MAOMBI YA KUOMBA MWISHO WA MWAKA

  Рет қаралды 8,559

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

7 ай бұрын

Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Habakuki 2:14
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 225
@JanePaulkimaro-uo8ll
@JanePaulkimaro-uo8ll 7 ай бұрын
Mungu naomba unipe bidii ya kukutafuta
@MohamedSaid-uv7tq
@MohamedSaid-uv7tq 7 ай бұрын
Mungu weka juhudi kwangu nikutafute Siku zote za maisha yangu
@user-kv8vm4cn8e
@user-kv8vm4cn8e 7 ай бұрын
Yesu ni mbariki na biashara na mashamba in Jesus mighty name Amen
@user-ld7tp4uc3l
@user-ld7tp4uc3l 7 ай бұрын
Asante Mungu Kwa neema Yako ya kipee, Asante Kwa ajili ya kibali ulichokiachilia katika maisha yangu.Endelea kushughulika na maisha yangu.🙏
@liddydeSalt4773
@liddydeSalt4773 7 ай бұрын
Mungu wangu binafsi😢 Hallelujah....nipe juhudi ndani yangu Ee Bwana Mungu Asante 🙏 🙏 🙏
@kamikazirosine319
@kamikazirosine319 7 ай бұрын
Asante Baba yangu uliye keti mbiguni. Nakushukulu kwakuwa umenilinda na famille yangu❤
@janeobure3006
@janeobure3006 7 ай бұрын
Asante YESU kwa kunipigania kuanzia january hadi desemba hsikuwa rahisi kabisa ila ni kwa neema na rehema yako pekee.sisi siyo wazuri kabisa kuliko waliotangulia hapana ni kwa rehema tu.Naomba univushe salama mwaka huu uniondolee magumu yote kwa jina la YESU.
@agnesminde4081
@agnesminde4081 7 ай бұрын
Mungu wangu naomba juhudi ya kukutafuta zaidi na zaidi Baba yangu naamni unaenda kutenda.jYehov.
@sophias3334
@sophias3334 7 ай бұрын
Ameen kweli mungu Yuko nami kwa kila hatua nakushukuru mungu wangu Niko hapa mungu wangu nitie nguvu katika maombi haya mungu wanguuuuu
@marymaria6544
@marymaria6544 7 ай бұрын
Amen amen amen🙏asante yesu.nkwa Neema yako baba
@user-mj4lt9ti5w
@user-mj4lt9ti5w 7 ай бұрын
Naweka juhudi zaidi katika kupenda Mungu. AMEN.
@bethshebamwita3924
@bethshebamwita3924 7 ай бұрын
Mungu asaidie kijana wangu atoke kwa pombe na bangi,amjue mungu wakweli ,amkiri mungu,wa milele,
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 7 ай бұрын
Asante Mungu Kwa Yote Unayonitendea kataka maisha yangu Naomba hekima na uniomgezee juhudi katika kukitafuta Bila Kuchoka Ni Neema tu Si Kwa uwezo wangu hivi Nilivyo
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 7 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi pamoja na familya Yako Mungu akupe afya njema na maarifa zaidi🙏🙏🙏
@leonardobulalu
@leonardobulalu 7 ай бұрын
Asante Yesu Kristo Kwa kunitoa kwenye vifungu
@collenskessy-ts7ue
@collenskessy-ts7ue 7 ай бұрын
Mungu niwekee Juudi ndani yangu na familia yangu Amen 🙏🙏🙏
@user-ld7tp4uc3l
@user-ld7tp4uc3l 7 ай бұрын
Asante Mungu Kwa kuweza kuniumgamanisha na madhabahu hii 🙏
@user-zm3ws5cy5c
@user-zm3ws5cy5c 7 ай бұрын
Amen 🙏 Asante mtumishi wa Mungu kwa Neno na maombi
@bethshebamwita3924
@bethshebamwita3924 7 ай бұрын
Familia yangu imjue mungu, maisha yetu yatawaliwe na Yesu, amen 🙏🙏
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 7 ай бұрын
Baba naja mbele nzako nikikushukuru kwa ulinzi wako mwaka msima baba nipe kufuka mwaka sali mungu asante kwa wema wako fadhila na neema nzote ni sako asante kwa wema wako wa mwaka msima baba tunaona na kusema ni asante katika jina la yesu twasema amen
@EmmmanuelElias
@EmmmanuelElias 7 ай бұрын
Mungu naomba uweke juhudi kwenye nafsi yangu na moyo wangu na ufahamu na akili zangu ya kujujua zaidi na kukutafuta na unipe nguvu ya kushinda kila zambi mbele ya macho yangu na mbele yangu na kila nguvu za kipepo na giza kwenye maisha na biashara yangu zishindwe kwa jina la yesu
@lisakuingwa7337
@lisakuingwa7337 7 ай бұрын
Munguuu naomba uwekee bidiii ya kukutafutaaaaa 🙏🙏😭
@janeobure3006
@janeobure3006 7 ай бұрын
Umenilinda siku zote january hadi desemba nasema Asante YEHOVA.ni kwa rehema na neema.
