No video

MANARA KUMPOSTI GB 64 NA KUMWITA KOLO MWENYEWE AIBUKA AUWASHA MOTO ATEMA SANA CHECHE ATOA ONYO.

  Рет қаралды 55,803

Kaje Tv

Kaje Tv

Күн бұрын

#ahmedally #yanga #alikamwe #yanganasimba #kariakooderby #youngafricans #simbasc #hajimanara #simba #azamfc #azamtv #azam

Пікірлер: 111
@johnsilima1629
@johnsilima1629 Ай бұрын
Watu wa Yanga wote machiziiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bethmahela2182
@bethmahela2182 Ай бұрын
Utani usipitilize unawaita watu machizi humu kwygiyo timu kuna watu waliokuzidi umri
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 Ай бұрын
Wakwanza ww bonge la chizi
@jaylosalphonce9659
@jaylosalphonce9659 Ай бұрын
Km mama yako
@MakarotiKamugisha
@MakarotiKamugisha Ай бұрын
Yanga + manala ovyooooo
@AidaniMwaipaja
@AidaniMwaipaja Ай бұрын
Nakukubali sanaa brother GB64 asaa vp kuhusu mpanzu brother
@saidizuber8831
@saidizuber8831 Ай бұрын
Hyo manara mwehu kaka achana nae hyo chzi
@Martinpendael-j7i
@Martinpendael-j7i 28 күн бұрын
We mwamba
@user-id5oc7hm4n
@user-id5oc7hm4n Ай бұрын
Gb ivi wewe unapamba na uyo mwehu ,,,😂😂😂achana nae ila wajue mwaka huu ubaya ubwela ,, maana tumechoka kuonewa
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 Ай бұрын
Amuogopi?
@OvinusOsward
@OvinusOsward Ай бұрын
Kaka wewe hufai another level nakbal sana
@thadeyfedrick4376
@thadeyfedrick4376 Ай бұрын
Ubaya kauanza mwenyew mpe vitu huyoo😂😂😂
@GerfansiBakari
@GerfansiBakari Ай бұрын
shida manara njaa sana analazimisha amateur msos
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Yan katika watu cjawa kuwaelewa ktk hiinchi ni manara
@ShomarSalum
@ShomarSalum Ай бұрын
Kabisa
@Annaonesmo-x5b
@Annaonesmo-x5b 21 күн бұрын
Achana na manara amesha zeeka akir zake zipo kwenye puwa sasaivii
@user-hw1fp6mb4s
@user-hw1fp6mb4s 9 күн бұрын
Zeruzeru nitaila uyo hayuko sawa
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Ай бұрын
Yan huyu manara kaitukana sana yanga sio wakupokelewa mmbwa huyu
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Makolo naona wameanza kuongea... bado wiki tu mtafunga hizo bakuli zenu
@user-py9eo6zw6d
@user-py9eo6zw6d Ай бұрын
Nanunua voice note ya haji manara akilia wakati kafukuzwa simba
@user-qq5ze4lp7m
@user-qq5ze4lp7m Ай бұрын
manala hana hela anasubili tusema aende haki zabinadam, nyama choma huyo
@Asmaharunamohd
@Asmaharunamohd Күн бұрын
😢😊
@husseinalliy5787
@husseinalliy5787 Ай бұрын
gb 64 we hatri nimeamin we mzalamo kwel unamchamba mtu adi anakufa
@BensonMpomo
@BensonMpomo Ай бұрын
unajivunia shombo mwanaume utaliwa
@user-jf7vx9nb9m
@user-jf7vx9nb9m Ай бұрын
Asojua fadhila huyu msenge kweli kweli mbona km hao kolo mwenzio hawajakutoa ulivoswekwa ndan walikutoa hao hao machizi ....mpuuzi moja ww
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 Ай бұрын
Manala huyo yanga kweli
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 Ай бұрын
Succession 😂😂😂
@user-sf4yu6hl5o
@user-sf4yu6hl5o 27 күн бұрын
Achana nae hana jipya chizi uyo😅
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Ай бұрын
Xav mtupu
@JumaJux-fn3ff
