Рет қаралды 5,785
Kwa Matarajio ya mwaka huu mnaweza wasilisha kupitia link ifuatayo: docs.google.co...
MAOMBI YA KUVUNJA MIPAKA JUU YAKO
1. Mungu niponye usiku wa leo kutoka kwenye mpaka wowote ulionasa maisha, kazi, hatma na juhudi zangu.
2. Roho wa Bwana naomba nguvu zako, haribu kila mpaka wa kishetani dhidi yangu kwa jina la Yesu.
3. Nasimama kinyume na kila mpaka wa kurithi kutoka kwa baba au mama unaozuia maisha yangu kwa damu ya Yesu.
4. Mpaka juu yangu, juu ya uchumi wangu, maisha yangu ya ndoa, cheo changu na nafasi yangu katika maisha, vunjika usiku wa leo.
5. Roho nyuma ya mpaka wowote maishani mwangu unaopinga maisha yangu, nakufunga usiku wa leo.
6. Baba inuka, jionyeshe mwenyewe. Okoa familia yetu na mipaka ya kishirikina na ya kipepo iliyozuia mafanikio yetu.
7. Usiku wa leo nafuta kila agizo lilotolewa dhidi yangu na familia yangu kutuzuia.
PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
M-Pesa Lipa Namba : 5252176
MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
-Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
Gospel Teachings for soul winning Purpose.