Mungu asante kwa kutuamsha salama asubuhi ya leo naomba uwe nasi kuanzia sasa mpaka jioni tulejeapo nyumban utukufu wa jina lako ukatawale kwetu ongoza hatua zetu tutembee nawe roho mtakatifu atuongoze kutenda yaliyo mema machoni pako ee Mungu tusaidie amin
@neemadhahabu451524 күн бұрын
Amen mungu apewe sifa namshukuru kwa kila jambo,na kunilinda mpka usubui ya leo ni kwa neema amen
@sheysarahnjeno5207 Жыл бұрын
Ongoza hatua zetu..Mimi na Familia yangu..Pia Watanzania wote.....Damu ya YESU I we nami Mimi niwajuuu.Nifanye wajuuu zaid Amen
@elizabethpedersen64643 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa maombi haya kila siku asubuhi napata nguvu na kutembea kwa ujasiri kwa kuongozwa na bwana wa mbiguni. Amen
@JoycenyellaJoyce7 ай бұрын
Damu ya YESU ikanene mema juu yangu na juu ya watoto Aminaaaa
@msafirisalum84363 ай бұрын
Ahsante mungu umenitoa mbali ktk uhai wangu mafanikio kuniepusha na balaa na mikosi roho za maradhi ya aina yote umeniepusha nayo nguvu za giza umeniepusha nazo kila niendapo upo na umeniepusha na wabaya mungu walijaribu wakashindwa kwa jina lako mungu ulinzi uliyonipa mungu naomba nguvu zako ndio mwanga na mafanikio ktk maisha yng amen👏👏💚💛
@munisileonell8937 күн бұрын
Bwana Yesu Asifiwe Mpendwa! Ukiwa unaandika Jina La MUNGU andika kwa herufi kubwa.❤
@Christianchazinho4 ай бұрын
Mungu aniponye vidonda vya Tumbo na kichwa kuuma katika jina la yesu Amen 🙏
@nicodemianarose5216Ай бұрын
🎉Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
@neemadhahabu451524 күн бұрын
Amen 🙏
@tumasechambo30407 ай бұрын
Asante mungu kwa kuniamsha salama siku hii ya leo,sifa na utukufu nakurudishia wewe,maana bila wewe Mimi siwezi peke yangu🙏
@PedroSantos-rh8nc3 ай бұрын
Assante bwana Kwa siku hii,naombauibalike família yangu yote nashukuru kutuepusha Kwa Atari zote za usiku,naomba njia zetu zote zauchume naupato Zi zidi kufungaka,utupe Nema ya beashara na kila Baraka. Amem
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaaa kwa maombi yako ninafanikiwa kwa kila sala ya asubuhi unaponisalisha ahsante pasta
@MaombiYaAsubuhi Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Maombi ya usiku kabla ya kulala yanapatikana kupitia link hii; kzbin.info/www/bejne/bn-2gquXgMp1aKM
@marthandomba6664 Жыл бұрын
Mung u azidi kukupa nguvu na miugiza katika kuwaombea watu kwa jina LA yesu Ameen
@siliviahmwakalobo5717 Жыл бұрын
AMEN 👏
@shady8125 Жыл бұрын
Amina
@hyasinterhyera6793 Жыл бұрын
Amen
@SoosanOman2 ай бұрын
Amen Damu Ya yesu ikanene mema katik siku yangu ya leo🙏🙏🙏🤲
@smilewithafrica Жыл бұрын
Amen. Damu ya yesu inene mema juu yangu na Familia yangu. Amen and amen.
@ginzelakupaza81305 ай бұрын
Somo leo kanisani kwetu yelemia 20/11 Neno kuu Tusiogope asante sana mungu wangu kwakuwa unaweza yote amen
@SifaJonas-wj9hy7 ай бұрын
Asante mungu kwa kuniamusha salama nakabize maisha yangu kwako na familia yangu iwe mkononi mwako amen
@MarietaRukag-ch1vr2 ай бұрын
Asante Sana Bwana Yesu Kwa maombi ya asb.Mungu Akubariki Mtumishi wa Mungu.❤🎉🎉🎉🎉
@MarietaRukag-ch1vr2 ай бұрын
Asante Sana Bwana Yesu Kunilinda Mimi na familia yangu usiku.❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MarietaRukag-ch1vrАй бұрын
Asante Sana Bwana Yesu Mungu Kwa kutulinda usiku na kutuamsha salama asubuhi ya Leo.❤🎉🎉🎉🎉🎉
@nicodemianarose52164 ай бұрын
Ameen Mungu naomba unibariki na kunishindia ktk yote siku ya leo
@blandinakimbe89109 ай бұрын
Asante natanguliza damu ya Yesu Kila sehemu,
@hussenhafidh37293 ай бұрын
Amina, Asante Bwana Yesu kwa kuwa pamoja na mimi siku hii ya leo, ❤
@ludwinaluyuku11782 ай бұрын
Amen Asante sana mtumishi kwa maombi ya asubui ya Leo🙏
@PaulMusembi-xn3pd2 ай бұрын
Asante Yesu kwa kunilinda na pepo wanaotawala usiku wa giza. Amen
@zawadikimaro40874 ай бұрын
Barikiwa Sana mtu wa MUNGU. Nabarikuwa sana kwa jili ya maombi. Haya. Kweli MUNGU wa mbinguni Akubariki Sana wewe na familia yako. Umenivusha mahali sana.
