Asante bwana yesu hata leo hii nimefatishaaa maombiii haya .nami umenihudumia nimeuona mkono wako .Nami naomba neno moja kwako simama na watumishi wako na huduma hii isongee mbele.ktk jina lako yesu.
@annstersianganga67723 жыл бұрын
Amen nimetambua jinzi ya kuimba sadaka yangu leo Bwana Yesu Kristu awabariki watumishi wake
@veronikaaugustino22583 жыл бұрын
MUNGU wangu Asante kwa Neema ya kushiriki Ibada Takatifu
@neyshao24923 жыл бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa hiki Somo.
@joycekariuki463 жыл бұрын
Halleluhya 🙏 Amen
@jenifferrobert97882 жыл бұрын
Nami Kuna nadhiri nimeeka kwa mungu nilikua nahitaji kuiondoa