Kazi nzuri sana. Katika maeneo ya viwanja vya michezo tusisahau kupanda MITI ili kuboresha mazingira.
@debrynairobi74473 жыл бұрын
Well said bro
@allymofeniture74573 жыл бұрын
Safi Sana hii ndio timu Bora afrika mashariki
@sarllemmtunze4053 жыл бұрын
Mwenyekiti tunaomba Magori awe mshauri na msemaji wa timu pia anaweza Sana hadi aibu 👏🇹🇿
@ldngowo3 жыл бұрын
Ni kweli na hakika. Mo dewji ni kiongozi na anapendwa sana na wanasimba. Jiachie uisemee simba yetu maana wewe ni kiongozi wa Bodi ya timu kubwa Afrikka. Simba nguvu moja
@omarymaembe45173 жыл бұрын
Kumbe nyinyi watoto yatima na mo atawawekea mango mpama la choo. anacho kunyia maana sasa ivi makolokolo mala covid 29 mwakani bango la h I v
@saidalsalmi93133 жыл бұрын
Simba baba lao
@mwinyihajikumbao52253 жыл бұрын
Simba taifa kubwa another laver
@khadijamisayo74763 жыл бұрын
one team one dream
@brightonchedego81003 жыл бұрын
Tunaimani zaidi ya 100% na MO maana sisi washabiki na wanachama wa Simba kwasababu tunawachezaji Bora na ushindi tunaupata kwa kishindo. Life style ya MO naipenda sana maana ni mtu wa kujishusha sana pasipo kujisikia na utajili wake
@driftdumper89273 жыл бұрын
Nikiwa nasikiliza habari za Simba nasikia raha sana kama teja alielewa cocaine! Am so proud to be a fun of this lovely club!! Naipenda Simba Hadi naumwa!
@ismailhassan52093 жыл бұрын
Safiiii Dumper
@salvatorymtunga28023 жыл бұрын
Marekani ni nchi ya shidaaa sana.
@saulimadale90803 жыл бұрын
Napata raha sana ninavo sikia habari za simba yani rahaaaaaaaaaa
@saidsalum61013 жыл бұрын
Ndiyo magoli waanbie hao manyani au misukule kwanini Tajili ajione tofauti nawengine wakati sis sote nibinaadam kwa mungu hatuna utofauti kipato ndicho kimfanye mtu awe tofauti nawengini huyo waivyo nilimbukeni tu hajawahi kushika pesa zahalali kama huyu msukule
@paulosarumbo18883 жыл бұрын
Msemajiii
@SaadAli-jh6vg3 жыл бұрын
Waah hali ni mbaya huyu nae kawa msemaji
@hakimabdul74943 жыл бұрын
Nawaona #Misukule wanapata tabu sana hapa hvy maumivu yakizidi wajaribu kumuona daktari aliekaribu nao...ahsanteni sn This Simba 🦁🦁 na nyinyi subirini Mzee Mpili ataongea kuhusu mikakati ya #Utopolo wenu
@jimmymnuano71652 жыл бұрын
Huyu kaka yangu alivyotoa sifa zote hizo za Simba ndiyo zilizomponza Mayele akawabamiza goli mbili au
@mohamednteziryayo31273 жыл бұрын
Achaa uwongo Magori unaongea kama bibi naona umekua changudoa pole sana
@abdallahseja98463 жыл бұрын
Simba Nguvu Moja,daima mbele nyuma mwiko
@emanuelkilinga91963 жыл бұрын
Mambo ya mwiko nyuma siyo yakwetu, hayo ni mambo ya utopolo. Simba nguvu moja
Hahaa kabisa...mashabiki wa Simba si unajua mazwazwa..!
@ismailhassan52093 жыл бұрын
Francisco acha huyu hasitahili cheo cha usemaji ni mtu mkubwa mwenye akili na busara usimlinganishe na manara si unaona Manara sasa anjiumbua mwenyewe kuwa hajawahi kuipenda simba kwa hiyo kishabeba sifa ya unafiki hali ya baadae ya unafiki wake itamsibu.
@josephmahubemaro74063 жыл бұрын
Moo deweji achana nao hao yebo yebo Utopolo kapumbu Fc mkolo manara haji ni mshamba ana tumiwa na wale alio wafata subiria awa uze akili yao ita kaa vizuri Simba Sports Club ss wana chama tupo imara hatu yumbishwi na na makolo kapumbu Fc manara haji mshamba huyoooo zeruzeru limbukeni rofa huyoooo!!!!!!!
@deomenison60403 жыл бұрын
Manara atakufa kabla ya wakati wake, maana kila analolipanga kwa simba halitokei, na ataivuruga sana msukule fc.
@jacobwarieba58413 жыл бұрын
Manaraa achaaa mamboo za cholo chokooo achaa kuzalishaaa familia yakoo kaaa iendelee na maisha yakoo
@chikually34673 жыл бұрын
Sababu fedhaaaa.😃😃😃utasifia Hadi utadanganya umma
@videozaaj10693 жыл бұрын
So??👌🏾👌🏾
@ibrahimhussenihusseni20273 жыл бұрын
Na mm namuunga mkono bo's wetu usikatishwe tamaa ss ndio tunaojua
@samwelhiinyamhangahiileosi10603 жыл бұрын
Chiku Ally uyanga wako hautuhusu magori niwetu sisi wanasimba2 Misukule kaa mbali na mnyama
@marymfugwa8473 жыл бұрын
Kazi iendelee
@borafyaali56903 жыл бұрын
simba hii hatari
@ip_header3 жыл бұрын
Muda utaongea, hata African lion na Singida united tajiri wao alikua MO
@amalikakiva49373 жыл бұрын
Wewe magori unatumika bila kujua.huna uchungu Na simba
@jacobwarieba58413 жыл бұрын
Wewe aujawahi kulipaa mshahara hata mchezaji mojaaa KwA nini unakuwaa hovyooo hivyoooo
@saidalsalmi93133 жыл бұрын
Magori nanakubali sana. Wewe unaujua sana mpira
@otienoolloo89333 жыл бұрын
😁😁😁😁😁Simba sc💕💕💕
@hijarashidi47353 жыл бұрын
Wewe magori mtu mzima lakini nichizi maarifa unamsifia muuza madawa yakulevya mshenzi kweri wewe
@islamibrahim45253 жыл бұрын
Safi cna waambie hao vibwengu pamoja na huyo msukule wao
@iddikobelo819kobelo23 жыл бұрын
Uzuri wa club hii ni kwamba,viongozi wengi wa simba ni wasomi,na ndo mana simba ina mikakati MADHUBUTI,hii huifanya simba kua ya KISASA,tofauti na. Vilabu vngne vya mpira
@madeintanzania29953 жыл бұрын
Usomi haushindi akili za kuzaliwa!
@mohamedyahya16773 жыл бұрын
@@madeintanzania2995 za utopolo
@deogratiusonesmo8243 жыл бұрын
Kweli
@mohamednteziryayo31273 жыл бұрын
Tatizo Magori ni roporopo sana, mimi sijaona izoo timu zilizo endelea kama wana viongozi lopolopo kama Simba, poleni sana kwakupata new Haji Manara pongezi ziwafikie kina Dada Magori. Huyo siokiongozi ni hawarayako ndio anee kupakuwa Mavi matakoni.
@sarllemmtunze4053 жыл бұрын
Magori anawakereketa hadi aibu mnaanza kupata uchizi mnaropokwa matusi na bado mwaka huu mtavua nguo muweke kichwani. Tunaomba Magori awe mshauri na msemaji pia yupo vizuri Sana 💪🇹🇿
@ismailhassan52093 жыл бұрын
Manara msamehe tu ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo alipokuwa simba sasa 40 zake tayari ,ameanza na kusema uongo wakupitiliza kwamba simba ndiyo bingwa wa jumla ya zawadi zote vikombe na ngao orodha mmeiona Simba 51 Yanga 48 sasa nani bingwa sasa nani zaidi ( Simba ligi kuu mara 22 Yanga x27, Ngao ya hisani Simba x3 Yangax1, Mapinduzi Simba x3 Yangax2, Kagame Simba x6 Yanga x 5, Tusker/Hedex Kenya Simba x 4 Yanga x2 , Mtani jembe Simba x 2 Yanga x 0 Ushindi wa jumla Simba x51 Yanga x 48 :- Simba 2021 ni ya 13, Yanga aibu kutaja nafasi yake ni muulize Manara.
@hatujuaniimani44253 жыл бұрын
Sisi wala hayatusumbui maneno misukule tukutane uwanjani muungwana habishani kwa maneno anajibu kwa vitendo2.Mo tupo pamoja nae popote pale pia huyo msukule wa yanga usimjibu mwache achambe anavyo weza wewe kaa kimya kwani kukaa kimya ni jibu kwa mjinga na anazidi kuumia
@kasseraandrew18913 жыл бұрын
Huyu ni msaidizi MO anaweza kuongea ni sawa
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Hahahaa ....hela zote hizo Lkn Simba ilivyokua inasafiri msemaji wa simba alikua anajikatia tiketi mwenyewe na malazi anajilipia mwenyewe...!....Stori nyingi Lkn upande wa pili wa shilingi TIMU ni ya MO na demu wake BARBARA ..!...Simba mazwazwa kwelikweli..!
@simeovenans40803 жыл бұрын
Hataa Kama timu ni ya Mo wee inakuuma nn??
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
@@simeovenans4080 ....hahaa ‘ kwani w kimekuuma nn’ MBU kipeuo Cha tatu..!
@badrumbarouk33773 жыл бұрын
Saf sana
@ismailhassan52093 жыл бұрын
Kaongopa kwanmba Yanga ndo bingwa wa jumla takwimu zinamuhukumu.
@joycengasa13263 жыл бұрын
Huyuu mzee anazeeka vibaya ubingwa africa?
@allymtungunyu24253 жыл бұрын
Manara km anaweza amnawe magori na manara anajuwa shughuli ya mogori alichokawafanyia simba ukawa ambao walitaka kuihujumu simba magori sio polepole huyo simba ukawa walirudi wamevunjika wote na ndio maana leo kaongea kamchoka manara sasa nyie mwacheni tu aendelee km hajipendi
@jumanneshego23403 жыл бұрын
acha uwongo kama mzuri mbona taifa rake arikumuita kwenye tim?
@mwikamwika48513 жыл бұрын
Hujui kitu
@ibugharib3893 жыл бұрын
Kiswahili au
@rajabsanatenahawafaiismail6123 жыл бұрын
Nirahasana
@abalqassim32183 жыл бұрын
👇
@hashimnamulya26163 жыл бұрын
Sio malekani nendeni indiyaaaaaa
@minazsaid24703 жыл бұрын
Manara kajua kuwavuruga watani wamepoteana 🤣
@mateustomefobrafobra23153 жыл бұрын
Hahahahahahahahaha huyo ndiyo msemaji mpy
@amalikakiva49373 жыл бұрын
Ukumbuke simba ni timu ya wana chama.
@habibrwegoshora66243 жыл бұрын
MAKOLOKOLO BIN MBUMBUMBU IBN MIKIA kwa majigambo amuwezekani
@nassoromsagati50543 жыл бұрын
Tunawashukuru viongozi simba kutuondolea kibaraka ndani ya timu.
@ismailhassan52093 жыл бұрын
Ni kweli Nassoro Chui kondoo kaondoka club ya simba sasa salaama
@mohamedguram15623 жыл бұрын
bila kumsifu wewe utakula wapi
@ayoublupande39873 жыл бұрын
Hahaha eti mahela mingi tu yn had tunaongea had kikongo
@johnsonbagambi19083 жыл бұрын
Magoli bana uyu muhind ni magumashi tu
@kasallemgogo61433 жыл бұрын
kwaiyo umekuwa msemajii
@mwikamwika48513 жыл бұрын
Manara ni mpumbavu tu. Simba ni taasisi imara Wala haiyumbi kwakuwa msemaji kaondoka. Kumbukeni alikuwa anaisemea klabu tu Bali si kiongozi wa timu Wala si kocha. Aache upuuzi kabisa huyu zeruzeru
@brendagwembe103 жыл бұрын
Msemaji wa mikia
@hashimnamulya26163 жыл бұрын
Nendeniiiiiii atazaiziiiij
@simonraphaeli14263 жыл бұрын
Aaaaaaammmm 🦁🦁🦁🦁🦁
@ramadhanishoka1543 жыл бұрын
Chizi ww mzee ulishawai kumuona manji akiongea ww boya
@peterjosephnzegatvnzegaasi56813 жыл бұрын
Mhhhhh!!!!!!
@chescomwakipese34223 жыл бұрын
Saf majilan watakiona chamoto
@rashidmohammed48873 жыл бұрын
Magori kumbe ww ni zaidi ya Manara. Unajua propaganda sana.
@bwangatayari54003 жыл бұрын
Hakuna lolote mwewe wewe
@iqramawadh803 жыл бұрын
Kwan wewe ndio msemaji mpya wa simba
@ldngowo3 жыл бұрын
Hujui maana ya msemaji. Kaonhea nini kibaya hapo?. Mahili endelea kutuhabarisha wanasimba inapobidi wala usiache
@makamehamad24063 жыл бұрын
Mbona huyo pita banda unayemsifia juzi alipoipigia timu yake ya Taifa hajaupiga hata mmoja? IMEKULA KWENU