Big big utuletee zile mambo zako zile za madem 😂😂😂 huwa nakukubali sana
@crecknerz5661Ай бұрын
Mie namkubali CHINO ✅✅
@mustafarajabu4005Ай бұрын
Chesko sio wakwanza kulalamika kwa chino.chino mshamba wamafanikio.unamwita mtu alafu unaenda kulala mgeni unamuacha,hiyo inamaana mbaya sana,zalau mbaya sna mshamba dogo chino.
@PoPauhairstylesАй бұрын
Yeah this is true ni kwamba tu jamaa ndo alivyo izo mishe kaanza zamani kabla hajawa chino huyo mnaemuona sasa ivi wapo wengi walofanyiwa ivo ila tu huwasikii kuongea
@georgekagwebe2461Ай бұрын
Iv mnavosema mnavalishwa kwan wew hujui kivaa
@JoelTeti-q3wАй бұрын
Iyoo kaulii naichukiaaa sana.
@DangerMusictz-n5cАй бұрын
Wangapi wa nasema ikiki
@MajaliwaMhungatiАй бұрын
Chesco nimekusikiliza vyema..nilichokigundua wewe kweli sio mnafiki na Chino ni mshamba wa mafanikio... mean ana roho ya kutu..sababu wewe sio wa kwanza kumlalamikia..Ushauri. .mshukuru Mungu uko fresh ki Afya naimani utapata haki yako
@annasumawe1325Ай бұрын
Kwa tunaemjua chino ni kweli ni mzulumati😅😅😅😅kwa msiomjua ndo mtasema huyu anatafuta kiki 😅
@SeifJuma-l8t21 күн бұрын
Chin hana pesa mzulumat tyu 😢
@HASSANBAKARI-q9cАй бұрын
HE KUMBE MALIOO ALIPIGA KWELI MIMI MARS,,😊,,AFU WAMEKAUKA KAU..
@DoctorrupingTzAАй бұрын
Kumbe chino miyayusho anaushikaji kwenye kazi kazi ni kazi ushikaji pembeni
@fadhilially7357Ай бұрын
Sasa we umevaa MTANGAZAJI hata big kakupoteza
@jastinedaudi-qi9vrАй бұрын
M nasemag cku zot chino hana ela kuma2 yule anajtunisha2
@hafidhlabdi-sq5rpАй бұрын
Hii ni kwel sio kiki kabisa chinno halipi watu wake ni issue serious
@Peterchila-un2lxАй бұрын
Hiiiii ni kikii chesco anataka kurudi mjini
@donlinechanell4760Ай бұрын
Sio mtu wa kwnza kusema hili
@annasumawe1325Ай бұрын
Sio kiki niulize me ntakupa story ya chino ana roho ya kudhulumu watu anataka umfanyie kaz bure yeye tu ndo apate 😅
@EmmanuelNyinyigwa-m1oАй бұрын
Mmeanza
@donlinechanell4760Ай бұрын
Tuelewane billnass ana ela chino hana ela yale maigizo anayafanya tu.
@spartachize122Ай бұрын
Matangazo ya biashara uwe unayaweka mwanzo wa interview ama mwisho.... Sio mshaanza conversation alafu ghafla unakata story ili upige tangazo 😢😢unakua unamkata interviewer
@jumahalifamkindi2175Ай бұрын
chinno anafake mno life pia anapenda kutuaminisha jamii ni mtu wakusaudia sana wana ili aonewe huruma ila kiukweli hayuko real mwamba
😂😂😂kwn we ni kipofu? Hauoni chesco alivyo apo atakua anakosa sababu ya kula kweli
@SeifJuma-l8t21 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Peterchila-un2lxАй бұрын
Hii ni kikiiiiiii tena ya pikipiki huyu chesco anataka kutrendi kurudi mjini alikuwa ashapotea
@KINGABUMEKARАй бұрын
CHINO KWELIII HAWALIPIII WATUUU
@mbaruku5942Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Matatizo ya usanii mbwembwe nyingiiiii, Akili hamna. Ivi kwann mnafanya kazi hamna hata mkataba na kwann issue ya kazi inaletwa kwa interview kwann msiende mahakamani ukadai huko kwanza KUWENI PROFESSIONAL mko kama manyumbu