AMEN IN JESUS MIGHTY NAME Ee Mungu niponye niondolee pepo chafu niliorushiwa nisafishe mimi na familiar yangu Amen
@SuzanaSanga-b7o14 күн бұрын
Naomba mungu anivushe pamoja na familia yangu anifungulie milango yabaraka aniondolee maherode maishani mwangu
@ceciliamfuko804524 күн бұрын
Amina mtumishi wa Mungu. Namwomba Mungu atufungulie vifungo katika familia yangu, madeni kwa wanangu Mungu akayafute Yote kwa jina la Yesu awafungulie baraka na neema tele. Amina 🙏🏿
@JackiKilima18 күн бұрын
Mungu ni Asante nikuona sana katika maisha yangu naomba ulinzi kwa family.yangu
@MillyKhasoa23 күн бұрын
Niombee nifunguliwe tumbo langu kizazi changu watoto wangu famila yangu pesa utajiri ndoa uchumi Kibali kazi katika jina la yesu cristo amen 🙏 🙌 👏
@DoraDickson-lg9op23 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe naomba mungu aniponye magonjwa na anipe nguvu kwangu na familia yngu
@HellenaKingu14 күн бұрын
Naomba mungu anivushe na kunitoa mimi na watoto wangu na ndugu zangu kwenye kifungo cha madeni na maginjwa mungu awaonkoe watoto wetu
@MilfatShamte7 күн бұрын
Naomba niombee mapepo yatoke kwa jina la Yesu
@SalomeKijazi-s4l23 күн бұрын
Mungu naomba matengenezo na were Mungu wangu
@salomemtebwa9716 күн бұрын
Mungu aniinue viwago vajuu na anipe kazi ilinitambulike
@CuteEry-u9l17 күн бұрын
Namuomba mungu anijalie uzima mimi na familia yangu
@bahatimushi609824 күн бұрын
Barikiwa mtumishi naomba mungu mtoto wangu afunguliwe na mungu ampe kibali katika kila jambo
@JaneSimon-w2j24 күн бұрын
Nakuona vizuri naomba mungu afungulie kibali Cha kukubalika kwa watoto wangu , natamani mungu aniogoze kuwa nawe wakati wa maombi
@VehaelKamene23 күн бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU. Ombea familia yangu maana vita ni vikali KIUCHUMI, KIELIMU NA KIAFYA. HUYU MUNGU KUPITIA MAOMBI TUNAZIDI KUMTUKUZA. (UNAONEKANA NA KUSIKIKA VIZURI)
@EsperanceKwizera-g2r17 күн бұрын
Mungu abariki watoto. Wangu Mungu atulinde
@Acc-ey6ie24 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi naomba niombee mtoto wangu kwa masomo yake na magonjwa kwa familia yangu , 🙏
@EugenieKABURA18 күн бұрын
Eeeeeh, Mungu wangu, Ninatamani univuche katika Mitiyani mingi ni ko ninapitiya ndani, Ninaibwa Nyota yangu,
@marymessay276824 күн бұрын
Amen naomba mtumishi uniombee kupata mteja kule aliko aje kununua nyumba yangu ya biashara maana sitaitumia tena Mungu afungue mlango wa mteja najua Mungu anaowateja wengi tu
@DoriceEnock5 күн бұрын
Naomba Munguu achilie uponyaji kwanguu na nguvu ya kuamini
@RehemaRobert-xk1yw24 күн бұрын
shalom shalom naitwa zitha naishi magomeni naomba uniombe sana naumwa mpaka nashoka naomba Mungu aniponye
@BanshiziJacques18 күн бұрын
Asante sana mutumishi wa Mungu Una ni bariki sana naomba Mungu anifunguwe n'a misingi ya ukkoo wetu
Nataka Mungu anitendeye muhujiza wa uponyaji wa sumu
@MarthaIsraelBukuku9 күн бұрын
Mtumishi niombee udhihilisho wa mambo aliyonionyesha mungu miaka kadhaa sasa.
