MANENO YA HAJI MANARA KWA ALIKAMWE WEWE BADO MSEMAJI WETU TUTAPAMBANA MPAKA MWISHO YANGA DAY HISTORI

  Рет қаралды 32,024

BONGO TRENDY TV

BONGO TRENDY TV

Күн бұрын

Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online

Пікірлер: 49
@issa8565
@issa8565 Ай бұрын
Nice bro big up
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
MUENDELEE HIVYO HIVYO KW USHILIKIANO WASEMAJI WA CLUB KUBWA AFIKA Haji nà Ally MUWE NA UMOJA WÈNYÈ NGUVU. HAKIKA CLUB IMEKUWA KUBWA TUNASTAHILI KUWA NA WASEMAJI WAWILI 2. STAY BLESSED "
@user-rh8fq9hf2v
@user-rh8fq9hf2v Ай бұрын
Asalam Alykum shee nyie ni ndugu ktk Iman shirikisneni msije gombana Allah atawasaidia Inshaallah
@RajabuNgajurage-pr1co
@RajabuNgajurage-pr1co Ай бұрын
Alli asikubali kufanya kazi na Mzee mnafki uyo
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Ай бұрын
Kwani wewe mshauri wa Yanga? Jana usiku mlikuwa mnaeneza habari kuwa Ally Kamwe kajiuzuru, umbea wenu umeishia wapi? 😂😂Haha
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
TOKA MNAFKI MKUBWA WEWE MANARA 😢😢😢
@user-zq7jb2ij4u
@user-zq7jb2ij4u Ай бұрын
Mwanangu Ali kamwe kashapoteza tabasam lake jmn.
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Hao ni marafiki walioparanganyana kwa sababu ya maslahi.. Haji manara ana roho ya kusaidia ila atataka umtumikie na kukutangaza baada ya hapo.
@MasaiKimura
@MasaiKimura Ай бұрын
Naombeni sana Ali.kwamwe asiondoke maana huyu bugat haeleweki atatuacha njia.panda huyu ni mugizaji
@agustinoshechambo8122
@agustinoshechambo8122 Ай бұрын
Huyu ni Simba kabisa.
@mgendijr7380
@mgendijr7380 Ай бұрын
Kama jezi lak 5 zimeisha kwa bei ya jumla bas tunategemea mwakan hasara isiwepo au ikawa kwa kias kidgo sana ..maana jezi laki 5 tunategemea club imeingizia sio chini ya bilioni 15
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 Ай бұрын
Mwamba kweli kweli ❤❤
@user-zq7jb2ij4u
@user-zq7jb2ij4u Ай бұрын
MAGOMA MTARAJIWA.
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl Ай бұрын
Asante. Sana. Bugatti. Sambamba. Na. Ally. Shabani. Tunaeategemea. Nyinyi. Kuwapa. Habari. Nzuri. Za. Mabingwa. Mara. 30. Tunawaomba. Sana. Ushikiano. Mzuri. Kwa. Maendeleo. Ya. Timu. Yetu. Mungu. Awabariki. Sana
@EdgaKaingisha
@EdgaKaingisha Ай бұрын
Mbona kavimba ally kamwe hana laa
@user-zq7jb2ij4u
@user-zq7jb2ij4u Ай бұрын
Yaani hana raha kabisa anamsikiliza mrithi wa magoma
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 Ай бұрын
Kumbe kombe la Toyota ni m280. Hongereni yanga
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
😂😂😂😂😂 BUGATTI kama BUGATI HUWA NAKUELEWA SANA HUJAWAHI KUNIANGUSHA "
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Ай бұрын
Chali chaplin kafunguliwa na batiki zenu
@HamisiNguche
@HamisiNguche Ай бұрын
Amekuja kumuhatibia kamwe
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Ай бұрын
Master of disguise
@YohanaMichael-sw8vj
@YohanaMichael-sw8vj Ай бұрын
Kamwe Anahekima sana na ni mstarabu Sana
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Mstaarabu wapi hukioni kilivyovimba hapo yaani kama kimelazimishwa shiiit
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Ай бұрын
ALLY KAMWE MSTARABU SANA, ANASHIRIKIANA VIZURI NA KAKA YAKE HAJI
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 Ай бұрын
Alijuwa kama Yanga itamuacha Manara lakini Manara bado yuko na contract na Yanga na ajaachishwa kazi alikuwa anatumikiya kifungo Aliye kuonesha njia kila siku utakuwa nyuma yake boss wao ni Yanga Africa
@SamweliHozza
@SamweliHozza Ай бұрын
Hakuna kitu apo unafiki tu....
@machajuma6565
@machajuma6565 Ай бұрын
Mbona Ally hana bashasha kwenye uso wake kama tulivyomzoea kumuona?
@SamweliHozza
@SamweliHozza Ай бұрын
Alikamwe hayupo Sawa sura yake inaonesha Kuna kitu
@hamoodalrawahy2026
@hamoodalrawahy2026 Ай бұрын
KWA UKUBWA NA UZITO WA TIMU YETU NI KAMA TRANI YA MWENDO KASI IKIZIDISHA MABEHEWA NI LAZIMA UWE NA VICHWA VIWILI NA MAANA ALI KAMWE NA AL HAJJI MANARA ALLAH AKUZIDISHIE MAPENZI YA DHATI YANGA OYEEE🎉🎉🎉🎉
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Ай бұрын
Uso wa kamwe umepoteza nuru na furaha chali chaplin mzushi au shetani kafunguliwa
@pierrenyangasa7728
@pierrenyangasa7728 Ай бұрын
Ally Kamwe hana furaha
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Kina roho mbaya tu hicho kitoto
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Ай бұрын
HUYA Haji anajaribu kujufanya ana mudu lakini hana jipya analolisema
@zeelamipango
@zeelamipango Ай бұрын
Hii ndio maana ya macho kodo😅
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 Ай бұрын
Jamani mm ni yanga pia lkn naona km kipenz chetu Aly kamwe hana furaha au mnaonaje?
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 Ай бұрын
Bwana mdogo hana furaha, viongozi wa yanga ili mambo yakae sawa mmoja apigwe chini, maana wote manara na ali kamwe kwa body language hakuna mwenye Furaha
@georgelazaro3940
@georgelazaro3940 Ай бұрын
Mbona dogo kanuna sana
@KieleniALLY
@KieleniALLY Ай бұрын
Ndio muujaze uwanja
@RajabuNgajurage-pr1co
@RajabuNgajurage-pr1co Ай бұрын
Sio jezi izo ni batiki
@JackKanyigo
@JackKanyigo Ай бұрын
Poa tu yaani fresh ila tarehe 8 itazungumza
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Ай бұрын
Sasa hapa msemaji nani, nahisi hsji anarejea Yale Yale ya Ali kamwe
@KieleniALLY
@KieleniALLY Ай бұрын
Labda muingie bule maana mshazoea kuingizwa
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Hicho kitoto kinaonekana kina roho mbaya flani hivi kwa mbaaali
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Ай бұрын
USO WA HAJI UNATIA AIBU
@user-em2sd9tm1n
@user-em2sd9tm1n Ай бұрын
Hiyo ni kazi ya Mungu na mwenyewe kakuskia atakujibu kupitia mke wako atamzaa na yeye uso wake utie aibu
@stevensosipita
@stevensosipita Ай бұрын
HONGERA ZIWAFIKIE VIONGOZI WA YANGA KWA AJIRA YA WASEMAJI WAWILI WANAOJITAMBUA
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
Aaaa wee fitna bwana Si unaona Ali kamwe hana furaha na wewe
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
kombe la mechi 3 zogo Tuu
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles Ай бұрын
Uso wa kamwe hauna NURU, hapendi kufanya kazi na MANARA basi tu sasa atafanyaje. Kifupi anatia HURUMA
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 67 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 67 МЛН