RAIS MAGUFULI ASHANGAA - "WATU 78 WANASUBIRI NIWANYONGE, KUMBE WANAPENDA KUNYONGWA"

  Рет қаралды 1,225,004

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

RAIS MAGUFULI ASHANGAA - "WATU 78 WANASUBIRI NIWANYONGE, KUMBE WANAPENDA KUNYONGWA"
RAIS John Pombe Magufuli amezindua Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Februari 04 jijini Dodoma ambapo amekiri kufurahishwa na viongozi wa jeshi hilo pamoja na jeshi lote kwa ujumla kwa lufanikisha jambo hilo.
Aidha Rais Magufuli amekubali ombi la jeshi hilo la kubadili matumizi ya fedha za bajeti zilizotengwa kwa ajili ya jeshi hilo na kumpa agizo Waziri Simbachawene kufuatilia suala hilo.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 399
@zeadyzakaz386
@zeadyzakaz386 9 ай бұрын
Taifa letu nchi yetu ibarikiwe milele Mwenyezi Mungu wakumbuke viongozi wetu wawe na maono yaa kufikisha nchi yetu mbali ili tuwe mfano wa kuigwa na mataifa mengine zaidi... SIASA SAFI NA SIO UDIKTETA tutafika mbali R. I. P babaa
@codermasye3763
@codermasye3763 3 жыл бұрын
Aliyesikia nguvu za kubaka ziishie kwenye jembe gonga like hapa
@thegospelmessage5039
@thegospelmessage5039 3 жыл бұрын
😁
@SalimuMohamed-ep4sn
@SalimuMohamed-ep4sn 4 ай бұрын
😂😂😂
@anethclay4701
@anethclay4701 3 жыл бұрын
Kwel huyu mzee anaofu ya mungu sana mungu akubariki sana baba yetu
@gideonphilip7686
@gideonphilip7686 3 жыл бұрын
Sawa awasemee na wale wanaohukumiwa kifo mitaanii na watu wasiojulikana , mfano Tundu lissu alihukumiwa kifo bila kusikilizwa, nimuombe achukue hatua kulaani vitendo hivyo.
@explorelondon3695
@explorelondon3695 3 жыл бұрын
Kweli kifo hauna huruma, hatutamuona Baba tena😢😢🙏
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 3 жыл бұрын
Tanzania muna bahati kweli .........long live Dr JPM Mungu akupe maisha marefu
@nsangafamily30
@nsangafamily30 3 жыл бұрын
Am rwandaise I love president wa tanzania ukweli you people you are blessed
@violetnjau6290
@violetnjau6290 3 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akupe moyo wa upendo na uvumilivu Baba yetu.
@swahibumgaya4357
@swahibumgaya4357 3 жыл бұрын
Namimi nasapoti hilo
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Ameeen
@abbaimran4122
@abbaimran4122 3 жыл бұрын
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa na Mungu ,uongozi bora si bora uongozi Afrika nzima wangeiga mfumo wa JPM wa Tanzania Africa ngekuwa pepo ya dunia hata world super powers watatamani.Ewe Mungu tusaidie
@htx1873
@htx1873 3 жыл бұрын
Ha ha haaaaa eti mpaka nikaogopa hivi huyu hajanyonga kweli... maana sio kwa kuelezea huku.. jamani nimechekaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 nusu nigonge Gari.. mungu wangu rahisi nampenda huyuuu
@kazenimichael332
@kazenimichael332 3 жыл бұрын
mutupori
@kazenimichael332
@kazenimichael332 3 жыл бұрын
Mtupor
@erickedward3143
@erickedward3143 3 жыл бұрын
Dhu
@issayamshana3750
@issayamshana3750 3 жыл бұрын
Anabaka mtoto alaf badae akifungwa unamlisha
@sammanjeka7357
@sammanjeka7357 3 жыл бұрын
Mh.Rais nikwel wafungwa wengi wanaukumiwa kunyogwa ila syo wote wanamakosa wengine wamesingiziwa tu Mungu akupe moyo wakuendelea kusamehe bure
@user-je1id1tx1u
@user-je1id1tx1u 3 жыл бұрын
Kama wale wazee wa njombe walivyo achiwa na kutoa historia yao unalia
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 2 жыл бұрын
@@user-je1id1tx1udahh kwel kizur hakikosi kasoro 🤔
@baimwampamba1010
@baimwampamba1010 3 жыл бұрын
TUNAKUPENDA SANA RAIS WETU.Kweli makosa yao yaweza kukuza uchumi wetu kwa kasi.
