MANENO ALIYOKUWA ANAONGEA MUUAJI WA ASKARI "ALITOKA BAHARINI, AKACHOMOA SILAHA MBILI, NIKAMSALIMIA"

  Рет қаралды 520,881

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Baada ya kutokea tukio la majibizano ya risasi baina ya Jeshi la Polisi na mtu anayedaiwa kuwa ni muhalifu.
Ayo TV na Millardayo.com tumezungumza na mashuhuda wa tukio hilo, leo Agosti 25, 2021.

Пікірлер: 1 100
@shadrackclement818
@shadrackclement818 3 жыл бұрын
Mmh huyu dada alivyosimulia na nilivyoona kwenye clip ni vitu viwil tofaut dah mungu atusaidie katika nchi yetu🙏🏻
@schamounm
@schamounm 3 жыл бұрын
Yaani ni tofauti labda matukio mawili tofauti
@Gamba177
@Gamba177 3 жыл бұрын
Huyu dada muongo kumamake
@kingcreativetz2052
@kingcreativetz2052 3 жыл бұрын
Muongo tena sio Kidogo
@sideboy2739
@sideboy2739 3 жыл бұрын
Muongo too much
@stevenerasto7630
@stevenerasto7630 3 жыл бұрын
Usimlaumu ni wenge la milio ya vitu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Jamani tuendelee kuiombea nchi yetu🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu atuepushie mabalaa na aimarishe amani na utulive ..Ameen🙏🙏🙏
@mishymorgani5966
@mishymorgani5966 3 жыл бұрын
Steling kafa katikati ya movie napicha likaisha hapo hapo😂😂😂😂
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 жыл бұрын
Sio kuombea tu inchi kutubu na kuombea viongozi na haki kwa Taifa ,kunaneno linasena wafalme wanatsmbea kwa miguu watumwa wamepanda punda, hii inatokana na kura mtu akipata kiti kwa kuiba kura au Hila anakaa kwenye kiti kinyume na mpango wa Mungu kuruhusu kutiwa mafuta ya uongozi kama mfalme Daudi nk
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 3 жыл бұрын
Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea. Dada asante kwa kutudanganya.
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 3 жыл бұрын
Huyu dada pumbav sana. Uongo uongo
@fettyobah7855
@fettyobah7855 3 жыл бұрын
Yaan ashuhudie matukio hayo yote bila kuogopa mh uongo
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 3 жыл бұрын
@@fettyobah7855 sijui kwa nini wanadanganya.
@abelsiyame7863
@abelsiyame7863 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@allymachejo2996
@allymachejo2996 3 жыл бұрын
Wabongo ujuaj
@komboomar8275
@komboomar8275 3 жыл бұрын
*Tumshukuru Mungu huyo mtu hakuwa na haja na kuuwa raia but kama ingekuwa hivo mbona sahii tungekuwa na msiba ya wataifa ila alikuwa shida na police tu. Mungu atuepushe na matukio kama haya poleni familia ya askari walopoteza maisha Allah awatie nguvu.*
@pendocoster4170
@pendocoster4170 3 жыл бұрын
Askar weng jambaz mmoja katawala karib lisaa zima had anauwa watu duu mungu ibariki tanzania
@abdallahmkima8721
@abdallahmkima8721 3 жыл бұрын
Mauwaji
@mohamedhashimu9923
@mohamedhashimu9923 3 жыл бұрын
Hii ni Salam kwa jeshi letu la polisi mujue munapo fanya kazi zenu muda mwingine muta tuumiza sema tuna vumilia 2 sasa unapo fika muda wa mungu kutenda aki ndio ina kuwa ivi pole kwa familia zote za muaji na walio uliwa mwenyezi mungu awa fanyieni wepesi ktk kipindi ichi kigumu
@timotheojumal894
@timotheojumal894 3 жыл бұрын
Hakuna haki inayotafutwa kwa kuzuru watu bro na Hakuna Mungu anaefurahi kitendo kama hicho ati ni haki, Mungu kama huyo hayupo,
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 3 жыл бұрын
Mmmmmh mmmmmh Allah wakbaru hii hatari anaua huku akimtaja Mungu Imani hizi waafrika hazitatuacha salama.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
Subhannallah, kumbe anamjua Mungu kwanini anauwa sasa
@allenmwambije8119
@allenmwambije8119 3 жыл бұрын
Huyu Dada katoka kuangalia movie iliyotafsriwa ya THE TOMORROW WAR sio bure
@Kim-jo9oz
@Kim-jo9oz 3 жыл бұрын
Umuhimu wa barabara kubwa kuwa na CCTV camera ndo unaanzia hapa, maana naona kila mmoja anaongea lake 😁😁
@salhanassor5201
@salhanassor5201 3 жыл бұрын
Cctv camera zimekuja kufungwa huku kwetu pemba kila kichochoro wkt ata barabara hatuna😁 tz hii ni shidaa wallah
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 3 жыл бұрын
duh ...
@arroh7059
@arroh7059 3 жыл бұрын
Mungu atulinde.
@hadyakhaleed9427
@hadyakhaleed9427 3 жыл бұрын
MashaAllah amekufa shahid
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 3 жыл бұрын
hakika kabisa
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Duh.. subhana llah.. poleni sana ndugu zangu 😭
@rubenprince8990
@rubenprince8990 3 жыл бұрын
Huyo si jambaz ni gaidi
@AZAM_MEDIA
@AZAM_MEDIA 3 жыл бұрын
@@rubenprince8990 ni Taliban nn😣🤕 Maana nao ni hivyo waislam
@rubenprince8990
@rubenprince8990 3 жыл бұрын
@@AZAM_MEDIA HAPANA SI TALIBAN NI ALSHABAB MUSIWAAMIN WASONJO HATA KIDO HUKU MANTONI WASONJO KIBAO NISHAONA WANAUWA WATU HADHARAN MCHANA KWEUPE NAMAASKARI WAKIJA HAWAULIZ WANAFYATUA RISAS MSONJO CHIN KIBUDU WASONJO SIO WANAPENDA UGAIDI SANA HUKU MIMI SITAKI HATA KUJUWANA NAO WAPO KIBAO WANAJUWA KISWAHIL SAFI TU LAKIN WANATISHA KUWASOGELEA
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@rubenprince8990 alikwambia yy gaidi au
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Mm sikuelewi daa maana nawezaje mm kufwatilia mtu wakati naona wenzangu chao kiko motoni yani umeshinda mpaka watangazaji haya wee ni bora umeonekana kwenye vyombo vya habari hongera kwa hilo 🏃‍♀️🏃‍♀️
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 3 жыл бұрын
Mitaaani hakukesekani waongeza chmvi hata Kama tukio litakuwa la second 3 jua hiyo story itaadithiwa masaa matatu
@pascaljr.5439
@pascaljr.5439 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Huyu kashuhudia movie live manake yeye na watoto wake pia walikuwa ktk acting. Kwa kifupi yeye ndie alikuwa sterling wa kike, bahati yake atujaona kipande cha yeye kujisaidia baharini😂😂😂😁
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 😁😁😁
@damianjeremia3821
@damianjeremia3821 3 жыл бұрын
Mmmmh sidhani kama niyakweli hayo yaaani sikia tu ila ikilia hiyo machine lazima utafute usawa
@aminaabdaallah944
@aminaabdaallah944 3 жыл бұрын
Ndo hapo Yani binadamu mdaa wote huo mtu anapiga bastola bado tu amesemama kifo kinavyo umaa huyu ni muongo ukisikia tu mlio wa bastola akili inahama kabisa
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 3 жыл бұрын
Hapo ndo unashindwa kuelewa mkweli nani
@cherrydinero7181
@cherrydinero7181 3 жыл бұрын
Bro kama unafaham jinsi mwili unareact kwa 2kio utamuelewa huyo dada kuna k2 inaitwa adrenaline unapokutana na shda yeyote yenyewe hurespond kukupa muongozo namna ya react ss yy akili ake iliishia hapo hakuwa na nguvu zakukimbia 2natofautiana response jmn mum2e mwafulani wawa2
@kim_jasmini...comedian8498
@kim_jasmini...comedian8498 3 жыл бұрын
Hama Kweli huu ni mwanzo tu tunaletewa vita Tanzania mchana kweupe mama Samia uko wapi mbona umekaa kimya kama vile nchi yetu haina kiongozi r.i.p baba yetu magufuri😭😭😭😭😭
@khalymiky3822
@khalymiky3822 3 жыл бұрын
Unataka Neno gani mbona unaongea pumba dada
@kim_jasmini...comedian8498
@kim_jasmini...comedian8498 3 жыл бұрын
@@khalymiky3822 mungu akusamehe bure haujui unachofanya
@khalymiky3822
@khalymiky3822 3 жыл бұрын
Sawa
@allysalehal-jaber4822
@allysalehal-jaber4822 3 жыл бұрын
Unaongea Mavi kabisa. Kwani Magufuli ni Mungu wako? Mangapi yametokea kipindi chake. Mnazungumza mijimavi mkiamka mpaka mnalala
@kim_jasmini...comedian8498
@kim_jasmini...comedian8498 3 жыл бұрын
@@allysalehal-jaber4822 mungu samehe hii mbuzi
@restomundo3644
@restomundo3644 3 жыл бұрын
Allah tunusuru ameen
@annertz9969
@annertz9969 3 жыл бұрын
Hata mwaka haujaisha yamekuwa haya jamani, tunakukumbuka baba yetu r.I.p
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Mmmmh unafk tu huna jambo
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 3 жыл бұрын
Pimbi wewe mfuate alipo
@annertz9969
@annertz9969 3 жыл бұрын
@@magretkijanga6038 bimbi mamaako mbwa ww
@annertz9969
@annertz9969 3 жыл бұрын
@@nassorbinfundi1196 mnafki mwenyewe msenge nn
@jayjay4313
@jayjay4313 3 жыл бұрын
Hhm, haya tumekwepa hilo la kapiga magoti ili atunguliwe na wakubar lako ujue. Maana video zinaonyesha anatunguliwa huku akiwa amesimama na anamwaga njugu zake.
