Amen.Naamini Mungu ameshanitenga na madhabahu za ukoo na kifamilia kupitia maombi haya kwa jina la YESU. Ubarikiwe sn Mtumishi
@MillyKhasoa14 күн бұрын
Mungu naomba unitenganishe na mathabau ya ukoo famila wachawi waganga uchawi wa majini katika jina la yesu cristo amen 🙏 🙌 👏
@JanethCalisto6 ай бұрын
Ameen nimefunguliwa mwili wote umesisimka
@VESTINACHILUFYA6 ай бұрын
Amen Mungu akanitenganishe na madhabahu zote za ukoo wangu
@RachaelFuraha17 күн бұрын
Amen amen nimevunjia kila madhabahu za kifamilia Kwa jina la yesu Kristo alie hai
@SULEMAN-l2v7 ай бұрын
Ameni napokea ukombozi kwajina la Yesu
@clarisumazi28 күн бұрын
Amen amen ubarikiwe mtumishi kwa maana naamini Mungu amenitenga Na madhabahu zote za ukoo
@paulajohn7901Ай бұрын
Katika jina la Yesu kristu navunja madhabahu za ukoo na zote zilizonenwa kwaaji yangu.Amen
@Clip_corner-jr23 күн бұрын
Ameeen mchungaji,MUNGU akujalie,umenitoa mahali
@annahmutinda100118 күн бұрын
Nakataa madhabau ya ukoo katika Jina la Yesu. Natenganisha watoto wangu na madhabau ya ukoo wa kwao katika Jina la Yesu.
@maulinemakungu53223 ай бұрын
Maroho ya talaka na umaskini ipigwe na radi ⚡ za nguvu za yesu,.maroho ya jina nililoitwa yakutoolewa na kujua na bitterness iniachie Sasa hivi katika jina la yesu kristo 🙏🙏🙏🙏
@Marthajustine-d2lАй бұрын
Mungu naomba mlinde na unitenge mbali na madhabau ya kichawi na kifamilia zishindwe kwa jina la yesu ameeni.
@GraceRaphael-k2e5 ай бұрын
Mtumishi wa mungu utadhan unanion mungu anikumbuke na kuikana madhabahu ya kifamilia na kiukoo
@monicadittu25544 ай бұрын
Mungu ni mwema nimeskia kufunguliwa kabisa mtimishi naomba maombi uniombee kuna roho za ukoo nashindana nazo nisaiidie maomb mtumishi amen
@RachaelMnyaka5 ай бұрын
Mungu anitenganishe na madhabahu za ukoo kwa jina la yesu
@Alisa-wv6rh7 ай бұрын
Amen 🙏Mungu Naomba ufungulivu maana bila wewe Mimi sitoweza Bwana Yesu Vita ni vingi
@MaryMaloba-d8gАй бұрын
Amen mtumishi wa mungu naona mwangaza kupitia maombi Yako, mungu azidi kuunuwa ukomboe na wingine jinsi ulivyo nikomboa
@الشاا11 күн бұрын
Ninavunja madhabahu ya ukoo wetu nifanikiwe
@VedastinaVedasto-m8z20 күн бұрын
Baba yesu kristo navunja madhabau za ukoo za kwao na mama kwa sababu mamaangu anatumiwa njia za kuzimu navunja vishindwe
@RolandKishimbo2 ай бұрын
Amen,Amen, Amen. Hakika Mungu anatupenda sana.Ameona mateso yetu.Tumepona .Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana.
@EnessiSosten-gd7yy6 ай бұрын
Ameen natengana na miungu ya kifamilia kwa damu ya yesu na jina la yesu
@RehemaNzeyimana-j1k4 ай бұрын
Amen amen naamini mungu ameyisha nitenga n'a mazababu Zaki fmilliya nabakazana n'a fmilliya sawa nawengine sijuwe n'a wajorani n'a wacahwi kupitiya maombi haya katika jinalayesu kristu amen
@dicksonmasukuma45192 ай бұрын
Amen koo mbaya ziharibiwe kwa damu ya yesu ya kristo Amen
@hellennyabuti36767 ай бұрын
Amen ..nimesikia mtetemeko kwa nyayo zangu..ninaimani nitafunguliwa ..amen ..Hellen from kenya
@RoseMunuo-f9j7 ай бұрын
Amen nimeskia barid sana kuanzia miguuni naamin nimefunguliwa kwa jina la Yesu
@MillyKhasoa21 күн бұрын
Nakataa maroho za maudi kafara madeni umasikini laana katika jina la yesu cristo amen 🙏 🙌 👏
@UmaziSalim5 ай бұрын
Mungu anitenganishe na madhabahu za ukoo mm na watoto wangu katika Jina la yesu Kristo 🙏 🙏 🙏
@محمدالقايد-د6ب6 ай бұрын
MUngu anitenganishe na mazabau ya ukoo na magonjwa ya kurithi kwenye familia in name Jesus Amen
@IreneMwasambili17 күн бұрын
Amen mtumish wamungu
@JanethMbikiАй бұрын
Mungu naomba ulinde familia yangu kila Miungu ya ukoo kwa jina la yesu ishindwe
@jacobmhozya21214 ай бұрын
Barikiwa mtumishi kwa jina la yesu Amen
@Zuchufyp3 ай бұрын
I rebuke every ancestral spirit in Jesus name kila roho ya kunirudisha nyuma,roho ya mauti,roho ya vita za family nazikemea Kwa Jina la yesu Christo...kila roho ya mafatilizi nazivunja Kwa damu ya yesu Christo damu ya yesu inilinde inizingire Na kunitakaza Kwa Jina la yesu Christo mwana Wa mungu Alie hai 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@ReginaOure7 ай бұрын
Amen amen Mungu mimi na familia yangu tutenge na madhabahu ya kifamiliya
@UmaziSalim5 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana Kwa maombi haya 🙏🙏🙏
@annatemu44882 ай бұрын
Asante Yesu kwa kukutana hii ibada🙏🙏
@chances-x19844 ай бұрын
Amen, Amen, Amen baba, mungu apewe sifa kabisa, kwani naamini kuwa nimetoka Tangu Léo katikamadhabawu zote za ukoo wangu
@NeemaWilison-e7fАй бұрын
Amen mtumishi
@evansjuma273123 күн бұрын
Maroho ya kurudi nyuma na kutokuendelea mbele kupitia maombi haya yamefunjika kwa jina la yesu kristo
@FikiriKuyunga2 ай бұрын
Mungu anitenge na madhabahu ya ukoo
@TinaNombo5 ай бұрын
Ameni,, hakika Mungu amenitenganisha na madhabahu ya ukoo na familia kupitia maombi aya nimeona dalili nyingi ubarikiwe mtumishi 🙏🙏🙏🙏
@neemamagwai7 ай бұрын
Amen napokea ukombozi kwa jina la yesu
@JudyOnyancha4 ай бұрын
Amen. Namini leo usiku nitalala vizuri na familia yangu yote in Jesus name
@MaseaKerry10 күн бұрын
Asante Yesu Amen Amen 🙏🙌
@Nananadya-i4w4 ай бұрын
Mungu anitenganishe na mungu ya uko kwa jina yesu
@UmaziTaura5 ай бұрын
Amina hallelujah hallelujah 🙌 God bless you
@EstherBARASSA20 күн бұрын
Katika jina la Yesu , Maombi ni sawa.
@Nananadya-i4w4 ай бұрын
Mungu anitenganishe na mungu ya uko kwa jina yes
@JonasKisuda-ri5hk6 ай бұрын
Mungu nitenganishe na mazabahu ya ukoo ya mizimu magonjwa ya kurithi umasikini na uganga yapigwe kwa jina la Yesu kristo
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Ni kweli kabiza mutumishi wa Mungu Mungu atusaidie tupate ushindi Kwa maisha yetu
@aminambwambo6228 күн бұрын
Navunja madhabahu za ukoo upande wa baba na upande wa mama na upande wa mume navunja kwa damu ya YESU kristo
@irenemichaelАй бұрын
Amen mtumishi 🙏
@EziraKagomba3 ай бұрын
Namushukuru Mungu Kwa maombi haya
@scolarjapheth32495 ай бұрын
Ee mungu nitenganishe na madhabahu ya ukoo kwa damu ya yesu
@monicadittu25544 ай бұрын
Mtumishi maombi haya yamenitetea sana kinitoa kwenye maroho ya ukooo asante mchungaji
@agnessamini826621 күн бұрын
Mungu wangu nieepushe namadhabahu za family eee mungu wangu nikubukenami