Napokea KIBALI,SHUKRANI NAIMANI vikawe nami Daima kwa siku zote 30🙏🏿Japo nimeanza leo Nashukuru nitahakikisha namaliza siku 3 zote leo kesho naendelea na Wenzangu siku ya Nne Amen🙏🏿Naamini nimepokea na Napokea kwa ukubwa sana Amen Amen🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@lilianrichard72647 ай бұрын
Nimeaza Leo day one Mungu awabariki na kuwalinda
@romanaolomi29978 ай бұрын
Mungu awabariki sana na kujitoa kwenu kwa kazi zake. Vifaru wa Yesu wanawake wa Nguvu.