@JumaJux-fn3ff Ай бұрын
Yanga wote machizi😂😂😂 wehu kasoro wawili tuuu ujub palangwe ya ilaaaa
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Mbona kama tayari kichwani?.
@JasonJohnkidende
@JasonJohnkidende Ай бұрын
Manala hajielewi
@user-zp8dn2vl6y
@user-zp8dn2vl6y Ай бұрын
Kwa aina hii ya washabiki tuna safari ndefu katika ushabiki na kuelezea mpira
@user-ju8iv1ng2k
@user-ju8iv1ng2k Ай бұрын
achana nashetani huyo buloo mwemu manala
@cletusviatory6907
@cletusviatory6907 Ай бұрын
Pambania simba Gb64
@DativaMdachi
@DativaMdachi Ай бұрын
Ubaya ubwela mwaka huu wameyakanyaha hata wazue ya kuzua😂😂😂 Moto ni ule ule😅
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Ай бұрын
Manara shoga TU bwabwa TU hata magoma kasema manara akimchokoza atasema mengi yamanara na hata mange alisema manara ni shoga kipindi nyuma
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 Ай бұрын
Ww ndio shoga no:1
@Isakhiayusuph-jb3yx
@Isakhiayusuph-jb3yx Ай бұрын
Ubaya ubwela
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Ай бұрын
KOLO....🤣🤣🤣
@methuselaemmanuel1950
@methuselaemmanuel1950 Ай бұрын
Ila huy jamaa huw anaamk n tungi kbsaaa
@abdalahzungu6264
@abdalahzungu6264 Ай бұрын
Achananae huyo kalewa na lungu la mzee Magoma,mzee hamtaki huyo na hivi karibuni anaenda kujadiliwa kwahiyo anaanza kuwachokoachokoa watu wa Simba ili wamuone kama ni utopolo mwenzao,lakin kiuhalisia huyo ni Simba damu mwenzetu ila tu njaa imemtoka tumboni imempanda kichwani
@makamesaid9137
@makamesaid9137 Ай бұрын
Tukutane tarehe 08/08
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 Ай бұрын
Mwanzoni nilikua napenda kukusikiliza lakini nakushangaa kila leo wewe ni kumshambulia chama kwani kaondoka vibaya au kasema vibaya wapi ila wewe kila ck ni kumchana chama unauwezo wa kuongea taratibu na lugha za kiungwana ili uonekane muungwana
@hajingangila1558
@hajingangila1558 Ай бұрын
Chama nyodo sana ila wala hashambuliwi.
@barakaswallo8214
@barakaswallo8214 Ай бұрын
Itanichukua muda mrefu kuamin manara ni mtu sahihi ktk game
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Watu wayanga wote maginuni😂😂😂😂😂
@VumiliaDaudi
@VumiliaDaudi Ай бұрын
Simba bigwa misimu 4 tena
@zuhuratwalibu
@zuhuratwalibu Ай бұрын
Achana na uyofara Gb64 chama ni fara
@user-wp9wf3et1n
@user-wp9wf3et1n Ай бұрын
Achana nae ,,,chauongo manala
@HajiSimai-pp9cm
@HajiSimai-pp9cm Ай бұрын
Hata chama kasema haendiyanga hatasikumoja nahakuna mtu wa kumpapasi wala wa kupokea pasi ya chama
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
😂😂😂😂 Generator la Mazwazwa limefunguliwa ....makolo ubwela
@GerfansiBakari
@GerfansiBakari Ай бұрын
watu siokama wanashindwa kunyea maneno tuwaweza sana ila siu najua atacama munanionea saba
@JojoLaq
@JojoLaq Ай бұрын
Yani gb64 kweli wewe mwamba
@AllyKistiki
@AllyKistiki Ай бұрын
Gb 64 Simba timu kubwa mipango mikubwa
@user-rz2ek3qw3h
@user-rz2ek3qw3h Ай бұрын
Huyu Gb 64 kweli mzalamu, Issa athumani kachezea simba mwaka gani? Na hiki kiingereza cha mtaani duuuh.
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k Ай бұрын
