MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA

  Рет қаралды 283,602

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 632
@MeshachMbithi
@MeshachMbithi 5 күн бұрын
Mungu nisaidie nijue jinsi ya kuomba ipasavyo.amina
@PrticaPmm
@PrticaPmm 5 ай бұрын
Ee Mungu nisaidie niweze kujua jins ya kuombaa🤲🙏🏽🙏🏽
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 ай бұрын
Imina
@NajmaBakari-wb3rx
@NajmaBakari-wb3rx 4 ай бұрын
EE mungu nisayidiy uniwonesh njiya ili nijuw gisi. Y'a. Kuwomba
@lilysam-cd7qz
@lilysam-cd7qz 4 ай бұрын
😅
@NassariWalulya
@NassariWalulya 3 ай бұрын
Amen, na tukajuwe namna ya kuombe
@samuelakalah6043
@samuelakalah6043 2 ай бұрын
53y3 I 3​@@NajmaBakari-wb3rx
@GamDuel-vr4hp
@GamDuel-vr4hp Ай бұрын
Mungu naomba niwe tajiri mkubwa wa mali na maarifa mwenye kukufaa kwa matendo na kila kitu amen
@LeahOmary-j1w
@LeahOmary-j1w Ай бұрын
Ee Mungu nikumbuke na mimi na nifundishe kuomba Mungu wangu❤
@leahvictorine5571
@leahvictorine5571 4 ай бұрын
Eeeh mungu wa mbinguni nakuomba unisaidie Ili niweze kukujua wewe zaidi ...😢😢😢🙏
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 5 ай бұрын
Muumba wangu naomba unifunguwe ufahamu wangu nilujuwe ufunguwe moyo wangu ninapoongea na. Wewe ulieniumba. Moyo wangu. Uwe na adabu niikunyenyeekee wewe ulieniumba baba, naaoomba. Nguvu iliniikupende. Muumba wangu amen 🙏
@MariamSalum-f7z
@MariamSalum-f7z 4 ай бұрын
Amen
@GlorySilayo-q3h
@GlorySilayo-q3h 23 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@BeriGosti
@BeriGosti Ай бұрын
Eeee mungu Nisaidie nijue kuomba vizurii?
@ChristinaMajani
@ChristinaMajani 4 ай бұрын
Mungu anajibu ukiomba kwa imani mathayo 21: 21 ..... mungu sikia maombi yangu na kila anaekutumainia wew wakakuone 🙏🙏😭😭😭
@GloriusKazungu
@GloriusKazungu 28 күн бұрын
Amen
@hopennko4215
@hopennko4215 2 ай бұрын
Nifundishe kuomba roho mtakatifu nakuomba unifundishe
@ChristinaMagori
@ChristinaMagori 4 ай бұрын
Jaman mbona huzisemi hizo kanuni? Au ndo tupige simu privately
@nakalisapaschal
@nakalisapaschal 3 ай бұрын
Hongeraa sana KWA kazi nzuriii,lkn nakuomba uzungumze kdg uingie kwenye point,
@EstherNafula-cq9tk
@EstherNafula-cq9tk 3 ай бұрын
Eeeh mungu wangu uliye juu mbinguni nanyenyekea miguuni pako naomba unifundishe kuomba,yaondoe maneno makali kwenye kinywa changu na unijaze yaliyo yako
@SallyChebet-f5g
@SallyChebet-f5g 5 ай бұрын
Mungu wangu nionyeshe jinsi ya kuomba natamani kukuskia mungu wangu
@MagrethKarumba
@MagrethKarumba 4 ай бұрын
1.Mpende BWANA MUNGU wako Kwa NGUVU zako zote,Akili zako zote,Moyo wako Wote, -MPENDE JIRANI YAKO kama unavyojipenda wewe... 2.SOMA NENO SANA EV.HOPELANDA
@BossLadyJ-lp9hf
@BossLadyJ-lp9hf 3 ай бұрын
Mchungaji samahn mbona sijaelwa ,nn ambacho kimezuiya maombi yngu yasijibiwe,au nitawezaje kujuwa kuomba vizuri
@KishaVerus
@KishaVerus 5 ай бұрын
Eeee Mungu nipe njia nzuri ili niweze kuomba kwa usahihi..
@ashuramashaka9204
@ashuramashaka9204 Ай бұрын
Hueleweki. Huongei hayo makosa. Sema content ya title yako. Kuomba inapaswa lifestyle lakini wenye uhitaji huomba na hujibiwa. Tueleze tofauti ya uhitaji na tamaa.
@dottomashimba6474
@dottomashimba6474 4 ай бұрын
Yananisaidia sana pia ninaswali JE NIKITU GANI KILIKUWA KINAFANYIKA KWA WANAFUNZI KIPINDI WANASUBIRIA UJIO WA MSAIDIZI NA HICHO KITENDO CHA KUSUBIRI KINATUFUNDISHA NINI SISI KATIKA MAISHA YETU YA KIROHO NA KIMWILI?
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo 5 ай бұрын
Munguakubarikisana mungu akupewingi wasiku
@NoellaBilembano
@NoellaBilembano Ай бұрын
Mbona haufunguki? Ongea sasa unazuguka hauseme tutakuelewa je?
@jenniferaidaimbukwa4778
@jenniferaidaimbukwa4778 10 күн бұрын
Sasa,mutumishi,wa,mugu,Nitachua,aje Nimaombii,mbaya Naomba,kwa,ssbabu Nngani
@SaidNyambalafu
@SaidNyambalafu 3 ай бұрын
Kaka kipindichako nikizuli ila unaongea sana pendant kwenyepo intimate bana aaa unakela sijui unable wa!!!!!!
@JulithKimario
@JulithKimario 3 ай бұрын
Mbon umeacha point unaongea vingine samahn nenda kweny point unarudiarudia sana
@RoseManyanda
@RoseManyanda 4 күн бұрын
Eeeh Mungu 🙏 nifundishe kuomba vizuri 🙏🙏🙏
@marytetty556
@marytetty556 3 ай бұрын
Pastor somo lako ni zuri were greatfull ila plz try to go direct to the point! Otherwise unapoteza muda mwingi kwa kurudia rudia kitu kimoja
@EmmanuelPaul-v6z
@EmmanuelPaul-v6z Ай бұрын
Uwendii kweny point unazunguka sana at the end point nilikuwa naisubil ujaongea
@SarahNasimiyusimiyu
@SarahNasimiyusimiyu 16 күн бұрын
Nifundishe kuomba ea MUNGU
@BlessingNkaya
@BlessingNkaya 2 ай бұрын
Samahani ni luka ngap??
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Ай бұрын
Luka :18:1-7
@KarimoboA12
@KarimoboA12 3 ай бұрын
Kuna kitu sielewi hapa..ukiwa kiroho maombi hua inakuja tu yenyewe
@crestian8343
@crestian8343 4 ай бұрын
Asante kwa mafundisho kuhusu maombi mimi nimechukuwa yangu pastor na nitafatilia sana Amen 🙏
@HadijaMwansasu-tr7pr
@HadijaMwansasu-tr7pr 8 күн бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi MUNGU aendelee kukutumia
@lucyedward9542
@lucyedward9542 11 күн бұрын
Mm pia mungu wangu sijui kabisa kuomba nifundishe tafadhali
@floramgimwa4464
@floramgimwa4464 4 ай бұрын
Mh! Sijui lengo hapa ni nini. Unaongea sana lkn hufundishi point muhimu za mada. Kwa nini usikamilishe somo hapa mpaka nijiunge na group? Weka injili hapa direct watu wapone mtumishi. Bla bla ni nyingi na mada haijampa mtu maarifa ya kumsaidia
@damianndabatinya3926
@damianndabatinya3926 2 ай бұрын
Nimesikiliza mwanzo hadi mwisho sijasikia siri hata moja,Ni maneno matupu.
@TokyoBaby-f5x
@TokyoBaby-f5x 2 ай бұрын
Mbn huendi kwenye point jamani
@JescaBanyezako
@JescaBanyezako 2 ай бұрын
Ee yesu nikumbuke wakati huu ninao pitia magum
@EshaalMsamba-tb3eu
@EshaalMsamba-tb3eu 2 ай бұрын
Pole sana mungu akutie nguvu amen🙏
@mariamchimamyz9743
@mariamchimamyz9743 3 ай бұрын
Wapi Nina teleza pasipo kijuwa kuomba
@LemariJosphat
@LemariJosphat 3 ай бұрын
Eeeee! Mungu wangu nifundishe jinsi y kuomba vizuri na kuifanya ombi langu jibiwe
@DanielKawaya-pe5ox
@DanielKawaya-pe5ox 17 күн бұрын
Pôle Sana baba yangu nilikuwa Nime potenza namba
@gracedamas5883
@gracedamas5883 10 күн бұрын
Ee Mungu nifundishe jins ya kuomba
@ElizabethBunga-y8p
@ElizabethBunga-y8p 6 күн бұрын
Eee Mwenyezi Mungu niwezeshe kuomba vizur nitie nguvu amen
@magrethqamunga6052
@magrethqamunga6052 4 ай бұрын
We Mungu Roho Mtakatifu nifundishe jinsi ya kuomba vizuri maana peke yangu siwezi
@ShukulaniMlangimoto
@ShukulaniMlangimoto 6 күн бұрын
Asate kwa somo zuri nimejifuza kitu namuna yakuomba
@rabiyahjoseph4735
@rabiyahjoseph4735 3 ай бұрын
Mungu mwema katika yesu nifundishe 1.ubarikiwe mtumishi kwa kufindish kweli ndani yakristo
@RemedAustin
@RemedAustin 2 ай бұрын
Anatoa maelekezo vyema kumfuata 😊
@ChristineMape-y3l
@ChristineMape-y3l 10 күн бұрын
Eeeeeh Mungu wangu nfundishe gisi yakuhomba
@graceeliah9682
@graceeliah9682 6 күн бұрын
Sasa mbona hujatuelekeza hapo mtumishi umetoa tu maelekezo
@jacksonjackson-yo9ku
@jacksonjackson-yo9ku 3 ай бұрын
MM ni mwananz niombeje niweze kufaulu
@jescamwidimya4074
@jescamwidimya4074 5 күн бұрын
Sasa tuombaje jamani tufundishe jinsi ya kuomba
@SophiaAndrew-i5b
@SophiaAndrew-i5b 11 күн бұрын
Emwenyezi mungu naomba unisaidie kunifundisha jinsi ya kuomba
@MaurineKatsele
@MaurineKatsele 3 ай бұрын
Eeeeh mungu naomba unifundishe kuomba ...
@JaneZipporah
@JaneZipporah 3 ай бұрын
Pastor mm ata nashidwa kuomba
@JovinReopord
@JovinReopord 2 ай бұрын
Ee bab nifundishe kuomba
@josephgalandu128
@josephgalandu128 5 ай бұрын
Tupe utaratibu sasa,kwani Yesu alitumia kanunu ipi??tupe
@Mwesige-s8q
@Mwesige-s8q Ай бұрын
Kuna siri kubwa za kiroho naanza kuzielewa
@GlauryHaule
@GlauryHaule Күн бұрын
Amina nashukuru kwa mafundisho nimebadirika sana Mungu akubariki
@MonicaSimon-n3i
@MonicaSimon-n3i Ай бұрын
𝚎𝚎 𝚖𝚞𝚗𝚐𝚞𝚋𝚗𝚒𝚏𝚞𝚗𝚍𝚒𝚜𝚑 𝚗𝚓𝚒𝚜 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚘𝚖𝚋𝚊 𝚒𝚙𝚊𝚜𝚊𝚟𝚢𝚘
@bahimocatherine407
@bahimocatherine407 5 ай бұрын
Unaongea sana nenda kwenye point
@MutekanoDiane
@MutekanoDiane 7 күн бұрын
Eeee Mungu naomba unisaidiye nijue kuomba
@AlenUrassa
@AlenUrassa Ай бұрын
eeeh mung nitazam me mwanao nimekuwa mtiifu kwak nijalie nguvu na niendelee kuku tegemee mpak kifo chang
@nicksonabuya
@nicksonabuya Ай бұрын
Ee bwana, nifunguliye njia ya kuomba na kuyafikiaana ninayoomba.
@salimamataluma1384
@salimamataluma1384 4 ай бұрын
Mmmmh 🙄 mi hata huwa sifanikiwi kwa kweli sijui nakosea wapi
@AminaSalm-wd8zq
@AminaSalm-wd8zq Ай бұрын
Nisaidie nijuwe kuomba
@ivona-p4t
@ivona-p4t 2 күн бұрын
Eee Mungu nisaidie nijue namna ya kuomba 🙏🙏🙏🙏
@hellenobwogi472
@hellenobwogi472 2 ай бұрын
Mungu waisrael nifundishe kuomba
@EvaSylvester-j6r
@EvaSylvester-j6r 10 күн бұрын
Ee Yesu nifundishe kuomba
@chizaesther4526
@chizaesther4526 2 күн бұрын
Na Mimi nataka nijuwe kuomba Niko apa Australia Jina langu naitwa Fatuma hassani
@VictoriaDawiteh
@VictoriaDawiteh 11 күн бұрын
Mungu anisaidiy niweze hayo a nayo nifundisha
@julianampanduji6000
@julianampanduji6000 5 ай бұрын
Pastor INNOCENT siku nyingine just get into it…to the point. Unapoteza muda mwingi kuzungumza vitu repeatedly😢imagine dkk 5 za mwanzo bado hujazungumza kilichotuvuta kufungua video hii!
@BjdkNxndn
@BjdkNxndn 4 ай бұрын
Mtu wa Mungu mbna Mtumishi Yuko Sawa tu, Maana Haropoki Anazungumza mambo muhm kabla ya Hilo unalodhani wewe yaani manaanisha, Mungu ana mengi yakukufundsha jifunze kuhitaji kila ktu Beyondly, zaidi ya ungepewa. Ubarikiwe kama umeelewa 🙏
@ZulfatSuccess
@ZulfatSuccess 4 ай бұрын
Noo. Don’t say that again please 🙏. Mtumishi wangu anaongozwa na roho mtakatifu🙏
@agathemichelle238
@agathemichelle238 4 ай бұрын
Mtumishi anafundisha tu vizuri hakika Mungu amubariki anasaidia watu wengi sana kutu funza watu wake gisi yaku elekea mbele za Bwana 🙏🙏 Asante Mtumishi wa Bwana kwa kazi uliipewa na Mungu peke.
@LeahHaule-m6b
@LeahHaule-m6b 4 ай бұрын
M naomba aendelee hivi hivi ndo tunaelewa vizuri sana. Na anaongozwa na Mungu hafanyi kwa kukurupuka tusipende kusikia tunavyotaka sisi. Binafs yangu napata maarifa ya kutosha kwa namna anavyofundisha. Barikiwa Mtumishi.
@RegnaPaulosumuni
@RegnaPaulosumuni 4 ай бұрын
Bwana atusaidie sana maana bila yeye hatuwezi
@SadalaLeshao
@SadalaLeshao 10 күн бұрын
Aimeni asante kwa funzo lako
@NdelaKimamba
@NdelaKimamba Ай бұрын
Mungu nifundish nikujue wewe
@olivemakyo555
@olivemakyo555 2 ай бұрын
You haven't named even one mistake that we make while praying ...your title is completely different with what you speak of...
@JaneOkotsi
@JaneOkotsi 5 ай бұрын
Natamani sana kukujua mungu wangu na bila kuomba sitafaulu nizidishie neema niwe mtu wa kuomba
@HildaYohana-g7t
@HildaYohana-g7t 9 күн бұрын
Eeeh mwenyez mungu naomb kuomba
@DominaMushi-t1r
@DominaMushi-t1r 23 сағат бұрын
Mungu naomba uniwezeshe niweze kuomba
@PurityMogoi-e1l
@PurityMogoi-e1l 6 күн бұрын
Eeh mugu nisaidie nijue kuomba
@LucyWanjala-si9hq
@LucyWanjala-si9hq 20 күн бұрын
Roho mtakatifu nisaidie kuomba,nisiombe kwa tamaa zangu,nisiombe. Kwa akili yangu niongoze bwana
@MohamedBakari-gw9id
@MohamedBakari-gw9id 4 ай бұрын
Sijapata point maongezi mengi sna bado hujatusaidia kujua kuomba vzr your like unatangaza biashara
@MonicahBrillian
@MonicahBrillian 3 ай бұрын
Ndugu yangu mbona roho mbaya Kwa mchungaji,wewe Muslim kua na heshima ya kuongea ndugu yangu au nakukosea
@VeronicaPaul-k2l
@VeronicaPaul-k2l Ай бұрын
Wee nae hujaelewa alichoongea ,point kubwa kasema tunaomba ili tujibiwe kwa ajili ya matumiz ya tamaa zetu na sio kwa ajil ya Mungu ,muwe mnasikiliza vzr
@tonywambuatony8311
@tonywambuatony8311 9 күн бұрын
Hata sielewi henda kwa point
@TimothyLupimo
@TimothyLupimo Ай бұрын
Mh kumbe ata wewe hauujui
@IdahNambelasiwala-qs3su
@IdahNambelasiwala-qs3su 4 ай бұрын
Eeemungu wangu ninaomba unisaidi kujuwa kuomba 😭😭😭🙏🙏
@mariethabeautyschool
@mariethabeautyschool 4 ай бұрын
Sasa wewe mwenywe mbna hujasema tuombeje yan umetoa mifano tuu na hawa ulio watolea mifano tunajua bado hujasema kivp watu waombe
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 5 ай бұрын
Ameen nimejifunza mengi Mungu akubariki sana Pastor 🙏🙏
@ZubedaZubeda-x5x
@ZubedaZubeda-x5x 5 күн бұрын
Mungu nisaidie nijue kuomba
@TimothyLupimo
@TimothyLupimo Ай бұрын
Mbona hauxemi
@AnethPetro-y9b
@AnethPetro-y9b 5 күн бұрын
E mungu nisaidie nijue jinsi ya kuomba 🙏
