Akuna dawa kwa iyi dunia kama maombi asanate kwa kuniombeya ni likuwa ni kifungwa myaka mingi lakini ku pitiya maombi yako mutumishi wa Mungu ni mefunguliwa na sema asante pastor
@jenestermatovu847911 ай бұрын
Hakika maombi ni dawa. Asante pastor kwa maombi yako. Namuona Mungu. Amina.
@sophiahezbon370326 күн бұрын
Ameen 🙏🙏
@DianeKibukayireАй бұрын
Amen maombi yako inanisaidia sana ubalikiwe paster nimepata jibu sana nilikuwa nashida yakukaa pekee sitaki wato kalibu yangu lakini mungu alinisaidia ivi nakaa pamoja nawo naskia furaha tena nilikuwa na maumivu mengi sana🙏🙏
@RexXcf2 ай бұрын
Rubisa napokea kibali ushindi uzima Nuru mm na watoto wangu Rashid asma kupitia maombi ni sawa kwa jina la yesu amen
@RegginahIssangya-wz7iq8 күн бұрын
Bwaba Yesu asifiwe Mtumishi Naomba maombu yako,najikuta nimelala bila kupmba nashindwa ni roho gani amenikujilia naomba msahada,Asante mrumishi
@feddymwanga546227 күн бұрын
Mungu nakushukuru Sana kwa yote, EE Mungu nakuomba Neema na ushuhuda mwaka huu. Nimechimba Kisima ni wewe Mungu
@MarryTarimo-jz8tp4 күн бұрын
Aminaaa San mtumishi bila maombi hatutaenda popote maisha yatayuelemea Asante mtumishi
@ثامركعبي-ي1ق6 күн бұрын
Amen 🙌🙏 Mungu nisaidie matatizo yote najua umenitendea mengi Mungu wangu napitia kipindi kigumu mutetezi wangu niwepee
@consolataanyambilile-mr5ph10 ай бұрын
Asante Mungu akubariki, naomba niombee niweze kufanikiwa ktk maisha nimepitia magumu kwa kipindi kirefu sana
@BramaMramaАй бұрын
Mungu wangu naomba unipe ujasiri wa kuomba na nakuwa na usingizi sana Mungu wangu nisaidie Amen
@janeyona21842 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mpendwa, naomba uniombee ninasumbuliwa na nguvu za giza na ninauhitaji wa watoto Amina
@emiliananyamwasa8 күн бұрын
Naitwa Emiliana Nyamwasa mtumishi naomba uniombee nasumbuliwa na wasiwasi hofu nawoga nateseka sana mtumishi wa Mungu
@RESTITUTADANIEL-d9v2 ай бұрын
Kupitia maombi haya nmeona mabadiliko makubwa ktk maisha yangu....ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@neemamabula3 ай бұрын
Mungu baba pokea maombi yangu na famlya yangu AMINA
@MariamAa-zh7yu2 ай бұрын
Amen Amen Naitwa mariyamu mm ni mwisilam Napenda san kuomba Ata usiku naa 9 pia nakua Naota na mka naomba pia🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@bingwa.Artist2 ай бұрын
Mungu akusaidie Mariam
@annatemu44882 ай бұрын
Mungu akulinde Mariyamu🙏🙏
@MariamAa-zh7yuАй бұрын
@@bingwa.Artist Amiin Ubalikiwe baba
@MariamAa-zh7yuАй бұрын
@@annatemu4488 Amiin Nawe pia
@JusterKalikwela8 күн бұрын
Naombaa uniombee masomo yangu yaende vizuriii
@procecharles742811 ай бұрын
Mungu akubariki sana pastor hakika unaniinua kiimani kupitia maombi haya.
@nicodemianarose521610 ай бұрын
Ameen Mungu nakuomba utulinde tulale.salama
@MAGRETHSARWATI9 күн бұрын
Wapendwa tuandike jina la Mungu kwa herufi kubwa. Maana ukiandika mungu unamaanisha miungu,,,,
@emmynkurlu1005Ай бұрын
Amen Mungu anisaidie sana nikifikia kuomba napata usingizi nikiacha usingizi unaisha . Usiku kuamka saa 8 kusali siwezi napitiwa usingizi mpaka asubuhi naomba Mungu nisaidie
@hannahmbigo189411 күн бұрын
amen mtumish nazid kuomba mungu anisaidie nifikie hatima yangu, mroho y kunirudisha nyuma yashindwe
@MarryTarimo-jz8tp5 күн бұрын
Asanteee mchungal nimefutia mambo yako Kwa kweli nimejua mambo ndio kila kitu Asante mnoo tu
@HelenaBupamba9 ай бұрын
Amina barikiwa san mtume
@agnesmangamawalla4371Күн бұрын
Namshukuru ana Mungu usiku huu ubaŕikiwe
@VolontésKyalwahiАй бұрын
Maombi nidawa asante mungu uwenami kwa maisha yangu Nina vituko mingi pasta nitiye kwa maombi jina langu volonté kyalwahi