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 eti wanapenda kunyongwa pole baba Mungu akulaze pahali pema tuta kukumbuka daima 😔😭😏🙏
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa uongosi nimt2hani mudamwingine mungu akulinde
@ullymwakyoma3257
@ullymwakyoma3257 3 жыл бұрын
Kwa kweli walime kwa kwenda mbele wakitoka jela watakuwa wakulima wazuri
@velmaomuyoma1449
@velmaomuyoma1449 3 жыл бұрын
I will miss the great leader, our African President
@maryojungu8647
@maryojungu8647 3 жыл бұрын
Najivunia Kuwa na kiongozi Kama Mh.Rais JPM...
@eucabethbota1659
@eucabethbota1659 3 жыл бұрын
Nakuheshimu sana kwa usauli wako mzuri Raisi
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 3 жыл бұрын
Tuwe pole kwa sote
@monikakavi2271
@monikakavi2271 3 жыл бұрын
Nakupenda baba💟
@sandrahkalibu6265
@sandrahkalibu6265 3 жыл бұрын
Nikweli kabisaa lala salama magufuli
@nebartmwakibinga9262
@nebartmwakibinga9262 3 жыл бұрын
Jaman Rais wetu Mungu akubariki sana una Moyo wa huruma mno na ni kweli uongozi ni msalaba barikiwa Sana
@mtumishiwamungunelson1684
@mtumishiwamungunelson1684 3 жыл бұрын
Siyo kila mfungwa aliyeko gerezani amefanya kosa wengine wamesingiziwa tu.
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
sana sana
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Of koz!!
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Tutajuaje sasa wakati mahakama inakuwa imesibitisha kuwa anahatia.
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 3 жыл бұрын
Hii haiwezi kuwa sababu ya kutofanya kazi. Kama ushahidi hata ukiwa wa uongo hauhalalishi kulishwa bure
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
watu wanadhulumiwa2
@hadijaseef8777
@hadijaseef8777 3 жыл бұрын
Uko sawa mkuu
@zengomunguatuepushenajanga7416
@zengomunguatuepushenajanga7416 3 жыл бұрын
Maerezo ya munyongaji yanaenda vizuri hajanyonga kwer
@kingsugu5388
@kingsugu5388 3 жыл бұрын
Upo Sawa Mheshimiwa Rais Wangu Unaipambania Nchi.
@sheisgodorait5721
@sheisgodorait5721 3 жыл бұрын
Kweli mungu yupo mbele yako baba unahofu hata kunyonga
@ahmadishaibufataha1481
@ahmadishaibufataha1481 3 жыл бұрын
Hapa kwenye mfungwa ni trecta hapana mzee wetu iyo aipo sawa mfungwa ni binadamu na sio wote walioko majera wamefanya makosa wengine wamesingiziwa tuu
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Sasa unataka mfungwa alale tu ndani mpaka muda wake uishe? Anakula analala tu?? Sisi watu wa nje ndio tulime wao wale tu? Kuna wilaya zina njaa wao wafe wafungwa wanenepe?? Ikija issue ya kunyonga ndio maana wanakaa mpaka miaka 30 bila kunyongwa mpaka uhakiki upite Hujui kitu wewe
@evcloudjuma9790
@evcloudjuma9790 3 жыл бұрын
We nduguyangu boya nini,ww umebaka unataka uitwe mheshimiwa!? Si wote atatushawish kubaka.
@ashtube1333
@ashtube1333 3 жыл бұрын
Tunakupenda Rais una moyo WA iman bora ulivoamua kutowanyonga
@emanueldaud2360
@emanueldaud2360 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki mzee
@josephatpaschal7517
@josephatpaschal7517 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde uwe na moyo huo huo wengine wafuate
@angeljohannes8630
@angeljohannes8630 3 жыл бұрын
Najivunia kiongozi mzuri mtiifu namwenye Ahadi kamilifu, barikiwa Sana Baba yetu wataifa letu tukufu la Tanzania,🇹🇿🇹🇿🙏🙏
@missmoona4497
@missmoona4497 3 жыл бұрын
Yaaan ukihukumiwa kwenda gerezan hiz zama za magufur aisee utatamani ujiuwee🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Nahao waliohukumiwa kunyongwa wakiona magufuli anasamehe wafungwa huku uraian wanafanya matukio makubwa mno tena mno hayasikilizik hayatizamik, wakisha hukumiwa ukimkuta gerezan anatumikia kiungo wallah utamuonea huruma nakumuhis huyu alionewa ,Tazama jins watu walivyokazana kuuwa yaan wanaona kitu chakawaida sana kama anauwa kuku anajua nikifungwa nitasamehewa, hiv yule bb alie muuwa mkewe nakumuweka kwenye kiroba kisha akachimba shimo nyumba ni kwake akamtia mule hara akamimina gunia mbili za mkaa akamchoma hadi akahakikisha imebak mifupa akaichukua wakaenda zika shamban kwake mkulanga juu ya shimo aliloweka mifupa akapanda mgomba kupoteza ushahid, huku yy na marehemu wanakitoto kimoja chenye umri wa miaka isiopungua5, mtu wa aina hiyo ukimkuta ananyongwa utamuonea huruma? Harafu lijeuri kamann likiletwa mahakaman linataka kupiga waandish, kes za mauwaji wanaume kuuwa wake zao wenyewe tunaziona nawauwaji wanakusaidia makosa nahuku uraiyan wameacha watt wakiwa wanahitaji malez ya mama na wakiwauwa mama zao wanawauwa kinyama mno🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Leo wasamehewe kunyongwa watu wanamna hiyo ? Hata mungu anasema alieua na auwawe ili iwefundisho kwa wengine kukatiza uhai wa mwenzio kirahis rahis tu si kitu chakawaida tena unaua bila hata huruma🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭😭Muheshimiwa wanyongwe tu bila huruma kama ambavyo walivyouwa wao👌👌👌👌wasijitilishe huruma hao.Mtu unaua kitoto kichanga kimalaika kisichojua hata kuomba maji🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭leo usamehewe et by mistak kirahis rahis tu🙌🙌🙌🙌🙌
@akwity
@akwity 3 жыл бұрын
US should adopt his concept, I’m sick of my taxes paying for criminals.
@salomessmart9814
@salomessmart9814 3 жыл бұрын
Sna cha kusema bana ila naomba mungu akupe maisha marefu
@De-Richie001
@De-Richie001 3 жыл бұрын
Buriani ameaga magufuli😫😭😭
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
100%100
@aliceondeko3455
@aliceondeko3455 3 жыл бұрын
Till you loose it what agreat leader RIP BABA
@user-ko7pv1fh7d
@user-ko7pv1fh7d 6 ай бұрын
R,i,p jpm mungu Akulaze pahala pema peponi 😭😭
@stellakago1345
@stellakago1345 3 жыл бұрын
Rest in power Baba. Mungu akupe pumziko la milele
@terrellbyron6593
@terrellbyron6593 2 жыл бұрын
i know Im asking the wrong place but does anybody know a way to get back into an instagram account..? I somehow lost the password. I would appreciate any help you can offer me
@quanthug9517
@quanthug9517 Жыл бұрын
@@terrellbyron6593 was she or he registered the account only by using the account of Instagram or they did the same thing to register it by using Facebook,if the did so ,the ur friend suppose to enter through Facebook,I also lost ( forgot) my Instagram password so enter their through Facebook.I don't think so if there's any other an alternative way.Thank you.
@ckibraboy
@ckibraboy Жыл бұрын
Harmonize katika show ya ckibra boy jijni dodom
@adomatichristopher4052
@adomatichristopher4052 3 жыл бұрын
The only president in Africa who is serving his nation.
@starridge3615
@starridge3615 3 жыл бұрын
Wanaokwenda jela sio wote wenye hatia wengine wanasingiziwa
@nicksongerson1707
@nicksongerson1707 3 жыл бұрын
Sio kweli rais wetu .. Eti wameshafanya mauaji tiari 78.. Kesi zinachelewa uliowaamehe walikuwa wamehukumiwa .. Baada tu ya msamaha wako .. Ilichofanya mahakamani ni kuwahukumu wengine waliokuwa mahabusu tena wa miaka mingi waliokuwepo gerezani ... Hawapendi kunyongwa mkuu wetu .. Same he bure Mungu atakutendea makuu.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Sii kila mfungwa nimkosaji
@ngisianbn
@ngisianbn 3 жыл бұрын
Huyu kweli alikuwa BABA WA TAIFA
@nkurukiyesamuel4043
@nkurukiyesamuel4043 3 жыл бұрын
Lakini huyu mtu si aongezewe 20 years after jamani? Sina mengi napita tuu
@leilatsangali3945
@leilatsangali3945 3 жыл бұрын
Vizuri havidumu jamani😭😭😭
@rehemabaynit6477
@rehemabaynit6477 3 жыл бұрын
Ndo basii tena mungu kaamua
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 3 жыл бұрын
Mi nilizani azabu ya kunyongwa ilifutwa kumbe ipo?😢😢
@musamgulila577
@musamgulila577 3 жыл бұрын
Duh hata mm
@joycekasimbazi9817
@joycekasimbazi9817 3 жыл бұрын
Jamani makosa mengine ni makubwa mno
@johnallen680
@johnallen680 3 жыл бұрын
I see a blessed president from God my daddy john long life
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 2 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi kipenzi chetu amakwa hakika hutasahaulika maishani mwangu
@saidihassan5895
@saidihassan5895 3 жыл бұрын
umeongea vnzr sana muheshimiwa ila usiongeze miaka tutakufa maisha magum sana
@veronikaamaaakwelisiaminim2295
@veronikaamaaakwelisiaminim2295 3 жыл бұрын
Said uko vizuri
@nostusmchilo5645
@nostusmchilo5645 3 жыл бұрын
Sain wetuishi milele
@isaaczagabe3417
@isaaczagabe3417 3 жыл бұрын
Rais wetu Magufuli hata uku kwetu Congo DRC tuna endelesha kuku liliya kwani tumekupenda saana zaidi mimi Isaac mwenye naandika.
@oloem268
@oloem268 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣...."wanafurahia kunyongwa!" Magufuli is funny
@makomangozanzibar5916
@makomangozanzibar5916 2 жыл бұрын
Utalifa ya asubuhi
@seifmsabah4384
@seifmsabah4384 3 жыл бұрын
Muheshimiwa rais ww ni mtu ambae umesoma n pia allah amekujalia ww akili yakujiendesha katk maisha yko hivo bc km nimwanachama wako n nimshaur kwako elewa kwamb mfungwa nibinadam n anastahili apewe hki za kibinadamu na pia unatakiwa uchunguze huyu mtu amefika sehem hiii kwa lengo gni au kosa gni muheshimiwa rais nihivyo
@valentinirichard
@valentinirichard 3 жыл бұрын
Nampongeza sana Rais Magufuli, anastahili sana kwa mawazo yake
@brianbundi8588
@brianbundi8588 3 жыл бұрын
May his soul rest in peace
@gefikavou5610
@gefikavou5610 3 жыл бұрын
Mh John P Magufuli Baba mdogo wataifa
@tendwajohn7785
@tendwajohn7785 3 жыл бұрын
Kifungu no 196 sura ya 16 kinampa mamlaka jaji kutoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Kuliko kuwahukumu hii adhabu wapeni maisha
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Longer live my prsdnt
@mainastephen6278
@mainastephen6278 3 жыл бұрын
r.i.p mr President
@yothamclement6469
@yothamclement6469 3 жыл бұрын
Mwenyesikio ameckia matractor yaliyofanya makosa yalime kuzalisha chakula Hadi chaasikali (😂😂 matractor yaliyofanya makosa🤜🤛)
@nyotayamashariki5411
@nyotayamashariki5411 3 жыл бұрын
Ukweli mtupu unao sema mweshimiwa
@chalammsabaha4150
@chalammsabaha4150 3 жыл бұрын
Mmh
@prettynayally2177
@prettynayally2177 3 жыл бұрын
Wawasambaze mtaani wajengee nyumba za masikini za wazee na watoto yatima
@elimutajiri2582
@elimutajiri2582 3 жыл бұрын
Una akili sana ase ✊✊
@nasseradel9784
@nasseradel9784 3 жыл бұрын
Baba we ninguzo ya Tanzania
@biddii1972
@biddii1972 2 жыл бұрын
Kama ww uwezi 2022 anaweza
@zefamange7281
@zefamange7281 3 жыл бұрын
SANAAA COMMANDO WANGU JPM
@sadamakokola7658
@sadamakokola7658 3 жыл бұрын
Kuzaakwawende
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
Natamani ni comment kwa vois😆yani mtu akika jela zaidi yamyaka2 akitoka hua aokopi kutenda zambi kubwa sijui kwanini🙄
@kulwasamwel4037
@kulwasamwel4037 3 жыл бұрын
Kweli wafanyekazii taifa lifaidii
@stellamartin3719
@stellamartin3719 2 жыл бұрын
Hongela mangufuri mungu akupumzishe kwaamani magufuli wetu 🙏🙏
@linaryugen6400
@linaryugen6400 3 жыл бұрын
Ni kweli tunawalisha kwa Kodi zetu
@alhamdullilla5108
@alhamdullilla5108 3 жыл бұрын
Makufuli president ni raisi mzuriiii saaana sijawahi kusifu raisi wa Tanzania ila Mueshimiwa makufi ni mtu mzuri saaana ni Raisi mwenye akili nyingi na anapenda watu wakeee mashaallah 🤲🤲🤲🤲
@dancannyongesa
@dancannyongesa 2 жыл бұрын
Rip John pombe makufuli 😭😭😭
@chogowambura4779
@chogowambura4779 3 жыл бұрын
Magufuli oyeee
@erickmitima8326
@erickmitima8326 3 жыл бұрын
Mimi ni mkongomini kweli tanzania mume barikiwa kupewa raïs mcha mungu mhongozi wa kweli kwenyenye Bara la Afrika hakuna kama yeye
@luambanotv9357
@luambanotv9357 Ай бұрын
If all leaders could there fore have the same good behavior, such this of Gods fear, our nation couldn't become in deep pain
@josephatpaschal7517
@josephatpaschal7517 3 жыл бұрын
Pola Sana pole san
@chalammsabaha4150
@chalammsabaha4150 3 жыл бұрын
Mheshimiwa rais
@shabanisuzuguye6041
@shabanisuzuguye6041 3 жыл бұрын
wasamehe mheshimiwa 7 mala 70
@tpicalgeemusic5597
@tpicalgeemusic5597 3 жыл бұрын
May God bless u maghufuli .
@jeffkibonge8193
@jeffkibonge8193 3 жыл бұрын
Tuna anza ku kukumbuka
@silvangabriel3592
@silvangabriel3592 3 жыл бұрын
Kwan kunyonga ninini
@user-rm8qb4xo6l
@user-rm8qb4xo6l 4 ай бұрын
Jpm mungu akulinde milele 5:54
@frankkigo2098
@frankkigo2098 3 жыл бұрын
I envy Magufuli....RIP SIR
@jawadurashidi592
@jawadurashidi592 3 жыл бұрын
Nikwel mkuu
@claramhina9605
@claramhina9605 3 жыл бұрын
Kama kule Kingulwiira Magereza tumekua kwa kunywa maziwa na samli mafuta ya ngombe kila jioni magari yalikua yanatoka mjini kuja kuchukua maziwa kulikuwa na ngo'ombe wengi wa Magereza maziwa mazito ndio yalitukuza lakin Leo sidhani kama bado papo pale mkonowamara Deli tulikuwa tunapaita. Umaanza na Gereza Mtegowasimba unaenda mkonowamara unapita mazizi ya ngombe unakuja deri wanapokamua alafu unakutana maazizi na eneo la kutengenezea mafuta ya samli unapita kwa kwa mkuu wa gerwza la wanawake unakutana na mazizi alafu gereza mkonowamala la maabusu huko walikua wanafuga mabata mxinga wanalima machungu,madaransi na gereza la wanawake walikua wanalima mahindi na kushona mashuka na vikapu vya urembo na marrmbo ya ukutani kwa kweli ilikua nzuri sana sasa hivi sijui kama vipo jamani
@tamiridarous6663
@tamiridarous6663 3 жыл бұрын
C sawa kwa hili kunyonga c haki kwa binadamu mungu mwenyewe ndio anatowa roho c binadamu lkn hapo gerezani ni chuo cha mafunzo ss wafungwA wanapowajibika hukumu yaoo basi wawekewe amana yaoo wakihukumiwa hata wakitoka wapate hata cha kujiendeleza kwa maoni yangu me kama nimekosea mutanisamehe
@eksielo4608
@eksielo4608 2 жыл бұрын
Hakika huyu mfalme alikuwa na upeo wa hali ya juu
@nyotayamashariki5411
@nyotayamashariki5411 3 жыл бұрын
Ukweli MUNGU ANASEMA NA WW AKIKA
@totoozebingwa4076
@totoozebingwa4076 3 жыл бұрын
My bresident rais wangu kipenzi changu...🙏 Long live uncle magu
@mtorosenga1272
@mtorosenga1272 3 жыл бұрын
Haki za binaadamu
@badboykiemke
@badboykiemke Жыл бұрын
Munguuu Akulindee san uko uliko
@brandonkaburu1891
@brandonkaburu1891 3 жыл бұрын
Rest in peace baba magufuli
@biddii1972
@biddii1972 2 жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema peponi mzee
@samwelmangi843
@samwelmangi843 3 жыл бұрын
Ila wew baba binafsi huwa nakuelewa sana JPM
@hastonishington.digitalwpra
@hastonishington.digitalwpra 3 жыл бұрын
Hapana kitu wewe uri sema mimi, mimi baraka kuuliza moja swali nini/mbona katika hii screen m'rais magufuli?
@mwasilekabasa3272
@mwasilekabasa3272 2 жыл бұрын
Mungu Akutangulie
@azaboicomedy
@azaboicomedy Жыл бұрын
Boss Magufuli 📌
@petermuratha9182
@petermuratha9182 3 жыл бұрын
Huyo ndiye alikuwa rais wa kweli nchini Tanzania.
@JaneUrasa-wp1om
@JaneUrasa-wp1om 5 ай бұрын
Bishop elibariki sumbe
@hurumamwalubanda7107
@hurumamwalubanda7107 3 жыл бұрын
Umelala yoo baba umelala kweli siamin vizuri havidum
@yezagproducts8567
@yezagproducts8567 8 ай бұрын
Baada ya Mwalimu JK NYERERE kutangazwa mwenyekheri na hata utakatifu anayefuata siku si nyingi ni Magufuli atatangazwa kuwa mtumishi wa MUNGU tayari kuelekea ukheri na hata utakatifu. Mungu ndiye anayejua uliko langu ni kumuomba akuepishe na ubaya wote wa mauti na upate rehema upumzike kwa amani, Amina.
@mussahussein183
@mussahussein183 2 жыл бұрын
Mtrecta
@jibabaramadhan1712
@jibabaramadhan1712 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba magufuli ulikua mkombozi kwa raia mnyonge..lakini.nduli wakandamizaji wasio penda haki wakakuangamiza...ila ulikua rais wakipekee sio tanzani wala africa bali dunia mzima..haija tokea kupata kiongozi kama wewe..malipo yako utapata kwa mungu siku hio teule r.i.p..mzee magufuli...
@gastonburchard4814
@gastonburchard4814 11 ай бұрын
Ulikuwa sahihi Baba
@saniakisinga3645
@saniakisinga3645 2 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema.
@danielemmanuel5037
@danielemmanuel5037 3 жыл бұрын
Nam
@kenedykioko5441
@kenedykioko5441 3 жыл бұрын
I salute you sir.
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 58 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 56 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 12 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 22 МЛН
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Churchill Television
Рет қаралды 61 М.
۱:۲۰ بامداد به وقت بغداد
30:01
Radio Farda
Рет қаралды 2,2 МЛН
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 58 МЛН