MUNGU npe roho ya utoaji..nsitoe kawaida tena ee YESU 🙏🙏
@FadhilahbonyBoniphancemgogosiАй бұрын
Ee yesu mimi nakuja kwako Nitakutafuta kwa bidii mpaka nikuone mwaka huu. Shetani hana mamlaka kwenye hili kwa jina la yesu ameniii🙏🙏
@ResparGirbertАй бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu .ninakataa ukawIda na umazoea katika huduma na katila maisha yangu naomba neema Yako Bwana na Hekima itokayo juu mbinguni Asante Bwana🙏🙏🙏🌹
@faustersteven723325 күн бұрын
Aminaaa mtumishi wa MUNGU
@faustersteven723325 күн бұрын
Eeee Bwanaa Yesu usinipite huu mwakaa ukanitendeee EEE BWANAA nakuhitaji sanaaa mwenyewe siwez ✍️✍️🙏🙏
@Mary-z5i1s3 күн бұрын
Mungu wa mbinguni nikumbuke katika maisha yangu🙏🙏🙏🏾
@FeliciteNiybitangaАй бұрын
Asante MUNGU BABA YANGU kwa YOTE ulionitendea
@linet6663Ай бұрын
Amen 🙏🙏,Mungu niongoze kwa Kila jambo maishani mwangu🙏🙏
@condradanyoni6556Ай бұрын
Mungu aliyetuumba atusaidie tufikie malengo ya kuwafanya watoto wangu kuwa wa kristu wenye kuishi kama kristu
@SevAl-p9kАй бұрын
Sylvia Asante yesu kwa neema ya uzima na uhai
@NeemaKomba-vn6shАй бұрын
Nakataa ukawaida kwa jina la Yesu
@paulinekisalikisali4631Ай бұрын
Natamani urejesho katika maisha yangu nisikue to wa kawaida thank
@neemaAlex-c1j26 күн бұрын
Kuna viwango vikubwa vya maisha ya kiroho nataman kuvifikia, MUNGU nisaidie Kuna wakati nashindwa BABA nihurumie mm neno lako lizidi kukaa ndani yangu kwa wingi, kabla mwakan huu haujaisha naamini MUNGU utatenda mengi🤲🤲🙇
@ShifaKassimАй бұрын
asante tena kwa ulinzi wako Mungu 😢
@NeemaKomba-vn6shАй бұрын
Ameen mtumishi
@IraneShirindoАй бұрын
Naomba mungu unisaidie nimechukua wamuzi wakubadilika siku ya leo kwa kila jambo lakimungu Mungu nisaidie amen
@legendCopyАй бұрын
Eeeh yesu nakuomba baraka zako, nakuomba unifungulia milango vya mafanikio
@NannyNanny-fo9yhАй бұрын
Amen 🙌🙌🙌🙏 Mungu atusaidiye sana kufahamu hili,huu ni ukweli kabisa
@MwambaGabriel-x4lАй бұрын
Amen eeeh mungu nitiye nguvu Kwa kujitaidi kwangu❤
@MpolyaPauloАй бұрын
Asante yesu
@SAMIRAH-e5jАй бұрын
❤❤❤❤ameeeeeeen asante mungu kwa uzima na usiku wa leo❤❤❤
@RahabkRuthАй бұрын
Eee Mungu naomba unipiganie Kwa Kaz yangu
@SevAl-p9kАй бұрын
Sylvia mungu nisaidie nimalize mwaka huu kwa ushidi pia nvuke mwaka mwengine kwa ushindi na mafanikio kwa jina la yesu, 🙏🙏🙌♥️
@SuperladynaaNgowiАй бұрын
Ee Mungu,, simama namiii siku zote za maisha yanguu nipiganiee nsikuachee katka hali yytee Amiin.
@anjelinamgude808Ай бұрын
Amina
@MarieMakiwaАй бұрын
Asente mungu kwa neno lako
@NellyKombeАй бұрын
Asante mtumishi ubarikiwe kwa mafundisho
@MerryMwailokaАй бұрын
Asante MUNGU❤
@MwambaGabriel-x4lАй бұрын
Amen eeeh mungu nitiye nguvu Kwa kujitaidi kwangu
@rehemakarisa2791Ай бұрын
Èe mungu nahitahi kazi maisha yangu yamekuwa magumu kwangu
@maernov4257Ай бұрын
Ameni Ameni 🙏
@EGBERTJOAKIMNDYAMUKAMAАй бұрын
Naliamini jina la Bwana na ninaamini sitaumaliza mwaka kawaida ,,Barikiwa sana pastor
@FadhilahbonyBoniphancemgogosiАй бұрын
Eee mungu nione mimi mwaka huu jmn🙏🙏
@waitheramwangi3558Ай бұрын
Asante mungu naomba uniongoze
@AnaMeli-zs1osАй бұрын
Eee Mungu nisaidie kweli peke yangu siwezi
@EvalynePendoАй бұрын
Ameeeeeeeennnnnn and ameeeeeeeennnnnn
@liddydeSalt4773Ай бұрын
Amen ♥️ 🙏
@SevAl-p9kАй бұрын
Sylvia amen amen 🙏 nkotari mungu naomba uniongoze nakuhitaji nakataa ukawaida baba naomba ongezeko lako ndani yangu, 🙏🙌❤️
@PendoMrisho26 күн бұрын
Amen pastor mungu akubariki sana
@IrakozeboscoLydiaАй бұрын
Mungu BABA Jehovah naomba unisaidie nirudishiwe vitu vyote ambavyo nilivipoteza kiroho Nina omba unirahisishie masomo shuleni ni elewa ninavyo fundishwa na nipate marks nzuri zinazo pendeza kwa jina LA YESU ninaomba AMEN
@nonveroniquejohnАй бұрын
Asante yesu cristo
@ElizabethKasika-n7sАй бұрын
AMINA
@Janet1-v5hАй бұрын
Asante yesu naomba unipiganie kwenye maisha yangu maana pila ww mm sitawesa
@SarhKiniaАй бұрын
Asante roho mtakatifu kwa siku ya leo
@skiiboyjanja9961Ай бұрын
Ameeen in Jesus Christ
@gracecharles5689Ай бұрын
Niko tayari kabisa mtumishi nimechoka kuishi kikawaida
@DorothyChilemboАй бұрын
Nisaidie Mungu wangu nisiwe wa kawaida niwe na moyo wa kutoa 🙏🙏
@HeriethJoseph-cd8vkАй бұрын
Ameeeeeeen 🙏
@collenskessy-uv9mrАй бұрын
Asante Mungu kwa neno lako asante Yesu
@PolaChadi-wm8mkАй бұрын
Ameen
@ruthmoranga5142Ай бұрын
Amen
@nurubushirianelkas8681Ай бұрын
Amen amen God is only God 🙏 🙌 👏 ❤
@abigaelmwadena2262Ай бұрын
Asante Karibu Roho mtakatifu katika maisha yangu nakataa ukawaida kwenye maisha yngu
@ivanbamarry9035Ай бұрын
Asante mungu kwa utimamu wa mwil na akili nifanye nikujue zaid ili niwez kutenda ya lio mema nip nguvu na moyo wa kupamban kukutafakali wewe na kukusoma ili niwez kuish ndan yko bila wewe me sikitu ebwan nifanye niwe nawe nifanye niwe wakupendez machon pako emen
@ElizabethJames-cr6cyАй бұрын
Amina mungu atusaidie sana
@RoseWilson-j2yАй бұрын
Ee Mungu nisaidie na Mimi nikujue wewe tu
@MwanaHuseni-jf2lvАй бұрын
Asante bwana yesu Kwa neema na kibali tufikia masaa haya nakataa kua wa kawaida katka maisha yangu nisaidie Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
@reubenjustine8470Ай бұрын
Mungu niongeze kwa kila Jambo Amen Amen Amen amen 🙏 🙌
@jacksisti-x2uАй бұрын
AsantebMungu
@margieblessed863Ай бұрын
Amen 🙏
@FadhilahbonyBoniphancemgogosiАй бұрын
Naimani nitapokea muujiza kwenye hii miezi miwili iliobaki naamini utaniteendea jambo nakuitaji ee yesu🤲🤲
@yvanmanirakiza7015Ай бұрын
Mungu naomba kazi