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Damu ya.Yesu inene mema juu.yangu.silu ya leo
@Misswinnie-j8x9 ай бұрын
Amen Mungu akubariki sana 🙏
@annaitolya89754 ай бұрын
Asante Mungu kwa kuniamsha salama, damu ya Yesu ikatende miujiza
@RaelDubaiАй бұрын
asante yesu asante pastor kwa maombi ya asibui ni ya kubariki muno,amen
@LucyWainaina-f6n4 ай бұрын
Amen mimi najamii yangu ŵeare covered by the blood of JESUSCHRIST
@veronicalugenge19507 ай бұрын
Baba katika jina la yesu ukapate kunirinda mimi na familia yangu dhidi ya maudi wabaya,siku ya leo ikawe njema na yenye kutupendeza,Baba katika jina la yesu kailinde biashara yangu, nianzapo nianze na mungu nimalize na mungu ,,,, Amen
@MikaManayaa5 ай бұрын
mungu nakushukuru kwakuniamsha kwasiku yaleo dam yayesu uwe ju yang katika roho mtakatifu nenda nami milele amina pia mungu akulindee naneema yamngu iwe juyako mchungaji wetu amina
@NeemaMpembwa5 ай бұрын
Ameen , asanteee kwa kutuongoza Maombi yenye nguvu, Mungu akubariki Mtumishi wake
@AsilemEsther8 ай бұрын
Mungunimwemakila wakati❤.
@RolandKishimbo3 ай бұрын
Amen Mungu hatanyamaza kwa maombi unayotuongoza asb.❤
@Lainafaustine-e1tАй бұрын
Asante Mungu kea kuniamsha salama na kun if any niione Sikh nyingine na yenye baraka naomba unilinde na damu yako ikanifunike na kuniepusha na roho MBA ya sitoogopa kwa ma a na yao maana Bwana uko pamoja na Mimi na utaniokoa na hao wa mabaya Naomba uniongoze siku ya leo 🙏🙏🙏
@johnmusyoki56333 ай бұрын
Damu ya yesu ikaneene mema Kwajiri yangu AMEN
@IddoGodwin27 күн бұрын
Mungu Yuko upande wangu,sitaogopa,nimeshinda!
@MariejeanneLusamba11 ай бұрын
Ameeeen . Tunashukuru Mungu kwa kutuonesha siku mpya ya leo. Asante Yesukristu.
@GloriaExaud4 ай бұрын
Amen katika jina la Yesu Kristo na Damu ya mwanakondoo wa Mungu alliye hai. Amen Amen Amen
@EstherSafi-ol5lx6 ай бұрын
Amen Amen Asante kwa maombi nashukuru asubui njema kwetu sote
@NaZ1-o5k9 ай бұрын
Amen Asante yesu kwa niamusha Salama siku iii ya Leo naomba uzidi Kuni linde kila mahali ni endapo.niwe pamoja na wewe
@JeanKamala-ei4ck11 ай бұрын
Asante YESU KRISTU kwa kuwa nime ona Siku mupya ya Leo🙏 Unikinge ili maadui wangu wasi nione unifinike na damu yako🙏 Amen 🙏🙏🙏
@faithdewasi507610 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu Baba Roho wa Mungu akawe Nuru katika siku hii ya Leo Amen
@JosephineWiliam9 ай бұрын
Ameen barikiwa Sana Mungu wa mbinguni akutunze ktk Mtumishi wako Na Damu ya Yesu ikufunike ktkJina la Yesu Kristo Aliye hai ameen barikiwa Sana 🙏🙏
@sirlugikonteminyanda370210 ай бұрын
Asante yesu kwa kunirinda usiku huu kwa dam ya yesu navunja vunja nguvu zote za. Shetan zilizo mbele yangu kwa dam ya yesu amina
@MaryNakutwa-b2j11 ай бұрын
Damu ya Yesu ina nguvu ya kuvunja kila madhabahu ilioko mbele yetu katika jina la mwanao Yesu Kristu Amen.
