Mangungu ameshonwa mdomo, huo ndo ubaya wa malofa 😂😂😂
@SultanMakumbulu5 күн бұрын
Kipindi chakwanza simba walistahili penati mbili ila lefa akapotezea hata faulo ambayo imesababisha goli kwa simba haikustahili faulo mpila umeisha tugange yajayo aliye nufaika na lefa kanufaika nawapongeza wachezaji wasimba wamepambana naamani laundi yapil timu itakuwa ipo sawa hakuna balabala isiyo na mwisho
@PauloKadigilu4 күн бұрын
Kwani lefa alikuwa anacheza yaani watu banaa ni mbwa kweli refa neda ukavae sila zote waefeso 6:11
@jeamwenda73945 күн бұрын
😂😂malofa wamekushona
@colonelmustafa72135 күн бұрын
Mangungu na matola hatuwaki simba..
@abiaslimadyanse18425 күн бұрын
MANGUNGUUUUUUUUUUUU😅😅😅😅
@RashidiMwiga5 күн бұрын
Simba kumfunga yanga hadi huyu Mzee mangungu atoke Simba ni mwenyekiti ambaye Hana mbinu za kumfunga yanga.
@VitalisSway-ov1ru5 күн бұрын
Viongozi Simba pisheni na wengine waongoze mmefeli Kila kitu katika uongozi huuu . Kila mechi muhimu mnafungwa mnangangania Nini???
@CatherineAndrew-q2y5 күн бұрын
Kumbe inauma eeh mliwafanyia nn azam na dodoma na bado mtakandwa sana kisingizio refa
@davidwatson68215 күн бұрын
Ni bora tumefungwa ili tujue mapungufu yetu
@OlivaMHANDO5 күн бұрын
Ila mangungu bwana,uwongozi 0, ko urefa ungeweza wangekupa kachezeshe?.
@TwahirBurhan5 күн бұрын
Toka Mikia fc imeanzishwa sijawahi ona kiongozi LOFA kama huyu huwa si mtu wa mpira bali MIPASHO tu
@John-h4g5 күн бұрын
Ana.lolotee
@RosePetro-ck8pt5 күн бұрын
Ungechezesha wewe,mech nne goli tisa
@rashidsimba36805 күн бұрын
sasa kwa haya maneno hapo tushajua nani ni LOFA
@yusuphmpinge40665 күн бұрын
Muda hautoshi lia uku unatembea
@MsafiriJabu5 күн бұрын
Km viongozi wenyewe ndo hao hawatafka mbali kiongozi unaongea ivo
@LinusKyando5 күн бұрын
MANGUNGU JIUZURU TU USISINGIZIE MAREFA HUYO SIO HERISASI