MAOMBI YA ASUBUHI | Nishike mkono

  Рет қаралды 222,362

Maombi Ya Asubuhi

Maombi Ya Asubuhi

Жыл бұрын

Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya.
Zaburi 37:23-24 | Hatua za mtu zaimarishwa na Bwana, Naye aipenda njia yake. Ajapojikwaa hataanguka chini, Bwana humshika mkono na kumtegemeza.

Пікірлер: 511
@FannylaNiFa
@FannylaNiFa Ай бұрын
Amen.... Nakushkula Papa God Kwa amani yako~❤️🙏
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr 8 ай бұрын
Asante Bwana Yesu kwa maombi ya ASB nimebarikiwa sana. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
@magrithadallei9699
@magrithadallei9699 5 күн бұрын
Asante Mungu kwa kutushika mkono na kutupa Kibali na neema kuona siku ya Leo, shukrani,heshima na utukufu tunakurudsha kwako Mungu baba wetu uliye juu mbinguni,AMEN
@BeatricePius-n1e
@BeatricePius-n1e 11 күн бұрын
Damu ya yesu itufunike mimi na familia yangu katika jina la yesu amen.
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr 2 ай бұрын
Asante sana Kwa maombi ya asubuhi MCH. Yesu ni mwema kwetu.🎉🎉
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU nitangulie siku hii yote amen
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h Ай бұрын
Asante mungu naomba nikuanishe na watusahihi katika siku a Leo amina
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 9 күн бұрын
Asantee mungu kwa kunipa kibali kuuiyona siku mpya ya leo
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 9 күн бұрын
Bab Leo na ukawe mwanzo mpya wa maisha yangu na ukawe Nuru na ukawe mafanikio kwa jina la yesu
@marylongway6127
@marylongway6127 2 ай бұрын
Asante Mungu wangu kwa kunipa kibali kuiona siku mpya ya leo.
@FausterLawrence
@FausterLawrence Ай бұрын
Bwana Yesu Kristo Asante sana kwakukubali kuja duniani kwa ajili yetu Tuna faida kubwa .sana kwa wale tuliokupokea, kaa nasi Bwana Yesu Kristo hadi mwisho wa nyakati, Na watu wengi wafunulie siri hii Amen
@FausterLawrence
@FausterLawrence Ай бұрын
Asante SANA MUUMBA WETU KWA ULINZI WAKO NAAMINI KATIKA YOTE TUNAFANIKIWA
@BeatriceMathew-qy5lw
@BeatriceMathew-qy5lw Күн бұрын
Amina
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h 9 күн бұрын
Bwana Asante Kwa kunipa kibali Cha uutana na watu sahihi
@EstellaZawadi
@EstellaZawadi 5 ай бұрын
Amen amen amen Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@imeldakassoga6332
@imeldakassoga6332 7 ай бұрын
Asante Yesu kwa kunipa kibali siku hi ya leo
@gd22273
@gd22273 5 ай бұрын
Asante yesu kuwa nami siku hii mpya nimeianza Amina.
@DorotheaKimaro
@DorotheaKimaro Ай бұрын
Amina mtumishi wa Bwana Mungu akubariki kwa maombi
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Ameeeeen mtumishi barikiwa kwa maombi haya Asante Sana
@marianamichael5406
@marianamichael5406 6 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunipa kibali tena siku ya Leo Amen
@faithmwailunga6954
@faithmwailunga6954 3 ай бұрын
Amina mtunishi wa Mungu Nabarikiwq Sana na maombi haya
@EdnaMwaisembe
@EdnaMwaisembe 10 күн бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@user-yl7qh4em5h
@user-yl7qh4em5h 15 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@TumainiManga
@TumainiManga 3 ай бұрын
Asante yesu kwakuniamsha salama
@dfkcic3184
@dfkcic3184 6 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu ubarikiwe.. Amen
@user-bu7rq6tk2c
@user-bu7rq6tk2c 6 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻mungu wangu kimbilio langu🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Amen
@ZukrahAbdul
@ZukrahAbdul Ай бұрын
Asante yes maombi aya mazur yakanibariki mim namwanangu🙏
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h 24 күн бұрын
Damu ya yesu inifunike Mimi na familia yangu
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h Ай бұрын
Asante mungu Kwa uuiona siku ya leo anaomba nikuanishe nawatu sahihi amina
@dalaedaklienyi7733
@dalaedaklienyi7733 4 ай бұрын
Ahsante yesu naomba ulizi wako siku ya leo
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr 7 ай бұрын
Nakushukuru Bwana Yesu Kwa kunipa kibali kuiona siku mpya Leo!! Asante Kwa maombi ya Leo. Mungu Akubariki Mts .
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr 7 ай бұрын
Asante Yesu Kwa kuniamsha Salama.
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr 9 ай бұрын
Asante sana Kwa maombi haya yananibariki. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.🎉
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h Ай бұрын
Nashukuru mungu was kunipitisha katika neno lako asuuhi ya leo naomba uniongoze Kwa yote nitakayotenda leo
@HenryNagetei
@HenryNagetei Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr Ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu.Ubarikiwe sana❤🎉
@RavinaLuvinga
@RavinaLuvinga 3 ай бұрын
Amina damu ya Yesu inafunike familia yangu na njia zangu
@user-iq4ol2nk1v
@user-iq4ol2nk1v 5 ай бұрын
Asante kwa kuniamsha salama katika jina la yesu
@NasriHasan-tv7vy
@NasriHasan-tv7vy 2 ай бұрын
Amen ubalikiwe mtumishi 🙏🙏🙏🙏
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h Ай бұрын
Damu ya yesu iniongoze na familia yangu
@RachelMallya-gx1sv
@RachelMallya-gx1sv 8 ай бұрын
Nakushukuru mungu wangu nimeamka salama nipekibal Leo Cha biashara mungu wangu
@user-rd2dn6qp4n
@user-rd2dn6qp4n 5 ай бұрын
Amen nibarikiwe kwajina lababa nalamwana naroho mtakatifu ameen
@user-cf5ud2wj4d
@user-cf5ud2wj4d 3 ай бұрын
Thank you so much mutumishi wa Mungu tumepokea yawo maombi Mungu a barikiwe.
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Thank you Jesus
@user-ws9jx9tz9b
@user-ws9jx9tz9b 9 ай бұрын
Asante baba tunapokeya tena uongonzi bora kwa asubuyi wa leo jina la bwana lipe sifa milele siku zote
@user-or8yo2wj9v
@user-or8yo2wj9v 17 күн бұрын
Barikiwa sana
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr Ай бұрын
Damu ya Yesu inifunike na Familia yangu .🎉🎉🎉🎉❤❤.
@JacquelineRiziki-pz4qi
@JacquelineRiziki-pz4qi 5 ай бұрын
Nakushukuru yesu kwa kunipa siku nyingine ya leo asante
@MekiJoseph-qm9gv
@MekiJoseph-qm9gv 2 ай бұрын
Asnte bwana yesu kwa kunipa kibali asubuhi nitembee na wewe
@faithmwailunga6954
@faithmwailunga6954 2 ай бұрын
Amina mtunishi wa Mungu
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h 2 ай бұрын
Damu ya yesu iikanene yaliyo mema ndani ya familia yangu siku ya leo
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 9 ай бұрын
Asante bwana Yesu kwa Ulinzi wako.
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 7 ай бұрын
Amina Asante mtumishi nikepokea
@marylongway9282
@marylongway9282 Жыл бұрын
Asante Mungu wangu
@MaombiYaAsubuhi
@MaombiYaAsubuhi Жыл бұрын
Amen Amen mwanangu, ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
@gracesamjella759
@gracesamjella759 Ай бұрын
Asante bwana yesu
@virginianjeri3494
@virginianjeri3494 5 ай бұрын
Asante Asante Yesu
@enockmaige8936
@enockmaige8936 2 ай бұрын
Ee Mungu waaaibishwe wanaoifuatia nafasi yangu
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr 6 ай бұрын
🎉 Asante Yes kwa kunipa siku Neema ya kuishi siku ya Leo.
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h Ай бұрын
Asante mungu Kwa siku ya leo naomba uniongoze Katia shughuli zangu
@heavenlightlyimo4725
@heavenlightlyimo4725 4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@WilfredMarthine
@WilfredMarthine Ай бұрын
Amen mtumishi
@user-pf4wf6it2h
@user-pf4wf6it2h Ай бұрын
Asante bwana Kwa kuiona siku ya Leo naomba mamba baraka zako niikawe namafanikio mazuri kenye kilimo na mavuno
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani Ай бұрын
amen mungu piya akupe ushindi kila siku
@J3nimaNgala
@J3nimaNgala Ай бұрын
Asante mungu kwa siku ya leo amen
@LucyNgowi-dv4xl
@LucyNgowi-dv4xl 10 ай бұрын
Amen mtumishi kiukweli haha maombi yananisaidia sana
@BenedictaMabula
@BenedictaMabula 2 ай бұрын
Asante kwa maombi yako asante nimebarikiwa na bwana
@celinamushi7700
@celinamushi7700 9 ай бұрын
Ameen Ameen, barikiwa mtumishi wa Bwana🙏
@faithmwailunga6954
