JE MTU ALIYEOKOKA ANAHITAJI KUFUNGULIWA? BY PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 16,026

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Kuna watu ambao wanaamini mtu akishaokoka huyo mtu haitaji tena maombi ya kufunguliwa wala nguvu za giza haziwezi kufanya chochote, na wapo wanaoamini hata mtu akiwa ameokoka anahitaji kufunguliwa kutoka kwenye nguvu za giza, wale wanaoamini mtu akiokoka hatakiwikuombewa, mara nyingi wanakata tamaa sana pindi anapoenda sehemu kukawa na maombi alafu gafla akaskia kuna nguvu za giza zimefumuka kwasababu kuna namna alishaamini yupo salama na anapoona hayo yanatokea mambo mengi sana yanakuja kichwani. Ungana nasi kuweza kujua zaidi kimaandiko
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: kzbin.info/door/67L...

Пікірлер: 31
@alexamutawa5396
@alexamutawa5396 3 жыл бұрын
Nakupata vizuri nikiwa Nairobi,kila wakati huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi wa Mungu.Mwenyezi Mungu azidi kukuinua zaidi
@leahkaneza1731
@leahkaneza1731 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@malaikalihuda2831
@malaikalihuda2831 Жыл бұрын
Asante mungu kuna vitu napokea 🙏
@henrithamatiku423
@henrithamatiku423 3 жыл бұрын
I connect myself and my family in Jesus name .. Amen 🙏
@elizabethrabanus3990
@elizabethrabanus3990 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa kwa mafundisho yako Tamani siku moja nikuone
@rusiwadonatrusi3603
@rusiwadonatrusi3603 2 жыл бұрын
Nakupata vizuri mchungaji mungu akubariki
@everlineeva594
@everlineeva594 3 жыл бұрын
Ameeen mtumishi nimejifunza sana kwa hili somo be blessed am watching yu in 973
@enithamtela3280
@enithamtela3280 Жыл бұрын
Somo zuri sana
@esmilykipele4008
@esmilykipele4008 2 жыл бұрын
Amen despite all resistance we will overcome . Thank you Lord I will press on
@marycheupe8613
@marycheupe8613 3 жыл бұрын
Hallelujah mtumishi wa mungu haki barikiwa sana sana
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ameeeeeeen
@paulinemurugi8566
@paulinemurugi8566 2 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu niko Nairobi mafundisho yako mungu akumbaliki natamani sana kutuma sadaka nisaidie vyenye kufanya Ili sadaka ikufikie plzzz
@bennamuchau6487
@bennamuchau6487 2 жыл бұрын
Amen.
@ajunanekemia2244
@ajunanekemia2244 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi unazidi kunifunguwa
@rehemahaonga6400
@rehemahaonga6400 2 жыл бұрын
Unafundisha wengi si hao ulionao tu,Barikiwa
@christopherisrael8438
@christopherisrael8438 3 жыл бұрын
Amina mtumshi.Hakika umejaliwa kufundisha
@abelikihwele9860
@abelikihwele9860 3 жыл бұрын
Haaa wewe baba ningekujua unakoishi ningekujA kukushukuru hee aiseee yaani Mungu kakutumia kuniponya ufahamu kweli inatuweka HURU nimeamini
@alonymfugale8241
@alonymfugale8241 3 жыл бұрын
Kaka nikweli hata mimi
@husnakibwana6944
@husnakibwana6944 3 жыл бұрын
Amen baba. Ujumbe umeeleweka
@radhiasamwel9042
@radhiasamwel9042 3 жыл бұрын
Hakika tunabarikiwa sana.Mwanza mtakuja lini? Karibu sana Mwanza
@onesmoemmanuel3842
@onesmoemmanuel3842 3 жыл бұрын
Umeniongezea kitu BABA ubarikiwe
@hildanjau3991
@hildanjau3991 3 жыл бұрын
Amina nimekuelewa sana
@georgebugangazpoa4975
@georgebugangazpoa4975 2 жыл бұрын
Amen
@estherulikaye3268
@estherulikaye3268 3 жыл бұрын
Ubarkiwe
@kishiwalimbu9886
@kishiwalimbu9886 3 жыл бұрын
Amina baba
@rahabusanga1559
@rahabusanga1559 2 жыл бұрын
ameeen
@abelikihwele9860
@abelikihwele9860 3 жыл бұрын
Heee! baba Ubarikiwe sana yaani tokea nizaliwe sijawahi kusikia mafundisho ya kunizibua fahamu namna hiyo
@cecyaghabu3211
@cecyaghabu3211 2 жыл бұрын
Hivi nlikua wapi kuyajua haya mafundisho jamani, mbona ningekua mbali kiroho.... Dah.... Ila asante Yesu hata kwa wakati huu.
@esmilykipele4008
@esmilykipele4008 2 жыл бұрын
Sounds like me
@christinesavai884
@christinesavai884 2 жыл бұрын
Amen
@msangwatv7169
@msangwatv7169 3 жыл бұрын
Amen
JUA NAMNA YA KUVUKA VIZUIZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA
1:46:11
Reality of Christ Church
Рет қаралды 58 М.
ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:30:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 33 М.
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 53 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 532 М.
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 34 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
SHIMO NYUMBA YA UHARIBIFU  ( DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:01:56
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
43:57
Reality of Christ Church
Рет қаралды 15 М.
DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023
1:34:04
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 427 М.
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:52
Reality of Christ Church
Рет қаралды 17 М.
PROPHESY - HOW TO SPEAK GOD'S WORD FOR DIVINE SOLUTIONS!
1:48:16
Archbishop Nicholas Duncan-Williams
Рет қаралды 126 М.
Tongues of Fire 4 Hours   Pastor Chris
4:19:14
Bishop Ben Snr.
Рет қаралды 2,1 МЛН
LORD, FIGHT MY BATTLES [ MIDNIGHT PRAYERS ] || APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:57:34
Journey With Christ
Рет қаралды 591 М.
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 53 МЛН