@user-ju5bq8mw5r
@user-ju5bq8mw5r 7 ай бұрын
Mungu wangu naomba uniepushe na roho za mauti nivuke salama 2024 shetani ashindwe Amin
@christinamasero6967
@christinamasero6967 7 ай бұрын
Eeeh mungu nakuomba univushe mimi nafamilia yangu salama kila kinachonihusu nivuke nacho kwa amani Eeeh Baba simama kwenye hili kila ombi ambalo utalisikia siku ya leo nami niwemo kila maombi utakayo yajibu usiku wa leo ninakuomba nami unikumbuke usinipite kumbuka familia yangu nifamilia ambayo hujaihalalisha ina misukosuko mingi kaonekane kwenye maisha yangu na familia yangu kwanzia saa hii nakuendelea maishani mwangu yote amen.
@agnesgotfrid5425
@agnesgotfrid5425 7 ай бұрын
Mungu naomba unipe juhudi zaidi ya kuutafuta uso wako. Amina
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 7 ай бұрын
Eee Mungu wangu naomba ninapo maliza mwaka uwe NAMI Baba yangu ht nipoanza mwaka tangulia mbele yangu🙏🙏🙏🙏
@bethshebamwita3924
@bethshebamwita3924 7 ай бұрын
Bwana yesu nakabidhi family yangu mikononi mwako, ukatuvukishe mwaka salama, na tukaanze mwaka na yesu salama
@marymaria6544
@marymaria6544 7 ай бұрын
Asante yesu.naomba ukazidi kuachilia kiu YA kukutafuta zaidi
@maryamm7254
@maryamm7254 7 ай бұрын
MUNGU wang naomba nisaidie nikutafute kwa bidii❤❤❤
@user-oe5lr6ms8g
@user-oe5lr6ms8g 7 ай бұрын
Mungu nipe juhudi zaidi ya kutafuta uso wako baba nakupenda
@SegolinaNgowi
@SegolinaNgowi 7 ай бұрын
Asante Mungu kwa Neema Yako itokayo juu mbinguni inayotswala ktk maisha yangu Mimi na uzao wangu
@kakamegaingo651
@kakamegaingo651 7 ай бұрын
Naomba MUNGU unibariki na neema ya juhudi
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 7 ай бұрын
Ahsante Mungu baba kwa upendo wako juu ya maisha yetu, upendo usiokuwa na kikomo, Sifa na utukufu tunakurudishia wewe
@maryamm7254
@maryamm7254 7 ай бұрын
Asante kwa uwezo wako na heshma zina ww ee MUNGU
@aloyamlumbuti
@aloyamlumbuti 7 ай бұрын
Ameeeen, Mungu nisaidie kukutafta kwà bidii zaidiiii
@WahindikwembeAloyce
@WahindikwembeAloyce 7 ай бұрын
Mungu ninaomba neema ya kukutafuta kwa bidii
@joyrepent888
@joyrepent888 7 ай бұрын
Mungu weka juhudi niweze kukutafuta zaidi na asante mungu Kwa hili neno
@agnesminde4081
@agnesminde4081 7 ай бұрын
Naomba ubadilushe maishe maisha yangu Mungu wangu.
