Mungu katika maombi aya ya husiku naomba uachilie neem na amani katika moyowangu ntaomba mungu uniondolee hofu ilio shikila usingizi wangu na fraha yangu nataka sasa niwe ni afraha sasa ntaomba rehema yako iwe pamoja nami katika husiku huu mkubwa ukanikomboe na kuniokoa katika shimo bovu nililo tupiwa nikatoke sasa na kuwa hulu mungu naamini kwa rehema zako kabra ata ya maombi umeshaa anza kunitendea miujiza yako namk nipo tayali kupokea miujiza yako na changamoto zangu zote nilizo kuwa napitia leo ndiyo mwisho sasa 😭😭🙏
@NaomiBahat-bz6ri16 күн бұрын
Mungu naomba maombi haya yaweze kunipa. Amani nafurahi katika maisha yangu Mungu naomba maraika wako waweze kunirinda
@FaridaKessy22 күн бұрын
Jina mahaba ananitesa mungu nimechoka sanàaa nakuja mikononi mwako amina😥😔🙏🤲
@FaridaKessy22 күн бұрын
Amen mungu nimebeba mambo makubwa sanàaa shetan ananite msano na jina mahaba mungu nisaidie mm wewe ndio umenpa loho amina🙏🤲🤲🤲🤲🤲😥😥😥😔