@SarahSarahjohnson
@SarahSarahjohnson Ай бұрын
nisaidie ee bwana😭😭
@Ibrahimmeshilieki
@Ibrahimmeshilieki 22 күн бұрын
Mbona hukutsja sababu sasa
@DonathAugastine
@DonathAugastine 3 күн бұрын
Mungu naomba unisaidie kujua namna ya kuomba
@AdelphinaEfrem
@AdelphinaEfrem 4 ай бұрын
Mishono ya nguo
@TeresiaWangui-sy1oh
@TeresiaWangui-sy1oh Ай бұрын
Nifunze bwana njiya yako
@American-qu1mf
@American-qu1mf 3 ай бұрын
Ee mwenyenzi MUNGU naomba unisamehe kama nimeomba vibaya naomba maombi yangu yakapate kibali mbele zako niweze kupokea nilivyoomba' uwajalie wote wanaoomba Kwa IMANI wapate kupokea Kwa njia ya kristo bwana wetu
@nine....
@nine.... 3 ай бұрын
Tr
@redemptachepkorir9086
@redemptachepkorir9086 2 ай бұрын
Roho mtakatifu uniongose na unifuntishe jinsi ya kuomba
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 5 ай бұрын
Ubalikiwe sana MUCHUNGAJI WA MUNGU UNAZIDI KUTUELEKEZA KUOMBA 🙏🙏
@victormolely842
@victormolely842 3 ай бұрын
hata mimi bwana
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 4 ай бұрын
Si useme sasa
@juliuskalawa7860
@juliuskalawa7860 5 ай бұрын
Eeh Mungu naomba uyapokee maombi yangu kadiri ya mapenzi yako,naomba hayo kwa njia ya Yesu Kristo,,,Amen
@JacqulinedeogratiusKahwa
@JacqulinedeogratiusKahwa 4 ай бұрын
Mung uu baba. Naomba unipe nguvu ya kuomba.
@LizyOpiyo
@LizyOpiyo Ай бұрын
Eeeh mungu nifundishe kuomba🙇🏼‍♀🙇🏼‍♀🙏🏽🙏🏽🙏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🥺🥺🥺🥺🧎🏼‍♀🧎🏼‍♀🧎🏼‍♀😔😔😔
@Ellyshishi
@Ellyshishi 4 ай бұрын
Eee mungu nisaidie nijue kuomba kwa imani
@AliceRobert-o8p
@AliceRobert-o8p 17 күн бұрын
Ee Mungu wangu naomba unifundishe kuomba ipasavyo bila wewe siwezi.Amina
@kantungekojeanclaude-1017
@kantungekojeanclaude-1017 9 күн бұрын
Ee mung piya mimi unikumbuke unapowajibu wengne usinipit unikumbuke naunifunz kuombea na kuwanauvumilivu🙏 naomba uyasikiy maombiyang
@QueenJustene
@QueenJustene 4 ай бұрын
Mwenyez Mungu nifundishe kuomba jeovah🙏🙏🙏🙏
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 4,8 МЛН
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 872 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
HUWEZI KUOMBA? TAMKA MANENO HAYA NA MUNGU ATAKUSIKIA
16:05
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 256 М.
MAISHA YAKO NI MVUKE // JITHAMINI,UNA KITU
24:22
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,3 М.
JINSI YA KUONGEA NA MUNGU KAMA RAFIKI - Innocent Morris
41:48
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 18 М.
𝗛𝗼𝗹𝘆 𝗦𝗽𝗶𝗿𝗶𝘁 𝗖𝗮𝗿𝗿𝘆 𝗺𝗲 𝗪𝗼𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 || 𝗨𝗻𝗶𝗸𝘂𝗺𝗯𝘂𝗸𝗲
9:41
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 3,3 МЛН
MAMBO MANNE YA KUFANYA KILA ASUBUHI UAMKAPO Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris
42:19
NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU
19:24
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 240 М.
JINSI YA KUJUA KUOMBA VIZURI, MUONGOZO WA KUOMBA MAOMBI
7:36
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 15 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 43 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН