MANULA AFYEKWA NA SIMBA BILA MWENYEWE KUJUA / AYOUB ATAKIWI NA VIONGOZI ILA MIKATABA YAKE MIGUMU

  Рет қаралды 23,440

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 ай бұрын
Ukimfanyia Interview Ahmed Ally uwe Makini sana ana Akili mno...He's very Bright..big up sana Kwake..💪💪
@Mohamed-k1c7s
@Mohamed-k1c7s 2 ай бұрын
Yule comedian au??
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
​@@Mohamed-k1c7sUTAUFYATA TU NG'OMBE WA MAZIWA NYIE YENU MAJANI TU 😂😂😂😂
@stanastana3199
@stanastana3199 2 ай бұрын
Watangazi wanahama hama balaa sahii crown media imewachukua
@DambweRama
@DambweRama 2 ай бұрын
KUMESHAANZA KUCHANGAMKA 👑👑👑👑 HAPA NI NYUMBANI
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 ай бұрын
Crown mubarikiwe sana, nawakubali
@honestthomas1549
@honestthomas1549 2 ай бұрын
Namna yoyote siyo yeyote
@hamismwangwale563
@hamismwangwale563 2 ай бұрын
Jamaa ana kichwa Sana , amed
@salumumwela5775
@salumumwela5775 2 ай бұрын
Akili kubwa sana Ahamd
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 ай бұрын
Radio hii tupo paleeee
@drallan6879
@drallan6879 2 ай бұрын
vipi mwenda Yuko wapi?
@skyscapeinternational9658
@skyscapeinternational9658 2 ай бұрын
hapa ni nyumban
@jamalmanishi7282
@jamalmanishi7282 2 ай бұрын
Ndugu zangu sivema kutukana mtandaoni kama mtu maoniyake haujayapenda msahihishe kwa hoja harafu wanasimba niwatu makini msiwaige wale wengine michezo nifuraha
@MrishoMambo
@MrishoMambo 2 ай бұрын
Hao wasenge ipo siku watasema kila msemaji awe na sauti yaaina gani
@jafarimatima6821
@jafarimatima6821 2 ай бұрын
Zawadi ya Usaliti hiyo msishangae
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 ай бұрын
Na manura anahusika kwenye magoli hayo na boss wake walipokua wa nachukua bahasha
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 2 ай бұрын
YAAN WEWE MWANDISHI NI MJINGA AYOUB MKATABA WAKE ULIISHA TUMEMSAJILI SASA MSIMU HUU KAMA HATAKIWI NA VIONGOZI TUMEMPAJE. WEWE ACHA KUONGELEA HELA ZA SIMBA ACHA KUONGELEA HASARA YA SIMBA HAIKUHUSU WEWE SIMBA INAJUA INAFANYA NN
@isakajunior7139
@isakajunior7139 2 ай бұрын
Mwambie na Mo apunguze kulalamika timu inampa hasara kwasabbu hasara yake haituhusu
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 ай бұрын
​@@isakajunior7139😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Mohamed-k1c7s
@Mohamed-k1c7s 2 ай бұрын
Mbona imekuuma kaka.
@thomaszadock7424
@thomaszadock7424 2 ай бұрын
Hiyo ndo comedian wa kwanza
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 2 ай бұрын
Simba asipangwe leo Kib D huyo kabadilika kawa kama Chama na Aishi manula kapenda pesa
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 ай бұрын
Kwani kale ka tv Kenu kameishia wapi naona wote mko criwn😅😅
@edwardmassawe5116
@edwardmassawe5116 2 ай бұрын
Kako wapi kako
@drallan6879
@drallan6879 2 ай бұрын
sasa Kama Ayub ameumia mlitaka tusema nini?
@shaurichapote1138
@shaurichapote1138 2 ай бұрын
Huyo mchambuzi sijui anachambua kama hajui kama ayoub kaumia
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 2 ай бұрын
😅😅😅😅hapo kumeanza kuchangamka ila ikitokea wakifungwa ndio hatari zaidi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
👊👍✌️.
@abdiharuna2818
@abdiharuna2818 2 ай бұрын
Juma acha uongo hata jobe mlisema hvyohvyo kua mkataba wake ni mgumu kuvunjika
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 2 ай бұрын
Manula ni duka la GSM wache apambane na hali yake
@tofatofali9803
@tofatofali9803 2 ай бұрын
Umeongea kimbea sana man futa hii
@gilbertmaganga9370
@gilbertmaganga9370 2 ай бұрын
Mnashindwa kuchambua timu zipo mahakamani zinashikiana mnachambua ujinga acheni bangi
@YustinoMchopa
@YustinoMchopa 2 ай бұрын
Kwani yy manula amekatazwa kuvunja mkataba?
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 ай бұрын
Mtovu wa nidhamu? Mara aliporudi kutoka mafuchoni kwa hofu ya kufungwa na Yanga mkamchezesha, alichofanya kibu ni kuangukaanguka tu kiwanjani, pumnzi zero, mna kazi na uongozi weni.
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 2 ай бұрын
Sasa ayoub kwani walimsajili aikiwa majerui au ?si kaumia aikiwa kambini jamani kwani Simba walipanga ayoub apate injury
@Humanity21216
@Humanity21216 2 ай бұрын
Ila vitu vingine bwana ety Aishi Manula hana taarifa wakati mimi shabiki tu najua watu walienda misri na wamerudi😂😂 wachambuzi mtafuteni Manula kwanini hayupo kambini? Au muulizeni Ahmed kuwa walijaribu kumtafuta muajiriwa wao kuhusiana kutokufika mazoezini??
@josephmwise3177
@josephmwise3177 2 ай бұрын
Tatizo la Manula ni meneja wake anasimamiwa na mchambuzi uchwara badala ya meneja, Huwezi kuwa mchezaji mkubwa akachukuwa meneja wa kulipwa Elfu kumi kumi.
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 2 ай бұрын
Manula aende yanga akachukue nafasi ya diara
@shaurichapote1138
@shaurichapote1138 2 ай бұрын
Kwanza kuna vitu vinashangaza sijui watu wengine wana fikiliaje je simba amechaguaje kupata hasara? Simba waliomba ayoub aumie? Sijui kuna watu uchambuzi niwa wapi ndo maana jemedari kakausha tu maana nimwelewa mkubwa sana wa mpira
@b.warron4631
@b.warron4631 2 ай бұрын
Ingekuwa kipa WA yaNGA ungeongea me korosho😅😅
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 2 ай бұрын
Wewe kipara ugali jemedari huna ujualo...mchukue manula umpleke dukani kwa GSM
@erastocyprian3555
@erastocyprian3555 2 ай бұрын
Jemedari lini utakuwa mtu sahii,na kusema kweli?
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
INGEKUWA HILO LIMEFANYIKA YANGA JEMEDARI ANGESEMA YANGA HAWANA WELEDI KTK USAJILI WAKE
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu 2 ай бұрын
Mbona Kila kitu ni Simba ,hakuna kingine Cha kuongelea.swala la timu kupata hasara linawahusu. Ongeleeni na mtibwa huko.
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 2 ай бұрын
Panapo Ongelea ni pale panapokuwa na Shida ndio Maana pana sema
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 2 ай бұрын
Hivi mnashindwa kumpata kiongozi wa simba kuongelea mambo ya manula
@Awadhharoun-hr4ir
@Awadhharoun-hr4ir 2 ай бұрын
hio mbwa jemedari haiwezi sema chochote kwan kaguswa pachpach
@ip_header
@ip_header 2 ай бұрын
Makipa Sita ilikupunguza magoli labda wanadaka wote ktk mechi moja
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 ай бұрын
Unaumia nn
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 ай бұрын
Na manura anahusika kwenye magoli hayo na boss wake walipokua wa nachukua bahasha
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 347 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 125 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 3,4 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН