MAOMBI YA ULINZI. DHIDI YA NGUVU ZA GIZA NA MAADUI ZAKO. MAOMBI NA MAOMBEZI Pastor Ndelwa

  Рет қаралды 86,246

 PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA

PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA

Күн бұрын

Пікірлер: 360
@user-pw3xm2bp8p
@user-pw3xm2bp8p 3 ай бұрын
Naomba ulinzi usiku na mchana siku zote naomba ulinzi wa mungu ndani ya familia yangu yote ndani ya wazazi wangu kwa jina la yesu kristo🔥🔥🙏🙏
@ameenaamena5767
@ameenaamena5767 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 Sana maombi haya amenisaidia pamoja nakuwamini nimazuli Sana unamafuta kiukweli umepakwa namungu uzidi kubalikiwa❤️❤️🙏🙏
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
Amen
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
Amina baba lao
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
I received
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
Amen amen
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
AMINA BABA lao
@user-pw3xm2bp8p
@user-pw3xm2bp8p 3 ай бұрын
Amen Amen Amen baba mtumishi 🙏🙏 mungu azidi kukuinuwa siku zote ubarikiwe sana baba yangu 🙏🙏🙌🙌
@user-pw3xm2bp8p
@user-pw3xm2bp8p 3 ай бұрын
Amen Amen napokea ulinzi wa Mungu ndani ya maisha yangu yote 🔥🔥
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 2 ай бұрын
Ameen naomba ulinzi kwa mwezi huu na mwaka mzima na kwa watoto wangu,mume wangu na wajukuu zangu na ndugu zangu na wakwe zangu
@velonicacharles-6124
@velonicacharles-6124 7 күн бұрын
Ameen Ameeen naomba baba unirinde na uniongoze safari zangu niweze kufika salama naomba ulinzi katika familia yangu
@user-pw3xm2bp8p
@user-pw3xm2bp8p 3 ай бұрын
Amen Amen baba mtumishi napokea ulinzi na uponyaji kwa jina la yesu kristo🙌🙌🙏🙏
@SesiliaSilayo
@SesiliaSilayo Ай бұрын
Ubarikiwe pastor na uzidishiwe milele
@user-pw3xm2bp8p
@user-pw3xm2bp8p 3 ай бұрын
Amen baba mtumishi 🙏 Mungu naomba ulinzi katika familia yangu yote na mimi pia Amen Amen ya ushindi 🔥🔥🙌🙌
@JasmineTiisekwa
@JasmineTiisekwa Ай бұрын
Amen napokea ulinzi na uponyaji kwa Jina la Yesu! Asante mtumishi wa Mungu.
@JumaMwanga-h7k
@JumaMwanga-h7k 10 күн бұрын
Naomba ulinzi wa mungu juu ya maisha yangu kiafya,kiuchumi na kiroho
@NasriHasan-tv7vy
@NasriHasan-tv7vy 2 ай бұрын
Amen mtumishi nimebalikiwa sana na maombi yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NasriHasan-tv7vy
@NasriHasan-tv7vy 2 ай бұрын
Amen ubalikiwe sana mtumishi nimebalikiwa sana na maombi yako mungu akubariki
@JohnKamau-zj1ni
@JohnKamau-zj1ni Ай бұрын
Am john from Kenya am blessed with the prayers may God exhausted you pastor in Jesus mighty name am blessed
@NasriHasan-tv7vy
@NasriHasan-tv7vy 2 ай бұрын
Amen ubalikiwe sana mtumishi kwa maombi yako mazuri
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ ulinzi wako Yesu Kristo Kwa maisha yangu
@reginemaombi4487
@reginemaombi4487 Ай бұрын
Amen napokea ulinzi wa mungu ndani ya maisha yangu god ❤
@baby_face_
@baby_face_ Жыл бұрын
Amen Amen yesu navunja nguvu zote zangiza ndani ya familia yangu mujina la yesu
@rispermamaslove7174
@rispermamaslove7174 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu nimebarikiwa kwa haya maombi, Mungu akubariki
@puritykalama8517
@puritykalama8517 2 жыл бұрын
Amen barikiwa mutumishi
@geofreykimaro5859
@geofreykimaro5859 Жыл бұрын
Amen Napokea Kwa Mikono ya Imani
@lilianmramba3933
@lilianmramba3933 Жыл бұрын
Amen napokea ulizi kwa jina la yesu
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 15 күн бұрын
Amen nadai ulinzi kwa jina la yesu amen 🙏
@VESTINACHILUFYA
@VESTINACHILUFYA 17 күн бұрын
Ulinzi wa Mungu ukanifunike mi na familia yangu
@mariekabibi688
@mariekabibi688 2 жыл бұрын
Amen. Uniombeye. Pesa zangu zina fungwa na adui. Naomba wokovu wa jamaa yangu. Amani, la masikilizano.
@EvalineShoo
@EvalineShoo 10 ай бұрын
Amen napokea ulinzii kwa jina yesu amen
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 2 ай бұрын
Amen kwa Iman nimepokea uponyaj ktk jina la yesu🙏🙏🙏😢🙏
@user-mj3zp5ht3b
@user-mj3zp5ht3b 5 ай бұрын
Mm ni Ann ingabi Amen asante san mungu aku linde 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@musamustapher402
@musamustapher402 Ай бұрын
Amen,amen ubarikiwe mtumishi wa mungu
@GillianImali
@GillianImali 5 ай бұрын
Amina nimebarikiwa Kwa maombi mtumishi wa mungu
@beatricehunterson5352
@beatricehunterson5352 2 жыл бұрын
Amina mtumishi nayapokea maombi haya na ninamuomba Mungu akanitendee kama maombi haya yanavosema🙏🙏🙏
@user-jw3sr7ez3p
@user-jw3sr7ez3p 5 ай бұрын
Amina Nimebarikiwa nafamilia Yangu Imebarikiwa.
@elishamafulu106
@elishamafulu106 10 ай бұрын
Napokea Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marcelinezawadi-ts7hs
@marcelinezawadi-ts7hs Жыл бұрын
Amen papa pasta mungu akubariki Kwa uduma wakazi zake
@douglasbirundu1232
@douglasbirundu1232 Жыл бұрын
Amen mtumishi nimeamini maisha yangu yamechukua mkondo mpya ndani ya kristo
@fabiola4007
@fabiola4007 Жыл бұрын
Congratulations mutumushi bwana akulinde
@sofiajoel1235
@sofiajoel1235 Жыл бұрын
Napokea ulinzi kwa jina la yesu 🙏🙏
@malisawakakonga3493
@malisawakakonga3493 Жыл бұрын
Amena amena ubarikiwe
@RehemaAhmed-ms5qq
@RehemaAhmed-ms5qq 13 күн бұрын
Naomba ulinzi wa mungu mkwe wangu aweze kuinuka tena,akaungane na familia yake,e mwenyezi mungu ukatoehicho kitu kinachomuuma tumboni na aweze tena kula chakula kama zamani na aweze kupata nguvu.
@user-pi8ze8uy8l
@user-pi8ze8uy8l 3 ай бұрын
Mungu naomba ulizi katka familia yangu namimi pia😎🙏🙏🙏
@rachelerastusm1466
@rachelerastusm1466 3 ай бұрын
Amen Mungu aendelee kunitetea na familia yangu na ndg zangu'Ulinzi kwa kazi yangu na biashara zangu ziiimarike na kustawi.Amen
@agnesmangamawalla4371
@agnesmangamawalla4371 8 ай бұрын
Ameen Mch kwa maombi haya Mungu akubariki
@matridanyambo3747
@matridanyambo3747 2 ай бұрын
Amina napokea ulinzi mkuu kwangu na wanangu
@stellahmwansimba603
@stellahmwansimba603 3 күн бұрын
Ninaomba ulinzi wako Mungu juu ya afya yangu juu ya ulinzi roho za maonez
@dinahbhoke2611
@dinahbhoke2611 Жыл бұрын
Asante mungu kwakumwamusha baba angu 🙏 sifa na utukufu zikurudie wew baba🙏🙏🙏🙏 hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌
@user-fo3tj1bj5e
@user-fo3tj1bj5e 4 ай бұрын
Asante mchungaji Kwa maombi maombi yako yamenipatia Amani ya roho
@edithachibululu2419
@edithachibululu2419 Жыл бұрын
Napokea KWA jina la YESU. nawafunga wachawi wote wanaoshambulia Manisha yangu.
@arlnembone6844
@arlnembone6844 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@user-jw3sr7ez3p
@user-jw3sr7ez3p 5 ай бұрын
Amina ,waepushe Wanangu ktk vita vya kiroho na kimwili
@cydohGen
@cydohGen 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa kweli una upako
@salmaprice9100
@salmaprice9100 4 ай бұрын
Napokea ulinzi Kwa jina LA yesu kristo 🙏🙏🙏
@ReginaAsha
@ReginaAsha 2 ай бұрын
Naomba uliz kwa kila jambo katika maisha yangu
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 2 ай бұрын
Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa mungu barikiwa
@jeuneplante6536
@jeuneplante6536 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwakutusaidia kwa maombi haya tukiwa ndani ya safari n'a kadhalika
@user-mj3zp5ht3b
@user-mj3zp5ht3b 4 ай бұрын
Amen. Asante. Maombi ni dawa 🙏🙏🙏🇰🇪
@user-rh9ei6gv1v
@user-rh9ei6gv1v 9 ай бұрын
Haleluyaaaaaaaa haleluyaaaaaaa haleluyaaaaaaaa amen mutumisshi w😅a mungu mungu akubaliki
@TheophilKadikilo
@TheophilKadikilo 9 ай бұрын
Ahsante Mungu kwa ulinzi wako usiku kucha umekuwa na sisi tunakushukuru Mungu tukinge na kila aina ya uchawi kwa JINA LA YESU KRISTO ALIYEHAI.
@JudithJoseph-zp4jt
@JudithJoseph-zp4jt 7 ай бұрын
Naomba Ulizi juu ya kazi yangu ju familia yangu ju yaAfya zetu Ulizi ju kilatunachokifanya
@user-ow5zy8hn8v
@user-ow5zy8hn8v 4 ай бұрын
Amina Amina Amina katika jina la yesu kristu
@user-pw3xm2bp8p
@user-pw3xm2bp8p 3 ай бұрын
Nakutanguliza wewe bwana mungu wangu katika kila kitu changu chote kwa jina la yesu kristo 🙏🙏🙏 uniongoze baba mungu Amen 🙌🙌
@JescaRichard-dz7zo
@JescaRichard-dz7zo 4 ай бұрын
ameni ubalikiwe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
@paskalinanesphory3425
@paskalinanesphory3425 Жыл бұрын
Amina mtumishi mungu akuongezee kiwango cha huduma yako mungu nisaidee na mimi niinue katika majaribu yangu magonjwa na alinde mazingira ya nyumba yangu na ndoa yangu
@faithmwailunga6954
@faithmwailunga6954 4 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@silyvianekesa4689
@silyvianekesa4689 Жыл бұрын
Amen powerful prayer be blessed
@user-pw3xm2bp8p
@user-pw3xm2bp8p 3 ай бұрын
Haleluya amen baba mtumishi napokea ulinzi kwa jina la yesu kristo🔥🔥🙏🙏
@dianawilliam2964
@dianawilliam2964 2 жыл бұрын
Ameen mtumishi kwa maombi ya nguvu za Mungu naomba uniombee mtoto wangu aache pombe mtumishi
@neemamustafa
@neemamustafa Жыл бұрын
Mungu naomba ulizi Kwa wtoto wangu
@pauladam9105
@pauladam9105 2 ай бұрын
Ameni ubarikiwe pastor
@lilian4624
@lilian4624 2 ай бұрын
Nimepokea ulinzi katika jina la yesu
@esterkomba9049
@esterkomba9049 Жыл бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu Asante kwa maombi ya ulinzi, Mungu akubariki natamani kujiungamanisha sadaka ya ujenzi niombee nikatimize agano hilo.
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 2 ай бұрын
Asante sana Yesu Kwa ulinzi
@mayxh1918
@mayxh1918 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen Mungu akubariki Pastor, mnapo mjengea Mungu nami Mtumishi pia uniombee mwishoni mwa huu mwaka nkapate kujenga Nyumba katka Jina LA Yesu Kristo 🙏. Naomba ukazidi kuniombea maombi ya kujenga ndoa, biashara, masomo ya watoto, Amani, Baraka,,niwe kichwa kwa kila jambo nisiwe mkia. Mungu anifanye niwe kisima katka Familia yetu, niheshimike na kukubalika popote nikanyagako na niendako. In Jesus might name 🙏🙏🙏
@consolataanyambililemwakib1111
@consolataanyambililemwakib1111 Жыл бұрын
Asante mungu naamin utatenda sawsaw na mapenzi yako, natangaza ushindi kupitia maombi haya Ameeen
@maombinidawa
@maombinidawa Жыл бұрын
Pokea neema hiyo
@consolataanyambililemwakib1111
@consolataanyambililemwakib1111 Жыл бұрын
Ameeni mungu nibariki,naomba nipe wepes katika mafanikio,nimekuwa mtu wa kurudishwa nyuma, kwamaana kuibiwa ,kutapeliwa,kudhurumiwa naamin baba utakwenda kunisaidia mana wew hujawah kushindwa
@agnesmakokha8034
@agnesmakokha8034 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Kwa maombi Haya...Mimi nilikua nimefika mahali nimechoka Na Maisha..but maombi yameninua sanaa juu ya watoto wangu.jamii yetu....kazi yangu Na madui xangu wwote mungu anitete xanaaa
@user-wl8pz7oi9s
@user-wl8pz7oi9s Жыл бұрын
Amin mungu atufinike na damu yake
@user-nn3hj5no7d
@user-nn3hj5no7d 3 ай бұрын
Naomba mungu unisaidie ulinzi
@user-nz8ts3sg9z
@user-nz8ts3sg9z 5 ай бұрын
Amen kwa jina la yesu christu wa Nazareth
@judygathoni5230
@judygathoni5230 2 жыл бұрын
Amen and amen 🙏🙏 mgu nipe DOA 🙏🙏 this year
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 ай бұрын
Baada ya maombi nimepona mguu gafla nashukuru Mungu
@AdelaNicolas-sh2wt
@AdelaNicolas-sh2wt 2 ай бұрын
Naomba uliz ucku na mchana nakua naota ndoto mbaya nakula nyama ndotoni mambo yangu hayaend kabsa mungu nitetee kwakila jambo mbaya naota nafanya mapenz ndotoni mungu nisaidie
@user-cz1lo7im4p
@user-cz1lo7im4p 3 ай бұрын
Amen Mungu ñaomba ulinzi kwa maisha yangu arindwe nanguvu zamungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@chanceodette4638
@chanceodette4638 Жыл бұрын
Amen,mungu azidi kukulinda mchungaji,uzidi kutuombea na sisi tufanikiwe tupate tunacho itaji tupate na gisi yakutowa sadaka yakujenga nyumba ya bwana,Mungu azidi kukubaliki
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m Ай бұрын
Bwana naomba ulinzi wako Yesu
@peterfredrick1520
@peterfredrick1520 5 ай бұрын
Amen Mungu pamoja nasi
@user-uj4rg1xo1h
@user-uj4rg1xo1h Ай бұрын
Napokea kwa jina la Yesu
@velonicacharles-jt2cl
@velonicacharles-jt2cl Жыл бұрын
Amina sana Mtumishi wa Mungu , Ulinzi wa Mungu naimani Unaonekana katika Maisha yangu . Ubarikiwe Mtushi Mungu .
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m Ай бұрын
Asante sana Babaku barikiwa sanaaaana
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 2 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa ❤️ napokea uponyaji
@rizikinibale6748
@rizikinibale6748 Жыл бұрын
AMEN AMEN mtumishi wa bwana MUNGU akutie guvu Mara tena na tena kwajina la YESU AMEN 🙏
@AnabAbdallah-ii7ou
@AnabAbdallah-ii7ou 11 ай бұрын
Amen 🙏 Mungu na kuomba uniepushee na hili kundi la wachawi wanao kuja mbele ya na kwa kina la yesu hawa ta niweza na bomoa kila vikao vyao kwa damu ya yesu
@IbrahimSamson-nt2wq
@IbrahimSamson-nt2wq 3 ай бұрын
Asante maombi yamemsaidia bintiyang
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 2 ай бұрын
Asante sana barikiwa sanaaaana kutuombae
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 4 ай бұрын
Amen amen 💖💖💖 barikiwa sanaaaana
@AdelaNicolas-sh2wt
@AdelaNicolas-sh2wt 2 ай бұрын
Naomba uliz kwakila jambo katika Maisha yangu
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
Amen mungu nibaliki
@consolataanyambilile-mr5ph
@consolataanyambilile-mr5ph 9 ай бұрын
Ameeni Mungu Nahitaji ulinzi katika maisha yangu yote na watoto wangu
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Ай бұрын
Mungu naomba ulinzi
@user-uo9fx3zt9y
@user-uo9fx3zt9y 7 ай бұрын
i believe in the name of Jesus Christ.🙏🙏🙏🙏🙏/Amen be blessed
@MushumbusBonifansi
@MushumbusBonifansi 2 ай бұрын
Amen ulinzi kwakilajambo nilifanyalo
@SuzanaRichard-cn1jt
@SuzanaRichard-cn1jt Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 5 ай бұрын
Ameen kwa jina la Yesu
@carolinecaroline3281
@carolinecaroline3281 2 жыл бұрын
Amen na pokea ulinzi kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
AMINA BABA
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
AMAN
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
Naomba ulinzi
@elishamafulu106
@elishamafulu106 2 жыл бұрын
Amen amen I received
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Asante mngu kunipa marafiki wazuri mapastor wazuri Haleluya Haleluya yesu usifiwe baba ♥
@user-hr9xw8gc3d
@user-hr9xw8gc3d 9 ай бұрын
Ameen 🙏
@marcelinezawadi-ts7hs
@marcelinezawadi-ts7hs Жыл бұрын
Amen papa pasteur mungu akubariki Kwa uduma wakazi zake
@HappyAlpineVillage-zz5bc
@HappyAlpineVillage-zz5bc 2 ай бұрын
Maombi ayanimeamini Mungu akaniteendee
MAOMBI NA MAOMBEZI YA KUWEKWA HURU, KATIKA MAGONJWA,MADENI,UCHAWI,NDOTO MBAYA,MAUTI,MIMBA,UKIMWI N.K
20:22
MAOMBI YA KUVUNJA VIKWAZO, MAOMBI YENYE UPAKO. BY MWOMBEZI PASTOR GODWIN NDELWA
14:54
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 32 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 22 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
MAOMBI YA KUREJESHA NA KUWEKWA HURU - MAOMBI YA KURUDISHA KILA KITU CHAKO, HAKI YAKO -MAOMBI NI DAWA
15:27
MAOMBI YA KUONDOA LEVIATHAN (NYOKA ANAYEZUIA MAFANIKIO/KUSUDI)
35:19
YADAH GLOBAL MINISTRY
Рет қаралды 974
KUNA VITU AMBAVYO MUNGU ANAKUNYIMA ILI UWATEGEMEE WENZAKO "PASTOR MGOGO
58:44
Maombi na maombezi ya usiku wakati wa kulala ( Toba),, The Night Prayer
11:14
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 36 М.
MUDA WA KUFANYA  MAOMBI YA SHABAHA - KUHANI MUSA
24:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 23 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН