KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI WAKUFUATWA, MCHUNGAJI NDACHA AUBUKA, WAKRISTO WAELEWA UKWELI UKO WAPI

  Рет қаралды 63,868

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 430
@joramsengi9123
@joramsengi9123 2 ай бұрын
Ubarikiwe Ndacha. YESU NDIYE WA KUMFUATA
@Atijasumail
@Atijasumail 3 ай бұрын
Masha allah kua kutoka ukristo kuongia wislamu
@PascalOkoth-t5g
@PascalOkoth-t5g 17 күн бұрын
Yesu ndiye wa kufuatwa asante mwalimu Ndacha
@EdwinPhiri-gj5qv
@EdwinPhiri-gj5qv 11 күн бұрын
Mm hata wakamate bunduki mkononi siwezi kuwa msilam
@ElieKasongo-b7b
@ElieKasongo-b7b Күн бұрын
Mwalimu Ndacha, Mwenyezi Mungu akubariki na akulinde. Ninawafwata hapa Congo DR.
@AgripaMwangobola-z7r
@AgripaMwangobola-z7r Ай бұрын
Ndacha anajua na anajua Tena congratulation ndacha
@sashaamoha
@sashaamoha 3 күн бұрын
Mashehkkkk mi nawambia tuacheni kushindanda n hawa watu waliopotea tuombeni kwa ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA N ATUGHUFIRIHE DHAMBI ZETU N TUWE MIONGONI MWA WATAKAO INGIA PEPONI AMEEN THUMA AMEEN 🤲🤲🤲🤲
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 4 ай бұрын
Nilikuwa mkristo leo ndio nimeamin sikufanya kosa kutoka huko,Ahsant Mungu kunileta katika Uisilam 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@silvesterojanji2007
@silvesterojanji2007 4 ай бұрын
Yaani umeruka mkojo ukaingia kwenye mavi so yesu atakuukumu saidi mohammed.
@Oman-k4j
@Oman-k4j 4 ай бұрын
Mashaallah mungu akuongoze kw sababu huyo ndacha anaruka anachoulizwa anasema vingine
@Oman-k4j
@Oman-k4j 4 ай бұрын
Honger Hussein mashaallah
@ustadhfarouq7729
@ustadhfarouq7729 4 ай бұрын
​@@silvesterojanji2007Uislam ndio dini ya haki inayofuata maamrisho ya Mungu ajabu ww hujawahi tawadha tangu uzaliwe Wala kusujudia mungu Sababu hamfuati maneno ya YESU nyinyi ni wanafiki.. MATHAYO 15:7 na YOHANA 13:8 hvi haya maneno wayajua ww je nani hufuata...msujudie bwana mungu wako umuabudu yeye peke yake lkn wakristo huimba eti YESU ndiye anastahili kuabudiwa huo ni ukafiri.. Mungu anasema yeye nu Bwana mwenye wivu...na kila kitu ni chake yeye LUKA 4:8.Someni wacheni ujinga viti vimejaa makanisani wakati YESU alivitupa na akasema mm nyumba yangu itaitwa nyumba ya ibada lkn nyinyi mmeifanya kuwa ya wanyang'anyi... mpaka leo viti bado viko Kanisani kishe useme wafuata YESU bure kabisa enda msikitini kama utaona waislam hukaa kwenye viti... YESU alikua muislam.
@jakuabdull34
@jakuabdull34 4 ай бұрын
Umefuata njia sahihi na hutojutia maisha yako yote
@RuthbetaCharles
@RuthbetaCharles 5 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi Ndacha, napenda sana kusikiliza hizi Debate,
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 ай бұрын
Mashaallah Allha 💖💖💖
@abdul-majidndegwa6607
@abdul-majidndegwa6607 3 ай бұрын
Jamaa kaleta unafiki na akaitwa mnafiki kisha wakabisha.. Mwishoe mnafiki kadhibitisha unafiki wake peupe.. Ndacha mkenya mwenzagu wacha kujiaibisha ndiyo maana Mwenye Enzi Mungu kasema ulimi utakiri na ulimi wako wakiri.. Soma ilivyo andikwa na kisha soma umalizie sentensi au aya hadi mwisho... Ndiyo maana wakristo wazidi kuwa Waislamu wakijisomea wenyewe.. Islam remains the Number one growing Religion in the World kama wabisha fanya Google ikusaidie
@RojasMtali
@RojasMtali 7 күн бұрын
Wewe unaongea pombe gani, kwani anayo ongea ndacha ana toa kichwani au ni mandiko ,
@AdelaMkani
@AdelaMkani 3 ай бұрын
Ndacha MUNGU akulinde KWa ukweli huu. Yesu ana mamlaka popote
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 3 ай бұрын
Ndacha hawezi xshi dwa hona Labda Ni hona hoja dhaifu, Ndacha Ni mtaalamu wà vitabu,
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 2 ай бұрын
Amen YESU ni MUNGU
@sashaamoha
@sashaamoha 3 күн бұрын
Yesu ni Issa wewe n Issa sio mungu ni nabii kam manabii wengn amkeni nyinyi mlipolala ISLAM NDIO DINI Y HAKI.
@MohamedMeja
@MohamedMeja 4 ай бұрын
Ndachaa Hana hojaa atumia ujajaa tu ashaiona kweli atasilimu kwauwezoo wakea mungu
@jameskilasa759
@jameskilasa759 3 ай бұрын
Ww mwenyewe muhamad huwez elewa
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s 3 ай бұрын
Acha uvivu wakusikiliza Sikiliza vizuri acha kiburi
@KanerugabaClement-z4w
@KanerugabaClement-z4w 2 ай бұрын
Utamufuata je asiye jua anapokwenda,wakufuatwa ni Yesu tu akuna mwingine
@KanerugabaClement-z4w
@KanerugabaClement-z4w 2 ай бұрын
Muovu anaweza kupewa mamulaka
@ashurantunzwenimana5975
@ashurantunzwenimana5975 Ай бұрын
YESU ndiye NJIA kweli na uzima mimi hataniba mwenyewe nitabaki kumutukuza YESU
@MejumaaRashid-s8g
@MejumaaRashid-s8g 3 ай бұрын
Ndacha nakihutumia sana Allah akuongoze na wafuasi wako uache kuwadanganya yesu aleta uzima hiyo ni shiriki kubwa naniwacha Mungu matusi yanini hekima
@hassanmuktaar1198
@hassanmuktaar1198 4 ай бұрын
فَهَلْ يَنتَظِرُونَ إِلَّا مِثْلَ أَيَّامِ ٱلَّذِينَ خَلَوْا۟ مِن قَبْلِهِمْ ۚ قُلْ فَٱنتَظِرُوٓا۟ إِنِّى مَعَكُم مِّنَ ٱلْمُنتَظِرِينَ ١٠٢
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 4 ай бұрын
@@hassanmuktaar1198 siku HIZI kiarabu siyo Dili... kiswahili ni lulu njema.usitumie lugha isiyo fahamiwa na wengi ni uoga wa kizamani.
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 4 ай бұрын
@@hassanmuktaar1198 waarabu walitaka kueneza kiarabu Kwa mbeleko ya dini....kwani Mungu akihubiriwa Kwa kiswahili hataeleweka????
@Hshshsueue
@Hshshsueue 3 ай бұрын
Yesu pekee
@peteremanuel8022
@peteremanuel8022 2 ай бұрын
Yesu hakulaaniwa. Alifanywa laana kwa ajili yetu. Funðisheni vizuri wahathiri wa kiislamu mmepotea
@shafiiluunje5043
@shafiiluunje5043 10 күн бұрын
Hkulaaniwa. Alifanywa laana. Unakanusha Kisha unakubali ivi umeona ulichoandika au unabisha kwa mazoea
@DaudiMwizarubi
@DaudiMwizarubi 3 ай бұрын
Ndacha mmoja ni sawa na waislamu 25
@AhmadidadiDadi
@AhmadidadiDadi 3 ай бұрын
umelogwa ww
@silasmutwiri9159
@silasmutwiri9159 3 ай бұрын
Kua muislam ni hakika umeamua kuingia motoni mzima mzima
@ramadhanidhahabu9509
@ramadhanidhahabu9509 3 ай бұрын
Nimechagua njia sahihi saana alhamdullah
@navokisembo
@navokisembo 3 ай бұрын
Yesu akulinde mtumishi
@drigomsaky7132
@drigomsaky7132 3 ай бұрын
Ndacha umeeleweka kabisa
@AgnesKasayaMigiro
@AgnesKasayaMigiro 3 ай бұрын
Eti Ndacha kashindwa, Ndàcha ,Aliwashinda kwnza,waislamu,walimwogopa,wakaanza. kuweka mashaliti oo,usisome,kitabu hiki ama, kile aibu👽👽😭
@MUKULASI-t8e
@MUKULASI-t8e 17 күн бұрын
Mjinga ajijui
@FestoMagawa-xz1kc
@FestoMagawa-xz1kc 3 ай бұрын
Ndacha safisana kwakutowa maandiko sahihi kwahao wanafunzi mana muhamadi hajuwi kusoma Wala kuandika weunazani hao wafasiwake watakuwaje ndiomana hawaelewi endelea ndacha kuwafundisha hao wanafunzi ambao Bado wanabisha wasicho kijuwa
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 3 ай бұрын
Kinyogoli, lssa atakapokuja atakuwa kama kadhi ila Yesu atakapokuja atauhukumu ulimwengu kwa uadilifu. Sasa Fanya utafiti ili ujue je ni kweli Yesu ndiye Issa.
@DaudAhmed-bk2lj
@DaudAhmed-bk2lj 2 ай бұрын
mashallah❤❤
@ElitumainiMartin
@ElitumainiMartin 3 ай бұрын
Hongeraa ndacha Mungu akubarki
@delickmarco3945
@delickmarco3945 3 ай бұрын
❤ndacha shikamoo ukweli umenibariki ukristo stok kabisa yaan uislamu niupuzi kweli
@SharifuKombo-rb6vk
@SharifuKombo-rb6vk 3 ай бұрын
Hujaelewa ww2
@abdul-majidndegwa6607
@abdul-majidndegwa6607 3 ай бұрын
@delickmarco... umeamua ni matusi sio.. ?
@AbdulRahim-rl2df
@AbdulRahim-rl2df 3 ай бұрын
Nyinyi ndugu zangu katika imani msiwajibu hawa viumbe bado sana kielimu yesu ni muislam wao sijui wanamfuata nani ikiwa yesu alikuwa anatawadha na ana vua viatu wakati wa kufanya ibada wao wana vaa na wanaingia na viatu
@AhmadidadiDadi
@AhmadidadiDadi 3 ай бұрын
sio uislamu upuuzi ww ndo mpuuzi upo kwenye usingizi yesu katumwa kwa wana wa izlaeli makabima 12 ndani ya hayo makabila kabila lako nipo zinduka we huyo ndacha mjanja wa maneno
@MariamGhorra
@MariamGhorra Ай бұрын
Alhamdulillah 🕋
@blackbodyguardx3607
@blackbodyguardx3607 3 ай бұрын
Waislamu hawana lolote Ukristo ndiyo Dini
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 3 ай бұрын
Thibitisha kwa maandiko
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 3 ай бұрын
Ustaadhi bakonzi unayo maswali mazuri saana, ambayo yakijibiwa na pastor Ndacha huwa majibu yake yanaufukia uislamu kisawasawa. Ni majibu sahihi kabisa yanayosomwa kutoka katika biblia na ikibidi katika korani hongera ustaadhi bakonzi. Shida ninayoiona kwa wauliza maswali ni kwamba pale wanapojibiwa huwa hawatulii kuyasikiliza majibu na ndio sababu wakirudi jukwaani utawasikia wanayarudia maswali yaleyale ambayo tayari yamesha jibiwa. Wanafanana sana na wale wanafunzi wa shule ya msingi madarasa ya chini tena ni yale yenye wanafunzi 150 mpaka 200
@khamismumbo7324
@khamismumbo7324 2 ай бұрын
Islam is the best way to go inshallah Allah atupe kher na tuwe waislam
@NsubiRaphael
@NsubiRaphael 3 ай бұрын
Hawa ndacha achana nao,mtaonekana wote wajinga, nyinyi sehemu kibao hamjafika,pale Yesu alipomfukuza shetani mbona hamsemi
@SaidhassanThebarez
@SaidhassanThebarez Ай бұрын
Mungu akutie nguvu ndacha ujue haki kwasababu bado uko kwenye giza kubwa sana uislamu ni nuru
@midompemba9647
@midompemba9647 3 ай бұрын
Dini ya haki mbele ya m/mungu ni uislamu
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 3 ай бұрын
Dini ya shetani mbere ya mwenyezi Mungu ni wislamu, inampinga kristo.