@jumaibrahim4297
@jumaibrahim4297 3 жыл бұрын
Kwa kweli hata mimi hiyo nimeikataa😂😂
@jayjay4313
@jayjay4313 3 жыл бұрын
@@jumaibrahim4297 🤣🤣🤣, alafu mkavuuu. Eti kasema wakubar. Do 🤣🤣🤣
@mecktyudithmgindo210
@mecktyudithmgindo210 3 жыл бұрын
Bint jasili hata kukimbia alishindwa angemiminia na yy hongera kwa roho ya ujasili
@jacklinemassawe5907
@jacklinemassawe5907 3 жыл бұрын
Kwa kweli
@piusdonald3310
@piusdonald3310 3 жыл бұрын
Siku zake hazikufika tuu
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 3 жыл бұрын
Atakuwa mnyalu
@venanthaule1208
@venanthaule1208 3 жыл бұрын
Duu jamani maasikari musiwe na tamaa tizama sasa mumetowa uhai wa kaka wawatu jamani nayi
@meschackvilsing269
@meschackvilsing269 3 жыл бұрын
Pole sana hivi ndivyo mauaji yali anza huku kwetu D.R Congo. Hadi leo tuna endelea kuuwawa na kuchinjwa kama nyama na inasemekana ya kwamba hao waasi wa A.D.F NALU ni waislamu halafu ndugu zangu wa tanzania muwe makini sana.
@michaelvicem6323
@michaelvicem6323 3 жыл бұрын
Washaanza utawala wa muhisilamu wanaanza
@arbaab9337
@arbaab9337 3 жыл бұрын
WAZAZI MUSITUZALIE WADADA KAMA HAWA WANAOTOA USHUDA WA UONGO KABISA...✍
@freshNtrue
@freshNtrue 3 жыл бұрын
Askari alivyodondoka "akajikwakaa chini" 😂
@poureenmkude8659
@poureenmkude8659 3 жыл бұрын
Hatar alidondoka akajikwaa
@freshNtrue
@freshNtrue 3 жыл бұрын
@@poureenmkude8659 😂
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@ARCHANDRAMUMBUNGU
@ARCHANDRAMUMBUNGU 3 жыл бұрын
Kweli tutakukumbuka JPM 😭😭😭😭
@pendolaizer6211
@pendolaizer6211 3 жыл бұрын
Yjhj
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 3 жыл бұрын
Mjinga wewe kweli
@ARCHANDRAMUMBUNGU
@ARCHANDRAMUMBUNGU 3 жыл бұрын
@@isaacmwaseba9972 sikuzote mjinga anamjua mjinga mwenzake😀😀 asante mwenzangu
@humphreyfungo7669
@humphreyfungo7669 3 жыл бұрын
Huyu dada Mungu ambabariki sana kwa kusema ukweli wote , ushuhuda umenyooka kuliko shuhuda zingine zote nilizozikisia kuhusu hili tukio.
@Kadebecomedy
@Kadebecomedy 3 жыл бұрын
Kama alinyosha mikono kuashiria amejisalimisha wangemkamata ili ahojiwe yeye ni nani na kwann amefanya hivyo,sasa kwann wamepga risasi
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 3 жыл бұрын
Kifo ni haki yake Aojiwe ili iweje
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Akasali kisilaam,alisema allahu akbalu,,Kuna Jambo Siyo Siri, Mungu anajuwa,dunià Ina Mengi, Mambo mbalimbali, mitihani wallah,kafa Vizuri katowa shahada yàke,hatujuwi sie,na Allah awasamehe makosa yao
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 3 жыл бұрын
Wakibaru dishaa dishaaa! Akaendaaa alivyoenda akaenda tena
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 жыл бұрын
Akaanguka alipo anguka akajikwaa akaanza kuchechemea🤣🤣
@zawadimrindoko6782
@zawadimrindoko6782 3 жыл бұрын
Hivi kwa nini lakini🤣🤣🤣
@logoutjrgongzulu1572
@logoutjrgongzulu1572 3 жыл бұрын
😆😆😆Wakibaru yani inabidi ucheke tu
@mulhatwarama9882
@mulhatwarama9882 3 жыл бұрын
Hadi nmecheka kwa saut 😂😂😂
@carinamatt1031
@carinamatt1031 3 жыл бұрын
@@crayonmaze9970 kuongea kipaji
@eliwayne7063
@eliwayne7063 3 жыл бұрын
Dada tukio ujalishuhudia inaonekana...Hongera umeonekana kwenye LuningA
@emmanuelbe-dae.170
@emmanuelbe-dae.170 3 жыл бұрын
HAKUNA lugha inaitwa KIISLAMU labda uniambie maneno ya kiarabu. Tusihusianishe mitazamo ya kidini katika hili. Huyo amechoka na MAISHA ya duniani ameamua afe kwa kutia gumzo nchini. Sisi Kama watanzania tuungane kulaani vitendo kama hivi. Kwani huyo baba Kama ana familia ujue ndo basi tena kaiachia mateso ya daima. Mwenyzi Mungu inusulu Tanzania kwa vitendo viovu vya watu wasiojua utu wa mtu. Jeshi la polisi hongereni kwa weredi wenu wa kazi. Msijivunie kuwa ameuawa bali mjivunie kwa kutimiza majukumu kwa wakatia na kunusuru maisha ya wasio na hatia. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI WATU WAKE. VIONGOZI WAPE HEKIMA WASIDHURUMU MAISHA YA WENYE HAKI KATIKA ARDHI YETU. KAZI IENDELEE
@hidayaally669
@hidayaally669 3 жыл бұрын
Asante sana
@asmahdundo3904
@asmahdundo3904 3 жыл бұрын
Umeandika vyema Pastor
@BB-qj8dd
@BB-qj8dd 3 жыл бұрын
Unastahili kuitwa pastor
@v_i_p1109
@v_i_p1109 3 жыл бұрын
@@BB-qj8dd kikubwa mmeelewa
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 3 жыл бұрын
Hongera kwa ujumbe mzur
@is-haqomar968
@is-haqomar968 3 жыл бұрын
Mmmh stori za kichina hizi
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 3 жыл бұрын
Mama ni mchafuzi wa mazingira anakosa la kujisaidia baharini😂😂😂😂😂😂
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 3 жыл бұрын
Kina sarah huwa mnaviktyu kichwan
@dinamollel4057
@dinamollel4057 3 жыл бұрын
Hahahhahaha
@michaelvicem6323
@michaelvicem6323 3 жыл бұрын
Sarah wew
@Mussajohn99
@Mussajohn99 3 жыл бұрын
Bongo siham😂😂😂😂
@jacksonmutunga4894
@jacksonmutunga4894 3 жыл бұрын
Mama anaongea ukweli kabisa wacheni matusi.
@suzanpatrick9380
@suzanpatrick9380 3 жыл бұрын
Eeeeh Mwenyez Mungu ingilia katii kwa sie viumbee wakoo jmn nin hikiiii😭😭😭😭
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 жыл бұрын
Huyu dada Kama ametudanganya vdeo znavyoonesha ni tofaut na anavyosimlia chezea mlio wa risasi hadi kapoteza network anaonekana frequency hazisomi
@allymachejo2996
@allymachejo2996 3 жыл бұрын
Kabsa yan
@protaspessa8615
@protaspessa8615 3 жыл бұрын
khz zmepotea mpk ck 3 vitarudi😀😀😁
@waltermziray1664
@waltermziray1664 3 жыл бұрын
😃😃😀😀😄😄
@thobiasodhiambo9553
@thobiasodhiambo9553 3 жыл бұрын
Du! Huyu binti ndiye aliyeona sinema yote. Poleni sana wafiwa.
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Halafu Bado wanamuandama Mtumishi wa Mungu wasijue Watumishi wa kweli huwa wanaomba ndio maana Mungu anatuficha na maadui Mungu awatie nguvu Askari wetu
@jumahili8121
@jumahili8121 3 жыл бұрын
Allah akbar. Hatar sana
@maxlupapa4554
@maxlupapa4554 3 жыл бұрын
Hilo gaidi tu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
@@maxlupapa4554, Jipekueni makafiri mjue mnapokosea wapi? Msidhulumu waisilam mkalipizwa na wala msifanye ufisadi kwenye ardhi mkachukiza wengine halafu mkaanza kuita watu magaidi.
@aishanassor8130
@aishanassor8130 3 жыл бұрын
Mbona hamza meenyew yupo hpo kavaa helment ya blue na shati lake lile lile la kwenye tukio 🤔
@kweka14l35
@kweka14l35 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Hapana sio mwenyewe
@kingcreativetz2052
@kingcreativetz2052 3 жыл бұрын
Anaskiliz fiksi za huyu Dada Maan tulichoon kwny video na anachoonge huyu Dada vitu viwili tofaut
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@biberpriyer330
@biberpriyer330 3 жыл бұрын
Hahaaa Dada muongo asee unawezaje kuvumilia kuangalia movie ya live mwanzo mwisho huhuuu tooba we Dada mungu ayalaani maneno uliyoyaongeza pamoja na kilichoongea
@lugeshadaudi2281
@lugeshadaudi2281 3 жыл бұрын
Poleni maafande wetu
@aymankhadija619
@aymankhadija619 3 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR na kuua hata haviendani,ye kama ana lana zake apeleke hukooo,Waislam tuacheni mambo ya ugaidi na kuambatanisha na iuislam.Siasa na dini ni vitu viwili tofauti
@lilianrichard7973
@lilianrichard7973 3 жыл бұрын
Mmmmmmmh hujanishawishi
@lemalema3613
@lemalema3613 3 жыл бұрын
Nafikiri watu watasema mengi. Any way, waache waseme tu. Wataalam wa kuchambua mbichi na mbivu wapo. Cha msingi tupate ukweli kutoka CCTV camera ambazo naamini zipo ktk maeneo sensitive kama hapo Salender ambapo zipo ofisi za ubalozi vile vile. Serikali isichukue muda mrefu kutoa habari sahihi ili wananchi wajisikie amani. Ucheleweshaji wa kupata habari sahihi, kunasababisha kuendelea kuzagaa kwa habari zisizoaminika na wakati mwingine zinapotosha umma.
@madafajulius3257
@madafajulius3257 3 жыл бұрын
Sasa kumbe akinyoosha mikonojuu, wangemkamata
@nelsondiba
@nelsondiba 3 жыл бұрын
Poleni watanzania🇰🇪
@emmylupogo156
@emmylupogo156 3 жыл бұрын
😂😂😂Dada kakazana tu kuongea uongo 😂😂😂 wabongo bn
@hamzaabdallah8077
@hamzaabdallah8077 3 жыл бұрын
Mamaa muongo huyu kusema Allah akbar kweli jaman wajina wangu
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 3 жыл бұрын
MAGUFURI BABA YETU. RIP
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
How
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 3 жыл бұрын
Yaani NAMKUMBUKA MAGUFULI wetu
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Mfwateni
@salehpirlo398
@salehpirlo398 3 жыл бұрын
Acha upuuzi muombe mungu Magufuli Yuko wapi kafanyaje
@airinsumeno2490
@airinsumeno2490 3 жыл бұрын
Hii haihusiani na maguful kutokuwepo
@aboubaqarally9834
@aboubaqarally9834 3 жыл бұрын
Sister umeongopa het al aqbar
@jacklinemassawe5907
@jacklinemassawe5907 3 жыл бұрын
Waakibaru akamimina risasi daaa nimecheka kama mazuri Mungu ilinde NCHI yangu ya Tanzania
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Wewe Jackline usinifanye nicheke eti waakibaru😆😆
@reyca_v.i.p
@reyca_v.i.p 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@hidayaally669
@hidayaally669 3 жыл бұрын
daah waakibaru😅
@jacklinemassawe5907
@jacklinemassawe5907 3 жыл бұрын
Jaman alawi kwan huon dada anavyo jieleza eti akainua mikono juu akasema waakibari akainua tena akasema wakibaru akamimina risasi🤣🤣🤣
@jacklinemassawe5907
@jacklinemassawe5907 3 жыл бұрын
Tucheke tu lakin si utani Tuombee nchi yetu sana
@eligiusvitalis3504
@eligiusvitalis3504 3 жыл бұрын
Milard ayo, wapo makini sana wanatoa update kila mara
@pendomariki6562
@pendomariki6562 3 жыл бұрын
Habar zipo whatup kuwa hakuwa mbaya maaskar ndio walimfanya afanye vile ni mtu ana uwezo ana mgod wake wa dhahabu ameachiwa na wazaz wake alikuwa na madin anaenda kuuza sijajua nin kimepelekea kushambuliana na askar kuna jambo hapo angekuwa mbaya angeua watu weng sana hata raia angeuwa weng tu shida yake klikuwa askar tu
@josephchare1183
@josephchare1183 3 жыл бұрын
Angekuwa mbaya hata huyu Shuhuda na mtoto wake wasingekuwepo kutoa ushuhuda sasa hivi hapa
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 3 жыл бұрын
Unayoyasema ni kweli kabisa
@makalayamafanikio9283
@makalayamafanikio9283 3 жыл бұрын
Duh
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 3 жыл бұрын
Inalilah waina lillah rajiuun apo kwa sasa kila m2 ata ongea anavyo jua yeye sema ukweli wote anaujuwa mwenyewe malehemu
@kingdavidmoto6149
@kingdavidmoto6149 3 жыл бұрын
sema kweli uyo jamaa police watakuwa kuna jambo walimfanyi uyo jamaa angekuwa ni gaidi engeshambulia raia pia asikari jitaidini kutenda aki
@lucasmanyuka8562
@lucasmanyuka8562 3 жыл бұрын
Police watch up yourself there might something wrong or unfair mmefanya kwa huyo mzee.
@mustaphareua2370
@mustaphareua2370 3 жыл бұрын
Juu
@mwajumamkalipa7500
@mwajumamkalipa7500 3 жыл бұрын
Mashuhuda wengine kashushwa na gari wengine. Baharin mnatuvuruga punguzen tui tue ke mchele mashuhuda
@lida457
@lida457 3 жыл бұрын
Mwenzio mbavu zinauma ahahah
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Kila mtu anasimulia alichokion kwaiyo km wengine hawakumuon alivyoshuk wasiwe mashuhuda
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 жыл бұрын
@@deelissa2746 eeh wengine wanasema Talban jamn kumbe kwao upanga🤣🤣🤣🤣🤣
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 3 жыл бұрын
Kawaida ya wabongo tukio la second 3 hadithi masaa matatu
@aminakimambo5540
@aminakimambo5540 3 жыл бұрын
Nimependa hiyo.kitu kichwan mwa shuhuda
@lindalaizzer9897
@lindalaizzer9897 3 жыл бұрын
Mmmh yaan ninavyojua wanawake asingesubiri ata angejinyea n asingesikia ht alichoongea muaji kwa hofu
@dominickelgempandangazi898
@dominickelgempandangazi898 3 жыл бұрын
Huy Dada muongo maelezo yote hayo amesimama anashuhudia tu jmn wanawake duuuu
@lindalaizzer9897
@lindalaizzer9897 3 жыл бұрын
@@dominickelgempandangazi898 ndio hapo sasa 😁😁
@xhamzy
@xhamzy 3 жыл бұрын
je jamaa mmojatu huyo kafunga mtaa he wakiwa tano ?