@faithmwailunga6954 4 ай бұрын
Yesu nifunike kwa damu yako
@LuandaBushashire
@LuandaBushashire Ай бұрын
Amen mungu nibairiki mushana yaleo
@Listarmwandenuka-fq8jm
@Listarmwandenuka-fq8jm 10 ай бұрын
Ameeni Tena Amina barikiwa mtumishi wa mungu
@oman798
@oman798 10 ай бұрын
AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@joycesikana4513
@joycesikana4513 9 ай бұрын
Yesu nishike mkono siku ya leo
@rosestephano4806
@rosestephano4806 Ай бұрын
Ameen ubarikiwe mtumish
@AmaniRamathani-ti7fh
@AmaniRamathani-ti7fh 28 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 mungu akubariki pia
@faithmwailunga6954
@faithmwailunga6954 2 ай бұрын
Amina, naamini siku yangu imebarikiwa
@obedross0178
@obedross0178 Ай бұрын
Amina Mungu atusaidie
@PauloFaustino-lz5hg
@PauloFaustino-lz5hg 2 ай бұрын
Assante mungu wangu
@gladysonkundi
@gladysonkundi 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Thank you Jesus 🙏🙏
@faithmwailunga6954
@faithmwailunga6954 4 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu🙏
@RodaPitter
@RodaPitter 6 ай бұрын
Amina nimekushinda shetan
@user-cv8ro3ys2f
@user-cv8ro3ys2f 9 ай бұрын
Asante bwana Yesu kwakunipa kibali nione nyingine ya Leo ambayo umeniandalia mengi mazuri ikiwa ni pamoja na baraka,ulinzi,afya njema. kutoka kwako Bwana Asante
@user-fp6bp9ju7j
@user-fp6bp9ju7j Ай бұрын
Mungu nisngasie siku ya leo
@faithmwailunga6954
@faithmwailunga6954 4 ай бұрын
Asanye mtumishi wa Mungu🙏
@DaudiIpyana
@DaudiIpyana 21 күн бұрын
Amn asant kwa neno mtunish wa mungu
@aisahi4702
@aisahi4702 Ай бұрын
Asante mungu kwa kuona cku ya leo
@user-cw6kk2rw8f
@user-cw6kk2rw8f 4 ай бұрын
Amenn asante kwa maombi mazuli mtumishi
@user-rd2dn6qp4n
@user-rd2dn6qp4n 6 ай бұрын
Katika jina la yesu amen
@SjbwvXhbdddhdj-hw3kv
@SjbwvXhbdddhdj-hw3kv 10 ай бұрын
Ubarikiwe mtumiahi pia wewe ❤❤
@janemusali
@janemusali 3 ай бұрын
Asante yesu
@RachelMallya-gx1sv
@RachelMallya-gx1sv 8 ай бұрын
Asante damu ya yesu inene mema leo
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Aminaaa nashukuru kwa maombi haya mtumishi barikiwa
@adelambaye1298
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa maombi haya 🙏
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@MaombiYaAsubuhi
@MaombiYaAsubuhi Жыл бұрын
Amen Amen mwanangu, ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
@user-qe7dt9cq1y
@user-qe7dt9cq1y 2 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@mamabetty7925
@mamabetty7925 9 ай бұрын
Asante Mungu kwa kibali ulochonipa siku ya leo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Ahsante mchungaji wangu kwa msombi yako ya usiku na asubuhi kwa kweli yamenisaidia kwa kiwango kikubwa nawe nakuombea kwa mungu usiache kutuongozq kwenye maombi haya je tukitaka kutuma sadaka zetu simu namba hakuna
@phelistadanieli4861
@phelistadanieli4861 6 ай бұрын
Asante kwakunilindaktkt usiku naombaulinziwako hataktkt mchanahuu ukawemwongozowangu kilaatuanayopiga nikuone wewebwana
@Listarmwandenuka-fq8jm
@Listarmwandenuka-fq8jm 4 ай бұрын
Amina barikiwa mtumishi
@user-xr9fg6sl7h
@user-xr9fg6sl7h 3 ай бұрын
Asante kwa neema uliyo nipa asubuhi ya leo
@marrykyara6247
@marrykyara6247 Жыл бұрын
Asateee mungu kwa kunishika mkono
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w 11 ай бұрын
Ninakataa ndoto mbaya katika jina la yesu
@user-vm6pt6wr7y
@user-vm6pt6wr7y 6 ай бұрын
Asante yesu kwa kinipa neema kuipna siku nyingine tena
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 706 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 76 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI | Sitaogopa
6:06
Maombi Ya Asubuhi
Рет қаралды 509 М.
DAMU YA YESU INANENA MEMA
9:07
CHRIST IS LIFE
Рет қаралды 14 М.
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 76 МЛН
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA by Innocent Morris
28:01
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 306 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 76 МЛН