Najifunika kwa Damu ya Yesu kila kona katika maisha yangu...ameen
@Mwasha-wb7hc Жыл бұрын
DAMU YA YESU
@Mwasha-wb7hc Жыл бұрын
DAMU YA YESU
@floradavid521611 ай бұрын
Naachilia damu ya Yesu katika masomo yangu , familia yangu, ujana wangu na katika kila eneo la maisha yangu
@priscajonas78052 жыл бұрын
Damu ya Yesu iguse maisha yangu mahusiano YANGU biashara yangu uponyaji mwenyew moyo Wang
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@PamelaSomola3 ай бұрын
Wapi mupo
@sylviamkalla9525 Жыл бұрын
najifunika kwa Damu ya Yesu katika afya yangu Lord
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@shukurusimba98662 ай бұрын
Naachilia damu ya yesu nyumba yangu yote na pia nafunika kitandani pangu damu ya yesu
@jacobobeaty1413 ай бұрын
Damu ya yesu usafisha kila magojwa kila roho zote mbaya nazikataaa kwa jina la yesu napokea uzima wamilele amen
@classcchugaTzАй бұрын
Najifunika kwa damu ya yesu kwa Kila kitu nachokifanya pia najifunika familia yang na damu ya yesu
@jacobobeaty1413 ай бұрын
Damu ya yesu ikomboe maisha angu yote kwa jina la yesu kilisito
@jacobobeaty1413 ай бұрын
Najifunika kwa damu ya yesu Kila roho ya mauti iliyo tumwa na wanadamu kwakina la yesu aina mamulaka kwa jina la yesu alie haii napokea uzima wamilele amen
@estaraberd1245 Жыл бұрын
Ameen, Dam ya yesu inifunike katk kila kona ya maisha yang🙏
@salomenjerii20024 ай бұрын
My future is sprinkled by the blood of jesus no enemy can attack my life in jesus name
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@lucykessy19862 ай бұрын
Damu ya yesu kwenye mikono yangu
@lucykessy19862 ай бұрын
Damu ya yesu kwenye kiuno changu na mgongo wangu
@lucykessy19862 ай бұрын
Damu ya yesu ioshwe kwenye miguu yangu
@SALOMEMJATO5 ай бұрын
Ulinzi kwa mume wangu kwa damu ya Yesu ulinzi kwa watoto wangu kwa damu ya Yesu
@IRERISIMON7 ай бұрын
Nanena damu ya Yesu Juu ya Maisha yangu....Popote nitakanyanga na chochote nitashika na mikono yangu....Nanena DAMU ya YESU.
@neatnessmwanga86532 ай бұрын
Nimemwaga damu ya Yesu kila eneo la maisha yangu nimepokea kwa jina na kwa damu ya Yesu kristo .Amen!
@neatnessmwanga86532 ай бұрын
Amen!
@jacobobeaty1413 ай бұрын
Naachilia damu ya yesu kwenye maisha angu pia kwenye mwili wangu wote
@jacobobeaty1413 ай бұрын
Napokea roho mtakatifu amen
@marywafula28582 жыл бұрын
Damu ya Yesu inene Mema kwenye Maisha yangu nanyunyiza damu ya Yesu kwenye kazi yangu🙏🙏
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@MelisaJamesy-je6fwАй бұрын
Damu ya YESU KRISTO imiminike kwa familia yangu yote Ame🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@BetinaLunyungu13 сағат бұрын
Naachilia damu ya Yesu kwenye maisha yangu ikafute madeni yote fedheha,huzuni zote
@JeanneRashidi-un4fh Жыл бұрын
Amen ubari kiwe Mtumishi wa MUNGU 🎉🎉❤❤🙌🙌🙏🙏🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@deboramungure53482 жыл бұрын
Naachilia Damu ya Yesu katika kila eneo la maisha yangu.🙏
@catherinesamwel19092 жыл бұрын
Damu ya Yesu inene mema katika kila eneo la maisha yangu, masomo yangu, afya yangu, uso wangu, imani yangu, familia yangu, wazaz wangu na katika madhabahu hii ya Holy spirit 🙏🙏
@prayerwomen34442 жыл бұрын
naachilia damu ya YESU kwenye kila eneo ya maisha yangu🙏damu ya YESU CHRISTO🔥
@MelisaJamesy-je6fwАй бұрын
Damu ya yesu krisho imiminike kwa familia yangu yote ikaguse🙏🙏🙏🙏🙏
@milkakerubo9201Ай бұрын
Naomba damu ya yesu ifunike familia yetu,ndoa zetu,kazi zetu Na tuskate tamaa,damu ya yesu tusunguke👏
@NeemaKiria-wz5gh3 ай бұрын
Amen Amen Naachilia Damu kila mahali napokanyaga katika kazi yangu ktk Maisha yangu ktk Future yangu
@HafsaSelemani-n2g10 ай бұрын
Naachilia damu ya yesu kweny kila eneo la maisha yangu
@aminamzawa56304 ай бұрын
Najifunika kwa damu ya yesuu mimi n watoto wangu
@mariamwakajila2357 ай бұрын
Damu ya Yesu Kristo iokomboae inene Mema kwenye Familia yangu na ndgu zangu wakombolewe kutoka kwenye vifungo vya giza
@JoyceJohn1992 ай бұрын
Najifunika kwa damu ya yesu kila kona katika maisha yangu amen 🙏 🙌 👏
@BrandNew-l6s2 ай бұрын
Amen mtumishi wamungu damu ya yesu kwa maisha yangu nena mema kwa maisha yangu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@OliverMwaky4 ай бұрын
Nanyunyiza damu ya yesu kwenye afya yangu na watoto wangu,ndugu zangu one mwema maishani mwetu
@shukurusimba9866Ай бұрын
Nawafunika katika damu ya yesu wale wote walioangukiwa na gorofa huko daresalamu mungu awanusulu Amina
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Damu ya Yesu Nena mema maishani mwangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@lisalisaaa4902 жыл бұрын
Amen 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 kwa damu ya yesu christo niko huru🙌🙌🙌
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@Mwx-zd4ov6 ай бұрын
Damu ya yesu inifinike pamoja na jamii yangu kwa jina la yesu
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Nimemuona Mungu kupitia maombi haya nilikuwa pekeyangu ndani na Ninachangamoto nyingi lkn nimepata kitu chaajabu Nilikuwa ghafra kama mtu mwenye kifafa nimepata kizunguzungu ghafra nikawa Sipo sawa na Kwa muda nikaludi katika hali ya kawaida Nampenda Yesu wa Wokovu wangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Damu ya Yesu Damu ya Yesu Damu ya Yesu nioshe na kunitakasa kabisaaa
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@NeemaKiria-wz5gh3 ай бұрын
Damu ya Yesu katika ufaham wa mwanangu namasomo yake katika Jina la Yesu Kristo
@jacklineelias30915 ай бұрын
Najifinika kwa damu ya yesu kwenye eneo la maisha yangu 🙏🙏
@danielpallangyo3802 жыл бұрын
Naachilia DAMU YA YESU kwenye kila eneo la maisha yangu na kazi zote za mikono yangu
@JumanneBendera9 ай бұрын
Nachilia damu yesu kwenye biashara yangu na maisha yangu
@NelsonChilongola3 ай бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa mafunuo huu hakika nimebarikiwa sana Mungu akupe mafunuo zaidi kwa kutusaidia Amen
@miriammukuba-c3w5 күн бұрын
DAMU YA YESU INIFUNIKE KATIKA MAISHA YANGU NA KATIKA KAZI YANGU NA KWA MAISHA YA MTOTO WANGU NA FAMILIA YANGU AMEEEEEEEEEEEEEN ❤
@irenmendez8 ай бұрын
Damu YESU kristo isafishe ufahamu wangu 🙏🙏
@JumanneBendera6 ай бұрын
Nachilia damu ya yesu kwenye biashara yangu na kila kona la biashara yangu
@sabinachimbuvu5409 Жыл бұрын
Najifimola Damu Ya Yesu Iniyakade Ameen Barikiwa Mtumishi
@hillarimtambo482 Жыл бұрын
Mimi na watoto wangu tunajifunika kwa damu ya Yesu 🙏🙏🙏
@JumanneBendera9 ай бұрын
nachilia damu ya yesu kwenye biashara yangu na maisha yangu
@SALOMEMJATO5 ай бұрын
Damuya Yesu husafisha dhambi zote
@OliverMwaky4 ай бұрын
Damu ya yesu kwenye afya yangu,Kwa mume wangu,watoto wajukuu zangu ktk masomo Yao wakawe vichwa sio mkia ameni
@EsterbernardoVumo-kn2xv10 ай бұрын
Amen Amen Amen Mungu Asante Umetenda.Uhimidiwe Baba Uliyeziumba Mbingu Na Nchi.
@happymangesho11397 ай бұрын
Nanyunyuza Damu ya Yesu kwenye lango la elimu ya watoto wangu
@teopistamtweve335 ай бұрын
Damu Ya Yesu kwenye kila eneo la maisha yangu
@angeljoseph4666 Жыл бұрын
Damu ya Yesu kristo inifunike ktk kila eneo la maisha yangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@waleedbahar52754 ай бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumishi MUNGU akulinde na akubariki
@aminambwambo622 Жыл бұрын
Najifunika kwa damu ya YESU mimi na watoto wangu kila eneo la maisha yangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@RoroRoserororo2 жыл бұрын
Damu ya yesu kristo ikanee mema kwa kila eneo ya maisha yangu ooh damu ya yesu damu yesu inaweza kilaki2
@paulmwangi2942 жыл бұрын
Naachilia Damu ya Yesu kristo katika kila sehemu ya maisha yangu na familia.
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Damu ya Yesu osha na takasa ufahamu wangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@jennymugishaАй бұрын
Najifunika Kwa Damu ya Yesu kwenye mwili wangu
@happynyoni24217 ай бұрын
Naiachilia Damu ya Yesu katika maisha yangu,katika Jina la Yesu
@happinesszuberi736410 ай бұрын
Najifunika kwa damu ya Yesu in Jesus might name,from head to toe
@adelambaye12982 жыл бұрын
Naachilia DAMU ya YESU Kila sehemu ya maisha yangu nafamilia yangu
@MARIAMYANGOLE-lu6xj5 ай бұрын
Damu ya yesu ikafungue milango yangu ya baraka naikafunike family yangu
@mweshmwesh1841 Жыл бұрын
NACHILIA DAMU YA YESU KRISTO KWENYE MAISHA YANGU 🙏🙏😭😭😭😭
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@beathamahatane2205 Жыл бұрын
Damu ya Yesu kristo isafishe kila sehemu ya maisha yangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@gracekenzo8823 Жыл бұрын
Dam ya yesu ikatawale kweny family yangu watoto na kila kitu eee bwana yesu nakuitaji
@shukurusimba98665 ай бұрын
Nami Najiunganisha katika maombi hayo ya kujifunika nakufuta kila gumu katika maisha yetu
@mariamukendrick75710 ай бұрын
Utukufu ni kwa MUNGU, hallelujah👐👐👐👐
@HaneySweetheart Жыл бұрын
😭😭😭hallelujah Amina mungu akubariki sana maombi Yako mazuri nimebarikiwa sana
@Mary-z5i1s10 ай бұрын
🙏🙏🙏🔥🔥🔥 hallelujah damu ya yesu nifunike pamoja na familia yangu 🙌🙌
@fridayuda9577 Жыл бұрын
Damu ya yesu itakase haya maumivu nayoyasikia na iwe Kinga Kwa Kila kitu kinachinihusu,Amina
@OliverMwaky4 ай бұрын
Naachiria damu juu ya jimmy apate Kazi,pia imnene mwema ktk Maisha yake yakawe ya Baraka ameni
@SALOMEMJATO5 ай бұрын
Nachilia damu Ya Yesu kwenye usowangu
@fatumamaila62334 ай бұрын
Damu ya YESU ifungue masikio ya wasiosikia
@shukurusimba98665 ай бұрын
Naanjilia damu ya yesu katika afya na magonjwa yote
@SALOMEMJATO5 ай бұрын
Damu ya Yesu ikatakase miguu yangu
@JanethJoseph172 ай бұрын
Naachilia dam ya yesu kristo juu ya maisha yang na familiar yang nakaz yan
@elishaathumanathuman16 Жыл бұрын
Napokeya Kwa jina la YESU kristo amen
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@MARIAMYANGOLE-lu6xj5 ай бұрын
Damu ya yesu ikafungue milango yangu ya mafanikio pia ikafungue biashara yangu ikauzike na J3 hii ikawe ya baraka kwangu
@HeriethJoseph-cd8vk8 ай бұрын
Naachilia Damu ya yesu kwenye familia yangu, kwenye kazi yangu
@mercykemmy271111 күн бұрын
Amen in the mighty name of Jesus christ
@magdalinemboya93282 жыл бұрын
God bless you Man of God 🙏💖🙏
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@OliverMwaky4 ай бұрын
Naitaji damu ya yesu inioshe nami nitakuwa safi
@marcellamachio3166 ай бұрын
Blood of Jesus in my life and family ❤
@aminambwambo622 Жыл бұрын
Najifunika kwa damu ya YESU kirsto na watoto wangu