@rahmellio
@rahmellio 7 ай бұрын
Ewe mungu naomba univushe salama mwaka ujao nisiliw nisjute nisiaibike nitende mabaya yanayo kukwaza mungu wangu nikinge na mablaa nokoe na maadui na unifanikishe yete niliyo yakosa unbaliki unijaalie neema na balaka zote unifungulie milango za heri hapa dunian na mbinguni asaantee, yesu asaantee roho mtakatifu ameeeni
@bethshebamwita3924
@bethshebamwita3924 7 ай бұрын
Naomba uombee family yangu munga atulinde tumalize mwaka kwa ushindi,tuanze mwaka na baraka za mungu,maadui wawe vipofu wasituone mungu akitubariki
@magretbruno
@magretbruno 7 ай бұрын
Ee bwana Yesu nasema asante kunipigania hadi mwisho wa mwaka.Bwana unijalie nimalize salama na kuvuka 2024 nikiwa na afya njema. Naachana na vikwazo na matatizo naanza na malengo mapya ya kuona uwepo wa Mungu Mungu.
@annetvuseletse4509
@annetvuseletse4509 7 ай бұрын
Mungu niongezea nguvu ya kukutafuta zaidi ili nikujua zaidi nitembea na ww Yesu
@user-ic2rl7gz5z
@user-ic2rl7gz5z 7 ай бұрын
Asante Mungu wangu kwanilinda mimi na famille yangu mwaka wote muzima Aksante Mungu wangu endeleaku endelea kutulinde baba tuvukesalama mwakahuu natuanza mwaka mupyavizuri damu yayesu itufinike
@florencenshimi9353
@florencenshimi9353 7 ай бұрын
Mungu anipe juhudi zaidi nikamuone kwenye maisha yangu .
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 7 ай бұрын
Asante yesu kwa neema yako
@josephinemasaki-zv7te
@josephinemasaki-zv7te 7 ай бұрын
Mungu Naomba uoengeze bidii ndani yangu
@user-ei8cu4df3j
@user-ei8cu4df3j 7 ай бұрын
Asante yesu kwa usalama na uhai ulionipatia
@franklineriungu7252
@franklineriungu7252 7 ай бұрын
My first time live from Mombasa Kenya
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 7 ай бұрын
YESU KRISTO nisaidie mana nihisi kuchanganyikiwa Sasa,,,,unaweza yote nisaidie MUNGU wangu,,,,,wajua hitaji la moyo wangu
@bethshebamwita3924
@bethshebamwita3924 7 ай бұрын
Shalom ! Asante kwa mungu wa madhabahu ya Siri za bibilia, nashukuru mungu Sana
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 7 ай бұрын
Mungu wangu weka juhudi ndani yangu mwanao 🙏🙏🙏🙏
@JumanneShingsha-ks4vb
@JumanneShingsha-ks4vb 7 ай бұрын
Ahsant mungu Kwa uaminifu wako kwangu nakushukuru Kwa kuwa na me had cku ya leo🙏🙏🙏🙏🙏
@annawambura5175
@annawambura5175 7 ай бұрын
Amen
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 7 ай бұрын
Japo Jana sikuhudhuria maombi nashukuru Mungu Kwa kunipa uhai Tena jina la Yesu lihimidiwe🙏🙏🙏🙏
@OmanOman-yn2zj
@OmanOman-yn2zj 7 ай бұрын
MUNGU akutunze mtumishi wa MUNGU hakika umekuwa baraka kwangu
@Dhore-jb5pb
@Dhore-jb5pb 7 ай бұрын
Asante Mungu nashukuru kwa December hii naomba nivuke salaam 2024 kwa mwaka mpya kwa neema yako nisiwe nauchuki na mtu yeyote niwe nafura
@MisheckKalengo-nf4nt
@MisheckKalengo-nf4nt 7 ай бұрын
Asante mungu kwayote nilio pitia ni kwanema tu mungu naomba ku pitia Jana LA yesu nivuke salama namafakio ya kazi yangu
@AnneOpondo-ie4ej
@AnneOpondo-ie4ej 7 ай бұрын
Sifa zote niza bwana Mungu Kwa kunilinda, kuniepusha na magonjwa na changa moto za dunia hii hadi na karibia kumaliza mwaka salamu Kwa neema yake, be blessed pastor innocent
@janeobure3006
@janeobure3006 7 ай бұрын
Naomba tuvushe salama na familia ndugu jamaa tuepushe na magumu yote kwa jina la YESU.
