"Ee Bwana, nimesikia habari zako, nami naogopa; Ee Bwana, FUFUA KAZI YAKO KATIKATI YA MIAKA; Katikati ya miaka tangaza habari yake; Katika ghadhabu kumbuka rehema." Habakuki 3:2
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Amen mtumishi
@joyngweto26913 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@victoriarehema71833 жыл бұрын
Amen. Naamini kupitia kipindi hii Bwana Yesu atanitendea...
@veyleedekizzy64203 жыл бұрын
Namshukuru mungu alie Nipa kibal Cha kusikia neno hili sahihi naamn mungu anamakusud na Mimi naamn kupitia jina lake ya kwamba kila chochote Cha kwangu kilichokufa katika maisha yangu kikafufukeee sahiii katika jina la yesu
@lilianjovanus55623 жыл бұрын
Ameen
@TheAngelofGod-b1q24 күн бұрын
Amen Allelujah Asante sana mtumishi wa Mungu kupitia hii maombi nimepata ufunuo ya kua kumbe tuna amri ya kutabiri sasa kwanzia Leo natabiria Kila chochote kilichopotea kwenye maisha yangu 🙏🙏Barikiwa sana Daddy 🙏
@bonifacebeatrice80773 жыл бұрын
Naamini, Ee Bwana Mungu wajua ww na kwa Neno lako napokea kufufuliwa chochote kilichokufa kikasikie Neno la Bwana
@lilianhamis43043 жыл бұрын
jambo lolote lilikokufa kwenye maisha yangu likafufuke..katika jina la Yesu
@nelsonmushi9543 жыл бұрын
Bwana Yesu fufua nyota yangu ya biashara na ufugaji ktk jina la Yesu
@kashindiburimwengu36663 жыл бұрын
Bwana yesu nakupenda unifufuliye kile kilicho kufa ktk maisha yangu
@liliankessy-fx6hx4 күн бұрын
Napokea kufufuliwa kwa jina la YESU KRISTO kila kilichokuwa kimekufa kwenye maisha yangu kwa familia yang na kia watt wangu kifufuke sasa kwa JINA LIPITAYO MAJINA YOTE, JINA LENYE MAMLAKA JINA LA YESU KRISTO. AMEN
@agnesssimba69292 жыл бұрын
Ee Mungu wangu naomba nirudishiwe Kila kitu changu nilichonyang'anywe ,nipo kwenye Giza baba sielewi nakuachia wewe bwana Yesu
@Christianchazinho2 ай бұрын
Naomba Kutendewa wateja wangu katika biashara yangu naomba warudishwe uchumi,kibali, fedha,wateja,kuzidiwa na kazi katika jina la yesu kristo Amen 🙏
@SalomeNjuu10 ай бұрын
Bwana yesu chochote kilichokufa kwenye maisha yangu naomba ufufue mm siwezi bila ww yesu
@johnrichard87062 жыл бұрын
Ndoa yangu na uchumi wangu ukafufuke katika jina la YESU
@edithanchimbi27542 жыл бұрын
Yesu fufua afya yangu na ya mwanangu, mume wangu, huduma yangu, uchumi ,ndoa amani kwenye familia yetu, kipawa Cha umwambaji kiludu nk
@MankaAlly5 ай бұрын
Kila kilichokufa katika maisha yangu kikafufuke kuanzia sasa katika jina la Yesu Kristo Uchumi wangu ukafufuke ,afya yangu ikafufuke ,mahusiano yangu yakafufuke ,huduma yangu ikafufuke ,makazi yangu yakafufuke watoto wangu popote walipouwa maisha yao yakafufuke kwenye elimu,tabia njema ,afya zao mafanikio yao na kila chema kilichokufa juu ya maisha yetu kikafufuke kW Jina La Yesu
@ashaashura91643 жыл бұрын
Eeh bwana yesu...naomba ufufue amani ya moyo wangu....fufua upya pia mahusiano yangu...nipe moyo wa matumaini na wa kujiamini....amen amen AMEn.
@feithmueni46863 жыл бұрын
Kitu chochote kilichokufa katika maisha yangu na kifufuke. Kazi mahusiano familia yangu mungu akairudishie katika jina la yesu. Ninaomba bamba zako za simu mchungaji
@MarkayaMarkaya-p5p16 күн бұрын
Ee bwana yesu Nami naomba Amani na furaha na upendo katika Familia yangu tumeishi kudhalauliwa na kuteswa na naomba ndoa yangu ufufuke katika Jina La yesu
@katarinawilliam99603 жыл бұрын
Amani na UPENDO kwa watoto wangu .NAOMBA MUNGU AFUFUE,VIWE HAI KATIKA JINA LA YESU KRISTO
@phanicewasilwa8045Ай бұрын
Eee Mungu chochote kilicho kufa katika maisha yangu kikafufuke katika jina la yesu kristo
@victoriarehema71833 жыл бұрын
Furaha ya Maisha yangu, nimeishi kudharauliwa na kuhuzunishwa siku zote. Naomba Bwana Yesu anirudishie furaha yangu. Mahusiano ya kufa kila Mara.
@holyspiritconnect3 жыл бұрын
Ameen ameeen
@edinafred81453 жыл бұрын
Ee Bwana yesu ninaomba kitu chochote kilichokufa Kwenye Maisha Yangu kifufuke, biashara yangu ifufuke, mahusiano yangu yafufuke ktk jina la Yesu kristo Wa Nazareth
@holyspiritconnect3 жыл бұрын
Ameen ameeen
@yvonnemanisha92672 жыл бұрын
Amen Kitu chochote kilicho kufa katika maisha yangu kifufuke Kwa Jina la Yesu Amen 🙏🙏🙏
@Msv-n3m Жыл бұрын
Naomba amanita iliokufa kwenye kazi yazi album kila siku naimba bwana wangu zozote iliibiwa unirudisie in Jesus might name
@jacquelinekasondera94262 жыл бұрын
Mungu fufua Afya yangu sasa, fufua Amani kazini, fufua biashara zangu zote, fufua Mme na watoto wangu waliofichwa mbali na Mimi niwaone.
@ReynarLlyjuma3 ай бұрын
Naomba yesu ndoa yangu iwe yabaraka na kila vita vinavyo pigwa juu yangu na mumewangu visi tufikie
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Mambo yangu kuwa na kizuizi wakati yanakaribia mwisho hiyo hali iondoke kwa jina la Yesu
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Amen fufua bwana Yesu kila jiwe lililofunika maisha yangu
@holyspiritconnect3 жыл бұрын
Ameen ameeen
@ReynarLlyjuma3 ай бұрын
Naomba yesu nijaze roho mtakatifu ndani yangu naomba yesu uchumi wangu ustawiii
@victoriarehema71833 жыл бұрын
Naomba Amani iliyokufa kwenye kazi yangu. Uzuni kila siku. Naomba Bwana Yesu anirudishie.
Eeee mwenyezi mungu rudisha amani na furahaa katika maisha yangu fufua mausiano yangu yanayo kufa bila sababu fufua furahaa ktk familia yangu ameni
@maureenbiyengo3407 Жыл бұрын
kila kilichokufa ndani yangu kizuri nakifufua kwa jina lako BWana Yesu Kristo.napokea ufufuo
@FortunataNguma10 ай бұрын
Natamka kwa jina la Yesu vizuizi katika maisha yangu vimeondolewa kwa Damu ya Yesu
@veyleedekizzy64203 жыл бұрын
Bwana yesu najua kwako Kuna neema ya ajabuu nakupenda mana ilinipenda kwanza naomba ukafufue afya yangu mahusiano yangu ukafufue Kaz za mikono yako ukanunue familia yangu inaodharauliwa , fufua zako zako ndani yangu nipe nguvu mpya ya kujua karama yangu , wasaidie ndugu zangu ee mungu nakusihii ukafufue kila Cha kwangu chochote kilichokufa nakuamn yesu nakupenda Sana Sana mwaaah
@MariamuRashid-oy4re Жыл бұрын
Amina najua kila kilichokufa kwenye maisha yangu kitafufuka kwajina la yesu kristo amiinaaa
@victoriarehema71833 жыл бұрын
Amen Amen. Ubarikiwe sana Mtumushi. Bwana Yesu amisaidie nipate nguvu ya kusoma na kuchambua neno lake. I was teaching Sunday school but now days 10yrs hiyo nguvu natamani kurudisha na naamini . kila jambo lawezekana mbele za Mungu.
@graceswai87693 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe naomba maombi yako Sana Baba yani make Sha yangu kabla cjaolewa Manisha talking kuwa mazur Sana nilivyoolewa tuu kila kitu kilisambaratika hela ziliisha mali na ndoa imekufa kabisa hatuna hata mawasiliano naomba masada wako
@shegashega24212 жыл бұрын
Mtumshi MUNGU akubariki Sana maombi yako yamenivusha sana nimefunguliwa nguvu za giza jaman MUNGU akutunze sana
@suzzyyank74463 жыл бұрын
Amina Amina
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Mungu fufua uchumi wangu fungua kazi za watoto fufua ntota zao wapate kazi fufua biashara yangu fufua hekalu langu lililokoda nguvu kwajili ya magonjwa yasiyotibika fufua vitu vyote vilivyokufa kwenye maisha yangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@SalomeRuhanga-vu3xw Жыл бұрын
Mungu wangu Leo ameniona anafufua uchumba wangu anarudusha mahusiano yangu anefunga ugomvi uliokuwepo na amani inalejea kwa jina la yesu Mungu wangu anarudisha upendo ule WA kwanza kila chanzo cha ugomvi kife kwa jina la yesu MA mahusiano yangu uchumba wangu unafufuka upya na upendo ukawe Mara dufu ya ule wa kwanza na ndoa inaenda kufungwa kwajina la yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@MwanneElliya25 күн бұрын
Yesu ukaifufue afya yangu tabasam langu likafufuke mahusiano yanavunjika bila sababu yakafufuke kitu chochote kilichokufa kwenye maisha yangu kikafufuke leo
@JescaFrancis-h1u9 күн бұрын
Eeeh BWANA naomba kafufue kila kitu changu kwenye maisha yangu kilichofuka kifufuke 7:41
@AnabAbdallah-ii7ou Жыл бұрын
Ee mbwana yesu fufua ndoa yangu na kiza Changu maisha yangu
@judithakinyi14073 жыл бұрын
AMEN and AMEN 🙏🙏🙏
@charlesdegeleki4202 Жыл бұрын
We bwana fufua roho ya kukutafuta na kukufuata wewe siku zote ndani yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏💅💅💅💅🙏 amen na furaha ndani ya maisha yangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@estermakasi62463 жыл бұрын
asante Yesu maana unaenda kufufua vyote vilivyokufa kwangu
@victoriarehema71833 жыл бұрын
Amen Amen. Hallelujah. Asifiwe Bwana Yesu maishani.
@holyspiritconnect3 жыл бұрын
Ameen ameeen
@marywangui72572 жыл бұрын
Amen in Jesus name amen
@emilianmanda90233 жыл бұрын
Amen,ooh magonjwa ya mara kwa mara
@eddasamwely8202 жыл бұрын
Nyota yang iachiliwe kwa jina la Yesu , nibaki Cha ndoa , biashara, kukubalika Kiwe hai kwa Jina la Yesu Kristo
@rachealmwale38973 жыл бұрын
Yesu nirudishie.Amen
@holyspiritconnect3 жыл бұрын
Ameen
@yvonnemanisha92672 жыл бұрын
Thank you Jesus for answering my prayers . I will testify about your goodness Amen 🙏 powerful prayer 🙏
@jeanclaudemwambali8136 Жыл бұрын
08gj n0 Blplp ikgĺfapp😊
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Kibali Mpenyo kubarikiwa viweze kurudi katika maisha yangu
@holyspiritconnect3 жыл бұрын
Ameen ameeen
@agnesrashidi38533 жыл бұрын
Ee bwana yesu unirudishiye furaha katika ndoa yangu🙏
@Msv-n3m Жыл бұрын
Mungu fufua afia yangu na pia ya watoto wangu
@ziadamkinga52543 жыл бұрын
Amen ,napokea kazi ,amani na ndoa katika maisha yangu
@sallygrace14953 жыл бұрын
Nirudishie bwana Yesu furaha na pumzi ya uhai. hallelujah🕊
@holyspiritconnect3 жыл бұрын
Ameen ameeen
@sabinaleonce82432 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@emmahbooooo3 жыл бұрын
Hallelujah Mungu wewe ni Mungu mzuri.
@sabinaleonce82432 жыл бұрын
Natamka pumzi ya uhai ktk maisha yangu ,familia yangu na ktk kazi yangu
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Vitu vyote vilivyokufa katika maisha yangu vifufuke kwa jina la Yesu
Ee Mungu fufua afya yangu, kibali, kumiliki, maono, ndoto,mahusiano na Mama wakazin zangu, kipawa changu kwa jina la Yesu vikafufuliwe. AMINA
@JescaFrancis-h1u9 күн бұрын
Eeeh BWANA naomba kila kitu changu kwenye maisha yangu kifufuke
@أمجدالمفرجي-ق3ض2 жыл бұрын
Niwe hai kwa kila kitu afya Watoto wangu
@sabinaleonce82432 жыл бұрын
Ee kazi yangu uisikie neno la Bwana
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@JescaFrancis-h1u9 күн бұрын
Eeeh BWANA naomba kafufue kila kitu changu kwenye maisha yangu kilichofuka kifufuke
@pericykiko61982 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@princessdickson69003 жыл бұрын
Amen kwanzia sasa kila kilichokufa katika maisha yangu yakafufuke katika jina la yesu kristo
@CarolineNyaboke-b3f Жыл бұрын
Amen tuepalikiwa sana hata tumepona
@yahayatemu10033 жыл бұрын
Mungu, naomba ufufue, kila jambo langu lililokufu, kwakua jina lako mikubwa kupitia majina yote.
@TulaselaMdegela11 ай бұрын
Naomba uponyaji biashara yangu ikue madeni sitaki mwanangu afunguliwe ufhamu kibali marra mbili
@SaraphinaSadala4 ай бұрын
Mungu wang naom ufufue furah ra ndoa yangu kam zaman
@bonifacebeatrice80773 жыл бұрын
Mungu nirehemu na kunifufua kwa upya kroho na kimwili
@TulaselaMdegela11 ай бұрын
Nasafisha miguu iwe salama katika jina LA yesu
@carolyneliona98662 жыл бұрын
Eeeee bwana nimekumbilia wewe ilinisiaibike milele ,ni wewe unaye nijua vyema ,pamoja na familia yetu ,nakuomba ufufue vyote vilivyo kufa katika maisha yetu ,najiunganisha na hii ibada tasama mwanangu ni mgonjwa naomba mponye wewe ukiwa tabibu mkuu ,ifufue ndoayangu ,katika jina la yesu
@JaneKobe-k5r Жыл бұрын
Ee bwana ninaomba kitu chochate kilichokufa katika maisha yaugu kifukuke katika jina la jesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@zuenaezekiel9519 Жыл бұрын
Mtumishi nmepotez nguvu yangu ya kuomba😭😭😭 nifanye nn mimi
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Mungu akupatie katika jina la Yesu Kristo
@marymachete91523 жыл бұрын
Ndoa yangu pastor irudi
@TulaselaMdegela11 ай бұрын
Natamka mema katika jina LA. Yesu
@mariaambelikola55742 жыл бұрын
Naomba neema yako leo
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@Ashleypinky1532 жыл бұрын
Ee mungu nipe ndoa🙏🙏😭
@lizzyloveelizzyfaridah1273 жыл бұрын
Ameen ........Asante mungu kwa uzima
@holyspiritconnect3 жыл бұрын
Ameen
@JosphineMwasame3 ай бұрын
Maombi ni dawa
@kaguri4533 Жыл бұрын
May the Almighty hear & and me,I pray& believe
@TUNUMNGONIGANI5 ай бұрын
Niombee mm ndo niko ivo ten kwa sasa ndo imezidi hasa nisaidie😭😭
@pascalbura33103 жыл бұрын
Amina
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Bwana Yesu weka pumzi ya uhai kwenye barua zangu za uhamisho nikubariwe,weka pumzi ya uhai kwenye biashara yangu niliyofunga nifungue Tena na nipate wateja,pumzi ya uhai ili nipate urejesho na kibali Pamoja na Mpenyo kwenye kila eneo la maisha yangu na familia yangu
@roseasimwe8273 жыл бұрын
uzao wangu,Elimu na future za watoto wangu ziwe na uhai
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Ee uhamisho wangu sikia neno la Bwana nikapate uhamisho
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Vyeti vyangu vipate uhai katika jina la Yesu
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Roho mtakatifu karibu kwenye afya yangu na wanangu tuponye na magonjwa bwana Yesu
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Asante bwana Yesu kwa kufanya jambo jipya kwenye maisha yangu
@mariaambelikola55742 жыл бұрын
E eh bwana, yesu naomba ufufue amani ya moyo,wanyu
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@florencekimonyi2 жыл бұрын
Vitu vyote vilivyokufa maishani mwangu vifufuke katika jina la Yesu Kristo, kama vile afya ya kimwili na kazi
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@christineavidi74003 жыл бұрын
Amen amen naombea nyota yangu ikafufuke
@Catherinesilaji19 күн бұрын
Fufua Afya yangu YESU
@nonijonathan-mr2rx Жыл бұрын
Kila kilichokufa kwenye maisha yangu kwa jina la yesu kikafufuke
@theresiakazumba81423 жыл бұрын
Eeh Yesu fufua vyote vilivyokufaaa
@GloryRichard-uc4jg10 ай бұрын
Ee mungu naomba najifunza mambo yasaloon kupaka makeup na mitindo mingine mungu naomba kifufuke
@agnesrashidi38533 жыл бұрын
Ameen
@annalivini39402 жыл бұрын
Mungu nakuomba unirudishie kila kilichokufa ktk maisha yangu, ktk jina la Yesu kristo amina
@mynerjoseph37813 жыл бұрын
Eee Mungu naomba fufua mahusiano yangu
@vumiliawambula17163 жыл бұрын
Amen Mungu wangu fufuwa Kila kitu kilicho kufa katika maitaji yangu kwajina la yesu crustu
@naymynayomy96262 жыл бұрын
Eeee, Mimi hapa Sina Amani katika Maisha yangu, haswa nilivyompoteza mtoto
@mariaambelikola55742 жыл бұрын
Yesu Cristo peço me curar aminha doença de HIV SIDA