@tumasechambo30408 ай бұрын
Baba katika jina la yesu naomba damu ya yesu mipango yangu ikafanikiwe,unilinde siku ya Lea🙏🙏
@esthermoindi70975 ай бұрын
Amen asante yesu neema ya bwana inene mema juu ya maisha yetu na familia yangu kila minyololo ndoto Mbaya zianguke Kwa jina la yesu
@RochackRochack4 ай бұрын
Mungu wangu na baba yangu nakushukuru kila iitwayo leo
@NiyonsabaEmelyne-nl6mp11 ай бұрын
Amina asante mungu kwayote sinacanzianda baba yang bira kusema asante Jéhovah kwakupenda mtukamamimi😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏amina
@edithasichalwe252010 ай бұрын
Asante Mungu Kwa kunipa neema ya kuoona siku nyingine nashukuru Mungu wangu endelea kunibariki Kila siku ameen
@LoveInamugisha-cm7yw7 ай бұрын
Amen baba yangu kwa kuniamusha Salama Na kunirinda usiku wote muzima sifa Na utukufu bikuridiriye milele Na mirere
@ClaudeBulambo-s7q4 ай бұрын
Amina damu ya YESU inanitetelea daima.
@jennipherray70016 ай бұрын
Damu ya Yesu iliyomwagika Msalabani Inene Mema juu Yangu na Familia Yangu, Ameen and Ameen 🙏🙏 thank you Jesus thank you God for Everything Hallelujah 🙏🙏🙏
@nicodemianarose52163 ай бұрын
Ameen Mungunnakuomba uniliñde na kunitetea gsiku ya leo Roho Mtakatifu naomva uniongoze popote nitakakuwa leo
@rithakiondo10998 ай бұрын
Amen ame asante YESU kwa zawadi ya uhai...siku yangu imebarikiwa
@MarietaRukag-ch1vr11 күн бұрын
Asante Bwana Yesu kunipa uzima wa kuishi siku ya Leo. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.
@nicodemianarose52166 ай бұрын
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo Mungu wangu unilinde popote nitakapokuwa siku ya leo mimi na familia yangu
@nicodemianarose52163 ай бұрын
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu sku ya leo
@NasriHasan-tv7vy8 ай бұрын
Amen asante yesu kwa kuniamsha salama mimi na familia yangu siku hii ikawe siku ya leo ikawe siku ya balaka ktk familia yangu
@NasriHasan-tv7vy7 ай бұрын
Amen mtumishi ubalikiwe kwa maombi ya asubuh
@stephanodaniel5722Ай бұрын
Asante mungu kwa kuniamsha salama endelea kunilinda siku ya leo nakunipa ushindi katika siku ya leo🙏🙏🙏🙏
@sarahnyokabi98162 ай бұрын
Amen nimepokea Kwa Jina la Yesu Kristu
@nicodemianarose52168 ай бұрын
Ameen Nakushukuru Mungu kwa kuniamsha salama roho Mtakatifu anifunike kwa nguvu zake
@nicodemianarose52166 ай бұрын
Ameen Naomba Roho Mtakatifu unifunike kwa nguvu zako siku ya leo mimi na familia tazama Munguwangu mwanangu anakwenda kuingia mtihani ukamsmamie
@BabaCathe7 ай бұрын
Aminaa damuya yesu inene mema juyangu nafamilia yangu
@NeemaEdimond6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi Kwa kuniongoza Kwa maombi ya alfajiri MWENYEZI MUNGU akuzidishe sanaaa
@siamajohny65197 ай бұрын
Amen..Asante Yesu naimani Uko pamoja nami siku hii ya leo🙏🙏🙏
@JulitaAndrea-nu6pz10 ай бұрын
Ameeen Mimi ni mahindi na zaidi ya kushinda Namshukuru Mungu Kwa maombi haya. Nimeyapata Kwa wakati muafaka
@rosemhina61145 ай бұрын
Nimefarijika kwa maombi haya kwa jina la Yesu na damu yake. Nimeshinda kirahisi sana leo Amen !
