Hao maskar kuna kitu wemekula cha hoyo kaka mungu amuweke mahali pema peponi amina mapolisi muache tamaa kwann tu adili na masikari
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Jamani tuendelee kuiombea nchi yetu🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu atuepushie mabalaa na aimarishe amani na utulive ..Ameen🙏🙏🙏
@ssulking81363 жыл бұрын
Ndugu asante kwa namna unavyojielezea....tuombeane mema In shaa Allah
@dynesjohn19863 жыл бұрын
Handsome mtangazaji daaaah
@ahinyula84203 жыл бұрын
Jamaa anajua sna kuelezea saf sana
@amanam27353 жыл бұрын
Huyu ndiye mtangazaji wa Millard Ayo anayejua kazi. Wengine...
@binaljabirmshihirzanzibar83693 жыл бұрын
Yeaaah bro
@muuhviva2413 жыл бұрын
Duh ebana eeeh lakini wasinge mpiga risasi kwanza tujue nyuma ya pazia
@meshack32663 жыл бұрын
Uyo jamaa alikua mpole sana
@activestudios.3 жыл бұрын
SIKU NYENGINE MSIZULUMU WATU KISENGE SENGE
@onejohnmk47533 жыл бұрын
Wabongo wengi Kiswahili chenga mbona kichwa kipo sawa na habari
@seifmpemba69703 жыл бұрын
Jamaa ameongea vizuri
@jifunzekuhusuwewe74753 жыл бұрын
Angepigwa ya Mguu , ili tujue nyuma ya Pazia Duniani kuna Mengi inawezekana kuna kitu nyuma ya Pazia ,wengine hawajui kusamehe
@mussahussein1833 жыл бұрын
Nilisema hivyo nikaonekana mjinga kwani askari wanapiga lisasi ovyo ovyo bila mafunzo
@jifunzekuhusuwewe74753 жыл бұрын
@@mussahussein183 ni Kutokuwa kuwa na Uelewa tu,
@lovvy8543 жыл бұрын
@@mussahussein183 ni mapolisi wazembe ila wangetakiwa kumthibiti akiwa hai ndo wapate maelezo zaidi lazma kuna siriflani
@salmaabduli7003 жыл бұрын
Mm NA wauliz mfano mtoto wenu kauli naukamkut mtumiw ivo utampig kofi ili akajirezee mber saw t waliv muuw
@heyumi23403 жыл бұрын
huy alikua anahasira na hawa maaskar maana nao askar wana matatizo yao
@nzwiiiiiii3 жыл бұрын
Wapo poa familia yao wako miaka mingi ni tanzania ndo mujue kama mali walifanyiwa mambo ya kiswaili yule hamza ni toto mdogo tuu baba yao alifariki miaka 15 nyuma huko akiwa mdogo hamza
@reginamanyangu66823 жыл бұрын
Kuna kitu na police wakiamua pale wanaweza ingiza hata kitu kibaya ili mladi kuiweka haitian familia
@hassanabdallah93333 жыл бұрын
polisi njaa kwelii walitaka kumzulumuu maadini boraa kijana ulivyopambanaa Mungu yupoo pamoja na wewee vzr ilivyofanya hujauwa hataa raiyaa mmoja big up brooo😍
@barrymecktz27303 жыл бұрын
Yaan inauma bac tu jeshi la polisi kiukwel mjitafakari kwa matendo yenu jaman
@catherinejohn6783 жыл бұрын
Kuna kitu apo haiwezekani m2 tu atoke kwake ety bila sababu aue maaskali hpn
@frankjohn87063 жыл бұрын
Jamaa kweli wa zamani upanga Hadi anasema nyumba ya msajili wakuja hawajui hili
@pendojuma80753 жыл бұрын
Milad ayo achen kupotosha kichwa Cha habar akiendan na kilichopo achen hizo tunawamn kabisa
@mammam47013 жыл бұрын
San kuna kit nyuma y pza
@nyamizibema60783 жыл бұрын
Askari wamemdhulumu dhahabu zao, hawakutaka kumrudisha ndiyo Hamza akaamua kuwaonesha shoo Leo anaitwa gaidi
@feimig31143 жыл бұрын
Congratulations bro.. Very few people can narrate as you did here.. God bless you.
@abuumo96373 жыл бұрын
Hongera bro umeongea vzr
@abuubakalmtangenange43893 жыл бұрын
Umeongea vyema kabisa ungempiga risasi ya mguu kumpunguza nguvu ili ujue kulikoni maana lipo lililojificha kwann aue askar tu
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Mtihani Allah Amsamee Hamza na maskakiwote waliokufa lnshallah Sikuikifika inasababu
@ramdhaniduru63353 жыл бұрын
Miladi umeanza kupotea kichwa cha habari ni tofauti na habari yenyewe sisi tunakuamini sana wacha izo
@doricaemmanuel26743 жыл бұрын
Yaani ni umama kichwa cha habari
@mishikikoti29483 жыл бұрын
Ee kweli mambo hayo amwachie carry mastory
@jamilajamila45723 жыл бұрын
Kumbe niwenyeji wa dar duh
@anordsimphorian14113 жыл бұрын
Haise jaman da
@mussadelight40383 жыл бұрын
Siyo poa
@lovvy8543 жыл бұрын
Kaka umeongea point wangempiga risasi ya mguu na Mkono wamuache akiwahai Kwa maelezo zaidi wangepata sirikubwa sana
@jumahili81213 жыл бұрын
Sio kazi ya Mungu. Ni ya shetani
@josephurupia46533 жыл бұрын
Nikweli. Wanamsingizia Mungu. Mungu awezi kuua mtoto Alie muumba.! 😢
@elisamehengowi43313 жыл бұрын
Kwahiyo hao wote wnaokufa sio watoto wa Mungu aliowaumba
@sampachino51843 жыл бұрын
Mtihani Kwa kweli 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
@seremanikimbwene10753 жыл бұрын
Huenda kuna kitu nyuma ya pazia Baina yake na Askari Polisi.
@aminamauhfoda92013 жыл бұрын
Nikweli
@pendomariki65623 жыл бұрын
Wanadai alikuwa dhahabu anapeleka kuuza hao alioshambuliana nao ni askar waliotaka kumdhulumu ndio maana hakuwa anashambulia raia alidil na polis tu
@hadijasalum63733 жыл бұрын
Niwaz kuwa kuna jambo hapo...gaid gan ajitokeze hadharani kiholela hvo
@johanesbina13023 жыл бұрын
Pendo kweeli hata mm kuna MTU kanambia ivoo tena ni girlfriend wangu mwarabu ,mama yake anamfaham fika huyo jamaa
@lovvy8543 жыл бұрын
@@pendomariki6562 basi inaonekana maaskari wamekua wakimdhulumu Sana mara Kwa mara ndo akaweka chuki nakuamua kufa nawo
@naomiiantonio37313 жыл бұрын
Nyuma ya pazia Kuna kitu Ila kwa vile no bongo ndo hivo hawakutaka kuumbuka ikabid wamuue ili kupoteza ishaidi Ila damu ya mtu haiendi bure hapa chini ya jua ipo itajulikana
@anganilekajigilikajigili26413 жыл бұрын
Kuna kitu hapo
@jumahamadomar91243 жыл бұрын
Watanzania bwana eti sikuwa na mawasliano nae yoyote wala contact nae yoyote
@mwanahawamweta7383 жыл бұрын
Tuko kidhungu zaid,kunakikoroga kama si kuvuruga
@mohdmbarouk84653 жыл бұрын
Mtihani Kwakweli kuna mdada alihojiwa amesema alimsikia na lafudhi kama isiyoeleweka lkn mtu ambae anamjuwa toka kazaliwa kaongea jinsi anavyomfaham yeye
@mwadhinjuma88833 жыл бұрын
Nikweli kaka hakika hyu jamaa anamfahamu kiundani kabisa hao wengine walitaka kuongeza chumvi wengine teyali walishaongea eti katoka porini kasema allahu Akbar akafyatua risasi wabongo bna
@khaalidcheo53833 жыл бұрын
@@mwadhinjuma8883 yule mdada muoongo kabisa eti allau akbari kaongeza chunvi mboga inoge
@hasnakimaro84943 жыл бұрын
Ni kawaida ya wasomali kuongea lugha yao japo kazaliwa tz,
@unclewillie34773 жыл бұрын
Kama hatujui mambo ni bora tu kunyamaza kuliko kutoa taarifa za kupotosha. Every statement that is made by eyewitnesses in some way is evaluated during investigations
@abdallahrajabu44013 жыл бұрын
Yule mama njaa alijua atapewa dusko
@benithabuberwa15533 жыл бұрын
Kumbe nimbongo
@kalimaoffense50353 жыл бұрын
Dah atali Sana watu wanaloho mbaya
@mustaphareua23703 жыл бұрын
Juu
@momatv20193 жыл бұрын
Dhulma haidumu hivi kama umeshasikia anafanya biashara ya madini, sasa bado hamjaelewa tu?
@lovvy8543 жыл бұрын
Tueleweshe kieleweke
@ruwahysalim96093 жыл бұрын
Nimependa sana maalezo yako hukubagua mtu wala kutia ujinga kwenye akili za watu
@azizasaid50143 жыл бұрын
Kila jambo lina sbb jmn
@babaluku43373 жыл бұрын
Duh noma
@jamesjoseph68253 жыл бұрын
Kichwa cha habari tofauti na taarifa, nyambafu zenu, acheni kukurupuka
@ashaomary57453 жыл бұрын
Wanaboa sana
@abeliantony70853 жыл бұрын
Wangelenga miguu had sangap huku jamaa yeye anatembeza mtutu wahatali huku amejifcha kwenye banda, Askali hawajafanya kusa kumuuwa wangechelewa sana angewamaliza maaskali wetu
@hadijasaidi77093 жыл бұрын
Mgodi huooooo basi akina abandika ugari mboga inakuja mgodi uliwatoa macho waliytaka wamlisi wakati so haki Yao ndo maana akiwataka hao hao si laiya
@seifdavidmkama77523 жыл бұрын
Swali najiuliza sana kwa nini awapige risasi askari tu raia hakushughulika nao
@trophywilson72113 жыл бұрын
Kuna mmoja alimuudhi
@pendomariki65623 жыл бұрын
Hao ndio walitaka kumdhulumu kwa taarifa zilizosambaa whats up alkkuwa na madin anaenda kuuzaa na ikumbukwe silaha anamilik kihalal
@phillip25533 жыл бұрын
Polisi muache thuluma mpaka jamaa kaamua kuchukua hautua mkononi
@olivernyange23493 жыл бұрын
Tuombeane watanzania tusibaguane let love lead
@salmahtarry97383 жыл бұрын
Vi
@salmahtarry97383 жыл бұрын
Polen
@salmahtarry97383 жыл бұрын
Polen xan
@omakywazamani66963 жыл бұрын
Mimi ki akili na jiuliza kuna sababu kubwa ambayo hao ma askari wanajua ila ukweli hawatosema kama huyu kijana hadhulumiwa na hao maaskari basi itakua ni kweli kaingia katk makundi ya kina alshababi ila ukweli toka mpendwa wetu magufuli jpm aondoke hawa polisi wamezidi uonevu henda ikawa ni chanzo cha matatizo makubwa ktk taifa uonevu na wizi umezidi ninae dada yangu hapo hao maaskari kila siku wanaenda kwake kumtishia nakutaka hela
@jamessakaya62313 жыл бұрын
Tuombe Mungu hii ni hatari..maana magaidi huwa wanaanza hivi hivi....
@shadrackzablon59833 жыл бұрын
Hapa kuna siri kubwa kati ya Jamaa na polisi kuna dhuluma polisi waliifanya
@suleog3 жыл бұрын
Wabongo hapo kila mtu atasema lake ,wacha tuachie serikali ifanye kazi yake ....Wabongo munaengea Sana ....
@petershedrack46683 жыл бұрын
Hebu afatiliwa Kwanza kama alichoma Chanjo
@happyglorynnko6023 жыл бұрын
Inawezekana
@lukamapunda6283 жыл бұрын
🤣😂😂😂we jamaaa duuh
@omzahara59853 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@sandyk49663 жыл бұрын
Atakua kachanja huyooo😄🤣🤣🤣🤣
@salimchikolo36073 жыл бұрын
Hahaha unamasiara wewe chanjo imekuaje Tena hapo
@nishaabdula50153 жыл бұрын
Hawana ht haibu Hao askar ss hp wanafanya kiti gn mbwa Hao yn umejaza na hp na mitutu km mihahura vile
@tareqhilal67503 жыл бұрын
Askari wetu waliouawa wako wapi hata picha hamtuwekei tuwaone??
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Naamewezaje kutumia izo siraha kama Hana akili timamu ..Huyo kafanya kusudi...auwaye KWa upanga nayeye auwawe Kwa upanga .. kama imekugusa ...msomaji like apa
@nassirvarane68523 жыл бұрын
Askar wetu wezi wanatia hasira mpk wananchi wanajitoa muhanga kwa ujinga wao
@allythemimi29873 жыл бұрын
Nani ameona vyombo
@maxmagina24353 жыл бұрын
poit safi,,,sio kuua tu bali n kujeruhi na kupeleleza chanzo
@blackbeauty84623 жыл бұрын
Aliondoka kwenda kujifunza ugaidi Huyo.
@jumafundi28713 жыл бұрын
Nikweli kabisa wangempiga risasi ya mguu, pengine kunakundikubwa la magaidi na lingejulikana ila ndioivyotena.
@challengechallenge8563 жыл бұрын
Umekula umeshiba unaongea usenge tu unawajua magaidi wewe
@jumafundi28713 жыл бұрын
@@challengechallenge856 sawa nimeongea usenge haya letewewe hayo maneno yaliotukuka yanayotoka ktk vitabu vitukufu,hatahivyo kwani huyogaidi anachapa usoni au fikiri ndipo utende nilisema pengine na yule siopolisi atawezaje kumiliki silaha, wacha kuropokwa na zarau .
@diamondplatnumz62743 жыл бұрын
Dah huyu jamaaa akua gaid bhana amza alikua mtu simpo
@jumafundi28713 жыл бұрын
Ndio tumekuja kujua ukweli ila zilebunduki 2 zilitushitua ah mungu atuswameh na atulinde na mitihani
@diamondplatnumz62743 жыл бұрын
@@jumafundi2871 unajua Tanzania sio nchi ya Aman ninchi ilio jaaa uoga yani kama tungekua tunadai akizetu wanazingua tunakua kama amza pasinge tosha hapa Seema nchi yetu Niya watu waoga tu ndotunacho shukulu
@mkazahamisi85083 жыл бұрын
mbona mara 2 mara 4
@sitiabubakar28923 жыл бұрын
Kwa kua ni msomali basi ataitwa gaidi😭😭ila huezi kumjua m2 mpaka ishi nae karibu mbona dereva taxi kaeleza vizuri kuwa anamjua toka utoto ni m2 wa amani na wakawaida🥺 Kuna jambo nyuma ya pazia
@munaamohd22603 жыл бұрын
💔🥺💔🥺
@khalfanibobewe42783 жыл бұрын
Huyo jamaa inaoneka kama kuna ishu iliyomtokea sio bure
@johariibrahimuibrahimu50213 жыл бұрын
Nnavyo sikia mm nikwamba huyo jamaa alikua anaenda kuuza madini aliyotoka nayo chunya askar wakamzurumu hapo ndipo palipo anzia
@trophywilson72113 жыл бұрын
@@johariibrahimuibrahimu5021 jamani hasira mbaya
@soudame93623 жыл бұрын
Hapo Kuna Jambo kamasio kumluzumu mgodi sijui Cha tuone huko mbele kunanini hao Askari wa kituo hicho wakamwatwe ili wahojiwe wamemfanya Nini yule jamaa mpa awashambulie kwa risasi minaona kunajambo hapo.
@pendomariki65623 жыл бұрын
Ndio ilivyo inaonekana wamezoea kumdhulumu kila akipita kwenda kuuza nayeye kaamuaa
@magengeregori39643 жыл бұрын
Finish tunapita
@mariamhamisi29183 жыл бұрын
There is a something behind for sure
@nyamaigestephano85733 жыл бұрын
NI kwwli police wamekosea SANA wangemwacha
@amosibunyigemkilya29893 жыл бұрын
Asaidie polic uchunguzi police wetu wamepoteza maisha jamani dar
@hakihaiombwikatibampya27343 жыл бұрын
MSIWAAMINI POLISI tz TENA Kazi ya polisi tanzania Official :They are snitches : Kubambikia Kesi :Kuua wenye haki :Kupora wanyonge :Kubaka masikini na vikongwe mfano kule zanzibar :kula rushwa ..mfano sirro kapewa dau :Kutumika kudhulumu ardhi :Final kupingana Mungu Aliye Hai Msiwaaamini polisi wa tanzania tena hata akikamata Mwizi ,Labda bado zamu yako ,mtaja nikumbuka
@fainajaffary40703 жыл бұрын
Fact mapolice washenz sana tu
@pascaljr.54393 жыл бұрын
Huo mtaa duuh wanakaa watalibani nin 😁😁😁
@مكتومالدرعي3 жыл бұрын
Unajua wasinge muuwa ndo wangejua ufunguzi ila wamemuuwa hakuna kitakacho julikana wangejua sababu angekua mzima katumwa au kaaamua kulipiza kisasi au na silaha kazipata wapi ingejulikana
@nishaabdula50153 жыл бұрын
Ulinzi Wan hp kwao ikiwa Nayy mmemuwa
@edwinaedwin31923 жыл бұрын
Duh
@mamylnkuzi84823 жыл бұрын
Mtu anabadilika.kila siku.kutokana na maisha anayoishi . Usimuamini.mtu MUNGU ILINDE NCHI YETU
@salumkarim693 жыл бұрын
Askari wetu bado hawana uweledi na majambo kma hya huyu ilikuwa wamvunje mguu nini hasa hadi ikawa ivyo istoshe jamaa aliishiwa risasi na akanyoosha mikono kabisa usishangae askari wetu hapo hapo kwenye lindo walikuwa huko twitter mtalibani ndo kawakumbusha ...na huwenda hilo jambo likawa lina mizizi mipana sana kwahiyo tuombe mungu tu hii nchi duh! nakumbuka zamani kdg kuna klipu AL shabab watupa salamu nyingi sana tusijisahau
@abuunuswaibahahmadi82883 жыл бұрын
ilikuwa wampige wa mguu tuu
@mwanahalimamwachili96793 жыл бұрын
Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Kaua Askari 4,Kwa Hiyo Ni Mtanzania Huyu Jambazi.
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Siyo jambazi huyoo
@mbwanakhamis96343 жыл бұрын
@@ashamwandu6572 ni nani kma sio Jambazi??
@ndukulusudikucho_3 жыл бұрын
Duh kumbe Askari 4
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
@@ashamwandu6572 gaidi huyo
@mundhiraliy13073 жыл бұрын
@@ndukulusudikucho_ Waongo hawa wamezidisha 2
@petersondo98643 жыл бұрын
Sasa wanamlinda nani,bure kabsa
@abuunuswaibahahmadi82883 жыл бұрын
askari wamekurupuka
@shadrackzablon59833 жыл бұрын
Milard tunaomba usijiingize kwenye list ya media zinazoweka vichwa vya habari tofauti na kilichopo ndani huu n utapeli kama utapeli mwingine tunakuamini mno mambo haya achia kina dar sijui mini mini na vary mastory
@asiamalonji59623 жыл бұрын
Mmmh
@geofreymelejack14073 жыл бұрын
Jaman bonge la tukio hli tz inaendaje
@khadijakdj86403 жыл бұрын
Ata kama wasingemua napenyewe yy kashauwa damu za wale aliuwauwa bado angeendelea kuchanganyikiwa zaidi asingeliweza kutoa ushaidi Akili ilikuwa ishaalibika mweu kabisa agesema nn ukiuwa naww uwawe
@sudidoto97593 жыл бұрын
Hatali sna tz ila taifa letu litakuwa sawa tuuuh poleni sana askari wetuh
@focuseric41093 жыл бұрын
jinga hilo limewaponza wazazi wake walomzaa,na litawaponza ata wasiohusika ili kujua ukwel na tutaanza kuwaogopa wasomali hawa watu hua awatabiriki kabisa!!!tue makin na hawa watu aisee ,tue tunawafuatilia sana.TATIZO LA SISI WATANZANIA TUNAAMIN NA KUWATHAMIN SANA WAGEN KULIKO ATA ATA SISI WENYEWE!!TUE TUNAWAFUATILIA ATA KAZI ZAO NAKAMA WANAFADHILI ATA MAKUNDI YA NCHI WANAYOTOKA.
@ernestlaiza39473 жыл бұрын
Acha ukabila jamaaa ameibiwa mgodi kwake na polec
@munaamohd22603 жыл бұрын
Ukabila utakusaidia Nn apa tunaongelea mauaji haijilish ni nan kafany ivo hlf usipende kuropok mmb huyajui ndugu yng cc sote binadam n dunian tunapit tu kaka
@josephkiwale34953 жыл бұрын
Wasomali mbona wako poa2
@mathewdeus30363 жыл бұрын
Basi kuna kitu nyuma ya pazia
@davidcurtis85563 жыл бұрын
Dah! Ila wabongo bhana! Wazito sana kuelewa duuu sasa kichwa cha habari kinekosewaje? Kama dereva wa tax amehojiwa na amejieleza vizuri kwahiyo mnataka pia askari waliopo eneo la nyumba alipokuwa anaishi muhalifu pia wapigwe picha ndio habari itimie sio? Sio kila kitu picha tu.
@Nicodemusowden903 жыл бұрын
The number one news updates platform 👏
@habizaziz40893 жыл бұрын
Kwenye tukio hili ulikuepo
@Nicodemusowden903 жыл бұрын
@@habizaziz4089 unaniuliza mimi au millard ndugu, mbona hujielewi na hata kama asingekuwepo wewe unavyovijua vyote ulivishuhudia au?
@ashatimo46663 жыл бұрын
Ayo unàzingua
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
Hawa watu wa jamii ya kisomali sio watu kabisa nyie chukueni hilo tukio poa poa tu, watakuja kuwauwa kama kuku, waulizeni Kenya waliwakaribisha wengi sasa wakenya wazawa wanajuta. Ni bora mkaribishe waafrika wengine hawana tabia za kigaidi na roho mbaya na ubaguzi Ila sio wasomali hawana maana kabisa hao watu.
@maftahmusa95133 жыл бұрын
hata akionewa na kudhulumiwa damu ya kisomali hua haina woga ukiidhulumu
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
@@maftahmusa9513 na police nao unafikiri wakaa kimya tu kuacha damu ya wenzao ipotee bure , yanayokuja yanafurahisha
@geofreysomi59153 жыл бұрын
Sina kipimo chakumjua mtu mwenye upungufu wa akili
@mariambenn86723 жыл бұрын
😂
@halimasulaiman32293 жыл бұрын
Kumbuka utaza wewe
@damaspmtz10183 жыл бұрын
Nchi hii tunatengeza visasi Sana bila watu kujali na uyo jamaa ukitazama tu alichokuwa anakifanya ni Kama anakisasi na Jeshi la Polosi hivyo nyuma yake kunajambo furani limejificha kwani Viongozi wetu wanatakiwa kujifunza na hata Jeshi la Polisi wajifunze kutenda haki chuki zinakaa kwa watu
@rashidibakari86893 жыл бұрын
Kweli naangekuwa chizi angeuwa watu ovyo lakini alukuwa na watu wake anao wakusudia wasinge muuwa tungejuwa mengi sana yalojificha
@malabakiponya18323 жыл бұрын
Mwita
@redmioman81053 жыл бұрын
Ila kama ana kosa mungu atakumu wote waliyo usika tukio ili
@KhalidKhalid-zt1bc3 жыл бұрын
sasa wale walohojiwa wakasema mtuhumiwa kiswahili chake sio cha Tanzanian imekaaje?
@ndukulusudikucho_3 жыл бұрын
Kipindi cha nyuma askari walikuwa na michezo ya kuwafanya vibaya wahalifu wengine waliwageuza mashoga alishawahi ongea mbunge mmoja bungeni haya ndio athari zake sasa
@nyamizibema60783 жыл бұрын
Askari acheni dhuluma, watu wanachoka na mambo yenu
@richarddavidmk3 жыл бұрын
alikuwa kasalenda,wasinge muuua,ili kujua details za ndani zaidi,. kwamaana huyujamaa juenda kuna kisa na askari.maana hakudeal na raia