KUPAMBANA NA MASHAMBULIZI YA NDOTO NDOTONI // Yohana

  Рет қаралды 5,892

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 3 ай бұрын
Roho mtakatifu wa Mungu tafadhali 🧎‍♀️ niko chini ya miguu yako ukomeshe Roho chafu za mashambulizi kwenye ndoto
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 2 ай бұрын
Asante Yesu unayetupigania tunayoyaona na tusiyoyaona naomba Mungu anilinde na mashambulizi katika ndotoo
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 3 ай бұрын
Asante Yesu kwa hii neema ya kutufunulia kuhusu ndoto.Amen
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 3 ай бұрын
Naomba unirehemu Baba yangu niongoze Roho Mtakatiifu unipe maarifa zaidi 🙏🙏🙏
@MaseaKerry
@MaseaKerry 3 ай бұрын
Asante Yesu kwa kutufunilia haya yote may Your will be done now and forever hallelujah hallelujah Lord Amen Amen 🙏🙌
@faigel
@faigel 3 ай бұрын
Ee mungu nikumbuke katika afya yangu na wanangu ndoa yangu in Jesus name Amen🙏
@Nauminaumi_1984
@Nauminaumi_1984 3 ай бұрын
Mungu niongoze mwenendo wangu nienende sawasawa na mapenzi Yako Eee mu ngu niongoze Kila masaa kilamdakika mungu pekenyangu siwezinaomba unisaindie amen
@Nauminaumi_1984
@Nauminaumi_1984 3 ай бұрын
Naomba mungu unipe marifa unipeimani unipe ufahamu wa kusoma Bibilia Eee mungu niongoze kwakilakitu mm siwezi maisha yangu bila wewe siwezi pekeyangu siwezi pekeyangu amen 🙏🙏🙏
@JoyceMlelwa-o4f
@JoyceMlelwa-o4f 3 ай бұрын
Yesu nisaidie niishi maisha ya kukupendeza
@FredrickRiziki-ue1hr
@FredrickRiziki-ue1hr 3 ай бұрын
Asante Baba kwa kujibu maombi yangu Amen 🙏 🙏
@tuntywilliam7039
@tuntywilliam7039 3 ай бұрын
Asante Roho mtakatifu.... Always you are faithful
@frolencinahenry2407
@frolencinahenry2407 3 ай бұрын
Eee Mungu Nisaidie mimi na watoto wangu ukomeshe ndoto chafu na maono machafu naomba ulinzi wako Mungu
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 3 ай бұрын
Bwana Mungu nakuomba tafadhali unirehemu mimi unisaidiye usinyamanze kwenye maisha yangu mimi na familia yangu 😢😢
@aminajuma1156
@aminajuma1156 3 ай бұрын
Kweli kabisa mtu niliyemuamini na alajifanya mlokole akanidhurumu pesa
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 3 ай бұрын
Ameen mtumishi
@BellahAmira-n9k
@BellahAmira-n9k 3 ай бұрын
Roho Mtakatifu Nakuhitaji Sana Na Sana Maishani Mwangu 🙏 Maana Bila Wewe Mimi Siwezi Kamwe
@RuthAmojong-sm4kl
@RuthAmojong-sm4kl 3 ай бұрын
May the almighty God grand me a heart of prayer. I'm in need of him more than nothing in my life
@EstherMulekania
@EstherMulekania 3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu uniombee saana aniwezeshe kuishi maisha matakatifu
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 3 ай бұрын
Bwana Yesu utusamehe uovu wetu, tunakosa kwakujuwa na kutokujuwa
@JacklineMassawe-n6e
@JacklineMassawe-n6e 3 ай бұрын
Ubarikiwe na bwana Yesu🎉
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 3 ай бұрын
Roho mtakatifu wa Mungu tafadhali fungua fahamu zangu ili nijitambuwe kusudi lako kwenye maisha yangu tafadhali 😢
@nonveroniquejohn
@nonveroniquejohn 3 ай бұрын
Nikaribie yesu
@SelinaRaphael-dr5lg
@SelinaRaphael-dr5lg 3 ай бұрын
Asante Roho Mtakatifu kwa kuniongoza katika maisha yangu
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 3 ай бұрын
Asante baba Mungu, kwa wema na fadhili zako zisizo na mipaka kwangu.
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 3 ай бұрын
Amen amen 🙏 🙌
@lucasmwalukasa3237
@lucasmwalukasa3237 3 ай бұрын
Amen najifunza kitu kuhusu utoaji
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 3 ай бұрын
In the might name of Jesus christ all evil 👉🔥🔥😈 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 3 ай бұрын
Eeeeh Bwana niongoze nienende katika njia zako,unipe maarifa ili nikasimame imara kiimani
@EstherMallya-y2o
@EstherMallya-y2o 3 ай бұрын
Kweli baba maadui ni wengi kuliko maarifaki mungu nisaidie kuvuka katika maisha ya mashambulizi ya ndoto Amen
@Nauminaumi_1984
@Nauminaumi_1984 3 ай бұрын
Naomba mungu uniondo leee kiburi Cha macho kiburi Cha mwili na kiburi Chamauti naomba mungu uniokoe mungu
@CeciliaNguhecha
@CeciliaNguhecha 3 ай бұрын
MUNGU niongoze katika safari yangu ya kutafuta uwepo wako.
@stephanoramadhani2377
@stephanoramadhani2377 3 ай бұрын
Ubarikie kwa kunifugua maisha yangu
@JoshuaMaganigani
@JoshuaMaganigani 3 ай бұрын
Eeh baba, naomba nite genezee maisha yangu, Kwani bado nashindwa kubadilika.Roho mtakatifu niongoze nishinde
@victoriamwanri6305
@victoriamwanri6305 3 ай бұрын
Roho mtakatifu utuongoze maana hatujui kuomba ipasavyo tunaomba NEEMA yako Mungu
@KabibiMure
@KabibiMure 3 ай бұрын
Roho wa mungu nisaidie ili nipate maarifa ya kiMungu
@JosephinaLeonard
@JosephinaLeonard 3 ай бұрын
Asantee YESU 🙏
@MadollartzMadollar-r7p
@MadollartzMadollar-r7p 3 ай бұрын
Roho wa MUNGU niongoze
@Nauminaumi_1984
@Nauminaumi_1984 3 ай бұрын
Amen amen amen amen ame
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 11 сағат бұрын
Ubarikiwe pia
@Nauminaumi_1984
@Nauminaumi_1984 3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwakutufundisha amen 🙏🙏🙏🙏
@NinayeKibona
@NinayeKibona 3 ай бұрын
Ameen ubarikiwe
@Nauminaumi_1984
@Nauminaumi_1984 3 ай бұрын
Amen amen amen amen amenamen
@JoshuaMaganigani
@JoshuaMaganigani 3 ай бұрын
Naomba nisaidie kuomba, juu ya familia yangu, hatufanikiwi, toka mtoto wa kwanza mpaka wa mwisho.
@aminajuma1156
@aminajuma1156 3 ай бұрын
Eeeh Mungu wangu nisaidie 😭
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@gorettiaroni-2422
@gorettiaroni-2422 12 күн бұрын
Amina🙏
@dorahanono2512
@dorahanono2512 2 ай бұрын
Amina Amina
@dorismawole4566
@dorismawole4566 2 ай бұрын
Amen
@SarhKinia
@SarhKinia 3 ай бұрын
Ameen mungu akubariki
@Nauminaumi_1984
@Nauminaumi_1984 3 ай бұрын
Asante Yesu asante Yesu asante yesu
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 11 сағат бұрын
❤❤❤🎉🎉
@modesterstanislaus6639
@modesterstanislaus6639 3 ай бұрын
Ameen
@SarhKinia
@SarhKinia 3 ай бұрын
Ameni
@MnyabiGang
@MnyabiGang 3 ай бұрын
🙏🙏🙏 Amen
@PolaChadi-wm8mk
@PolaChadi-wm8mk 3 ай бұрын
Ameeen
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🧘‍♀️🧘‍♀️🧘‍♀️🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥
@YusufuNahimana
@YusufuNahimana 3 ай бұрын
Baba nifunguwe nijuwekuomba vizuli
@evelynmbeyu8309
@evelynmbeyu8309 3 ай бұрын
ASANTE MWENYEZI MUNGU KWAKUNIWEZESHA KUWA KATIKA IBADA JINA LA YESU KRISTO
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 3 ай бұрын
Usiku mwema
@Neema-mc2qu
@Neema-mc2qu 3 ай бұрын
Amen Amen Amen
@MadollartzMadollar-r7p
@MadollartzMadollar-r7p 3 ай бұрын
MUNGU naomba unikumbuke
@lusilusi8687
@lusilusi8687 3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙌
@FaridaKivuno
@FaridaKivuno 3 ай бұрын
Asante mungu kwa kunifikisha majira haya salama
@KabibiMure
@KabibiMure 3 ай бұрын
Amen nkweli pst
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 3 ай бұрын
Ameen 🙏
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 3 ай бұрын
Ameen asnte Yesu
@martinehussein7261
@martinehussein7261 3 ай бұрын
Ameeeeen
@dativamremi1235
@dativamremi1235 3 ай бұрын
Asante Yesu
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 3 ай бұрын
😢
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 3 ай бұрын
Kweli baba
@EsterMapesa-sq5xf
@EsterMapesa-sq5xf 3 ай бұрын
🙏
@emmaculatemthengo6746
@emmaculatemthengo6746 3 ай бұрын
I am a victim tuchague marafiki
@JoshuaMaganigani
@JoshuaMaganigani 3 ай бұрын
Nope msaada, naja kwako baba nipe maarifa
@shedracknuru4489
@shedracknuru4489 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@Neema-mc2qu
@Neema-mc2qu 3 ай бұрын
Amen
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 3 ай бұрын
Aminaaaaaa
@SarhKinia
@SarhKinia 3 ай бұрын
Ameeen
@dammyduro1643
@dammyduro1643 3 ай бұрын
Ameen
@Nauminaumi_1984
@Nauminaumi_1984 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@emmaculatemthengo6746
@emmaculatemthengo6746 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@AminaBatazari
@AminaBatazari 3 ай бұрын
Amen
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 3 ай бұрын
Amen
@SarhKinia
@SarhKinia 3 ай бұрын
Amen
@LucienneBalume
@LucienneBalume 3 ай бұрын
Amen
@MaimunaTatu-l8m
@MaimunaTatu-l8m 3 ай бұрын
Amen
@RehemaMissinzo
@RehemaMissinzo 3 ай бұрын
Amen
@MnyabiGang
@MnyabiGang 3 ай бұрын
Amen
@SevAl-p9k
@SevAl-p9k 3 ай бұрын
Amen amen amen 🙏
@Juliusinkwabi
@Juliusinkwabi 3 ай бұрын
Amen
@faustamumbee9160
@faustamumbee9160 3 ай бұрын
Amen
@Neema-mc2qu
@Neema-mc2qu 3 ай бұрын
Amen
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 3 ай бұрын
Amen
@jacksoldier3025
@jacksoldier3025 3 ай бұрын
Amina
@deboramsangi360
@deboramsangi360 3 ай бұрын
Amen
@jadymshary2035
@jadymshary2035 3 ай бұрын
Amen 🙏
@MadollartzMadollar-r7p
@MadollartzMadollar-r7p 3 ай бұрын
Roho wa MUNGU niongoze
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 760 М.
LIVE: MABAYA YASIKUPATE WEWE // MAOMBI YA USIKU
38:44
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 29 М.
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 72 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 34 МЛН
ACHILIWA KWA JINA LA YESU // MAOMBI MAALUM YA KUVUSHWA
22:46
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,4 М.
MAOMBI YANAYOMFIKIA MUNGU // ENZINI PAKE
17:00
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 864
DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023
1:34:04
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 467 М.
FOCUS NA MAMBO YA MAANA KWANZA // Usipunguziwe mwendo
52:55
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,9 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:52:00
MAISHA YAKO NI MVUKE // JITHAMINI,UNA KITU
24:22
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 4,4 М.
SIFA TATU (3) ZA MUME | DEO SUKAMBI
55:00
Deo Sukambi
Рет қаралды 48 М.
MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA pigana nao
6:05
Maombi Ya Asubuhi
Рет қаралды 215 М.
MAOMBI YA KUFUNGUA MBINGU // OMBA MPAKA MBINGU ZISEME
1:04:55
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 9 М.
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56