Kwa kifupi mandala hamuwezi elias mtafutie mtu mwingine
@VedastinaVedarian19 күн бұрын
Yan uyo ndo heri mleteee watu sio mandala aiseeeeeeee
@gaudencehyera147519 күн бұрын
CAF Champions Ligi Yanga hawafikii Rekodi za Simba na Confederation pia maana kama Fainali Timu zote zimefikia japo kwa miaka tofauti SSC 1993 na Yanga 2023. Simba ni namba 6 kwa Ubora Afrika na Yanga haimo hata kwenye Kumi bora ikiwa imecheza Robo fainali mara 5 katika miaka 6. Imechukua Ubingwa wa Ligi Kuu mara nne katika Misimu 7 na Msimu huu Simba wanachukua.
@yusufufikiri500519 күн бұрын
WEWEEEE MSEMAJI WA YANGA HUJUWI KITU. SIKUHIZI MPIRA SIYO KUCHEZA VIZURI. SIKUHIZI MPIRA MATOKEO TU. KAMA UNABISHA JIULIZE UMEMFUNGA MAZEMBE 3 NA UMESHIKA NAFASI YA 3. HAYA KWA IBENGE ULICHEZA VIZURI NA KAKUFUNGA. UNAPIGA KELELE TU
@thabitbakari673314 күн бұрын
Wewe yanga hauna soka uko kiporojo tu alafu timu bora afrika yanga haipo😂
@rogermabirwa17 күн бұрын
Hila huyo nae hamekuja wapi hanatafuta trend tu nyoko
@donatienbest604319 күн бұрын
Mandala apani nafasi
@donatienbest604319 күн бұрын
Unahanzaje bishana na mtu washirikisho
@josephgomalo4119 күн бұрын
Huyo wa shirikisho ni wa 6 katika orodha ya timu bora katika bara zima lenye timu zaidi ya 800 katika ligi mbalimbali.. barani Afrika!
@MariamSefu-e9e19 күн бұрын
Up xw
@EbambeWakilongo19 күн бұрын
😂😂huyu jamaa anajihonaga anajuwa kuhongeya kumbe hajuwi hata kidogo huyo wa simba