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
@MarietaRukag-ch1vr6 ай бұрын
Asante Kwa Damu yako Yesu inilinde na kunipigania!!!!!!!. Amen Amen 🎉🎉🎉🎉
@nicodemianarose52166 ай бұрын
Ameen Mungu nakuomba unisimamie siku ya leo unipe Roho Mtakatifu ani ani. ongoze
@IshaanEdwin3 ай бұрын
Amen asante mungu kwakila jamba nakuomba ebwana usiwe mbali nami🙏🙏🙏🙏 amina🤲🤲❤❤
@virginianjeri34949 ай бұрын
Amina. Sisi tuwashindi kea jina la Yesu. Angaza njia zangu na uniongoze. Kutana na mahitaji yangu
@condradanyoni6556 Жыл бұрын
Mungu asante kwa kunilinda kwenye kila nitakapo ingia na kutoka kwa damu ya yesu
@nicodemianarose52163 ай бұрын
Mungu nakuomba unilindena kunitetea siku ya leo Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo
@MwanaidNkuruvi-wj1ti4 ай бұрын
Ee Mungu nakukabidhi maisha yangu na afya yangu na ya mtoto wangu na biashara yangu na masomo ya mtt wangu
@EstherSafi-ol5lx6 ай бұрын
Damu ya yesu christu inifinike mimi na jamaa langu lote nimebarikiwa sana kwa maombi
@HalimaHassani-k1x2 ай бұрын
Barikiwa sana mtu wa nguvu za Mungu uwe amani Bwana akulinde na kukutetea
@johnmjuni330510 ай бұрын
Asante Mungu wangu kwa kuweza kuniamsha siku ya Leo , pamoja na familia yangu .
@nicodemianarose521611 ай бұрын
Asante Mungu nakushukur nimeweza kukuinua siku ya leo unilinde sitaogopa kwa sababu nipo pamoja na wewre Uesu wangu
@JujuShabani-y7t Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa maombi ya asubuhi hakika ubarikiwe
@nicodemianarose52165 ай бұрын
Ameen Mungu nakuomba unilinde siku ya leo na Damu ya Yesu inene mema juu yangu nafamilia yangu siku ya leo
@JenethKanje Жыл бұрын
Asante mungu Kwa maombi ya asubuh mungu naomba ufungue milango yangu ya mafanikio .Asante mtumish
@LeilaSpembo5 ай бұрын
Ameen asante sana mtumish inifunike dam ya yesu mpka na watoto wangu
@nicodemianarose52166 ай бұрын
Ameen Mungu anishindie yote siku ya leo Damu ya Yesu inene mema juu yangu
@MarietaRukag-ch1vr10 ай бұрын
Amen Amen Amen!!!!😢 Asante Kwa maombi ya Leo. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
@GodfreyPhimbaa9807 ай бұрын
Amen ameni kwa moto ulao unene mema juu yangu katika kila mila fedha juu yangu
@MinaelSamuelMinael6 ай бұрын
Asante yesu Kwa kuniamsha salama nikiwa mwenyew nguvu na afya amina
@SifaOkitakoy11 ай бұрын
Asante Yesu lwa nimeona siku ya leo kwa maombi ubarikiwe Mtumishi
@mariamwakajila2358 ай бұрын
ASANTE Mungu kwà tulinda usiku kucha na kutuvika asubui ya leo Mim na family yangu kwa kila taifa lang na wengine family zao Ninashukuru Mungu kwà afya na mpuzi yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙇🙇🙇🙇
@rolandrekwel60886 ай бұрын
Asante kwa maombi ya asubuhi yaniweka vyema siku nzima 🙏🙏🙏
@jeannemtee98539 ай бұрын
Asante mungu kwakunihamusha Salama mimi nawatoto Wangu pamoja na baba yaho amen 🙏🏽 amen 🙏🏽 🎉
@SeverinoDaniel-g8p9 ай бұрын
Asante mungu kwa siku hii ya Leo. Asante naomba unifungulie njiya yangu na niepushie Kwa manaya yote
@nicodemianarose52165 ай бұрын
Ameen Mungu naomba unitangulie siku ya leo iwe nzuri
@nicodemianarose52165 ай бұрын
Ameen Mungu nakuomba unilinde siku ya leo RohoMtakatifu naomba unilinde krwa nguvu zako
@ReginaSulley-fc5jd3 ай бұрын
Kwa maombi haya namwomba Mungu anipe mwanga katika maisha yangu Ameen
@YasmineMwamini-hq7nr Жыл бұрын
Amen asante mungu kwakuni onyesha asubihi yavreo amen
@MarietaRukag-ch1vr9 ай бұрын
Bwana Yesu Akubariki Mtumishi Kwa maombi haya maziri. Ameneeeee!!
@nicodemianarose52165 ай бұрын
Ameen Damu ya Yesu inene mema juu uangu siku ya leo
@LilianNasike-hx1yw5 ай бұрын
Amen naaamini nimepona kwa damu ya yesu kristo
@RachaelFuraha6 ай бұрын
Amen Amen damu ya yesu inene mema juu ya maisha na familia yangu nakushuru mungu wa rehema amen