SIKIA MZARAMO & GB 64 WAONGEA LUGHA MOJA "SIMBA MBOVU, MANGUNGU AONDOKE NA JOPO LAKE WAMESHINDWA"

  Рет қаралды 32,223

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@josephlorri431
@josephlorri431 6 ай бұрын
Mzaramo ww ndo chawa og.. mchome alisema timu mbovu,..mkamtukana sana,..yanga inafunga magoli na kushinda..mnadai eng ananunua mechi, GSM amedhamini team nyingi..mmelishwa matango pori.. hv simba amedhaminiwa na GSM
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 6 ай бұрын
Mchome sio shabiki wa simba...ni utopolo Og hata kadi yake ya Yanga ipo wazi
@josephlorri431
@josephlorri431 6 ай бұрын
@@abumuhammad9615 kwa nini unamchagulia timu... kolo kubalini tofauti ya mawazo..mchome mapovu aliona mbali
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 6 ай бұрын
Mzaramo, Kisugu, AGGY, Pasi milioni, Dr Mo, K Mziwanda, nyie ni MACHAWA wa Viongozi kila watu wakisema mnawatetea..na Viongozi wamefanya nyie ndo watu Muhimu....now Days mmetufikisha hapa. Mmemfanya 64 Hafai na GB 64 ndo Mpambanaji halali
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 6 ай бұрын
Wewe si ndio mmoja wapo jamani uko pamoja na Viongozi pole Mzaramo
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 6 ай бұрын
Ha ha haaa huyu jamaa Huwa haeleweki kabisaaa Leo timu nzuri kesho mbovuuu
@AbdallaYussuf-qz1fv
@AbdallaYussuf-qz1fv 6 ай бұрын
Hao ndio katika wale mshabiki, wanachama wa mshiiko. Huyo sindio alikua anasema usajili MZURI ya YANGA wanasajili wachezaji wa bei ndogo.
@subiralema
@subiralema 5 ай бұрын
Bora leo umekubali yanga bingwa
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 6 ай бұрын
Mwekezaji ndugu zangu ndiyo tatizo alisema anapata hasara sasa wanini mnamng'ang'ania. Aaachie wengine waje yeye aendelee na biashara yake. Huyu ndio chanzo cha matatizo simba.
@edithmakwakwa9489
@edithmakwakwa9489 6 ай бұрын
Bado hujasemaaa😊😊😊😊mpaka useme ulikuwa unapiga ngenga sana kuhusu yanga
@jbbrand73
@jbbrand73 6 ай бұрын
Kila mtu unamwambia bado ajasema😅
@edithmakwakwa9489
@edithmakwakwa9489 6 ай бұрын
Yaani maanaeka walikuwa wanafanya dharau na mambo ya maana😁😁😁
@RajabuBojo-j2l
@RajabuBojo-j2l 6 ай бұрын
Mashabik wa Simba wengi mpira wameanza kushabkia 2020 nje ndani mlikula 2016
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 6 ай бұрын
Wa Yanga walianza mwaka 70..? Inawezekana huzijui Historia za hizi Timu
@thomangwanyama7122
@thomangwanyama7122 6 ай бұрын
Bado aujasema matako WWE wwe siulisema simba hii noma
@mjinjasagamambi7531
@mjinjasagamambi7531 6 ай бұрын
Bado hujasema. Ulipuyanga sana. Leo mnamkumbuka Bareke na Phil😂😂😂😂
@mcpaulmkopa4798
@mcpaulmkopa4798 6 ай бұрын
Muhina kaduguda simba wa yuda arudishwe kwenye uongozi
@MohamediHussein-o9b
@MohamediHussein-o9b 6 ай бұрын
Licha ya ngogwe hata ikiwa nyanya chungu midomo Yenu itabaki Kua michungu Tu Huyo Ni Simba jike sio Simba Hana meno😂😂😂😂
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms 5 ай бұрын
Mzaramo pole sana😂
@beatussoka9517
@beatussoka9517 6 ай бұрын
Yule aliyemlata chma inonga Sako miksoni arudishwe
@AnnoyedBreakfast-zn2bo
@AnnoyedBreakfast-zn2bo 6 ай бұрын
Kila chuma tatizo munaonhea san😅😅😅😅 Safi San ku surrender
@mjukuuwamuuzatogwa6512
@mjukuuwamuuzatogwa6512 6 ай бұрын
#😂😂 mmeisikia #wee kelele
@jasminekatembo7899
@jasminekatembo7899 6 ай бұрын
😂😂😂iyo we kelele imetoka kwa uchungu
@kamugishakaroti2569
@kamugishakaroti2569 6 ай бұрын
Ulikuw unawatetea mbwawe leo umekubal sisi ni simba ila simba imeoza
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii 6 ай бұрын
Tena msipokuwa makini simba itakufa
@IsaacMichael-fw4cx
@IsaacMichael-fw4cx 6 ай бұрын
Eti ngogwe😂😂😂 jamani yanga Raha sana
@komboarts7110
@komboarts7110 6 ай бұрын
Jamaa pembeni analia😂😂😂
@MariaMaziku-p8b
@MariaMaziku-p8b 6 ай бұрын
Mmeona Sasa uchungu wa ngogwe kimewaramba
@AbdallaYussuf-qz1fv
@AbdallaYussuf-qz1fv 6 ай бұрын
Hawa yanga timu wanazo zifunga nizile zilizodhaminiwa na GSM sasa nyie mko kundi gani? Mmeuza au mmedhaminiwa GSM kisisirii hebu tuwambieni
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii 6 ай бұрын
Wamepewa pesa viongizi ili kuiwa simba
@nurdinngalo-hj1ow
@nurdinngalo-hj1ow 6 ай бұрын
😂😂😂😂 eti hawa ngogwe afu nafas ya pili pia ni ngumu
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 6 ай бұрын
Eti we kelelee🤣🤣🤣🤣💛💚💪💪
@AbdulrahmaniNyumba
@AbdulrahmaniNyumba 6 ай бұрын
Mchome alisema mkamuona Hana akir kumbe mzaramo ndo taila kabs
@thomangwanyama7122
@thomangwanyama7122 6 ай бұрын
V😂😂😂😂😂 simba dugi kama nyau tu
@twahaanyoni9120
@twahaanyoni9120 6 ай бұрын
Ngongwe zimekua chungu sasa hivi mkiwa mnaongea muweke na hakiba ya maneno kenge nyinyi
@charlesmwaipasi2884
@charlesmwaipasi2884 6 ай бұрын
Kubwa jinga
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 6 ай бұрын
Eti we kelele,,,,
@SaluZeco-i6y
@SaluZeco-i6y 6 ай бұрын
Dunduka og
@hamisikambona8763
@hamisikambona8763 6 ай бұрын
Eti we kelele!!
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 6 ай бұрын
Ww kisugu mlikua mnawaminisha kua Yanga wananunua mechi sasa mbona wewe umeuza mechi 2??
@bigbrother3196
@bigbrother3196 6 ай бұрын
Wewe ni ngurue tu, na litim lako, tasafu sc, aka makolo.
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 6 ай бұрын
Yani Bado Simba tunaimani na viongozi wa zee, ndio maana timu imejaa wazee, na Simba Haina viongozi vijana?
@abdallahhamisiiddi4513
@abdallahhamisiiddi4513 6 ай бұрын
Bado azam
@thomangwanyama7122
@thomangwanyama7122 6 ай бұрын
Nyie wote viboga tu mwamba mchomi tu kitambo alikua anawambia nyau nyie aya mulimbeza kiko wapi ukweli munsujua ila mulikuwa munajipa moyo tu 😂😂😂😂😂 mutakonda Sana wewe na kisugu kabaki kichwa tu tengeee
@JahBless-fi8ko
@JahBless-fi8ko 6 ай бұрын
Wanakula gechi
@godsonmgisha5517
@godsonmgisha5517 6 ай бұрын
Nguruwe nyie
@QchiefuBarnaba-u3q
@QchiefuBarnaba-u3q 6 ай бұрын
Bado hujasema choko wewe
@abdallahhamisiiddi4513
@abdallahhamisiiddi4513 6 ай бұрын
Wewe nikuma tuu
@BoniphaceLungwa
@BoniphaceLungwa 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@fadhilimkumbalihu3031
@fadhilimkumbalihu3031 6 ай бұрын
Acha ujinga azakutoka wewe chizi wa simba.unabwabwaja tu
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 6 ай бұрын
Mwekezaji ndugu zangu ndiyo tatizo alisema anapata hasara sasa wanini mnamng'ang'ania. Aaachie wengine waje yeye aendelee na biashara yake. Huyu ndio chanzo cha matatizo simba.
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms 5 ай бұрын
Mzaramo pole sana😂
@thomangwanyama7122
@thomangwanyama7122 6 ай бұрын
V😂😂😂😂😂 simba dugi kama nyau tu
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 6 ай бұрын
Mwekezaji ndugu zangu ndiyo tatizo alisema anapata hasara sasa wanini mnamng'ang'ania. Aaachie wengine waje yeye aendelee na biashara yake. Huyu ndio chanzo cha matatizo simba.
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 6 ай бұрын
Mwekezaji ndugu zangu ndiyo tatizo alisema anapata hasara sasa wanini mnamng'ang'ania. Aaachie wengine waje yeye aendelee na biashara yake. Huyu ndio chanzo cha matatizo simba.
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 6 ай бұрын
Mwekezaji ndugu zangu ndiyo tatizo alisema anapata hasara sasa wanini mnamng'ang'ania. Aaachie wengine waje yeye aendelee na biashara yake. Huyu ndio chanzo cha matatizo simba.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 351 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 131 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
Mangungu Awataja Wasaliti Wa Simba | Alikana Tawi la VIP
15:52
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 66 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 351 М.