Huyu ndeio Mbaya sana Magungu. Kwa nini haondoki Simba. Huyu ndeio ana ongea maneno matamu na kwa nyuma ana hujumu Simba. Yuko na Try Again. Hawo wawili wana huseyano na timu zigine ku hujumu Simba.
@stanslausmteme84559 ай бұрын
Pumba tu hamna kiongoz hapa hata hoja hana
@PhilkevinFelix9 ай бұрын
Njaa mbaya
@RamadhanJuma-c7k9 ай бұрын
Machoyakotu Yana jionesha kuwa yanakitu
@charleskuyeko44009 ай бұрын
Tunaomba mtuwekee namba za Simu za Viongozi wa Bodi kwenye Simba App ili kuimarisha mawasiliano. Na bila kusahau namba za CEO.
Ww unakili sana ila mangungu anakili zaidi yeye ndie anae ng'ata na kuliza ila kuweni makini wana smb wezang
@RoseMtupa9 ай бұрын
Mangungu hatukutaki
@KaizaMfuse9 ай бұрын
Tunacho taka sisi ni ubora wa timu tu hayo mengine hayatuhusu,tunataka timu irudi kama zamani
@SIRIAANHAJI.MAKAME9 ай бұрын
jamani fanyeni.yakweli.musi.tuchapie.chapie.hapo
@Josephhaulejoseph6029 ай бұрын
Acha kupiga kampeni ww ongea point bn mbona unapg kampeni
@stanslausmteme84559 ай бұрын
Huyu hamna kitu
@stanslausmteme84559 ай бұрын
Huyu hafai kua kiongozi
@MaigaManyama-n9z9 ай бұрын
Tunaomba tumi iwe na wachezaji wanao tujima,siyo wachezaji wanachza wanatembea uwanjni
@chomboyafundi37879 ай бұрын
Ww watu hawakutaki toka
@AugustinoLuanda-n5v9 ай бұрын
Hiyo ni kampeni
@mathiasissa71389 ай бұрын
Mlete baba yako ndo awe mwenyekit
@Emanuelmarco-n4e9 ай бұрын
yaan hap kama hao washikaj bado wap hamna mlicho tengenza mangungu hamna kiongoz hap ukiyaskiliza vzr manen yake ni porojo tu, hatufai san huyo bwan na mwezek huyo