Mch.Katekela:TUMIA MAOMBI NA KANUNI HIZI KUVUNJA MIHURI YA KICHAWI•MUHURI WA 7•MBINU ZA KUJINASUA

  Рет қаралды 48,706

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Жыл бұрын

KUHUSU KITABU NA JINSI YA KUKIPATA TAFADHALI WASILIANA NA MCHUNGAJI AMA PROMOVER TV UTAPATA UTARATIBU.
MAGROUP YA MARAFIKI WA MCHUNGAJI KATEKELA BONYEZA LINK KUJOIN:-
-GROUP NO.1 BONYEZA chat.whatsapp.com/BbvG6Ur6BR1...
-GROUP NO.2 BONYEZA chat.whatsapp.com/G6ymOcE6bc7...
KAMA UNASHINDWA KUJOIN AMA KWA LOLOTE UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI.
-Namba ya Mchungaji Katekela ni +255 756 275 511
-Namba ya promover tv ni +255784074462
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 174
@christinezuma5588
@christinezuma5588 Жыл бұрын
Navunja roho zinazo fatilia maisha yangu katika jina la Yesu.
@laurasoka760
@laurasoka760 5 ай бұрын
Amina
@RoselineNyachwaya
@RoselineNyachwaya Ай бұрын
Amen
@yobike9680
@yobike9680 11 ай бұрын
mtumishi naitanji maombi na hisi nguvu za giza zinanizingila katika maisha yangu naomba usaindishi kimaombi(iruma kutoka nairobi kiambu)
@maureenmgeni
@maureenmgeni 10 ай бұрын
Amina na Amina
@adaadaouko3079
@adaadaouko3079 Жыл бұрын
Amen Amen
@user-cp1tc3io3w
@user-cp1tc3io3w 9 ай бұрын
Shalom Mungu akubariki akutiye nguvu
@kalumunateonest-lc3nn
@kalumunateonest-lc3nn Жыл бұрын
Mungu awabaliki mr. And katekella
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 Жыл бұрын
Hakika wewe ni rafiki mchungaji.pia wewe ni wa maana sana mbele ya Mungu.
@neemashendu
@neemashendu 10 ай бұрын
Amina mtu wamungu NAMI natamsni kufunguliwa nisaidie j jkuomba😊
@happykazungumenzamenza1277
@happykazungumenzamenza1277 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi mtumishi wa Mungu kwa kutupa elimu yakutufungua macho
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Amina Asante Mtu wa MUNGU
@adilimihinga7873
@adilimihinga7873 Жыл бұрын
Ahsante sana 'mchungaji mzalendo'
@lauraingosi1428
@lauraingosi1428 Жыл бұрын
Asante sana promover TV kwa kujitolea kwenu kufanikisha kazi ya Mungu.
@lilymwasi1221
@lilymwasi1221 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Niko Mombasa uniombe
@deusmiburo8735
@deusmiburo8735 Жыл бұрын
Mchungaji Mungu akuongezee miaka ya kuisji ili tuendelee lucina matunda yako, amen!!
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Mungu akufunike kwa Mbawa zake mtumishi
@jack-mx8et
@jack-mx8et Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi mafundisho yako nimeyaelewa yananihusu mimi kabisa
@marymwasha3878
@marymwasha3878 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.Nimesikiliza Mahubiri yako kwa kina.Nimejua kuwa ni hakika Mungu anakutumia ili kuharibu mateso yaliyowekwa kwa watu wa Mungu bila kujifahamu.Mungu akutunze sana,na kuimarisha huduma yako.Watu wafunguliwe katika mikatale ya mwovu shetani.
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi maana unacho Sema ndio ninachopitia Asante kwa maelekezo wa kusimamia hivi vita
@sallyeringo33
@sallyeringo33 Жыл бұрын
YOU HAVE OPEN MY EYES BE BLESSED
@marymatekwa6867
@marymatekwa6867 Жыл бұрын
Bwana Yesu Christo apewe sifa na utukufu nikikusalamia mtumishi wa Mungu Kwa uwezo wa Mungu Baba asifiwe Sana Sana nashukuru Mungu aliyekutoa Kwa Giza ili uje kunifahamisha yale nisiyoyajua barikiwa Sana pamoja na Jamii yako, na naomba Kwa mapenzi ya Mungu Baba mafundisho yako, Kanisa lako lifike pande zote duniani nikikuombea afya njema na, nguvu na mamlaka ya kueneza injili ya Yesu Christo, Nina furaha Nyingi naesaongea Sana Ubarikiwe sana Mary kutoka Kenya Lakini wakati huu niko Saudi Arabia God bless you brother Amieli
@teklalumalanja1752
@teklalumalanja1752 Жыл бұрын
Tutapataje vitabu? nakitabu Cha kurudisha msukule kipo? 21
@christinamwasota1742
@christinamwasota1742 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi was bwana mimi Niko mbeya na napenda sana kujifunza kwako nitapataje vitabu vyako???
@pastorypancras9010
@pastorypancras9010 Жыл бұрын
Yaani nakukubali sana mchungaji mungu akubaliki sana uzidi kuwepo tupate kukombolewa kutoka kuzimu nawashukuru promover mungu awabaliki sana mungu awe nasi
@frorida3106
@frorida3106 Жыл бұрын
UBarikiwe
@irinealex559
@irinealex559 Жыл бұрын
Duh Mungu akubariki sana, kuanzia sasa naona mafanikio yangu kuanzia sasa na nitafanya kazi za mikono
@AmidaCitegetse-fh7ps
@AmidaCitegetse-fh7ps Жыл бұрын
Jambo muchungaji munisaidiyeni maombi katika jina la yesu
@jesusgirl9416
@jesusgirl9416 Жыл бұрын
Mungu akubariki Promover na Mchungaji Amiel
@rebeccamunyasya6543
@rebeccamunyasya6543 Жыл бұрын
Amen. Mafundisho poa wengi tumekwamia hapo hapo tu!
@oellyomondi
@oellyomondi Жыл бұрын
Jee mchungaji kama mtu anajikuta anapiga miayo wakati wa maombi ni ishara ya mapepo.hii hali unitatiza sana
@eliwajadaniford8044
@eliwajadaniford8044 Жыл бұрын
@@oellyomondi pastor hicho kitabu Bei gan
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Bwana Yesu Kristo napokea baraka Mungu wa mbinguni akubariki kwa kazi yako Amiel
@fayngovi5377
@fayngovi5377 Жыл бұрын
Amina ni kweli
@tamarali8325
@tamarali8325 Жыл бұрын
Barikiwa sana Pastor Amieli . Jacktan Barikiwa sana na Audax Barikiwa sana. Ninawapenda Bure
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen
@antoinettendayizeye5884
@antoinettendayizeye5884 Жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe
@agneskainga143
@agneskainga143 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 nashukuru mungu Kwa ajili yako umenifundisha Mambo mengi Sana ya kiroho
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Ww ni mtu WA maana sana
@rehemambilinyi3523
@rehemambilinyi3523 Жыл бұрын
Be blessed man of God for good lesson
@basilisajohn4750
@basilisajohn4750 Жыл бұрын
Asante mtumishi Mungu amekufanya kuwa Baraka na daraja la mimi kumpa Yesu Maisha yangu , Ubarikiwe From Manyara Babati Tanzania.
@bernedettenuru4903
@bernedettenuru4903 Жыл бұрын
Asante mimi Pia nataka kitabu
@tuselacksiman7616
@tuselacksiman7616 Жыл бұрын
Asante yesu kwa neema hii hakika sitabaki Kama nilivyo,,, hakika nimekombolewa kwa Damu ya yesu
@nyarcenter4046
@nyarcenter4046 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana,Mungu akupe maisha marefu
@christinezuma5588
@christinezuma5588 Жыл бұрын
Sitamilikiwa na muhuru wa damu katika jina la yesu
@rehemasuleiman7469
@rehemasuleiman7469 Жыл бұрын
Ameen Mtumishi,Mungu akubariki Sana
@mwajumaamuri974
@mwajumaamuri974 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe , na Mungu atiye nguvu
@dokasa9176
@dokasa9176 Жыл бұрын
Mungu akubariki na akulinde kutoka kwa mikono ya adui.
@sabrinalazaro950
@sabrinalazaro950 Жыл бұрын
Kazi zenu Nzuri sana, nawapenda sana, shuhuda zimenisaidia sana, Barikiwa mch. Amiel katekela.
@hellenngecho4893
@hellenngecho4893 Жыл бұрын
Wow thanks very much man of God for sure l have leaned something may God bless you🙏🙏
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
AMINA AMINA BARIKIWA Sana Rafiki Yetu
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafunzo mema hakika mengi nimejifunza toka kwako
@agnesshawa7219
@agnesshawa7219 Жыл бұрын
Mchungaji MUNGU akubariki na akulinde
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wamungu na promover tv
@veronicahkhaikwa4929
@veronicahkhaikwa4929 Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe na promover TV
@dianawebala9381
@dianawebala9381 Жыл бұрын
Thank you and be blessed
@frankalkadokizale2536
@frankalkadokizale2536 Жыл бұрын
AMINAA UBARIKIWE SANAAAAA MTUSHI
@adaadaouko3079
@adaadaouko3079 Жыл бұрын
God bless you n lift u 🙏 higher n higher 🙏
@flavianarwebangira6726
@flavianarwebangira6726 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri juu ya kkuvunja mihuri ya kichawi. Tunakipayaje hicho kitabu
@elwinsimumba8356
@elwinsimumba8356 Жыл бұрын
Amen nanina shukuru Sana kwa ujumbe muzuri
@priscahshemkunde7256
@priscahshemkunde7256 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mchungaji na mungu azidi kukubariki
@jamesngichiri755
@jamesngichiri755 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana,kitabu nawezaje kukipa nikiwa kenya
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Shalomu watumishi wa Mungu
@elizabethisrael4256
@elizabethisrael4256 Жыл бұрын
Asante baba Katekela
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
KUHUSU KITABU NA JINSI YA KUKIPATA TAFADHALI WASILIANA NA MCHUNGAJI AU PROMOVER TV UTAPATA UTARATIBU. MAGROUP YA MARAFIKI WA MCHUNGAJI KATEKELA BONYEZA LINK KUJOIN:- -GROUP NO.1 BONYEZA chat.whatsapp.com/BbvG6Ur6BR1CbSjdEGtopP -GROUP NO.2 BONYEZA chat.whatsapp.com/G6ymOcE6bc7IigyFRL1bML KAMA UNASHINDWA KUJOIN AMA KWA LOLOTE UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI. -Namba ya Mchungaji Katekela ni +255 756 275 511 -Namba ya promover tv ni +255784074462
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 Жыл бұрын
Bwna yesu naasifiwe
@elizabethisrael4256
@elizabethisrael4256 Жыл бұрын
Asante Baba Katekela na Yesu akuzidishie maisha...unatusaidia sana
@jamesngichiri755
@jamesngichiri755 Жыл бұрын
Niko kenya nawezaje kikipata kitabu aje
@ezekieljob8679
@ezekieljob8679 Жыл бұрын
Barikiwa sana pastor naomba maelekezo ya kupata kitabu tafadhali
@ireneachieng5648
@ireneachieng5648 Жыл бұрын
God bless you pastor. You have opened our eyes
@joycemmari9155
@joycemmari9155 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mch.
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ameeen
@bashongomamlelekwa1777
@bashongomamlelekwa1777 Жыл бұрын
Amina kubwa
@daudijacob7377
@daudijacob7377 Жыл бұрын
Baba ninaomba Uyakemee mapepo yote yanayopinga mwongozo huu katoka Kina la Yesu
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi.
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu nakufatilia sana nkiwa hapa saudia
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Yani hayo nimepitia
@nundebeats6754
@nundebeats6754 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana sana Promove Tv , nabarikiwa sana mafundisho ya Amier Katekela. Lakini naomba mtu saidie kuweka kipindi cha maswali na majibu , maana binafsi nimetuma sana maswali kwenye group lakin sijua ukweli ni upi,
@genovevaraphael
@genovevaraphael Жыл бұрын
Mchungaji Wangu Mungu akubariki mnomno nimekuwa nikikufuatilia sana nimekupata sana wew unisubiri injili isiyogoshiwa injili ya Yedu
@genovevaraphael
@genovevaraphael Жыл бұрын
Unahubiri
@mwalimubarakajustin745
@mwalimubarakajustin745 Жыл бұрын
Shuhuda zako zinakuza kiroho Muchungaji. Naomba Mungu wetu atuzidishie watumishi wa namna hii katika mataifa yote, kwani twaelimishwa zaidi. Ubarikiwe na Bwana, akukumbuke katika haja za moyo wako.
@ramazanassani188
@ramazanassani188 Жыл бұрын
Pp
@ramazanassani188
@ramazanassani188 Жыл бұрын
Pp
@ramazanassani188
@ramazanassani188 Жыл бұрын
Pp
@ramazanassani188
@ramazanassani188 Жыл бұрын
Pp
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 Жыл бұрын
Kinawezaje.kunifkia Kenya na bei gani
@nancyokemwa2470
@nancyokemwa2470 Жыл бұрын
Good teaching
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe Sana tunapataje kitabu
@christinezuma5588
@christinezuma5588 Жыл бұрын
Amen.
@agneskainga143
@agneskainga143 Жыл бұрын
Iyo kitabu itafika kenya 🇰🇪
@roynamwinuka6391
@roynamwinuka6391 Жыл бұрын
Ameen
@gloryfidelis7857
@gloryfidelis7857 Жыл бұрын
Watumishi Mungu awabariki watu wa bariadi tunavipataje vitabu
@mariamwita8237
@mariamwita8237 Жыл бұрын
Ndugu napenda ujue kwamba Imani ni mtu mwenyewe waebarnia 11:6. Soma sasa
@ferrymalikioli9857
@ferrymalikioli9857 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Mchungaji Katekela. Swali langu ni hili: Nina ndugu yangu ambaye mme wake ni mchimba migodi sasa siku mmoja mume wake, alileta mganga nyumbani bila ya mke kujua. Na baada ya mmewe kumtambulisha mganga. Yule mganga akatoa maagizo ya kwamba mke avue nguo zote, na baada ya kuwa hivyo bila nguo mbele ya huyu mganga na mumewe, wakamwambia avae nguo. Ila hawakumjulisha chochote wala maana ya ili tukio. Ningeomba ufafanuzi juu ya hili Mtumishi Katekela.
@adaadaouko3079
@adaadaouko3079 Жыл бұрын
Amen 🙏 natamani sana 🙏 am watching through Qatar 🇶🇦 doha please help me I need those Books 📚
@zacheauskirathimo
@zacheauskirathimo 10 ай бұрын
God bless
@zacheauskirathimo
@zacheauskirathimo 10 ай бұрын
God bless you man of God amen
@Nshimirimanajeanine-vh7mz
@Nshimirimanajeanine-vh7mz 2 ай бұрын
Jambo.nina.itaji.mucungaji.unisayidiye.kwama.ombi.yakijijuwa.wakati.wama.ombi.maramingi.najikuta.nigisimama.kati.kama.ombo.najikuta.vita.ina.inuka.mungu.anitiye.nguvu.asante.sana.kwamusada.tapata
@scotiageraz4469
@scotiageraz4469 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi, napata wapi hicho kitabu? Ni sh. ngapi?
@pericykiko6198
@pericykiko6198 Жыл бұрын
God bless you Pastor
@kundankiramungure9250
@kundankiramungure9250 Жыл бұрын
Ubarikiwe mwana wa YESU wakati wote. YESU. Akutunze. Akulinde Mimi. Niko KILIMANJARO. Ni mtumishi karibu Sana
@roysaxon4870
@roysaxon4870 Жыл бұрын
Asante sana mtumish wa Mungu kwa mafundisho is a mazuri, Mungu akubariki na kukutunza.
@elizabethmambo771
@elizabethmambo771 Жыл бұрын
Ukokitabu kina patikana wap
@gahunguleonidas2606
@gahunguleonidas2606 Жыл бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu Mch Katekela kwa kuzifunua sili hizi za kuzimu nimesaidiwa sana na ushuhuda huu na Mungu akubaliki sana. Pia ningeomba ikiwezekana ututumie number yako ya what’s up ili tuwasiliane kwa uraisi, Mungu awe pamoja na wewe milele.
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Ameeeeeeeen
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 Жыл бұрын
Mungu akubari sana mtumishi. Hakika nimejengeka kiroho sana kupita wewe .Mungu wetu aonaye sirini akujibu kwa wazi. Umekuwa wa baraka sana. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.Mungu apanue mipaka yako, ukutumie viwango vya juu kadri na mapenzi yake.Amina .
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 10 ай бұрын
Hapo kwenye muhuri wa majin ni mimi kabisa nimefilisiwa na majini na kuniambia nitakufa ila kwa jina la yesu nitaishi
@selinamalasi9471
@selinamalasi9471 Жыл бұрын
Ningependa kupata vitabu niko nairobi kenya
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 Жыл бұрын
Bado wapo wanao pinga haya! Mimi binafsi Kuna ujmbe nimepata na nikalifanyia kazi
@roseurassa8390
@roseurassa8390 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu nikikufutilia napata amani
@heriturya940
@heriturya940 Жыл бұрын
Nitapataje hichokitabu
@Nshimirimanajeanine-vh7mz
@Nshimirimanajeanine-vh7mz 2 ай бұрын
Chalom.ninapenda.ma.ubiri.yemye.unatu.ubiri
@naikekangele7117
@naikekangele7117 Жыл бұрын
Umenifundisha Siri nyingi sana za wachawi
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
Mchungaji Ka mm nimekutafuta Sana lakini nina Imani siku moja nitakupata, tengeneza copy nyingi Ka mm nakujia, Barikiwa
@melisakatu8668
@melisakatu8668 Жыл бұрын
UBARIKIWE MTUMISHI WABWANA USHUUDA WAKO UNIJENGA SANAAAA
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Namba yako tafadhali
@lucylyale7169
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Asnt mch leo nimepata namba yako,, barikiwa sn mtumishi wa Mungu,, uje na mkoa wa SIMIYU jmn tunahitaji huduma yako tupone🙏🙏
@dianawebala9381
@dianawebala9381 Жыл бұрын
Vitabu hivi vyapatikana vipi? Niko Kenya
@vianneymukama6396
@vianneymukama6396 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi. Naomba kujua vitabu nitavipata wapi? Kwa Dar
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 116 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 75 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
NACHOTAKA NIWE / NIKIWA NAWE NITASHINDA/ MUNGU MWENYE ENZI/USINIPITE MWOKOZI #subscribe #GuzaTv,
1:01:53
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 141 М.
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47