@alicemalombo6813
@alicemalombo6813 7 ай бұрын
Weka bidii ya kukutafuta wewe siku zote 🙏🙏🙏😭
@AncyMerci-un2nu
@AncyMerci-un2nu 7 ай бұрын
Amen 🙏 kwa kwelî djina la Bwana Yesu lipewe Sifa, 🙏🖐️naomba uniinize kwenye Group Baba mshungadji
@sararasmamwamapupa3577
@sararasmamwamapupa3577 7 ай бұрын
Amina mtumishi wa Bwana mungu aweke juhudi zaidi kwangu na familia yangu
@mwangason2035
@mwangason2035 7 ай бұрын
asante Mungu kwa neema yako, ninaomba Mungu uniongezee juhudi za kukutafuta
@agnesgama3574
@agnesgama3574 7 ай бұрын
Mungu Asante kwa kumlinda mama angu pamoja na kuibiwa pesa zake laki tisa lakin tunashkuru kwa uzima alionao hadi leo
@slyviamariammariam-7262
@slyviamariammariam-7262 7 ай бұрын
Mungu wangu nipe juhudi ndani yangu ya kukutafuta zaidi
@mariamnjeri5712
@mariamnjeri5712 7 ай бұрын
Nakusikia vizuri sana ni kenya
@user-qn8br1ei2x
@user-qn8br1ei2x 7 ай бұрын
Naomba uliIizi kwa familia yangu na hekima na hofi ya mungu
@nellyketchop-ub4vd
@nellyketchop-ub4vd 7 ай бұрын
Mungu weka juundi zaidi ndani yangu 🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 7 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA
@LaurensiaZilikana
@LaurensiaZilikana 7 ай бұрын
Weka juhudi ndani yangu ee Mungu wangu ktk kukutafuta wewe beans, nisaidie we Roho mtakatifu niondokane na uzembe nilionao
@annbrendanalech4050
@annbrendanalech4050 7 ай бұрын
Nipe juhudi ndani yangu mungu 🙌🙏🙌🙏
@user-cm7np5up3t
@user-cm7np5up3t 7 ай бұрын
Mungu tuvushe salama mimi na familiya yangu
@Mamagracious799
@Mamagracious799 7 ай бұрын
MUNGU ninaomba uweke juhudu ndani yangu nizidi kuutafuta uso wako. Nataka nikuone MUNGU maishani mwangu
@agnesminde4081
@agnesminde4081 7 ай бұрын
Baba najikabidhi kwako mimi na familia yangu, namshukuru Mungu kwa kwa zawadi ya uzima uhai na afya njema,tunaomba Neema yako iwe nasi Baba mwema.
@NizaLuka-gi8hf
@NizaLuka-gi8hf 7 ай бұрын
Mungu weka juhudi ndani yangu, weka bidii
@irenemwenda6374
@irenemwenda6374 7 ай бұрын
Ameen funzo jema kabisa mtumishi ubarikiwe sana naomba niweke juhudi ya kipekee kwako baba nisaidie maana pekeangu. Siwezi
@sharoncelestine618
@sharoncelestine618 7 ай бұрын
Weka Juhudi zaidi ndani Mungu
@Michael-sd5lv
@Michael-sd5lv 7 ай бұрын
Amina bwanayesu nakuletea madui zangu wote Mary kombe nzai mahali popote alipo. Mungu naomba mm sijui kulipiza kisasi ila ww unajua namkabidhi bele za madhabahu zako mahali popote alipo akose amani paka pale atakapo nilipa deni langu😢😢😢
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 7 ай бұрын
Ameen Ameen Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu. 🙏
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 7 ай бұрын
Mungu weka juhudi ndani yangu nikujue zaidi😭😭
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 7 ай бұрын
Asante Yesu Kwa uhai
@aloyamlumbuti
@aloyamlumbuti 7 ай бұрын
Ahsante Yesu kwà kuniponyaaa
@user-zk7mz3uz5f
@user-zk7mz3uz5f 7 ай бұрын
Asante mungu naomba unittie guvu ya kulkutafuta
@ireneshabani7775
@ireneshabani7775 7 ай бұрын
Naomba mungu unipe bidi zaidi
@agnesgama3574
@agnesgama3574 7 ай бұрын
Mungu Asante naomba nipe kibali nimalize mwaka salama
@alicethobias932
@alicethobias932 7 ай бұрын
Naomba Mungu anitoe huku nchi ya lrak kabla ya Mwaka huu
@carolinekageha1884
@carolinekageha1884 7 ай бұрын
Amen ubarikiwe Sana hkika maombi imenijenga
@mercyline-dl7yu
@mercyline-dl7yu 7 ай бұрын
Ameeen🙏🙏🙏 mungu nisaidie kupitia hya madhabahu in jesus name
@lidamudy2842
@lidamudy2842 7 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunilinda mwaka muzima
@tunuhaji
@tunuhaji 7 ай бұрын
Mungu baba wa mbinguni, najikabithisha kwako nikiomba ulinzi wako utawale maishani mwangu nafuta uharibifu wote nimalize mwaka salama katika Jina la Yesu ameen 🙏
@terrynjeru1330
@terrynjeru1330 7 ай бұрын
Teresa
@terrynjeru1330
@terrynjeru1330 7 ай бұрын
ni nakultaj lyesu
@ruthtorahabublessedlady9222
@ruthtorahabublessedlady9222 7 ай бұрын
Hakika Mungu wewe n mwaminifu nashukuru kwa huwai unayonipa .na yale unayonitendea
@niyomukizavenuste
@niyomukizavenuste 7 ай бұрын
Mungu weka juhudi ndani yangu
@lovenessmahondo7527
@lovenessmahondo7527 7 ай бұрын
Mungu naomba nimalize mwaka salama najikabixhi mikononi mwako ee Bwana nafuta kila kizuizi kitakacho inuka juu yangu
@shibalubela6500
@shibalubela6500 7 ай бұрын
Mungu nipe juhudi katika kukutafuta wewe peke yako
@Jane-tn5qq
@Jane-tn5qq 7 ай бұрын
Amen MUNGU ATUFUNGUA
@lovenessmahondo7527
@lovenessmahondo7527 7 ай бұрын
Ee Mungu naomba ongeza juhudi kwenye maombi yangu
@marianamcharo
@marianamcharo 7 ай бұрын
Mungu yu pamoja nasi,Jina la Bwana libarikiwe
@user-gy9bn8fh5q
@user-gy9bn8fh5q 7 ай бұрын
Mungu weka juu ndani yangu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 7 ай бұрын
Asante kwa afya njema mimi na familia yangu
PAUL MWANGOSI:  Nani kama wewe/worship songs
16:51
Paul Mwangosi
Рет қаралды 172 М.
LIVE: HATUA ZA KUSHIRIKI TOBA MBELE ZA MUNGU
1:08:31
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 4,7 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 17 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 67 МЛН
BEAUTIFUL MORNING DUA | For Protection| Blessings| Rizq | Tasbih | full | Omar Hisham|
27:31
EthioQuran اثيو القرآن
Рет қаралды 2,6 МЛН
John Lisu-Yu Hai Jehovah (Official Video)
12:31
John Lisu
Рет қаралды 470 М.
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 77 МЛН
KUPAMBANA NA MASHAMBULIZI YA NDOTO NDOTONI // Yohana 10:10
35:22
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 4,2 М.
Dr. Sarah K & Shachah team - KIJITO CHA UTAKASO (LIVE)
16:40
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 1,6 МЛН
MAOMBI YA KUZUIA HABARI MBAYA MAISHANI MWAKO // FUTA KABISA
16:19
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 14 М.
JIFUNZE KUMKARIBIA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO
16:10
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 6 М.