Huyu ni mwalim tena wa science Acha dharau weee
@TamimDuge
@TamimDuge Ай бұрын
Leo tena baadae mangungu hatumtaki
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 Ай бұрын
Usibishane na "SOPE" Takadini ni chizi tuuu
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Ай бұрын
Msomi wa Simba
@abdundimbo5170
@abdundimbo5170 Ай бұрын
Mbona mishipa inakutoka umesadiwa kutoka posti hujangalia mpira tunajua haunakitu humuwezihyo utakunya dog
@user-yo8dt8ni9x
@user-yo8dt8ni9x Ай бұрын
Wamemzuiy fey bwana wanataka b 1,5 maku kwel
@user-pr8tz8tc8s
@user-pr8tz8tc8s Ай бұрын
Bado haja gongwa date 8 ata chonga sana
@TheresiaFransic
@TheresiaFransic Ай бұрын
Hahahahahah na kuelew baba woteee waend milembe
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps Ай бұрын
Gb wape maneno yao hao
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 Ай бұрын
Ww mbona umetolewa police wanachama wa yanga acha ukenge ww chawa
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm Ай бұрын
Bangi mbaya
@ezekielmwakyagi9330
@ezekielmwakyagi9330 Ай бұрын
manara shobo
@user-qw7zq2re6l
@user-qw7zq2re6l Ай бұрын
Kwani tatizo nini mbona hatuelewi wana simba
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu Ай бұрын
Huyo ASHULA CHEUPE mbona alishagawai kusema akienda UTOPOLO wamchome dispisi kwenye koromeo muulizeni leo yukowapi?
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Ай бұрын
LUKA MODRIC ANA MIAKA 39 NDIO UMRINGANISHE NA WACHEZAJI WENU HAO ?
@asmambaga1931
@asmambaga1931 Ай бұрын
Gb 64 yaan we mtu wa maana kweli wewe,unafaa sana,mwambie huyo mwehu😂
@piniaskhamis7886
@piniaskhamis7886 Ай бұрын
huyu mbwa anataarifa mno za soka🙌
@ShaabanRamadhanKombo
@ShaabanRamadhanKombo Ай бұрын
GB achana nae huyooo
@zainabsimbamtoro6790
@zainabsimbamtoro6790 Ай бұрын
Duuh hahaha 😂😂😂😂
@user-uf1yw1zi9z
@user-uf1yw1zi9z Ай бұрын
chama wakat anakuja cmba alipewa namba 27 baadae walimbadilishia wakampa namba 17
@user-hn4kf2mn9q
@user-hn4kf2mn9q Ай бұрын
GB mbavuzangumie😂😂😂😂😂😂
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h Ай бұрын
Ubaya ubwelaaaa
@manarakassimmanara3132
@manarakassimmanara3132 Ай бұрын
Wewe fala Fulani kacheze gombe sugu, Kwa maumbile, huwezi kutafuta umaarufu kupitia watu, mjini hapo usipo angalia utaachia mjini hapo,
@user-lm5tc6mk6g
@user-lm5tc6mk6g Ай бұрын
We naww kenge2
@user-lm5tc6mk6g
@user-lm5tc6mk6g Ай бұрын
Huyu gb hatr
@radhakikoko
@radhakikoko Ай бұрын
Kaka yangu Ubuko(GB64) katika maisha yangu sitaisahau sitaisahau ile siku ya fainali ya Argentina v Ujerumani alipompamba Messi katika viti virefu vya uchambuzi pale TBC hadi kuelekea dkk ya 90 akaja kumbadilikia baada ya matokeo ...sitaisahau maisha😂😂😂😂
@BeniYaredy
@BeniYaredy Ай бұрын
Huna akili
@DominickFredy
@DominickFredy Ай бұрын
Kama ayupo huru kwanini kasaini yanga
@jaspreetsinghbadwal7856
@jaspreetsinghbadwal7856 Ай бұрын
Hapo hamna Kila kitu😂😂😂
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Ай бұрын
Chama ametafuta kujulikana kwani ukifanya kazi mahala kwa mda mrefu ukaacha kazi ukaajiliwa na mwajiri mpya, mwajiri wa Zamani hajakuandikia recommendation letter lakini aliyekuajiri anakufahamu Kuna sababu ya kwenda labour kulalamika mwajiri wako wa Zamani hajakupa recommendation letter? wakati hata mwajiri wako mpya hajakudai recommendation letter kama siyo kick unafuta nini?
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 Ай бұрын
Mmalizieni kibu malipo yake ahende kambini bana haja kubwabwaja tu
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 Ай бұрын
Heeee
@SuleimanJuma-dv8gt
@SuleimanJuma-dv8gt Ай бұрын
Acha kubweka ongea facts kama Manara tuone.
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Ай бұрын
Sasa ndio anaongea au
@user-st8hd9iq4o
@user-st8hd9iq4o Ай бұрын
UBAYA + UBWELAAAAA
@dottomaganga2837
@dottomaganga2837 Ай бұрын
Jersey namba 17 ndo namba ya Chama tangu ZESCO, sasa wewe ulisema namba 17 ametengenezewa Msimbazi!! Naanza kuwa na mashaka juu yako! Umeanza kuzungumza kimhemko utapoteza mashabiki wako!!!
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh Ай бұрын
Hukumbuki yeye alisema yanga wote hawana akili mwenye akili ni babayake na rais mstaafu kikwete basi KY.hata yeye hana akili huyo
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Ай бұрын
Manara ana undigonised narcissist personality disorder. Nchi zingine angekuwa jela lakini bongo ni celebrity.
@user-pr8tz8tc8s
@user-pr8tz8tc8s Ай бұрын
Mwalim mwenye vyeti feki
@user-he3wt8vk8z
@user-he3wt8vk8z Ай бұрын
Continental kwa kina kisugu ila Manara chuo Cha Maneno. Unachanganyanlugha kama upo Kenya wenzentu wamezoea. Akili puto.
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 Ай бұрын
Kapombe miaka 28😂😂😂😂😂😂😂
@BeniYaredy
@BeniYaredy Ай бұрын
Kwani mbona povu linakutoka dogo tulia ikuingie mbwa ww
@makoreremakorere4212
@makoreremakorere4212 Ай бұрын
Asiliguse ilo Domo ataumia
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 Ай бұрын
Chizi mamaako alikutotoa kwan wewe mzm
@user-xq8pq2ey6t
@user-xq8pq2ey6t Ай бұрын
Manara Hana akili porojo mingi yaan chura aliyechangamka
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
KWAHIYO KUMBE NI CHIZI?
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@OswardMwambete-en5uk
@OswardMwambete-en5uk Ай бұрын
Kolo mandrake Familia.Makolo maanayake ukoo mmoja .Zeruzeru Atateseka sana
@user-mt5xn7xj4t
@user-mt5xn7xj4t Ай бұрын
mwez huo mchanga
@WilfredSaidi-st3tn
@WilfredSaidi-st3tn Ай бұрын
Huyu ndokolopekee alie2shawishi 2kamtoa jela ila shisha zinampeleka vbaya😅😅😅😅
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Ulimtoa ww au kampikie mmeo
@ShafiiwilliamWilliam-mk6id
@ShafiiwilliamWilliam-mk6id Ай бұрын
GB 64 acha bangi mzamiru anamiaka 40 harafu hujuwi kondoo wewe
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j Ай бұрын
Usibishane 'na manara ni mwehu asikupotezee muda
@user-jf7vx9nb9m
@user-jf7vx9nb9m Ай бұрын
Ndo mwehu mwenziwe huyoo
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 16 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 47 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 58 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН