MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris

  Рет қаралды 43,415

Holy Spirit Connect

Holy Spirit Connect

Жыл бұрын

MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris
Haya ni maombi mazuri sana ya watoto. Ni kwa ajili ya watoto wa kila rika kuanzia watoto wachanga mpaka watoto wa kubwa.
"Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu."
Luka 23:28
Huu ni wakati wa kujiombea na kuombea watoto wetu.
Ubarikiwe sana.
Contacts: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
KZbin Link:
/ holyspiritconnect

Пікірлер: 210
@hadijamfala390
@hadijamfala390 Күн бұрын
Bwana Yesu nakukabidhi watoto wangu ukawaondolea magonjwa kutokuelewana na binti yangu mjalie apate mwenza amen.
@olivemakyo555
@olivemakyo555 4 күн бұрын
Nawakabidhi wanangu mikononi mwako katika jina la yesu Kristu ..tawala maisha yao, wakinge kutokana na nguvu za giza, uwalee wewe na kuwatunza katika jina la yesu kristu
@KendyJonathan-h2u
@KendyJonathan-h2u 6 күн бұрын
Bwana yesu ukawalinde watoto wangu kwa damu Yako Yesu kristo, walinde mbali na mitego yakila aina katika jina la Yesu kristo🙏amen
@SakinaWanjemu
@SakinaWanjemu 9 күн бұрын
Bwana yesu tawala.maisha yawatoto wangu yasini najunior naukawalinde
@user-ll9so3pk4j
@user-ll9so3pk4j Ай бұрын
Bwana yesu ukatawale maisha ya Watoto wangu wote mponye Riana macho
@LeilaSpembo
@LeilaSpembo 18 күн бұрын
Nakubidhi watoto wangu kwa dam ya yesu kristu nakubidhi amis na ikbar na ilham uwarinde
@carolinemwanziajustoh8334
@carolinemwanziajustoh8334 Жыл бұрын
Nakataa aibu kupitia kwa watoto wangu watakua vichwa na sio mikia kwa jina la Yesu amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov Ай бұрын
Bwana yesu walinde watoto wangu mahali walipo kwa damu ya yesu kristo
@user-ll9so3pk4j
@user-ll9so3pk4j Ай бұрын
Bwana yesu nakubidhi Watoto wangu Riana na Mona Lisa Bwana yesu nalet a Mwanangu Riana mikononi mwako apone macho
@judithfred2366
@judithfred2366 8 ай бұрын
mungu nawakabidh mikonon mwako.ninakataa uharibifu kwa watto wangu mungu watie afya njema
@user-oi3lr8dt2t
@user-oi3lr8dt2t Ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi maombi haya yananibariki sa Mungu akutunze sn.
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov Ай бұрын
Bwana yesu nawaleta mikononi mwako kwa jina la yesu kristo
@user-qp4ur2cj7c
@user-qp4ur2cj7c 10 ай бұрын
Eeh mwenyezi mungu ninakukabidhi mtoto wangu huyu akakuwe vyema ukamponye akawe sawa sawa
@user-si6iu9vx2q
@user-si6iu9vx2q 7 ай бұрын
Bwana yesu watoto wangu wafundishwe na bwana ktka jina la yesu ,
@annaymakala4508
@annaymakala4508 Жыл бұрын
Nawakabidhi watoto wangu kwako MUNGU watoto wangu watafundishwa na Bwana
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@olivasimkoko1436
@olivasimkoko1436 2 ай бұрын
Nawakabidhi watoto wangu mikononi kwako kwa jina la yesu
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 9 ай бұрын
Uzao wangu watakua hodari duniani
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 9 ай бұрын
Ameen
@mwljulius-qx7iq
@mwljulius-qx7iq 4 ай бұрын
Xxx ZzHu lol l😅 I​@@HolySpiritConnect
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 9 ай бұрын
Watoto wangu wote watafundishwa na bwana
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 9 ай бұрын
Ameen
@user-qh4de7gz6i
@user-qh4de7gz6i 5 ай бұрын
Watoto wangu wote na waleta mi kononi mwako Katika jina la yesu kristo
@user-qp4ur2cj7c
@user-qp4ur2cj7c 10 ай бұрын
Eeh mfalme wa amani kupitia jina lako yesu mtoto wangu akapone maji aliyokunywa tumbo na uchafu yakakauke
@doriceevarist9149
@doriceevarist9149 Жыл бұрын
Nawakabidhi mikononi mwako kwa jina la yesu kirsito wa nazalet
@user-qp4ur2cj7c
@user-qp4ur2cj7c 10 ай бұрын
Mtoto wangu akapate kibali mbele zako zako yesu
@jerolily
@jerolily 6 ай бұрын
Bwana yesu ukatawele watoto wangu Jesus Christ 🙏🙏🙏
@DevotaKaaya-ue1je
@DevotaKaaya-ue1je 2 ай бұрын
Bwana yesu ukalinde watoto wangu wnapolala usiku huu
@christineobiri9033
@christineobiri9033 11 ай бұрын
Bwana yesu nimekabidhi watoto wangu mikononi mwako
@gracesambula7310
@gracesambula7310 Жыл бұрын
Bwana yesu nakukabidhi watoto wangu mukononi mwako
@Nicelover322
@Nicelover322 3 ай бұрын
Mtakatifu mtakati uketie mbinguni ninakukabizi mtoto wangu devid mikononi mwako akue akikupendeza wewe bwana pamoja na wanadamu wote asante yesu kwa kufanya na kutenda amen 🎉
@user-ps8uh1vf4g
@user-ps8uh1vf4g 3 ай бұрын
Mungu wewe ndiye ngome yangu wakati washida nawakati wa furaha pia,Nawakabidhi watoto wangu mikononi mwako kwakuwa uliwajuwa kabila sijawajuwa ,nakabithi maisha yao mikononi mwako waepuze na mizimu za kila aina katika jina layesu naomba nikiamini umetenda amina
@user-jq8lu7dv2t
@user-jq8lu7dv2t Ай бұрын
Bwana Yesu nwakabidhi watoto wangukwako priska Irine patricki leonady victa Agnec sephu
@user-uo9fx3zt9y
@user-uo9fx3zt9y 7 ай бұрын
Bwana nimekataa magonjwa katika njina layesukirsto
@vestinasylidion7548
@vestinasylidion7548 2 күн бұрын
Eh bwana yesu walinde watoto wangu
@hawajuma117
@hawajuma117 Жыл бұрын
Eee bwana yesu nakukabizi watoto watawale Maisha yao toka utoto hadi uzee wao watawale kill hatua
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@kapiriisavictoria4175
@kapiriisavictoria4175 Жыл бұрын
Naombea watoto wangu wa kuzaa na ninaolea Amen Amen and forever Amen 🙏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 10 ай бұрын
Bwana YESU nawaleta watoto wangu mbele zako
@lall2037
@lall2037 9 ай бұрын
Nakukabidhi watoto wangu bwana yesu lukman na hawa
@user-mn7jm2sf2v
@user-mn7jm2sf2v 3 ай бұрын
Nawakabidhi watoto wangu mikononi mwako Yes, uwape hekima na busara wakue na kuongezeka, wawe na tabia njema ya kukupendeza wewe Mungu na wanadamu, Amina.
@LilianNzioka-fr6co
@LilianNzioka-fr6co Жыл бұрын
Bwana yesu nakabithi watoto wangu mbele zako baba na nawambea barakabtawala maisha zao,tawala tabia za zikawe zakupeda baba,tawalavafya za watoto wangu,ninakataa roho za magonjwa ndani ya watoto wangu tawala afya ya watoto wangu katika jina la yesu kristo,Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@LuluJoseph-rl3qg
@LuluJoseph-rl3qg 11 ай бұрын
Mungu naomba uwabariki watoto wang
@oman798
@oman798 Жыл бұрын
AMINA naombea Watoto wote MUNGU wajalie neem yako Baba yetu wa mbinguni awalide AMINA
@philissimiyu2123
@philissimiyu2123 Жыл бұрын
Watoto wangu watakuwa hodari duniani in Jesus the name of Jesus
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@margaretmumby2411
@margaretmumby2411 Жыл бұрын
Amen 🙏
@rachelkihongos8779
@rachelkihongos8779 Жыл бұрын
Naomba ulinzi juu ya watoto wangu
@GetrudaBachunya
@GetrudaBachunya 10 ай бұрын
Bwana Yesu watoto wangu wote nawakabidhi mkononi mwako Jehova,uwalinde wanapotoka kuingia Marshall yao yote ukatawale wewe kuanzia utoto mpaka uzee baraka zako ziwaandame kwa mamlaka ya jina la Yesu kristo Amen
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
Ninawakabidhi watoto wangu kwako kwa maana kwako kuna usalama uwaongoze katika njia iliyo sahihi, watendee sawa na ahadi yako.
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@daynaedward4767
@daynaedward4767 4 ай бұрын
BWANA YESU tawala maisha ya watoto wangu JUNIOR HAMIS, na LAWRENCE DANIEL NAWAKABIZI MIKONONI MWAKO BWANA YESU UWALINDE ZIDI YA HILA ZOTE ZA ADUI, DAMU YA YESU IWE KINGA NA NGAO KWA WATOTO WANGU, ADUI ASIWASOGELEE KATIKA JINA LIPITALO MAJINA YOTE AMEN 🙏🙏🙏🙏
@hirdajacson8827
@hirdajacson8827 Жыл бұрын
Watoto wangu nawkabidhi mikononi mwako namkabidhi brightness, bless,na Brian nawkabidhi wote mikononi mwako uwalinde uwaongoze kwa kila Jambo wewe ndio muweza wa yoteukatawle maisha yao ciku zote uwaongoze wewe
@juliethernest4550
@juliethernest4550 Жыл бұрын
Bwana YESU nakukabidhi watoto wangu
@blandinaabdul7232
@blandinaabdul7232 11 ай бұрын
Bwanayesu ninakukabizi mikononi mwako watoto wangu ukatawale maisha yao katika jina la yesu Kristo 🙏😥 bwana yes tawala tabia ya husein na mariamu 🙏
@hirdajacson8827
@hirdajacson8827 Жыл бұрын
Tawalatabia zawatoto wangu zikakipendeze wewe uwalinde wewe
@JacklinaJeremaya-jb3zw
@JacklinaJeremaya-jb3zw Жыл бұрын
Ninakukabiz bwana yesu mwanagu glory akue vyema akikupendeza ww na wanadamu tawala maisha yake kuanzia kukua kwake mpaka atakapokua mzee katika jina la yesu kristo Amen
@aminambwambo622
@aminambwambo622 6 ай бұрын
Bwana YESU tawala tabia za watoto tawala kwenye masomo yao tawala tabia za watoto wangu ABDULRAHIM SAID ALLY /HAJRAT SAID ALLY BWANA YESU TAWALA AFYA ZA WATOTO WANGU NAKATAA ROHO ZA MAGONJWA KWA WATOTO WANGU BWANA YESU TAWALA KILA ENEO LA MAISHA YAO
@smilewithafrica
@smilewithafrica 11 ай бұрын
Emungu wangu, ukamponye mwangu Erin, akawe mzima Tena kwa Jina LA Yesu. Kila maumivu anayopitia yakayoweke kwa Jina LA Yesu, Nina mkabizi mikono mwako Yesu wangu, umlinde na kumpinga na kila ubaya na mishale ya shetani. Mbaliki kila aingiapo na atokapo. Mfanikishe kwenye masomo yake akawe hodari. Amen.
@blandinadada7459
@blandinadada7459 5 ай бұрын
Baba wa mbingun nawaombea watoto wangu wape nguvu,na uwaepushe na maadui wote wanaotesa watoto,mungu waongoze wawezefanikiwa na kile Wanachokitafuta baba wa mbingun
@ANNAMAHENGE-lj3og
@ANNAMAHENGE-lj3og 3 ай бұрын
Bwana yesu naomba utawale watoto wangu wore pamoja na wajukuu zangu mungu ukawalinde nauwape maisha mwema na yeye mafanikio tele
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 Жыл бұрын
Naomba kibali kila eneo la maisha ya watoto wangu katika jina la Yesu kristo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@paulinekisalikisali4631
@paulinekisalikisali4631 6 ай бұрын
Nakabidhi bwana wtoto mikononi mwako Jose Jacky Peter silly Marcy na Marion walinde na uwape hekima maishani mwao
@annaymakala4508
@annaymakala4508 Жыл бұрын
Isaya 54 Amina Ndiyo ahadi yako kwa watoto wangu hadi kizazi cha nne
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@user-jx8no2td9c
@user-jx8no2td9c Жыл бұрын
Bwana yesu nawakabidhi watoto wangu Evans na Beryl mikononi mwako uwaleee wewe ukawalinde na ukawatunze maana ww ndiwe mwenye nguvu ukawape hekima na marifa pamoja na ufahamu Kwa Kila saa na hata tabia zao zikupendeze wewe milele
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@ifgeniakimaro4171
@ifgeniakimaro4171 5 ай бұрын
Yes walinde watoto wangu ukayatawale wewe
@user-bc9tr4ho8i
@user-bc9tr4ho8i 6 ай бұрын
Ninaomba ulizi Watoto wangu
@evalistermwigune
@evalistermwigune Жыл бұрын
Asante kwa maombi hya juu ya watoto wetu..asnte mtumishi kwa kutumiwa na Mungu ili watoto wetu wakapate kuwa salama..asnte kwa neemna na rejhema zako kwetu..
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@verolazaro3375
@verolazaro3375 Жыл бұрын
Bwana Yesu nakukabizi watoto wangu ninakuomba uwalinde nikatika jina la Yesu kristo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@DevotaDeokari
@DevotaDeokari 6 ай бұрын
Bwana yesu atawale watoto wangu,❤
@SegolinaNgowi
@SegolinaNgowi 6 ай бұрын
Bwana Yesu Kristo ninkukabidhi watoto wangu Noel, Witnesses, Neema na Nicholaus Bwana Yesu Kristo tawala maisha ya watoto wangu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 10 ай бұрын
Nakukabidhi MUNGU watoto wangu wa 4 kwa utukufu wako ,,uwatunze na kuwalea wewe,,,,mpak uzeeni kwako,,, Benjamin , Glory,, Joyce,,and happy in Jesus name
@CalmAardvark-of2tq
@CalmAardvark-of2tq 3 ай бұрын
Mungu wakubuke watoto wangu
@hirdajacson8827
@hirdajacson8827 Жыл бұрын
Mungu naomba ulinzi wa watoto wangu kila wafanyalo mungu uwaongoze wewe uwafundishe wewe mungu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@esterjosiahkileo1021
@esterjosiahkileo1021 Жыл бұрын
Kwa jina la yesu lkrisyo naaakabidhi watoto wng kwako mungu matakatifu,, nnakitumain weww
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 9 ай бұрын
Bwana Yesu tawala maisha ya watoto wangu katika jina la Yesu kristo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 9 ай бұрын
Ameen
@aminambwambo622
@aminambwambo622 6 ай бұрын
Bwana YESU nakataa kila tabia mbaya kwenye maisha ya watoto wangu katika jina la YESU kirsto anaza reti alie hai
@AngleGidahonda
@AngleGidahonda 3 ай бұрын
Yesu nawakabidhi watoto wangu kwa bwana yeah sharon shania ivan mbele zako
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 3 ай бұрын
Ameen
@waleedbahar5275
@waleedbahar5275 22 күн бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumishi
@martinehussein7261
@martinehussein7261 Жыл бұрын
Bwana yesu nawakabidhi watoto wangu mikononi Mwako naomba uzidi kuwalinda mahali walipo burundi kila mipango ma adui wakipaga ju yao yakashidwe kitika jina la yesu cristo Nazareth
@annaymakala4508
@annaymakala4508 Жыл бұрын
Ninakjri kwa kinywa changu na amani ya watoto wangu itakuwa nyingi
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@osohamissi8517
@osohamissi8517 6 ай бұрын
Bwana yesu tawala maisha ya watoto wangu utawale na na tabiya za watoto utawale na afya ya watoto wangu
@theodorakwai145
@theodorakwai145 Жыл бұрын
Bwana Yesu nawaleta watoto wangu Ritha na Patrick.. Ninakukabidhi watoto hawa
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@Nicelover322
@Nicelover322 3 ай бұрын
Ubarikiwe na bwana mtumishi 🙏🙏🙏🙏
@Nicelover322
@Nicelover322 3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@yusuphhashim3477
@yusuphhashim3477 10 ай бұрын
Bwana yesu nakukabizi mtoto wangu wa kwanza Fatuma nakukabizi mtoto wangu wa pili Saphina ukatawale maisha yao ukatawale wewe maisha yao
@nadiachalres
@nadiachalres 11 ай бұрын
Asante MUNGU kwa neema hii eeh mungu ukambariki hata mtumishi wako kwa jina la YESU kristo AMEEEN
@evalistermwigune
@evalistermwigune Жыл бұрын
Mungu uliyenipa huyu Binti yangu Lightness nilindie yeye .wew ndo uliyenipa kwa wakati wako.ukiona ndo muda Sahihi wa mimi kumpata..nakuomba baba unipe hekima ya kutambua kusudi uliloliweka ndani yake..nimlee kupitia kusudi hiyo akapate kutenda Yale yanayokupendeza wewe tuu..nakupenda Yesu wangu maana wewe unanjibu sawasawa na mapenzii yako..
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen ameeen
@MorinZadok
@MorinZadok Жыл бұрын
Mungu wangu na baba yangu naomba kibala kwa watoto wangu Kibali cha masomo utawale masomo yao baba hukuwaumba mikia uliwaumba vichwa wabariki baba wabariki alshadai wabariki kwa maana ww ni ebeneza my father glory of glory nakataa miroho yakuzimu kwa maisha yao katika jina la yesu kristo
@Paulamulito
@Paulamulito Жыл бұрын
Bwana Yesu watoto wangu watakuwa hodari duniani hawataagaika kazi kama wazazi wao katika jina la Yesu kristo watoto wangu wamebarikiwa
@gracesambula7310
@gracesambula7310 Жыл бұрын
Bwana yesu nawakabizi watoto wangu mukononi mwako kila eneo kwenye wako uwa linde katika jina lya yesu kiristo mwana wa mungu Alo hai wasiniaibishe bobote mungu uwafanye wakuwe watoto wakoo wakiroho eee mwenye mungu unisikie
@aminambwambo622
@aminambwambo622 6 ай бұрын
Na amani ya watoto wangu itakuwa nyingi
@tmaniacell1731
@tmaniacell1731 5 ай бұрын
Asante yesu 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@jenniferpallangyo6123
@jenniferpallangyo6123 Жыл бұрын
Watoto wangu watakuwa hodari duniani ktk jina la yesu kristro
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@user-tn5sp8wx5p
@user-tn5sp8wx5p 7 ай бұрын
E bwana yesu nakukabidhi mikononi mwako watoto wangu tawala tabia za watoto wangu baba katika jina lako yesu kristo tawala Afya za watoto wangu
@aminambwambo622
@aminambwambo622 6 ай бұрын
BWANA YESU ukawalinde watoto wangu shule uwalinde watoto wangu wanapolala uwalinde watoto wangu na mishale yote ya adui
@AdmiringBeachHammock-qv3nk
@AdmiringBeachHammock-qv3nk 5 ай бұрын
Bwana yesu nakukabidhi watoto wangu mikono mwako ukawatawale Kwa jina lako takatifu Amina
@blandinadada7459
@blandinadada7459 5 ай бұрын
Bwana yesu nawakabidhi watoto wangu mikononi mwako,uwaepushe na maadui wabaya wanaopoteza roho za watu
@emmanjerikamau8476
@emmanjerikamau8476 9 ай бұрын
Bwana yesu na wakabidhi watoto wangu mikononi mwako. Wabariki
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 9 ай бұрын
Ameen
@bahatimwangoka6761
@bahatimwangoka6761 6 ай бұрын
Bwana yesu, naomba utawale afya za watoto wangu, pamoja na wajukuu zako, kwa pamona., wakuwe wakikupendeza.
@user-hx1sj2rr6f
@user-hx1sj2rr6f 11 ай бұрын
mungu waku kumbuka watoto katika masomo yaa maisha yao nareta beli yako yesu unauweso mungu wataakurie kila mahari
@lucymalingi4795
@lucymalingi4795 Жыл бұрын
Nakataa aibu juu ya watoto wangu naomba watching wangu wawe kichwa wala sio mkia kuputia kwa jina la yesu kristo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@user-ok2yd9tg3z
@user-ok2yd9tg3z 6 ай бұрын
Bwana yesu ninamkanidhi mwanangu Gianna mikononi mwako damu ya yesu ikamfunike adui yeyote asimpate katika jina la Yesu napokea ushindi juu ya mwanangu katika jina la yesu
@tabithamselema166
@tabithamselema166 Жыл бұрын
Bwana Yesu nawaleta watoto wangu mikononi mwako utawale maisha yao katika jina la Yesu Kristo
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 Жыл бұрын
Naomba ulinzi juu ya watoto wangu in Jesus name amen amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@happinesspatrick3902
@happinesspatrick3902 11 ай бұрын
Eee Mungu wangu,naomba uwalinde wanangu katika kila eneo. Wajalie tabia njema za kukupendeza wewe.
@laalaa3650
@laalaa3650 Жыл бұрын
Mungu wangu namueka mtoto wangu mikono mwako ukamongoze katika njia ikupendezao ww❤
@aminambwambo622
@aminambwambo622 6 ай бұрын
BWANA YESU nasema asante kwa ajili ya zawadi hii ya watoto wangu ulio nipa ABDULRAHIM SAID ALLY /HAJRAT SAID ALLY ASANTE BWANA YESU
@user-cf1vs2nb7t
@user-cf1vs2nb7t Жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@zaitunkassim9564
@zaitunkassim9564 Жыл бұрын
Bwana Yesu ninawakabidhi watoto wangu mikononi mwako uwalinde katika kila eneo la maisha yao katika jina la Yesu Kristo.
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@MorinZadok
@MorinZadok Жыл бұрын
Asante bwana muweza wa yote ww nitumaini langu sina tumaini lingine isipokuwa ww tu baba yangu baba ninawakabidhi watoto wangu mikononi mwako naomba utawale maisha yao majina yao ni petronila minayo,Vincent chagwe Isaac otiende and Frederick upatati haya majina nayatakasa na damu yako eeee mfale achilia damu yako kwa maisha yao waondolee kila visirani kwa maisha yao tawala tawala tawala naukaonekane katika jina la yesu kila marathi ya magonjwa kwa watoto wangu nakataa katika jina la yesu
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 714 М.
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO by Innocent Morris
29:18
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 102 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
MAOMBI YA KUOMBEA UFAHAMU by Innocent Morris
43:52
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 16 М.
MAOMBI YA KUONDOA MASHAMBULIZI , VISASI NA MALIPIZI.
9:01
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 23 М.
MAOMBI YA ASUBUHI  REV  MUHORO
40:06
THE ALTAR OF GRACE
Рет қаралды 22 М.
MAOMBI YA UPONYAJI -PASTOR MYAMBA
16:49
Pastor Myamba
Рет қаралды 28 М.
NENO LA SIKU | Luka 13 | Maombi Ya Kurudishiwa Nafasi Yako
33:17
Neno La Siku
Рет қаралды 1,2 М.
Maombi ya kuvunja Roho za mauti, na maombi ya kuyaombea maji na mafuta by Mwobezi kiboko ya wachawi
11:57
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 16 М.
JINSI YA KUTUNZA MOTO WAKO  WA NDANI ||PASTOR GEORGE MUKABWA ||08/06/2023
1:25:55
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 77 М.
MAOMBI YA SHUKURANI by Innocent Morris
59:26
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 46 М.
MAOMBI YA ASUBUHI | Sitaogopa
6:06
Maombi Ya Asubuhi
Рет қаралды 521 М.