@Mohaa4309 10 ай бұрын
😂❤😂
@fadhilmandaliabdalla6736
@fadhilmandaliabdalla6736 10 ай бұрын
Nonsense, hujuwi maana ya hizo ibada, ndio kwako kawaida kuongea hivo, hujiulizi kwa nn iko mwisho ibada ya hija, na ni mara Moja tuu ktk maisha ya muumini, (kuhiji kwa ajili yake) makosa ya watu watahukumiwa kulingana na wanchokosea, so wewe usiyatetee maasi yako kwa kulinganisha na makosa ya wengi. Huo ni utashi WA kijinga.
@halimaabbas5080
@halimaabbas5080 10 ай бұрын
Point
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 10 ай бұрын
USIWAOMBEE DUA NJEMA MAKAFIR KAMA HAWA WANAO JIDAI WAISLAM UNAMWAMBIA MUNGU AWAZINDUE NA WANAUCHAFUA UISLAM SEMA MUNGU ATOE HUKUMU HAPA HAPA DUNIANI KWA MAKAFIR NA MAJAHILI KAMA HAWA
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 10 ай бұрын
Aan Mungu awahukumu kwakwel mijaalaana
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 10 ай бұрын
Haji Anapenda Ukubwa Kwa Njia Yeyote hiyari Yake
@mariumseif6751
@mariumseif6751 9 ай бұрын
Na ss wanawake ndio maana tunaambiwa mwalimuwetu kipofu.hivi anawapa nn huyo yaani akili hatuna kabisa yaani hapo kashajiona kuwa walioachwa hawafai wewe ungefaa usingeachwa na huyo makabila unaluka majivu unaenda kukanyaga moto.pumbavu wewe kwa kitu gani kikubwa haswa sura lake baya .tabia yake mbaya mdomo mchafu.zamu yako haiko mbali
@salumsalum5712
@salumsalum5712 10 ай бұрын
Uyu albino atatuzeekeya vibaya
@barakamasai2397
@barakamasai2397 10 ай бұрын
Bugatti
@WilliamEzekiel-hv9li
@WilliamEzekiel-hv9li 10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ANTHONYDCOSTA-u5p
@ANTHONYDCOSTA-u5p 10 ай бұрын
Jitangaze tu hafu uje ulie lie
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 10 ай бұрын
Unalaana wewe
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 10 ай бұрын
Nyie wambea sana ndio maana mnacha mbwa na wolpa mbo na mnamlazimisha Haji manara pungu zeni umbea Sasa ka ma analala kwake w ee dida inakuhusu nini acheni umbea ndio maana mnach ambwa
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 16 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,1 МЛН
MAKABILA ACHAFUA HALI YA HEWA NDOA YA MANARA NA ZAIYLISSA .
3:54
Wasafi Media
Рет қаралды 24 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39