Baba nashkuru kupitia maombi haya nimepata kazi yaan maombi ya shukurani yana nguvu jamani amin
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Baba Mungu namushukuru Kwa uzima umenipa umenishindaniya Vita via rohoni na mwilini Asante sana Yesu mwokonzi Asante sana Mungu Asante sana ROHo WA Mungu Asante sana mafalme wangu
@thomasnaom359129 күн бұрын
Heavenly father sifa zote zikurudie, zingila familia zetu, tutimizie nyoto zetu, kila hatua kuwa nasi tuonyeshe njia za ukweli na uzima wa milele🙏🙏
@Christinem-e1s4 ай бұрын
Amen napokea maombi haya kwa jina la yesu ubarikiwe sana mtumishi wamungu kwa maombi yako napokea ufungulifu Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@breakingnewstz83965 күн бұрын
Mungu kupiga Jina la Yesu ahsante nashukuru kwa kuniponya, kuniokoa ahsante sana Baba
@اال-خ2ت6 ай бұрын
Amen. Sante kwa maombi maombi nidawa. Nashu kwa. mtu mishi wamungu Ann lngabi mm nabata maombi nikiwa saudia. Asante. baba yangu waroho. 🙏🙏🙏🇰🇪
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana Asante sana Yesu Asante sana Mungu WA binguni Asante sana Babaku wa mbingu na inch Asante sana Yesu Kristo
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Asante sana Mungu waku Kwa yoooote umenifanya Baba asande Asante Kwa ulinzi wako Yesu Asante sana Kwa uzima umenipa Asante sana Mungu kuwa karibu nami umenipinganiya Vita vikali sana vya kiroho kama siwewe Mungu hakika Israeli akeangamiya asande sana asande sana Asante sana Bwana
@feddymwanga54622 ай бұрын
Bwana Yesu asante kwa siku ya Leo haikuwa ngumu hata kidogo. Nimepata habari nzuri kuhusupssf
@BarakamasondoleBarkaАй бұрын
Baba Mungu asante umenitendea mema umenipa pumzi na afya njema Mungu nakushukulu umeniendea wema unanipa ridhiki yng Mungu umenipigania afya yangu baba Mungu unanipigania baba Mungu pokea shukrani zangu baba hata tukikosea baba umekuwa ni mwema kutupigania baba Mungu roho yng nakushulu baba kwa kila jambo hakuna mengine ila ni ww baba hacha nikutukuze mponyaji wng Mungu nakupenda sana baba pokea sifa
@feddymwanga546213 күн бұрын
Bwana nakushukuru Sana kwa kazi yako na Neema zako katika mauzo ya viwanja Zinga
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Nakupenda Yesu Kristo wanasareti nakupenda Bwana waku umeniondowa aibu maishani mwaku nimepata ushindi asande Mungu sifa na utukufu simurudiye Mungu WA binguni
@TumainiRichard-lh3fu7 күн бұрын
Sofa shukrani Zina erwe Mungu, mkumbuke mtumishi wako mch ndelwa amekuwa farja kwangu, bariki huduma yake
@EdinaReubenBuzima3 ай бұрын
Ahsante sana Mwombezi nimepiga miayo naamini ni uponyaji nilisha Amini endelea kuniombea
@feddymwanga5462Ай бұрын
Mungu asante mno, naona ukuu wako Sana kwangu. Asante kwa ilivyo nitetea. Kwa Afya na kwa uwezo wa kufanya niliyoyafanya Leo. Mungu kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu nasema adante
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Asante sana Mungu Kwa uzima umenipa ulinzi wako Yesu Kristo menilinda salama
@creopatrajoshua27 күн бұрын
amen mungu apokee haja za moyo wangu na kunifungua vifungo vyote vya Giza Kwa mamlaka ya jina la yesu kristo mwana wa mungu aliye hai napokea
@FaridaKessy6 ай бұрын
Asantee sanaaa mungu kwa yote wewe ndio mtetezi wanguuuu emeniiiiii😥😥🙏🙏🤲🤲🤲🤲😔😔
@MarieMakiwa4 ай бұрын
Asente mungu kwa yote unayo ya tenda kwenye maisha yangu na family yangu
@salmasailen88715 ай бұрын
Asante mungu kwa neema na fadhili zako akuna kama wewe bwana siku zote wewe ndie unaenipagania nilipo hapa sasa ni wewe tu
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen Asante sana Bwana Yesu
@UmaziSalim3 ай бұрын
Asante mungu Kwa yote unayonitendea Kwa maana ingekua mimi pekeangu nisingeweza mimi na pamoja na familia yangu umekua mwema na mwaminifu kwangu
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Asante sana Yesu mwokonzi waku Kwa uzima umenipa
@Angel-rx7pg5 ай бұрын
Asante Mungu kwakunilinda majira yote sifa na heshima nizako
@ernestmwata42185 ай бұрын
Asante sana mtumishi Kwa maombi yenye nguvu 🙏🙏🙏
@Ñancykwqmbokq27 күн бұрын
Amen.amen.barikiwa🎉🎉
@catherinendunge38362 ай бұрын
Amina,,,Leo ninao mfungo wa shukrani pekee,,mungu pokea sikfa za moyo wangu
@francisonyango17967 ай бұрын
Ahsante Mchungaji Kwa muda mrefu tumetembea pamoja kwa siku nyingi Mungu Ahsante moyo wangu inakutukuza Amen
@HappyMwaja4 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana maombi ni dawa
@feddymwanga54624 ай бұрын
Nakushukuru Mungu kwa habari njema niliyopata kupitia Charlie's
@velonicacharles-61243 ай бұрын
Asante Mungu Kwa wema wako na fadhiri zako baba
@aidaa82533 ай бұрын
AMEEN UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU
@SoosanOman4 ай бұрын
Asante Mungu kwa Kila kitu katika maisha yangu
@samwa949629 күн бұрын
Amen napokea kwa jina la Yesu
@SelinaDama-k3l7 ай бұрын
Amen mungu akuzidishie mtumishi wa mungu
@Mary-t7b5pКүн бұрын
Baba mungu akutunze daima.
@sharon-bm1vs5 ай бұрын
amen amen mungu azidi kuku tumia kwa ajili ya wengine
@LydiaNasimiyu-h1n2 ай бұрын
Amen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤❤❤❤
@HappyMwaja4 ай бұрын
Ninakushukuru mungu kwa matendo makuu unayonitendea asante mungu
@AsilaKagambo-uv2ffАй бұрын
Asante mungu kwa kunipendelea umenibariki,umenilida umenitenga na maovu amen
@AsilaKagambo-uv2ff4 күн бұрын
Asante mungu Kwa matendo makuu unayenitendea
@JoyceHaule-o7b6 ай бұрын
Amen amen namshukuru sana Mungu
@ambrosekaseka93465 ай бұрын
Amen asante yesu
@SikujuaMajaliwa6 ай бұрын
Amen asanteee kwa maombi ubarikiwe mtumishi wa mungu🙏🙏
@feddymwanga54624 ай бұрын
Asante Sana Mungu kwa fadhili zako kwangu
@colletamusanga-ci2wy4 ай бұрын
Amen sifa na utukufu ni zake bwana.mungu.
@NellyKadenyi-qc3em7 ай бұрын
Amen uponyaji kwa baba mzazi
@NeemaMdumaa-up9vd5 ай бұрын
Amen mungu akubariki
@NellyKadenyi-qc3em6 ай бұрын
Shukrani kwa uhai na ulinzi kwa familia yangu
@NellyKombe3 ай бұрын
Asante mtumishi ubarikiwe sana
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Asante sana Babaku barikiwa sanaaaana
@CatherineNekesa-ju5jk5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@ReginaAsha7 ай бұрын
Amen Amen 🙏
@ashuramuhammad881314 күн бұрын
Ameen
@AsilaKagambo-uv2ff4 ай бұрын
Amen amen
@alicewambui19897 ай бұрын
Amen
@SarahTsuma-w3v7 ай бұрын
Amen barikiwa mtumishi
@nellykadenyi4 ай бұрын
amen
@AsilaKagambo-uv2ff3 ай бұрын
Amen 😊
@franciskajessy44684 ай бұрын
Amen🙏
@AsilaKagambo-uv2ff4 ай бұрын
Tumeleta sifa n a utukufu kwa mungu kwa jina la yesu
@DayzyDayzy7 ай бұрын
Mungu ni ww tu
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ ameeeeeen ameeeeeen
@Adelambeikya3 ай бұрын
AMEEEEEN
@AmosBoniface-ch4iy2 ай бұрын
Ámen
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
ameeeeeen ameeeeeen
@ScolahChacha19 күн бұрын
MUNGU NAKUSHUKU KWA UZIMA NA AFYA NJEMA MIMI NA WATOTO WANGU
@ScolahChacha19 күн бұрын
MUNGU NAKUSHUKUSHURU KWA MEMA MENGI ULIONITENDEA HATA KUNIPONYA MAGONJWA YA SUKARI NA PRESHA ASANTE YESU