@JosphineMwasame16 күн бұрын
Mtumishi wamungu ubarikiwa amen
@Mariam-u2r9z8 күн бұрын
Naomba niombee nirudishiwe mshahara wangu
@monicadittu255414 күн бұрын
Mungu anilinde usiku huu pia wachawi wote wanaonitafuta usiku huu wasiweze chochote juu yangu wananitengenezea magonjwa lani yesu aniponye
@AnsilaBruno24 күн бұрын
Ameen mtumishi naomba niombee nipone magonjwa yote nawanangu wafunguliwe elimu Yao baba yangu alindwe na MUNGU mume wangu afunguliwe kiuchumi na kiafya wanangu waponywe magonjwa yote
@ElizabethmsakiMsaki18 күн бұрын
Asante yesu kwa uzima niliyo nayo fungua Kila kifungo kilicho fungwa aaamen
@CuteEry-u9l17 күн бұрын
Naomba mungu amjalie mdogo wangu kupata kazi
@AgnesTemba-d2p24 күн бұрын
Namshukuru mungu kwa mapito yote niliyopitia amenivusha pia Namuomba mungu anipe watu sahihi katika maisha yangu pia na
@Bhokewaibe24 күн бұрын
Niombee mungu na anifungue vifungo vyote,nikapate hitajj la moyo wangu
@charleskayembe756024 күн бұрын
Mungu amuokowe Mme wangu uzinzi
@TheddyShayo23 күн бұрын
Naomba Mungu aniinulie watu wa kunisaidia katika mikopo na madeni yanayonitesa watoto wangu awafungulie milango ya baraka aliyesoma ampe kazi ya kile alichosomea
@kantategodwin720224 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi niombe nipone ugonjwa wa hiv Amen
@NiceJohn-w8q23 күн бұрын
Shalom baba nakupata vzr kbx tuendelee 😢😢
@kantategodwin720224 күн бұрын
Namshuru Mungu kunipitisha salama ktk mapito makubwa niliyopitia,namwomba sana Mungu mwaka wa 2025 Nikipigie majaribu niliyopitia miaka iliyopita Amennn
@leonidamduge891924 күн бұрын
Roho ya magonjwa uondoke kwangu Kwa jina la Yesu🙏🙏🙌🙌
@charleskayembe756024 күн бұрын
Baba muombeye mama yangu iko mgonja Mungu amuponye tunakatala mauti
@zainamziray380721 күн бұрын
Namuomba mungu anipe uponyaji na awafungue watoto wangu wapate kazi na wachumba
@ChristineIndasi-fx6qs24 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,hakika naona makuu Kwa maisha yangu,niombee nipate ufungulifu WA huduma kimaombi na ndoa
@altakibuga2 күн бұрын
Nakupata vizuri picha na sauti pastor
@محمدالقايد-د6ب23 күн бұрын
Naomba Mungu nipone kisukari kiwe 5.4 kwa jina la yesu nifunguliwe kiuchumi
@JeniJosephat24 күн бұрын
Bwana Yesu apewesifa naomba Mungu ànipiganie kwenye mapito ya amagonjwa yanayoikabili familia yangu
@TensonMusyani-q2i2 күн бұрын
🎉very clear thank you my pastor
@DianeKibukayire7 күн бұрын
Mu gu asifiwe sana naomba pastor uniombee nisicelewecwe kkwenye byangu shetani alifunga afungue kwa Damu ya Yesu
@EstevãoFernandoFernandoFernand6 күн бұрын
Estevão naomba kufunguliwa na uponyaji kwa jina la yesu Cristo ameni
@Gudmantz23 күн бұрын
Picha na sauti iko vizuri, Mungu atende jambo jipya kiroho na kimwili kwangu na Kwa familia yangu
@RichyBanda23 күн бұрын
Amina naomba muniombee mungu afungue karama yangu tena kupata watoto
@SalomeKijazi-s4l23 күн бұрын
Amen mtumishi!Naomba niombee tufunguliwe mimi na mume wangu kiuchumi kiafya watoto wetu wafunguliwe kielimu na kiafya nakiimani pia. Mungu azidi kunionekania na nipate Kibali kwake
@mercyMukiri-gn2ex14 күн бұрын
Ameen
@mercyMukiri-gn2ex14 күн бұрын
Mm paster nina mengi yananizubua kwangu
@mercyMukiri-gn2ex14 күн бұрын
Amen
@RajabuHidaya24 күн бұрын
Naomba Mungu anipe hitaji la moyo wangu kabla ya mwaka huu kuisha.
@queenmmole18 күн бұрын
Mungu naomba uniponye maradhi ya moyo
@marymessay276824 күн бұрын
Amina nakupata vizuri sana asante barikiwa
@jacknkumbu953023 күн бұрын
Naomba mambo. Juu ya.kumshukuru.mungu. amefanya. .maajabu ameninemesha
@EugenieKABURA18 күн бұрын
Naomba uniombe familia yangu ifunguliwe Na kwa kila jambo nirudishiwe Haki yangu kwa kila kisata, na niinuliwe Na nibarikiwe katika maisha yangu,,,nipate wepesi kwa kila jambo..... Amin
@EvetherLucas21 күн бұрын
Naomba Mungu anitendee kwenye biashara zangu niwezi kupata wateja
@magrethnzali23 күн бұрын
Mungu amsaidie mgodo wangu apate mume mwema
@SscGodown24 күн бұрын
Amina mtumishi wa Mungu wa mbinguni,naomba uniombee kazini kwangu Roho za upinzani,nimetuma kukagua branch ya Mbeya watendaji wa mbeya wanashoti so wanapambana NAMI Kwa ushirikiana naomba Mungu asimame ktk hali na kila kitu kiwe sawa,mabosi wangu pia Mungu awakinge wasilogwe ili wasipumbazwe na hawa watendaji wa mbeya ktk jina la yesu
@Gracemkuya-c8y23 күн бұрын
Naomba afya yangu iwe njema naomba mungu ampunguzie mama yangu maumivu amevunjika mkono
@AnitaMchomvu25 күн бұрын
Amina..Ee Mungu usinipite
@agatharichard452924 күн бұрын
Niombe Mungu anipiganie katika vita hii
@jacklinejohn984324 күн бұрын
nakupata vizuri baba NAOMBA niombee tumbo na kichwa na macho baba naitwa jackline
@VictorineBarakamfitiye23 күн бұрын
Nahomba mungu kibari n'a urinzi mimi na wanangu amen ❤
@ArinaitweFatuma25 күн бұрын
Amen ndiyo bwana yesu kirsto ulie hai 😭 asante bwana yesu Amen
@RamaChike23 күн бұрын
Naitwa dorah mileta naomba niombee mungu amfungue mwanangu ana ugonjwa wa degedege
@AdelinaNkuliye21 күн бұрын
Ubarikiwe sanaaa unasikika vizuri.
@REHEMASHAYO-i4l24 күн бұрын
Nakupata vizuri baba yangu Niko mafinga 😊
@EDITHAMALLEY22 күн бұрын
Naomba ulinzi wa kimungu, na pia Mungu afungue milango ya fedha na nipande level ktk huduma yangu
@AGNÈSMANDA-d9u24 күн бұрын
Babangu mungu anyondoleko mangoja katika nyubani mwangu nateseka sana babangu
@KHATIBUSENYE-ss3ok24 күн бұрын
Unapatikana vizuri mtumishi
@hildegardsangu946 күн бұрын
Naomba Mungu aniponye macho naaniodolee ganzi mwilini
@neemaUredy18 күн бұрын
Naomba umuombee mtoto wangu bado ni mchanga anaumwa sana na anashtuka sana wakati wa usiku
@HappinessNjoki24 күн бұрын
Mungu naomba umfungulie mwanangu Emmanueli baraka zako popoteaendapo,
@MwajumaKapona24 күн бұрын
Unasikik vinzur saut na picha Iko sawa mtumish
@rosemwashitete430514 күн бұрын
Amina kubwa mtumishi
@GladElius15 күн бұрын
Naomba mungu skate munganiko wa roho ya kensa inamaliza familia
@feddymwanga546223 күн бұрын
Ninakusimia na kukuona vizuri Mchungaji
@johningati548421 күн бұрын
Mchungaji naitaji maombi kwa ajili ya kazi yangu. Maadui ni engineer mno. Pia Pray for my family and my children wanapo enda kufungua shule mwaka ujao.
@GladElius15 күн бұрын
Niombee naumwa nakusikia vizur paster
@Fatumakongoi18 күн бұрын
Naomba mtumishi wa Mungu,naomba nifunguliwe mambo yangu ya riziki
@BernadettaKomba18 күн бұрын
Naomba niombee nipone maradhi yanayo nisumbua
@BernadettaKomba18 күн бұрын
Niombee naandamwa na upotevu wa mali
@rosemwashitete430514 күн бұрын
Hakika Mimi ni wa Mungu Amina sana
@MaryMtani24 күн бұрын
Pastor Naomba Mungu anipe ulinz mim na familia yang,anipe aman, anifungue vifungo vya ukoo na familia
@Ayshernasolo24 күн бұрын
Amen Mungu wetu nimwamnifu Kila wakati🙏🙏
@REHEMASHAYO-i4l24 күн бұрын
Nakusikia vizuri baba rehema shayo mafinga
@ChantalMinani-ip1nt25 күн бұрын
Amen tunaamini katikajina LA yesu amen
@marymessay276824 күн бұрын
Ee Mungu unitie nguvu za Roho Mt na kushinda nazaidi ya kushinda ktk jina la Yesu
@RukiaKalinga23 күн бұрын
Naomba mungu anifungue vifungo
@bahatimushi609824 күн бұрын
Nakusikia na kukuona vizuri mungu akubariki sanaa mtumishi wa mungu
@forastinandoloki55986 күн бұрын
Nakusikia vizuri naomba wanganui wanaotembea na kutudhuru. Naomba nipate mpangaji na wapangaji waliopo walipe ili nami nilipe made ni. Naombea biashara za watoto wangu.