@hdhjdh775Ай бұрын
Eee mungu nakuhitaji Kwenye maisha yangu nakuhitaji sana yesu wangu bira wew Mimi sitoweza 😢😢 nishike mukono wangu mungu wngu
@AminaSaidi-s3qАй бұрын
Eeh mungu wangu niwezesha kwA kila jambo
@furahamkonda5112Ай бұрын
AMEN 🙏 Mungu wangu nahitaji viwango vingine sitaki kubaki Kama nilivyo, Mimi sio wa kawaida hivi
@DosianaLulakuze-bv7fgАй бұрын
Oh jeheva naomba sasa ukainuke juu ya watesi wangu uchawi uganga na kila kinachoendele kwenye madhabahu ya kichawi
@rehemakarisa2791Ай бұрын
Eee mungu nahitaji nikakuone wewe katika maisha yangu sina sina kazi sina chochote nakuhitaji mungu
@chichiereyhАй бұрын
Amen wajina🙏🏿♥️
@rehemakarisa2791Ай бұрын
@@chichiereyh juliet rehema
@biannapiter554Ай бұрын
Amina😢
@mtokambali6186Ай бұрын
Asante mtumishi... Barikiwa sanaaaa
@JanetyKayuniАй бұрын
Niko tayar kuungana na ww kwa jina layesuu
@georgepeter2564Ай бұрын
Umenilenga mimi, natokea 🇰🇪 nairobi
@gracekuvuna3325Ай бұрын
Nakataa kuishi maisha ya ukawaida
@CatherineKigaheАй бұрын
Mungu wangu naomba usimame na mm kwenye Kila hatua naamini peke yangu siwezi
@adolphinemuswamba1059Ай бұрын
Ahsante YESU Kwa siku ya leo
@shadya977Ай бұрын
Niko tayari neno la MUNGU linasema NIMETESWA SANA EE MUNGU UNIHUISHE SAWA SAWA NA NENO LAKO 🙏
@TabithaSengaАй бұрын
Ameni
@raphaelmuiris7517Ай бұрын
Tune from Kenya 🇰🇪
@RahabkRuthАй бұрын
Ndio Bwana naomba Unirehemu ,unipiganiehiz vita vya madui wachawi wanaouteza maisha yangu kupinga kushudi langu
@josuekamunduАй бұрын
Naitaji maelekezo yakuwa wakiroho
@gracekuvuna3325Ай бұрын
Niko tayari kupambania vya kwangu
@EstherShukurani-o1yАй бұрын
Pastor naomba uniombey
@raphaelmuiris7517Ай бұрын
Yesu nihirume baba nimeshoka
@Victoria-bv6xuАй бұрын
God bless pastor 👏
@DorothyChilemboАй бұрын
Asante Roho mtakatiifu 🙏🙏
@ElizabethJames-cr6cyАй бұрын
Shalom mtumishi hata mm nimechoka nataman tuvuke pamoja nikue kiroho niwe mwombaji pia familia yangu ifunguliwe nikumbuke kwa maombi pia
@NitunzeKilawahАй бұрын
Niko tayari kuchukua maamuzi magumu ya kupambania vya kwangu kwa kuondoa ukawaida ee MUNGU wangu nisaidie
@jacklinejulius6167Ай бұрын
Huu mwaka sitaumaliza kikawaidaa
@nonveroniquejohnАй бұрын
Nami pia nakataa ku maliza uu mwaka kawaida💪💪💪💪💪
@saradavirginia-kd7tnАй бұрын
❤❤❤
@MarieMakiwaАй бұрын
Mimi na kataha kumaliza mwaka kawahida
@gracekuvuna3325Ай бұрын
Sitaki kumaliza mwaka kwa ukawaida
@alicemwaka3762Ай бұрын
Emeeen
@JoshuaSaidi-g8zАй бұрын
Hakika mch upo kwa ajili ya kutusaidia nabarikiwa na San mafundisho yako hakika nataka kubadilika
@jacklinejulius6167Ай бұрын
Amina
@CatherineAmbale-ye3lgАй бұрын
Ninawaza kukupata aje live on youtube
@IraneShirindoАй бұрын
Amrn
@yvanmanirakiza7015Ай бұрын
Please nikumbuke
@DosianaLulakuze-bv7fgАй бұрын
Nipo hapa jehova nimefika mwisho sasa nakuhitaji jehova
@gracecharles5689Ай бұрын
Mbona nikisearch saa tano na saa 11 live siwapati mtumishi
@shynesszennah1992Ай бұрын
Ninapokosa tumaini huwa nakimbilia kwenye haya madhabahu na nina simama tena