Karogwa mtume wetu Muhammad (s.a.w) ndy kipenzi Cha Allah sembuse binadamu wakawaida subhanallah waislamu tuzinduke jaman watu wanajitafutia pesa mungu atuongoze katika njia iliyo nyooka amiin🤲
@gerphasntaziha447526 күн бұрын
Bora umesema wewe
@allychongowe202526 күн бұрын
Acha njaa
@rahmaabdallah451426 күн бұрын
Sharif analindwa yy si anamtegemea mungu mhhh makubwa
@SafiniaMbarouk9 күн бұрын
Mtihani huu Allah tuongoze waja wako sijui tunaenda wapi uislam umefika huku 😢watu wanatumia njaa zao kwa kisingizio cha dini
@abdallahnassor294526 күн бұрын
Ahhh Huyu Muhuni Tuu Hana Lolote Tapeli
@MabrucHamisi2 күн бұрын
Fanya kazi firdaus achana nao hao walingu huwawezuwewe endelea kumtumikia mungu binadam hawana jema hata uwafanyej kila siku utaitawa mbaya ..wanaomchukia Firdaus wote wachaw
@KadirKibana23 күн бұрын
Eti mganga wa kienyeji anajiita sharifu. Ama kweli dini imevamiwa na matapeli
Bismillahi alafu mimi kama mimi nikisikiliza kiarabu chamtu hujua shehe wa kweli kielimu na wanafunzi wenzangu yaani uislamu ulikuja na hoja ya lugha 100% safi kwa hiyo labda huwe haujasoma bado ila umejiandaa njee tuu ndani bado sio msomi wala sheikh ila darweshi tu wallahu aa'lamu bisw swawaabi
@salmaanfaqiih28 күн бұрын
Kwenye sekunde ya 28 nimesikia unasema: اللّٰ سبحانَ Na hapo pana makosa mawili: 1-Sio Allaa ni Allaah. 2- Sio Subhaana bali ni Subehaanahuu سُبْحانَهُ .
@ismailsoud363428 күн бұрын
Duna ina mambo mchanganyiko, hapo nyuma palikuwepo akina Sheikh Sharif Matongo kutoka Tabora tambuka reli, na Sheikh Sharif John wa Kutoka Arusha kama nitakosea naomba mniwie radhi, hawa wote wamepotea katika ramani katika maana ile mikusanyiko mikubwa kwa ajiri yao haipo. Sasa hivi kuna Dr. Sharif Fildaus , huyu sasa siyo Sheikh Sharif ni Dr. Sharif Fildaus. Bila shaka tutajifunza mengi kwao. Insha Allah , Rabbi akipensa namimi nitaenda kumwona.
@taurehassan739929 күн бұрын
Sio walmurisaliim labda iwe cjackia vzr walmurisaliin,Kuna haja ya ww kusoma csemi kw ubya Allah aniihifdh.a alykm warahmatullah
@muuminogega190429 күн бұрын
Hata salamu mtihani wallah hamna kitu hapa
@B.M-ix4rz28 күн бұрын
Umeona eee kuitamka Salam bac shida
@FathiyaAlshidhani26 күн бұрын
@@B.M-ix4rz 😂😂😂😂
@MuhammadWesonga29 күн бұрын
Hii ndio kibri, kujionyesha na kujigamba,kumbuka dua sio kazi,tafta kazi ukafanye,
@edwardngugi353729 күн бұрын
😂😂😂😂 wesonga kwani waluhya skuizi mnaenda msikiti
@kitaaofficial411929 күн бұрын
Hiyo ili bidi aseme kutoka na Uzushi unaondelea Mitandaoni
@JamilFadhil-fz3ri27 күн бұрын
Huyu nimganga mshirikina eti chunvi we Allah akuongoze we nimshirikina
@SaadaAlsheibani27 күн бұрын
Mungu kamtuma he makubwa hayaa,,🤔 ndio kama wale waupande wapili mpaka Leo Wana manabii
@AhmedAladhary29 күн бұрын
Manafiki.tamaa ya duniya inakushuhulisha
@SaidIslem-gy2rf27 күн бұрын
A.aleikum mwacheni shekhe afanye kazi iyo 2000 kama umeiyona nyingi mpe mzee wako wachie wenye shida wasaidiwe. Wacheni shida na kibri na zarau na ujinga msio ujua.
@zuwenafakih334529 күн бұрын
Hata salaam kutamka hajui
@nuhnuh275325 күн бұрын
HAMNA KITU HAPA
@FathiyaAlshidhani28 күн бұрын
Kishk ulimjibu tena ulimjibu vibaya sana
@KhamisSaleh-gg7ov27 күн бұрын
Kadhia Na Kazia
@nabiljumaothman591219 күн бұрын
Wewe acha kuchezea Uislam mpuuzi
@saidsuleiman901826 күн бұрын
Jee umesha yachunguza
@mohamedimiraji549522 күн бұрын
Sema hakuna anayeweza kukudhuru ila bi-idhnillah
@allyviva832824 күн бұрын
Mi nasoma comment tu
@salmaanfaqiih28 күн бұрын
Yaani sijavuka sekunde kumi kwenye hii video namsikia anasema : يا مَلَكَ الْمُلْكِ Na maana ya neno مَلَك ni malaika, unamuitaje Allaah kuwa ni Malaika wa ufalme?! Sema: يا مالِكَ المُلك Ewe Mtawala wa ufalme. Then inahitajika usome, hao Masheikh hawajakurupuka kusema wewe sio Sheikh
@FathiyaAlshidhani28 күн бұрын
Kiswahili kingi na hakuna anachojua
@JumaSelemani-gd2py28 күн бұрын
Ndoa na wachawi amekufungisha sheikh gani
@EmmaTembo-l7o23 күн бұрын
Kwendraaaaa
@allymuhammad32529 күн бұрын
Hatari sana
@Khadija1234-k8v21 күн бұрын
Mm mbona sielewi nyinyi mlie comment wote mna mtukana mnamsema vibaya huyu kaka hamjielewi nanyinyi ndo wachawi uyo kishki mnamfuatisha uchawi anaujua namungu amêuwelezea uchawi upo sasa tukirogwa tunatibiwaje acheni kuiga mambo ww kaka endelea kufanya dua achanana hawa wachawi wadunia
@JamilFadhil-fz3ri27 күн бұрын
Pete nyingi kama mganga duwa gani we mwenyewe unafa duwa
@ABUUYUSUPH-g5o28 күн бұрын
MHUNI WEWE
@cute_farhat0226 күн бұрын
Sio sharifu anaitwa abu😂😂😂
@makhanguwakhutu240826 күн бұрын
Shariffu bonoko amefika
@kitaaofficial411929 күн бұрын
Wanaokupiga vita wachawi haoo😅😂😂 Sheikh Endelea kupiga kaz na Allah akulinde na shari za Viumbe wake InshaAllah❤❤❤
@Mariam-ke4og28 күн бұрын
Shekh unazungumza maswala ya uchawi halafu aendeleee kupiga kazi kazi gani hiyo badala ya kueneza dini unaongelea uchawi sijui utaenda kumjibu nini Allah mtihani kwelikweli
@ramadhanomar809328 күн бұрын
Natumai wewe ni mwanamke...kama ni mwanaume basi kazi ipo
@kitaaofficial411927 күн бұрын
@@Mariam-ke4og Sheikh anafanya maombi kwa Waliopatwa na Maradhi hayo ya kichawi.. Madam Nenda Kasome🙏 Elimu ya Tiba ni Bahari yenye kina kirefu!!
@kitaaofficial411927 күн бұрын
@@ramadhanomar8093 Allah akuongoze kwa Usilolijua InshaAllah!!!
@Kaankaraz27 күн бұрын
We ni mjinga
@ZubeirShomar29 күн бұрын
😂 assalaamu alaaykuu daaah 😂
@Balhabou27 күн бұрын
Huyu fala 😂😂😂 sana dah yani kuna maneno nataka kuandika nacheka kwanza mtu mwenyewe mbona kama mkongo 😂😂😂😂
@komboali789228 күн бұрын
Bomu ilooo
@jayequalizer_ke129 күн бұрын
Vijana Wakitoka Madrassa Hakuna Kazi Na Wakija Kuomba Kazi Ni Kuwafukuza,Wakijitafutia Mchongo Mnawapigia Kelele
@SalehSaleh-re1ud23 күн бұрын
Hawa matapeli watapewa nafasi kwenye misikiti ya wahuni tu.
@SHEHAALI-r2q29 күн бұрын
Wewe ni muongo sana ulikuja kigambon ukatutapel ni mshezi sana ww ata kusoma hujuw
@feisaldesign415629 күн бұрын
Comment zote hzi ni zakwako ww unaejita sharif Sasa hem tafakr Kwa unayoyafany
@swaleheJama27 күн бұрын
Mzee wa upako
@فاطمةرمضان-ي2ز23 күн бұрын
Huyu mazinge nae mnafiki
@saiddgsmg26 күн бұрын
MI nahisi na huyu kishki nae ni mchawi haiwezekani amshambulie mtu ambae anawafanyia duwa watu na si haramu,,kishki ni mchawi kama wachawi wengine.
Hyu jamaa muongo Sana kma anaombea watu Toka ana mwaka mmoja tungeona ata clip yake hko nyuma
@MwajumaHassan-d5l27 күн бұрын
Huyo wa nyuma ni mlinzi wake au 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mana kukaa hakai kasimama tu nyie dunia inavituko 😂😂😂kwahiyo kashaanza kulindwa 😅😂
@habibujamali574629 күн бұрын
Maj au mawese
@Moshimminge20 күн бұрын
Unaogopa mpaka unakela vp sisi tunaokujua
@Mariam-ke4og28 күн бұрын
Mbona Kishki ulimjibu?
@sharrifidris342229 күн бұрын
Alafu vijana wote wadogo wakiajabu ajabu Wanatoka tz.huyu naye ATI aliombea watu Dua akiwa na mwaka mmoja? Mazinge Yuko hapo anakubaliana mchongo huu😢 alifanya kazi mzuri zama zake sasa anataka kumalizia na uzushi huu😢 Tz mmetuonyesha makubwa yaani wasanii pande zote mpka kwa dini😮 Allah awape rizki zingine za kheri na awanusuru kutoka kwa janga hili maana kijana hata salamu peke yake anavunja hiyo Quran ataisoma kweli?😢
Dogo muogope mungu wako, hata kimuonekan uwo uxharifu hauna
@Mariam-ke4og28 күн бұрын
Haya sasa unaanza mambo ya uchawi hivi unatangaza nini hapo, unawaombea watu na mafuta ya upako unabadilisha leo si ulisema maji yako ni zaidi ya upako leo unabadilisha, wacheni kutudanganya
@abdullsalaammahamed941524 күн бұрын
Sharif wa mchongo😂
@allyviva832824 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@edwardngugi353729 күн бұрын
😂😂😂 stori za jaba tz ndo mingi
@inamxmdsheekh197828 күн бұрын
We tapeli
@khalidwaid802128 күн бұрын
Sharifu feki tapeli
@spartachize12228 күн бұрын
Wewe nawe ukisemwa sana si ujiangalie😂😂😂tumbo lisikutie majaribuni kiasi hicho, wanakusema lkn ndo kwanza unakoleza moto
@SalimIsmail-h9x28 күн бұрын
chakwanza huyo amekufur amesa ameletwa na ametumwa alieletwa na alie tumwa ni muhammad s.a.w wew ni mtume au wew tukujuw kam nani kabla ya kuongea fikiri kwanza
@suleimanmohd.719727 күн бұрын
Mwizi huyu
@alwatanalgilgilan-y307826 күн бұрын
Sharifu feki Mungu akulani,mshenzi weee,tapelii,nyote mbwaa,munaiharibu dini kwa maslahi ya tumbo,hata ukatoka ukoo gani wewe ni tapeliii,abu jehel katoka ukoo gani ???
@baalawibaalawi570229 күн бұрын
PESA HAINA ADABU😂😂😂
@allyviva832824 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@baalawibaalawi570229 күн бұрын
Bonge la jina shk sharifu Firdausi al kadir 😂😂😂😂😂
@FathiyaAlshidhani28 күн бұрын
😂😂😂😂
@allyviva832824 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bonge la jina kidogo
@Rukaka_jr26 күн бұрын
Mbona kama amepaniki, sharifu gan hana hekima wala busara, NB; kma wee ni sharifu kwa jina tu basi hata mimi ni sharifu ila kama wee ni sharifu kinasaba ya ukoo wa mtume Muhammad (saw) ah wee ni FAKE
@AllyAman28 күн бұрын
HAHAHAH ALAMA ZA QIYAMAH HAHAH SHARIFU MUHAYA HATA HAMUOGOPI??? HAHAHA
@HassanRamadhani-ws3hh22 күн бұрын
I
@FathiyaAlshidhani28 күн бұрын
Umetumwa na Allah lini? Ulikuja kama mtume au nabii?😮
@SaadaAlsheibani27 күн бұрын
Bora umulize maana mtume wa wa mwisho ni Muhammad 😂😂
@allyviva832824 күн бұрын
Sielewi hata mimi, Naona kama mazingaombwe ndo mengi duniani.....😂😂😂😂😂😂
@KarieemWaewa-om5rc29 күн бұрын
Hivi kumbe nanyie mnaombea watu.... Me nikajua mnawasomea watu Dua. 😂😂😂😂
@allymtito811729 күн бұрын
Kwanza uyo atuonyeshe cheti chakuzaliwa km tusipo pata jina lingine kabisa
@gerphasntaziha447526 күн бұрын
Waswalia mtume mmekuwa mkidai dini yenu hainajisiwi kwamba ukristo ndio unachezewa vipi hapa? Shetani hajaacha dini yoyote. Jaribu la kila mtu linapatikana kwenye kazi, dini, dhehebu au chochote anachopendelea. Mwisho kunukuu. Huyu ni mtu ni fake kweli, ila mi nafurahi Mungu anavowaumbua waislam wote waliofikiri dini yao hainajisiwi
@KarimKarim-b9u29 күн бұрын
Matako huyu umeanza kutibu ukiwa namwaka mmoja wew ulikua mtume au acha ujinga muombe mola wako msamaha kunamoto
@FaizaSalim-y6v29 күн бұрын
hata mtume muhammd (S A W) alipewa utume alipofika miaka arbaini na ndio miujiza ikaanza, huyu amepewa nguvu na baadhi ya watu fulani ambao ni majahil kama yeye allah amuongoze yeye na waliomuongoza
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd29 күн бұрын
Umeambiwa ukapewe mtaji acha kupotosha watu kunguru mweusi we
@mwawekomiuda977929 күн бұрын
Kunguru mweusi amekuumba wewe unaejiona bora na Muumbaji ni mmoja. Kwa maana hiyo unamkosoa ALLAH moja kwa moja. Wacha kashfa zitakucost.
@khalidalmosty808729 күн бұрын
Al habib, kama wewe kweli una kipaji tokea mdogo cha kuwaponyesha wagonjwa kwa kuwashika vichwa, tusingekuwa na umati unateseka mahospitali kwa maradhi mbali mbali. Nenda kawashike vichwa na kuwasomea ili tumalize tatizo la wenye maradhi. Kwa kweli Wajinga ndio Waliwao. Njaa ni msiba mkubwa sana.
@ismailowino286628 күн бұрын
Huyu anafaaa ashikwe,apigwe vi nyahunyo ajab!
@UlfaRashid29 күн бұрын
Allah akitaka kukupa ni kun fayakun hii ni karama wapo watu hawajui kusoma wala kuandika ila wakikuambia kitu hakirudi kinakupata kwangu mm mm naona unapoona mwenzio amekosa haina haja ya kuongea mitandaoni nikuitana na kuelimisha kwa mashekhe ndio kiochetu katk jamii ushabiki hauto tusaidia
@Noor2024-l8s29 күн бұрын
Uko sahihi wallah Mimi si mjuzi wa lolote zaid ya ibada lakini nikimgusa mgonjwa Kwa uwezo wa ALLAH mgonjwa anapona, MUNGU mjuzi
@kitaaofficial411929 күн бұрын
Unajuwa wachawi mambo jaya hawapendi.. ndio wanatia fitna kila kona😅😂😂
@azizisulay600528 күн бұрын
@@Noor2024-l8sBas kimbilia ukawashike wagonjwa kwenye mahospitali wapone yawezekana na ww ni sharifu😅😅😅
@allymtito811729 күн бұрын
Kweli we shafiru wa wajinga, yani wajinasibu kuwa ww nikiboko ya majini!!!! Unauwezo gani wakuwashinda majini km si kukingwa na Allaah!!
@kamalmukaddam152129 күн бұрын
Tusomee quran na rukia tukuone kama unajua elimu yako
@ZakariaBoy-fv3kh28 күн бұрын
Hhhhbbb😂 Mganga tu ww, nenda tapeli mkubwa
@nyatya19927 күн бұрын
Daawa gani wewe wakati unawatapeli watu nje nje
@suleimanmussa195329 күн бұрын
Mshenzi ww
@mpondamedia241629 күн бұрын
viremba vingiii hata juzuu Amma huijua shubaamiti kasome kwanza fitna mkubwa wewe
@Mariam-ke4og3 күн бұрын
Unaumwamba gani wewe ni pumzi tuu inayotusaidia wanadam, hatukujui sisi unatudanganya huna unachojua wewe, umeyasomeaje hayo maji na kusoma dua hujui ?
@alwatanalgilgilan-y307826 күн бұрын
Wewe hurogeki kwa sababu unaongozwa na ufalme wa majini wanakuongoza na kukupotoa,wee dogo silimuu
@DhaharaniJongo-gt2un29 күн бұрын
Hamna kitu humo
@kitaaofficial411929 күн бұрын
Ndugu Nenda Kasome Elimu ni Uwanja mpana😅
@DaudiMakaza28 күн бұрын
Piga pesa mganga tumia Quran mn ndo inasadifu uchawi mnaomtafut mungu njoon kwa yesu nabii ambae aliish ktakatifu
@amournassorsaid769428 күн бұрын
Wale wanaotolewa na kutoa mapepo kanisani ni waislam?
@SalimMohd-g6x27 күн бұрын
Siokweli wewenimuongo mkubwa hata fatha hujui mchawi mkubwa wewe
@DaudiMakaza28 күн бұрын
Tukisema hi din ya Majin mnakataa
@Mariam-ke4og3 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣 huna kinywa cha kujibu wewe mbona huwa unajibu na unajibu kwa kibri ukazi ya kuwaza uchawi tuu hutoi utu wako bure si unatafuta pesa na kuwatapeli watu
@mpondamedia241629 күн бұрын
tusomee suuratu yaasini juha wewe
@nourannouuran351428 күн бұрын
Mchawi pesa,dini inauzwa,alafu mwenyezimungu anazoom,saa na sekunde ikifika ndio utajua mwenyezimungu,ni jabaar al mutakabir
@saidsalim452429 күн бұрын
Huna lolote tapeli tuu wewee
@TunauzaSimu-fn2ff29 күн бұрын
Naiwe asemavyo lkn UISLAM hautaki ria ukitenda kimya kimya MW MUNGU atakutangaza kupitia hao unaowaombe na ikawa Qubul kwani mponyaji ni ALLAH. Ucwe na jazba kujitapa. UISLAM hautaki majigambo. Kuwa mpole fata mwendo wa MTUME MUHAMMAD (SAW)