Jamaa ni marasii ...kila swalii wanajib positive sana ...big up brothers
@PoPauhairstylesАй бұрын
Ukweli uliopo ndugu zangu wanaonufaika kwenye industrial ya dance ni hao hao mnaowahoji na kuwajua ila si kwa madogo walio wengi wala wale wengine mnaowajua madogo wengi hawana maisha wanatumiwa tu vipaji vyao ttzo kubwa ni wasanii wetu kuwapa nafasi kubwa madancer wale wale wa siku zote ukweli ni kwamba hao wenyewe bado njaa ndo mana hawataki kuwaachia nafasi wengine hapo wanaficha wanaongea huongo behind wana roho za kukunja
@ZANZIBARONEQASWIDA96Ай бұрын
Kama ww una wakubali hawa like hawa
@michaelmsouth45Ай бұрын
Sem mdd light zinamfany sur inawakaa zingatien iko madirector
@kiptoojeison16 күн бұрын
❤❤🔥🔥🔥
@mohdalsuleiman8852Ай бұрын
SEMA alwanajifany kina wizikhalifa wapunguze😢
@williamdungumaro6668Ай бұрын
Jamaa wamenyooka
@OmarSongoro-bp9pnАй бұрын
Baada ya muda wanaaanza kusema wananyonywa
@saummohamedm435Ай бұрын
Nakwambia kama hawana viatu kwa sababu hawajaonyesha unavyotoa ushaidi wewe mchanga sijui unajua au umbea