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 3 жыл бұрын
Yani hatari tupu, askari inabidi wawe makini zaidi, mungu atuepushe na haya
@josephsimba92
@josephsimba92 3 жыл бұрын
Eneo na alipokuwa muhusika ukicheza umeliwa napafahamu sana hapo,na alisogea hapo ili iwe ngumu kidogo
@zaibonge7867
@zaibonge7867 3 жыл бұрын
Mbona wakibalu anamikina risasi 😂😂😂😂bana we dada mi mbavu sina 😂😂😂😂😂wakibalu kaleta balaa 😂😂yupo mahakamani 😂nyie nipeni like za kicheko Cha wakibalu
@mishymorgani5966
@mishymorgani5966 3 жыл бұрын
Sikuhizi watu wanajisaidia baharini silisamaki tena😂
@user-je1id1tx1u
@user-je1id1tx1u 3 жыл бұрын
😂😂😂
@khadijambarouk2983
@khadijambarouk2983 3 жыл бұрын
Bahari haifugi uchafu
@omarymkungwa7657
@omarymkungwa7657 3 жыл бұрын
Wewe ukisusa sisi tunakula tu
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 жыл бұрын
nmeiskia hiyo japo kaivunga kuitamka uyu dada ....dah ndio mana samaki wanaoza haraka kumbe mnaenda kuwatia mavi 😄😄😄😄
@aladinho1352
@aladinho1352 3 жыл бұрын
@@ommymehmed8880 😂
@getrudamatoto5277
@getrudamatoto5277 3 жыл бұрын
Mungu atunusuru na haya Majanga
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 3 жыл бұрын
Mimi sijui tumwamini nani ila nashauri tu mtu kama huna uhakika bora kukaa kimya. Jana kahojiwa kijana mmoja yeye kasema Mhalifu akishuka toka kwenye gari aina ya IST dada haoa anasema katokea Baharini. Hebu tuwe makini kuwarahisishia polisi kazi
@goldprocessplant5893
@goldprocessplant5893 3 жыл бұрын
kabisa Kuna kufungwa kwa kutoa ushahidi wa uongo halafu waandishi si kila mnaemuhoji mnarusha habari zake inatakiwa unazichambua kwanza unaweza ukawa umemuhoji mtu mwenye matatizo kiakili akaleta uzushi bila woga
@ireneeliya8688
@ireneeliya8688 3 жыл бұрын
Nawe ck hiz unaandika vichwa vya habar vya kiongo?
@aminahussein4321
@aminahussein4321 3 жыл бұрын
Mtangazaji sio agharabu ni nadra sana.
@anastaziuscyriacus5415
@anastaziuscyriacus5415 3 жыл бұрын
Wengi hawajui maana ya aghalabu, wengi sana
@nunuunadhir6235
@nunuunadhir6235 3 жыл бұрын
Watanzania hatuogopi vita au.veep dada hujakimbia tu hahahaaa
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 3 жыл бұрын
Hadi kachoka kwakuhojiwa
@beckooh
@beckooh 3 жыл бұрын
Ndo ujue umbea pia ni kazi tu kama ya mjengo🤣
@tommethodjr.9731
@tommethodjr.9731 3 жыл бұрын
Yaan mm siwez poteza muda Wang wanioj kabsa
@reginaldmsofe2437
@reginaldmsofe2437 3 жыл бұрын
aiseee
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Ana guv uyu kuona tukio zma hajahara yan.mm nigehara adi mate.
@neemamwakasape1630
@neemamwakasape1630 3 жыл бұрын
Yan
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
@@neemamwakasape1630 sure
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
@@tamaraseff.9707 alikuwa amemaliza baharini kwenye MAPANGO
@khojarobebebebebebebebe9329
@khojarobebebebebebebebe9329 3 жыл бұрын
Mmh jaman tusidanganyane we mama unaadithia yote hayo kipindi yote yafanyika tuseme ulikuwa umesimama tu unaangalia jamaniih
@jonamoratv2101
@jonamoratv2101 3 жыл бұрын
Uyi shaidi ni muongo that's false witness how did she hear him say that wakati risasi zinamiminwa yeye alikua amesimama tu na akawa karibu kiasi Cha kwamba akawa anasikia sauti ya yule jama That's false statement
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 3 жыл бұрын
Allahu Akhbar!inahusikaje acheni kuingiza udini kwenye hili!Millard angalia watu wako!amani yetu ni muhimu sana!kuliko kupata tiki kwenye mitandao guys
@judithcha-mushala8852
@judithcha-mushala8852 3 жыл бұрын
Wewe unachafua mazingira baharini,unatakiwa ukamatwe
@binrashid8671
@binrashid8671 3 жыл бұрын
Anawapa samaki chakula
@mosasmwailene1626
@mosasmwailene1626 3 жыл бұрын
@@binrashid8671 AA bin rashid umeni chekesha saana mpaka nimekupenda bule anawapa samaki chakula 👍👍👍 😂😂😂😂😂😂😂
@gaspertyme
@gaspertyme 3 жыл бұрын
Hahahahahaahaha jamn dunia inamamb hahahahahah
@binrashid8671
@binrashid8671 3 жыл бұрын
@@mosasmwailene1626 😉😉
@missmoona4497
@missmoona4497 3 жыл бұрын
Si yakucheka 🤣🤣🤣🙌🙌dd umenichekesha mbona waukubalu, subuhannallah innah lillah wainnah illah rajiuna 😭😭😭😭ni msiba mkubwa kuuwa watu namna hiyo jmn🙌🙌🙌kama alikuwa kadhamiria kujiuwa akaona auwekwanza askar apate wakwenda nae yy angejimaliza tu hukohuko baharin kiroho saf
@savioursimon458
@savioursimon458 3 жыл бұрын
Uwiiii Mungu tuhurumie ila wewe ndugu yangu ndo umenichekesha mimi "waukubalu"🤣🤣🤣🤣 uwiii 🤣🤣🤣
@innocenthamisonndalahwa9541
@innocenthamisonndalahwa9541 3 жыл бұрын
Angeenda kwenye vutuo vile vya chanjo akapigapiga humooo angefanya vzr sana kuliko kuua askari na izo Allah akbar zake
@gyestudios267
@gyestudios267 3 жыл бұрын
Et Allah Akbar zake, jiangalie wew
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 au angewapiga viongozi wanaoleta chanjo na Allah akhbar juu , angefanya la maana zaidi
@emmanuelmtonyole9958
@emmanuelmtonyole9958 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Tanzania nchi TAMU sanaaaaa😂😂😂😂
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
@@emmanuelmtonyole9958 😂😂😂😂
@immaculatemakene7546
@immaculatemakene7546 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@hamishassan4653
@hamishassan4653 3 жыл бұрын
Huyu dada ana moyo kweli na jasiri sana kuweza kuangalia tukio lote hili duh..wamama wanaogopa Hadi mende Ile mama huyu ameweza kushudia tukio Zima bila hata woga.
@amosjuma4536
@amosjuma4536 3 жыл бұрын
Nimuongo wamama niwaonga au yeye nikicha
@costanciakavindi8986
@costanciakavindi8986 3 жыл бұрын
Dah! Dada was watu na watoto maskini mungu kamnusuru! Ye alitaka askari tu, kwani walimfanya nn?
@sideboy8886
@sideboy8886 3 жыл бұрын
Kibongo bongo usikie risasi uendelee kusimama tu
@hidayajonson8140
@hidayajonson8140 3 жыл бұрын
Walichukua madini yake
@farhiyyaawadh9490
@farhiyyaawadh9490 3 жыл бұрын
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RRAJIUN. ALLAHU AKBAR
@magejuliani5293
@magejuliani5293 3 жыл бұрын
Kumbe alichukua muda mrefu hivyo! Hapa tumejifunza jambo! Askari silaha lazima iwe tayari wakati wote Ila maeneo kimya km baharini na kwenye misitu lazima kuwe na Walinda usalama! Jamaa kazitia familia hasara
@emmanuelvalerian4
@emmanuelvalerian4 3 жыл бұрын
Acheni janja ya kuzima sauti kwny clip.tiss bhna
@goldprocessplant5893
@goldprocessplant5893 3 жыл бұрын
risasi zinapigwa we umesimama tu unamsikiliza dahh
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Tusijifanye km hatujawai kupigwa na butwaa Kun vitu vikitokea unawez ukasema umekuf kumbe bd
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 3 жыл бұрын
Acha tu, hujui kipi cha kuamini, yani askari wanakimbia ye anatizama kama movie,
@goldprocessplant5893
@goldprocessplant5893 3 жыл бұрын
@Mohd Kassim yaani ni mshangao aisee
@goldprocessplant5893
@goldprocessplant5893 3 жыл бұрын
@@deelissa2746 huyo dada anahadithia movie binafsi siamini maneno yake
@goldprocessplant5893
@goldprocessplant5893 3 жыл бұрын
@@rubbymusa1971 yaaani dah watu waongo jamanii
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Huyu ni mmojawapo wa ma sterling yeye na wanae mana wamejibizana na main character face to face bila hofu yoyote ile
@restitutamassawe5828
@restitutamassawe5828 3 жыл бұрын
Hakuwa na shida na raia jamani honera dada na watoto
@alishiyaalitaqwa5248
@alishiyaalitaqwa5248 3 жыл бұрын
wabongo kwakupanga maneno wanaongoza kilp 1 inasema kushushwa na ict gari huyu dada anasema katoka kwenye mawe sijui ha nn
@jellynesssemu9406
@jellynesssemu9406 3 жыл бұрын
Ww mjinga KWELI kabisa
@daimavlog
@daimavlog 3 жыл бұрын
Alikuwepo akaona wewe unaongeza yakwako
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Ndio mjinga nandomana kauliza sasa nyie mumueleweshe nasio kumzodoa
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 жыл бұрын
waongo2 hawa wla hakuwa jambazi
@rahmaseiphramadhani2094
@rahmaseiphramadhani2094 3 жыл бұрын
@@maryamshuraim4163 alkua nan sasa jmn
@calvinmmary735
@calvinmmary735 3 жыл бұрын
Kwahiyo huyu Dada alikuwa anaangalia tu kama move siyo mwanzo mwisho huo muda jamani wakuangalia ametoa wapi hivi unajuwa mlio was chuma kweli we Dada hhahhhahahahahha
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
hawa wengi ni waongo wanatunga tu.Wacha polisi wachunguze na watatuambia ukweli wote
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Police wanatoa wapi taarif si kwa watu km hawa
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 hawa waongo ilipopigwa risasi ya kwanza tu watu wote walikimbia.Polisi wameenda nyumbani kwao upanga na wamewahoji majirani,madereva taxi na familia yao.Watapata data zote kupitia simu zake.
@isayanjasi3595
@isayanjasi3595 3 жыл бұрын
Wana wa Tanzania tumuombe mungu atunusulu na haya majanga hatuja zoweya
@asiakheir8684
@asiakheir8684 3 жыл бұрын
Hamuishi kuwasingizia watu ugaidi, ngoja waje kweli, labda mnawatamani, kilasiku, magaidi ,magaidi ,magaidi ,hamuna maneno mazuri yakusema, semeni tz wacha mungu, hilo ndoo neno zur
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 3 жыл бұрын
Ukiushinda ujinga utakuwa umeshajikomboa
@michaelvicem6323
@michaelvicem6323 3 жыл бұрын
Asia usiwe mjinga yule ni all shabaab afu yule ni msomali watusumbua sana hao uku mtwara na Msumbiji ASA chekeeni wanaofuga ndevu mtavuna matunda
@dhaharanijongo9700
@dhaharanijongo9700 3 жыл бұрын
@@michaelvicem6323 we kafiri tulia hpo kuna uhusiano na ndevu mbona yesu alifuga ndevu huwe na hekima hasa comment yko inahashiria uchokozi
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 3 жыл бұрын
@@michaelvicem6323 sio kila mwenye ndevu n Gaid .Watch your talking brother .
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 жыл бұрын
Kwa hyo mtu asiongee alichokiona, mbona mnapenda sana kutetea hao wauaji? Au ndo mnavyofundishwa?
@leahmwanjokolo6513
@leahmwanjokolo6513 3 жыл бұрын
Ebu muamsheni huyo Dada anaota asijekukojoa kitandani😂😂..wakibaru
@wardahsalum9073
@wardahsalum9073 3 жыл бұрын
Allah aqbar
@AZAM_MEDIA
@AZAM_MEDIA 3 жыл бұрын
Ww unataka kumlipua millard ayo au😣🤕
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Hahaaaaa waislam kazi tunaýo
@wardahsalum9073
@wardahsalum9073 3 жыл бұрын
@@adamhashim3352 maana ata kuitamka hajui dada wa watu
@wardahsalum9073
@wardahsalum9073 3 жыл бұрын
@@AZAM_MEDIA 😂😂😂😂
@michaelmutinga5536
@michaelmutinga5536 3 жыл бұрын
Mmh....
@rashidyyusuph4386
@rashidyyusuph4386 3 жыл бұрын
Sio kila jambo walihusisha na Uislamu sio dini ya mchezo na maigizo
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 3 жыл бұрын
Shuhuda amesema alichosikia na kukiona.
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 жыл бұрын
@@sijalikifunyo912 kasema kaona kapiga magoti kabla ya kupigwa risasi lakini video tumeziona alikua kasimama wakati anapigwa risasi. HATUMUAMINI
@medimisi6930
@medimisi6930 3 жыл бұрын
@@crayonmaze9970 mh,kwani alisogea mtu naona risasi tu sasa ayo maneno Allah akbar kayasikia kweli huyu dada au ndo propaganda juu ya hii dini tu zinaendelea
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 жыл бұрын
@@medimisi6930 propaganda tu hizo, huyo kapangwa aseme hivyo
@johnmnonjela651
@johnmnonjela651 3 жыл бұрын
No comment
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 жыл бұрын
Huyu dada muongo, wapi kapiga magoti na wakati video zinaonesha kapigwa risasi akiwa amesmama🤔🤔🤔
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 жыл бұрын
@@lampadshigonko3006 kwa hiyo unamaanisha dada alipoteza network baada ya kuskia risasi?🤣🤣🤣🤣
@hassansengoba1221
@hassansengoba1221 3 жыл бұрын
Dada anahadithia movie aliyoiona
@fridaymwaseba5848
@fridaymwaseba5848 3 жыл бұрын
Wewe ulikuwepo tuelezee ilikuwaje
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 жыл бұрын
@@fridaymwaseba5848 soma tena hapo nimesha elezea
@bibah-h2133
@bibah-h2133 3 жыл бұрын
Kumbe nawee umemsikia ee
@fatmaally5865
@fatmaally5865 3 жыл бұрын
Wakibaluu Ooh mah God
@allysalehal-jaber4822
@allysalehal-jaber4822 3 жыл бұрын
wakati anasema "Wakbalu" huku wewe unafuatilia kila anapokwenda, ama?
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Ongo uyo
@evasumay2269
@evasumay2269 3 жыл бұрын
Daah pole yao
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 3 жыл бұрын
Kwanza unatakiwa uchukuliwe Shelia unakunya mavi bahalini mpumbavu ndomana nasikia kinyesi kinanuka Bora ungepigwa ww tu
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 3 жыл бұрын
Jitambue
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 3 жыл бұрын
Acheni mama anye. Nyinyi mtavumulia harufu ya kinyesi
@chrisostomchilato3277
@chrisostomchilato3277 3 жыл бұрын
Hamna k2 kchwan ww
@joelp.gideon9003
@joelp.gideon9003 3 жыл бұрын
Litakuwa Gaidi la kisomali hilo!
@kweka14l35
@kweka14l35 3 жыл бұрын
Sasa ndugu zake watakua wa moto balaa. Maana wasomali wanapenda kulipa visasi kama wale wenzetu wa kule sehemu flan
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 3 жыл бұрын
IT IS ALL ABOUT TIMING AND NOT HOW MANY GUNS ONE POSSESSES!!!
@faruhostllc1552
@faruhostllc1552 3 жыл бұрын
TRUE
@jumanassib3634
@jumanassib3634 3 жыл бұрын
DEEP!
@fatmanuri46
@fatmanuri46 3 жыл бұрын
@@jumanassib3634 fact
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 3 жыл бұрын
Mnahoji na wehu
MASHUHUDA WASIMULIA ASKARI WALIVYOUAWA DAR "KAMA MOVIE"
5:23
Wasafi Media
Рет қаралды 675 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
Why Egypt and Somalia are Teaming Up Against Ethiopia
10:50
TLDR News Global
Рет қаралды 225 М.
TAMKO KALI LA LISSU BAADA YA POLISI KUZINGIRA OFISI YA CHADEMA MBEYA
8:59
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 237 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН