Naomba kila pando lililokinyume kwenye maisha yangu na family yangu likapate kung'olewa Kwa jina la Yesu na presha inayoni sumbua itoweke Kwa jina la Yesu Amen.🙏🙏
@paulinachimela13155 ай бұрын
Naomba Kila pando ambalo si mpango wako Bwana, juu ya uzao wangu na uchumi wangu yakang,olewe Kwa jina la Bwana
@tmaniacell173110 ай бұрын
Amen and Amen hallelujah 🙌 🙏 👏🏻 napokea ushidy
@kaylamariani31422 жыл бұрын
Pando lolote aduu alilo panda kwenye maisha yangu au family yangu Nina ngwoa kwa jina la Yesu kristo wanazareti naachilia damu ya Yesu
@EdithLuyenji15 күн бұрын
Niombee mambo na madeni, magonjwa,visirani,,, viondoke katika jina la yesu, Amen 🙏
@warshatissa71285 ай бұрын
Bwana yesu nakuomba niondolee mapando yote yliyopandwa maishani mwangu kwa siri na kwa dhahiri. Niondolee maradhi yote mabaya. Niondolee Tamaa za dunia hii.. Niondolee roho zote za kudhulumiwa kwa Jina la yesu ameen
@venerandamaufi857417 күн бұрын
Pando la uzito lililopandwa na shetani na mawakala wake Shani ya mwili wangu LITOKE. Kwa jina la YESU!
@SabinaKimoloАй бұрын
Pando la magojwa naling'oa kwa jina la Yesu kristo kila kinachozuia kwa maisha yangu Mungu ondoa
@marthamaingi41638 күн бұрын
I pray that any spirits tormenting my family members are defeated in Jesus Name. That everything will be exposed
@PendoThomas-jz6cp2 ай бұрын
Ee Mungu naomba uniondolee magonwa , kurogwa, laana kukosa amani , ninaomba Mungu ukavingoe kwa Jina la Yesu, Mungu kalinde ndia na watoto wetu Mungu katuondolee kwa jina la Yesu🙏🙏
@MegaNasri-bv7tcАй бұрын
Naogopa ata kuandika apa lakina naomba mungu anitoe vitu nilivyo kua navyo kwenye mwili wangu Amen.
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen. Mungu akupe haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo
@liliannyakerario81806 ай бұрын
Eee mungu naomba kile kilicho pandwa kwa ndoa yangu na watoto wangu wanikatae eee Mungu naomba ukaweza kung'oa
@AwadhiHemedi3 ай бұрын
Mungu wangu gusa uzao wangu maana unashida mungu wangu nisaidie nikishika mimba na ikue na izae isitoke tena in Jesus name 🙏
@MlasiWilondja-z2h29 күн бұрын
Baba Mungu wangu nimeleta matatizo yangu mikononi mwako magojwa yasioisha vidonda aviishagi tumbo aliishagi matatizo kizaza kuto kuzaa kwasalama mume wangu kulalishwa moyo kuto kuji fafa nua anatembelea maamuzi familiayake wadogo zake Mungu wangu nichini yamiguu yako pia Mimi nimtenda zambi nioshe kwadamuya
@VeronicaMtita19 күн бұрын
Mungu naomba kupona mguu wangu ulio vunjika na mapamdo mabaya kwenye uzau wangu wazazi wangu wadogo zangu pia katika sehem yangu ya kazi
@NdayishimiyePacifique-xo7ry5 ай бұрын
Niko Burundi naomba muniombee mungu aniponye niko naugonjwa wakuvunjika kichwa nina maumi mingi sana na nina stress mingi kwaju ya kichwa hiki sasa nataka Mungu aniponye katika jina Yesu Kristo
@NaomiSanga-p5y5 ай бұрын
Mungu naomba uondoe mapando yote ayaliyo pandwa na shetani na niweze kurudi kazini ,naamini Mungu unaenda kujibi maombi yangu na tukae sawa mimi na mume wangu tofauti Zetu zitoke kwa jina la yesu😭🙏
@Sandraushidabebe3 ай бұрын
Nataka mwanagu Gablier akuwe mtuh wa mungu mwenye atamuwinda yote mungu amupige fimbo namutiya mikononi la bwana yesu na afanikiwe kwenye maisha yake Kwa jina la yesu
@marcellamachio3166 ай бұрын
Mapando yote yachomoke from my life in Jesus name, spirit of rejection, relationships dont stay, sickness vitoke in Jesus name amen
@georginantemi85982 жыл бұрын
Mungu niondolee mikosi yote iliyowekwa na adui ili nisifanikiwe niwe mtu wa kuhangaika
@buzanation10406 ай бұрын
Eee Mungu babayangu ondoa mapando ya magonjwa, ulafi,kucheleweshwa haki , ndoa kwa ajili yangu na wanangu, wanangu wafunguliwe; kimasomo, kikazi , kiafya n ktk safari zao
@DorcusSaul-wv9rdАй бұрын
Amen Amen,, asante Mungu kwa kunikomboaa,,, nakataa madeni katika maisha yangu na njia zangu za biashara ziimarike...
@theresiakazumba81422 жыл бұрын
Eeeh MUNGU 🙌🧎🙌🧎🙌🧎🙌🧎🙌🙏🙏🧎🧎🧎🧎🧎😭😭😭😭😭😭😭yaondoe mapando ndani yangu na Kwa watu wangu wa katibu pia familia yangu
@maryhosea44002 жыл бұрын
Ameeeeeen
@hussna97kk92 жыл бұрын
Pando katika kifua changu ishindwe kwa damu ya yes🙏🙏
@lall2037 Жыл бұрын
Mwenye nyumba anipende mm na asinitoe chumbani kwa jina la yesu🙏
@leanyakaligo Жыл бұрын
Jambo mtumishi.mtoto huyu ame uuguwa na ugonjwa wa kifafa naomba msaada kwa maombi.
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Tutamuombea
@LinaMbowe7 ай бұрын
Naomba Kila kilicho kinyume na maisha yangu na kwa familia yangu kiondoke kwa damu ya Yesu kristo..
@gastopaulteti29932 ай бұрын
Kila pando linalozuia watoto wangu wasifanye vizuri darasani zinang'ooka in jesus name
@omaryabdallah66699 ай бұрын
Amen kwajina la yesu mim juditi nang'oa kila pando lililo pandwa na kila adui ndan ya maisha yangu nang'oa pando la opaleshen katika tumbo langu langu nan'goa kwa watoto wangu yusra na samia miliamu timotheo ezekieli kwa wazazi wangu na ndugu zangu iwe kwenye uchumi kwenye ndoa kwenye elimu kwenye afya kwe kazi za mikono yetu yote nang'oa pando la magonjwa pando la kupata ela nakuisha bila mafanikio nan'goa kitu chochote adui anakitumia nisisonge mbele ninaamulu kwa jina la yesu kwa damu ya yesu liondoke dabodabo amen
@SaraphinaSadala3 ай бұрын
Mungu naomb kil kilicho kinyume na mapenz yako ukiondoe kwa jina la yesu kristo iliyoshinda kifo na mauti
@GidionKonywa3 ай бұрын
Naomba aondoeo matatizo katika familia yangu magonjwa,mapepo maradhi yote .amina
@evasambila85299 ай бұрын
Naomba Yesu uondoe mapandikizo ya magonjwa yanayozuka ghaflaghafla ili nisisonge mbele lakini kwa imani nitashinda kwa sababu najua Yesu kristo ndiye jibu la maisha yangu,na familia yangu Ameeen
@ummunureinamakove9911 Жыл бұрын
Mashemeji wabadilike ma father in law mungu tenda yaliyo ya ko🙏🙏🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@EsterbernardoVumo-kn2xv10 ай бұрын
Mungu Nakuomba Nisaidie Kuondo Katika Maisha Yangu Mapamdo Ya Magonjwa Mapamdo Ya Kukataliwa Katika Mahusiamo Kwa Watoto Wamgu Vipele Vyeusi Vyeusi Vitoke Vitoke Kwa Wangu Na Vyote Magojwa Na Kila Magonjwa Yaliyopandwa Na Shetani Yashindwe Katika Jina La Yesu Kristo.Na Katika Familia Pia Na Wagonjwa Wote Mahospitalini Na Walio Majumbani Mungu Awapomye Katika Jina La Yesu Kristo Amém Amem Amen.
@chinatanzaniabusiness12626 ай бұрын
Nang'oa Kila mapando ya majini mahaba katika mawili wangu kwa jina ya Yesu kristo na kwa Damu ya Yesu kristo iliyomwagika pale msalabani. Amen🙏
@TUNUMNGONIGANI4 ай бұрын
Mungu ondoa kitu kinachonizuiya nicsonge mbere katika maisha yangu niwe uru sasa Amen 🙏🙏
@AnnastaziaRamadhan-uq4bc16 күн бұрын
Naomba Joseph Busongo Kashindye apone ktk maginjwa yake. Kwa jina la Yesu Kristo aliye hai milele.
@BahatiMdegela3 ай бұрын
Asante kwa kufungua MAISHA YANGU .Mimi digna,tabia mbaya imepandikizwa ndani ya MOYO wangu ninashindwa kukua kiroho ziachia NAFSI YANGU. Naomba niwe huru
@UpendoMtunguja2 ай бұрын
Pando lolote ambalo adui amepanda kwangu na familia yangu ili tusisonge mbele naling’oa katika jina yesu kristo ameen
@sabinaleonce82432 жыл бұрын
Kila pando lilopandwa na adui katika Familia yangu namwambia Yesu ayaondoe kwa damu yake Takatifu Amina
@buzanation10406 ай бұрын
Ninang’oa mapando yaliyopandwa kwangu, kwa watoto wangu n familia yangu… Yang’oke yote kwa jina la Yesu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@francisomary52847 ай бұрын
Kila pando alilo aslolipanda MUNGU ndani yangu naliamuru litoke katika Jina la YESU krito
@hortenseornella-po8zw Жыл бұрын
eeee!!! bwana yesu nalomba ongowa mapando ya aduyi katika maisha yangu.
@ummunureinamakove9911 Жыл бұрын
Naombea mume wangu afunguke apate kazi ,kudharauliwa,magonjwa kwa watoto wangu ,kiburi pia naomba iniondokee in jesus name
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@abigaelmwadena226217 күн бұрын
Kila pando la adui lilopandwa lingoleww kw jina l Yesu usikuu huu wa keo🎉
@TeblaMuyava2 күн бұрын
Amen and Ameen Be-Shop🙏🙏Wacha Mungu abariki maombi 💯🤲🤲🤲🙏
@PatrickZahiga4 ай бұрын
Nami nimemupokeya Bwana Yesu kristo kuwa mokozi wa Maisha yangu! Amen
@Mamas-06k3 ай бұрын
Very good brother, keep, going
@aliciasande15845 ай бұрын
Mungu naomba uondoe mapando waliotupandia ya madeni naya kushindwa na maisha
@peterjackson48775 ай бұрын
mungu aondoe chuki na ukimya kwa mchumba wangu vikang'olewe vyote kwa jina la yesu
@MeryMbaga-y4n3 ай бұрын
Ninakushukur bwana yesu. Kwa kupitia mtumishi wako kila milango ya adaui imekwisha fungwa ,napokea kubarikiwa na kufunguliwa mungu azidi kukuinua baba kwa maombi.
@ZihalirwaRaymond3 ай бұрын
Eemungu wangu naomba unitosheye blocage yote yenyi kuwa ndaniya maisha yangu mimi n'a familles yangu yote
@apotredebora2 ай бұрын
Mapondo iliyopandwa kwa maicha yangu. Na ngowa kwa jina la yesu kristo
@LadouceIranyibutse11 ай бұрын
Nacommande katika damu ya yesu ,magonjwa yote atoke kwara rafiki yanguuuuu katika jina la yesu!
@JanetCherotich-zr2qn2 ай бұрын
Ninaomba kila vizuizi vya maisha yangu mungu aiondoe
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@lennyfrank6 ай бұрын
Ameen Ameen Asante Sana Mchungaji kwa ajili ya haya maombi nna imani kua babangu ambaye anagonjeka magonjwa ambavyo hayajulikani atapona kwa Jina la Yesu kristo
@tinaphilip3324Ай бұрын
Roho magonjwa nakuamurisha Toka kwa jina la yesu kristo
@AnneCherop-kn6lb3 ай бұрын
Naomba Mungu kila Pando lililopandwa kwenye maisha yangu na family yangu yenye inasuiya maisha ingolewe kwa jina la yesu
@georgiajohn25027 ай бұрын
MUNGU niondolee Kila kizuizi kinacho zuia mafanikio yangu Kwa damu ya YESU Aminaa
@ruthelma76964 ай бұрын
Ninang,oa pando lolote ambayo adui amepanda ndani yangu Amen
@ChirtinaNoel4 ай бұрын
Kila pando alilopanda ndani yangu linalonirudisha nyuma kila mara ling,oke kurudi nyuma kila mara lingoke kwa jila la Yesu kristo alie hai🙏🏻🙇🏻
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@MonicaAndrea-b8gАй бұрын
Mungu ahondoe kilabaya kwenye maisha yangu namaisha ya watot wangu
@rehemamatano3164 Жыл бұрын
Nang'oa maradhi umasikini maonevu mapando ya kutolipwa madeni bwana yesu kristoo nitakase kwa neema yako nipe mwangaza muonekano niondolee chuki katika jina la yesu kristoo Amen
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@meshacknyabenda5 ай бұрын
Asante bwana yesu hujawah kuniacha cku zote umenipigania
@lall2037 Жыл бұрын
Mipango yote mliopanga maadui itaaribiwa kwa jina la yesu latifa said moza bayuu na wengine hitaaribiwa kwa jina la yesu🙏
@monicandalama99642 ай бұрын
Eee Mungu naomba Kila pando la maagano na mizimwi ya ukoo wetu ukalingowe leo
@annalivini39402 жыл бұрын
Kila pando alilopandikiza adui movu ktk maisha yangu nalingoa kwa jina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai.
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@RachelTuliya5 ай бұрын
Aniponyesheye maman yangu mwili yote inauma shigo moyo mikono migulu bya mingi
@SALOMEMJATO5 ай бұрын
Naomba ning'oe ulemavu nakupiga keleleusku kwajina la Yesu
@happysadallah4590 Жыл бұрын
Naomba dam ya yesu inilinde Nina kuwa na hofu kila Mara na kunitengenezea pressure. Mungu niguse na Naomba uiondoe hofu, wasiwasi
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@LydiaNasimiyu-h1n9 ай бұрын
Mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana niombee sana utabarikiwa na mungu ❤❤umenibariki saaana namushukuru mafundisho Yako yanaponya hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤
@monicalema8326 Жыл бұрын
Mapando yaliyopandwa kwenye maisha yangu .....nayangoa kwa jina la yesu
@JulitaAndrea-nu6pz3 ай бұрын
@jak Naomba Mungu aniondolee mapando ya Ibilisi katika uzao wa tumbo langu.Roho ya magonjwa ,umasikini roho ya faraka katika familia Naomba Mungu anipe amani na majirani zangu.
@DicksonMasukuma6 күн бұрын
Niponywe presha kwa damu ya yesu kristo Amen
@ChepaBoy10 ай бұрын
Mungu naomba uondoe udhaifu na kutokujiamini ndani ya mwili wang ammen
@dorcasobanya10 ай бұрын
yesu damu yako inene mema juu ya maisha yangu
@joycekambuga62865 ай бұрын
Naomba milango yangu iliyofungwa na shetani ifunguliwe kwa jina la Yesu. Narejesha vyote vilivyo liwa nzige madu madu na tunutu.
@AliceMukaAlice14 сағат бұрын
Gupitiya maobi napokeya ushindi kwa jina Ra yesu kirto
@KaumbyaJasinta3 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu naamini kuanzia Sasa nitakua huru kwa damu ya yesu
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Ameeen amen amen nakataa watoto wangu kutoeleweka ktk jina la yesu nakataa magonjwa ya kuridhi Mimi ni mteule ukoo WA abrahamu nakataa roho za kushindwa kazi nakataa umaskini nakataa ndoto mbaya mafuta Kwa damu ya yesu kristo huna mamlaka juu ya watoto wangu familia yangu mafuta Kwa damu ya yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@chinatanzaniabusiness12628 ай бұрын
Asante bwana Yesu kwa kunifungua,. This is such a powerful prayer I've ever had/heard
@gracepeter73292 жыл бұрын
Roho ya madeni iniachie kwa jina la yesu kirisho
@siliviahmwakalobo5717 Жыл бұрын
Àmina
@MARIAMYANGOLE-lu6xj5 ай бұрын
Mungu naomba uniodoree kizuizi chochote ktk maisha yangu ktk kazi zangu na ktk iman yangu kwa damu ya yesu
@RamadhaniLuhizo8 ай бұрын
Bwana yesu mapando yote yaliyo pandwa kwa nguvu za Giza katika ibada ya leo nenda kabadilishe maisha yangu Kwa jina la yesu kristo napokea mujiza wangu ukafunguke yesu niondolee watu mungu pigananaye
@Sandraushidabebe3 ай бұрын
Na adui anaye katala nipate ashindwe kwajina la yesu nakatala ma agano za kwenye familia yangu nakatala kwajina la yessu
@peacemwesiga Жыл бұрын
Nataka tabia mbayajuu yangu nawatoto iondoke leo kwa jina la Yesu aliyehai
@SALOMEMJATO5 ай бұрын
Nang'oa kizuizi kicho fanya tusibariki ndoa kwajina la Yesu
Ee Mungu naomba ning’olee kila pando lililo pandwa na adui katikq kila eneonla maisha yangu
@MartineNgussa Жыл бұрын
Mungu anisaidie nipate mtoto ndoa yangu inakoxa aman kwaajil yamtoto😢
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@SabinaKimoloАй бұрын
Mungu aniponye nasmbuliwa na vidonda vya tumbo sana naumwa jmn nombeni maombi yenu
@TabithaSiwonike-wq9kyАй бұрын
mtumishi naomba uniombee nipo kwenye uchumba kila akipata pesa mambo mengi yanatokea kwenye family yake,,,kila akipata pesa ya kuleta mahari nyumbani basi unakuta jambo linatokea kupitia madhabahu haya naamini mungu anaenda kutenda kupitia uchumba wangu naamini hivi karibuni atakuja nyumbani kutoa mahari
@samweliantoni77072 жыл бұрын
Moto wa yesu kiristo utembee usikuhuu uchawi wote uteketezwe kwamoto wa mungu tokakatika maishayangu