@threebrothers..
@threebrothers.. 3 ай бұрын
Haya ni maneno ya maiti Muhammad,sio maneno ya mungu
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 3 ай бұрын
Ndacha yuko juuu hata mohamed anajua yesu atakuja kuhukumu ulimwengu
@sashaamoha
@sashaamoha 3 күн бұрын
Anae toa hukumu ni MUNGU pekee
@BashiruWaziri-p7p
@BashiruWaziri-p7p 3 ай бұрын
Namshukur allahh kuzaliwa muisilam allhamndulillahh
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@joramsengi9123
@joramsengi9123 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 unatia huruma sana
@OlaiRobert-j3p
@OlaiRobert-j3p 3 ай бұрын
Ndacha mungu akutie nguvu upambane na hawa waislamu wapinga kiristo
@ZuberAlly-s5l
@ZuberAlly-s5l 3 ай бұрын
tuwe wenye kusoma na wenye kuelewa vizur
@ashurantunzwenimana5975
@ashurantunzwenimana5975 Ай бұрын
Muhamedi nimpinga Christo tu hana lolote muache kutuvunja maskia ukweli tunao
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 2 ай бұрын
Waislam tunajuwa kwamba nabi Issa hakukufa wala hajatweka kwa musalaba.
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 4 ай бұрын
Mashekhe wamebabaika jinsi yesu anavyo inuliwa,ujanja wa waislamu na kukatakata maandiko leo inafichuliwa kumekucha yesu ndie njia sahihi ya kwenda kwa mungu
@BekhaChambaly
@BekhaChambaly 4 ай бұрын
We umesikiliza kweli au ulikuwa unamsikiliza ndacha pekee akeee
@janemsigwa5209
@janemsigwa5209 2 ай бұрын
Kuanzia leo mm mkristo🎉❤
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 3 ай бұрын
Wahadhiri wa kiislamu wakilemewa na mada wanageuka mara wanakuwa wachekeshaji ili kuwapoza waumini wao wanaowasikiliza
@FestoMagawa-xz1kc
@FestoMagawa-xz1kc 3 ай бұрын
Ukiwa kwa yesu uko salama
@allyabdallah4679
@allyabdallah4679 3 ай бұрын
Ngoja ufe ndo utajua kua upo salama au vipi
@joramsengi9123
@joramsengi9123 2 ай бұрын
​@@allyabdallah4679Acha kutishwa na kifo . Tukiwa kwa Yesu hatuogopi kufa
@MUKULASI-t8e
@MUKULASI-t8e 17 күн бұрын
Kablini upo pekeyako mzee azabu za kabuli zinakungoja yesu uklisto ajauleta yeye
@joramsengi9123
@joramsengi9123 17 күн бұрын
​@@MUKULASI-t8eKwani Allah alikuumba ?
@salimurhova5031
@salimurhova5031 3 ай бұрын
Ndacha ulaniwe na Mungu kwa hicho kiburi cha kutukana mtume Muhammad s.AW.
@Izzoh22
@Izzoh22 3 ай бұрын
Wewe nyamba
@AhmadidadiDadi
@AhmadidadiDadi 3 ай бұрын
shee tumsamee bure hajuwi asemalo ALLAH bado hajampa taufiki kk
@bellasi349
@bellasi349 2 ай бұрын
Hivi hujui we ni bora kuliko Muhammad vinginevyo uwe ulishauwa watu n'a kubaka ndo mtakuwa sawa
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 Ай бұрын
@@salimurhova5031 Ndacha atabarikiwa kwa kumtetea yesu ambaye vitabu vya kale vinamtambua lakini muhamadi ulaniwe milele kwa kuiharibu injili ya manabii
@Raelboke-b6y
@Raelboke-b6y 4 ай бұрын
Mungu awaguze wasilam watafakali ukuu wa mungu na yesu wabatizwe Ili wapate uzima wa milele
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 3 ай бұрын
Uzima upi hakuna mkisto ambae atakufa ndio apate uzima wa milele
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 3 ай бұрын
Wakristo jitambuen na muache kuendeshwa na mtu na kuabudu mtu
@AhmadidadiDadi
@AhmadidadiDadi 3 ай бұрын
pole sana kwa kuto ona ukweli upo wapi
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Ай бұрын
Wakiristo wete ni mbwa kama alivo mbwa ndacha
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Ай бұрын
Hili jitu linaropokwa tu
@navokisembo
@navokisembo 3 ай бұрын
Yesu ndo njia kweli na. Uzima.
@mohameddarus3027
@mohameddarus3027 3 ай бұрын
Uyu ndacha aereweki mala yesu mungu mala mtoto uyu kwar mfata mkate
@EdwinPhiri-gj5qv
@EdwinPhiri-gj5qv 11 күн бұрын
utamuelewa badae
@geofreysamwel4945
@geofreysamwel4945 3 ай бұрын
Im the Way, the truth and the life no one came to the father except through me, Maneno ya JESUS ,
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 3 ай бұрын
What about those who were in this world before him
@edubrown12
@edubrown12 3 ай бұрын
Mzikatae ukweli Yesu ndiye njia waisilam tuerefuke na kukondoa macho tuone ukweli ak madungu
@ValenceDenisokoramohindo
@ValenceDenisokoramohindo 28 күн бұрын
Ndio mimi NDA batizwa
@AbdullahiFarah-q3s
@AbdullahiFarah-q3s 3 ай бұрын
Ukweli unabakia
@jacksonnchimbi1966
@jacksonnchimbi1966 3 ай бұрын
Muhammad ni wa dunia hii na Yesu kristo ni wa mbinguni na ndio maana Muhamad alioa wanawake wengi ni asili ya binadamu na sio ya kiungu maana binadamu roho yake ni ya kutamani fahari za dunia, hii lakini tofauti na Yesu kristo akuoa wala hakutamani fahari za dunia hii ukisoma kitabu cha yohana kinasemà yeye wa dunia hii unena ya asili ya kidunia na yule aliyetoka juu unena yatokayo juu na anayajua mambo yote yatokayo juu kwa maana hiyo kiasili Yesu alizaliwa bila kufanya mapenzi kati ya baba na Mama hila Muhammad alipatikana kwa sexual intercourse hawezi kuwa juu ya Yesu kristo
@ashurantunzwenimana5975
@ashurantunzwenimana5975 Ай бұрын
Barikiwa sana paster ila unafundisha vizuri sana wenyewe unafundisha hawaelewi tu wabishi wajionea wenye hisiku ya hukumu
@EdwinPhiri-gj5qv
@EdwinPhiri-gj5qv 11 күн бұрын
Chezea waisilam ww wabishi hatari
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 4 ай бұрын
Muhammad ni mganga wa kienyeji
@nadharmusa223
@nadharmusa223 3 ай бұрын
Alimtibu babaako
@jasintakendi5939
@jasintakendi5939 4 ай бұрын
Mungu azindi kukupea nguvu mwalimu
@sulefromcongo7187
@sulefromcongo7187 3 ай бұрын
Huyo Hana Jipya Ndacha Hana lengo la kuwa Fundisha watu Ukweli Wa Mungu iko kimaslah Tumbuwiya
@FaizaSalim-y6v
@FaizaSalim-y6v 2 ай бұрын
yaani ndacha unajipa moyo na unaona wazi ulimwenguni watu wanaokimbilia kuingia ndani ya uislam dini ya haki na kama wewe huutaki uislam wenzako wanaukimbilia kwa bure kabisa na wanafaidika na wemeongoka sio kuokoka kuokoka ni kesho mbele ya allah takbeer
@FunnyHermitCrab-gh4sw
@FunnyHermitCrab-gh4sw 3 ай бұрын
Ndacha mwalimu
@AhmadidadiDadi
@AhmadidadiDadi 3 ай бұрын
mwalimu wa bipofu wa kufikili
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 3 ай бұрын
Ndhaca anafundisha ukweli, tatizo la wa islamu, wa nanganganania wislamu, kwa kupenda mafundisho ya huo wislamu wa kuakubalia fulaha ya kuoa wake wengi, hiyo ndio sababu yagupigania wislamu, capili ni kusaidizana na mashetani kwakipato ca maisha ya duniani ni hiyo tu yani ukweli hawana, uongo tu na kutumia ujanja wa kujibu wasico uulizwa , kwasababu wanajua aya nyingi za bibliya wa nazisoma kwa kuzitumia vibaya ili wapoteze watu, Lakini ukiwa makini bila ushabiki unaona uongo wawo.
@EdwinPhiri-gj5qv
@EdwinPhiri-gj5qv 11 күн бұрын
Wabishi ao aisilam
@kingofjungle510
@kingofjungle510 3 ай бұрын
Nilikuwa uisilam na shukuru Yesu kwa kuniokowa. Muhammad hajui kusima wala kuandika atafundisha nini? Leo nimejua zaidi kuwa sija potea
@edubrown12
@edubrown12 3 ай бұрын
Karibu Sana napenda ❤❤❤
@PetroDeo-s2v
@PetroDeo-s2v 3 ай бұрын
Ndacha fundisha wairam wamjue yesu
@basilejuma
@basilejuma 3 ай бұрын
Waislam wabatizwe, wale wafuasi wa Yesu ni watoto, walio kataa Yesu ni ma umbwa, hi ni hatari
@AdhifaMtama
@AdhifaMtama 10 күн бұрын
Mwenyezimungu ashasema kua 'nimeikamilisha dining na nimeujalia uisilam kua dini ya haki japo washirikina watachukia
@enfantmalisawa3124
@enfantmalisawa3124 3 ай бұрын
Waheslamu muhashe ushabiki hokokeni tu muwe wa Christo Mtumishi Mungu azidi kukulinda sikuzote kwa jina la yesu Christo
@makkawi4294
@makkawi4294 3 ай бұрын
Mambo ya ki mwili na ki roho ni vitu viwili tofauti wacha ni cheke mm🤣🤣🤣
@AntonyManeno
@AntonyManeno 3 ай бұрын
Mungu Aku Hifadi Mikononi Mwake Salama Hadui Ajapo Kutafuta Asiku Pate Ndacha Wewe Ni Chuvi Tena Ni Barua Ya Waisilam. Waisilam Wana Fanya Comedy Ndio Maaana Hawasikilizi Wana Kufanyia Makelele Na Kuku Sema Vibaya Badala Ya Kufata Hoja.
@AhmadidadiDadi
@AhmadidadiDadi 3 ай бұрын
pole sana kwa giza ulonalo
@HistoryBOOK-l6r
@HistoryBOOK-l6r 3 ай бұрын
Shallom, shallom kwa Kila Dini na kabila zote; Katika Ahadi zangu na kazi zote kwenye utawala wa Imani, Sioni sababu ya kulumbana; Mungu Alijitukuza kabla ya" - na bahada ya", Leo - Jana - dahima, *Soma 1) mwanzo 1-1-2.....", 2)Wafilipi 4-9; Ayubu 5-6. Bila Dini au nabii, Mungu Alikuwepo.
@JustusNteghay
@JustusNteghay 21 күн бұрын
Mohamad bado hajafika wala hatafika mwisho.Ameishia kaburini.Yesu yuko mbinguni,amefika mwisho wa safari.
@kennodhiambo
@kennodhiambo 9 күн бұрын
Atawezaje kumfuata mtu aliyekufa akazikwa! Kwa hivyo ataenda kumtafuta makaburini ama huyo mtume wenu pia atafufuka! Eti pia atakuja kuvunja misalaba na kuwaua nguruwe! Imani nyingine jamani ni kama ya wazimu
@NailaMickey
@NailaMickey 2 ай бұрын
Ndacha anarukaruka kama maharage jikoni yakiwa yanachemka
@FrancisNgomaitara
@FrancisNgomaitara 10 күн бұрын
Enyi waislam msizibe masikio sikirizen vizur mtaelewa
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Sisi tulio ndani ya yesu tuko salama ,nawewe mwislamu njoo kwa yesu ili uwe salama,uwe mmoja wawale alio pawa yesu,
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Ай бұрын
Yesu yupi mnao mjuwa nyie ?
@OmariAbdi-c9k
@OmariAbdi-c9k 3 ай бұрын
Ndacha ni mnafiki tu haelewi chochote
@SusanDismas
@SusanDismas 3 ай бұрын
Nko nyumba yko ndacha
@mwagombebakari
@mwagombebakari 2 ай бұрын
Hakuna siku uta mbadilisha muislam awe mkristo
@suleymandachi782
@suleymandachi782 3 ай бұрын
Safari hii ndacha amekiri yesu sio Mungu bali ni Nabii siku zinakuja atajua Muhammad kaja kuwaongoa wakristo wapagani waislaam
@ashurantunzwenimana5975
@ashurantunzwenimana5975 Ай бұрын
Sasa hiyo karatasi yanini mtu umesha soma yanini muwabishi tu mtaishia kubisha basi
@sadikihalfani
@sadikihalfani 3 ай бұрын
Nimecheka sana kuwaona WA Tanzania wanajisingizia ni waisraeli😂😂
@clementchizumila8964
@clementchizumila8964 Ай бұрын
Wasilam muokoke wote mumpokee Yesu
@claverirambona6068
@claverirambona6068 4 ай бұрын
Ndacha Bwana Yesu akibalik
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule Ай бұрын
Kama hawa wahadhiri wa kiislamu waliopo hapo mezani, ndio wanawawakilisha waislamu hakika wanawapoteza waislamu. Uislamu sio dini ya Mungu wa kweli na Allah sio Mungu wa kweli.
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Ай бұрын
Dini ya mungu ya mama ako nyote mtaenda motoni mtachomwa kama mishkaki ya kuku
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule Ай бұрын
@Anuarmustafa4128 usiwe na ghadhabu, fuatilia mdahalo kwa makini na uelewe kinachojadiliwa.
@salomedarema304
@salomedarema304 3 ай бұрын
Jesus is the way, truth and life
@DassoukiTelecom-t3i
@DassoukiTelecom-t3i 4 ай бұрын
Pastor Ndacha mfu on mungu akuonekanie kila mahali uendapo
@ZuberiNkumulwa
@ZuberiNkumulwa 19 күн бұрын
Kilsto nijina siodini nahakuna anfiko lolote katika bibilia kua yesu kaingia kanisani ww hujitambui yesu ni mwislamu kaingia snagog.nimskiti siokanisa
@jameskilasa759
@jameskilasa759 3 ай бұрын
Ila waislam wanadanganywa sana
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 3 ай бұрын
Mnodanganywa nyinyi msojielewa ,ht Bibilia inasema Islamu ndo Dini ya Haki mbele ya Allah
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Ай бұрын
Wewe kweli mke wa pididi msenge mkubwa unae danganywa ni nyinyi msio jielewa na huyu chizi wenu anae ropokwa tu
@omarihamisishekanga
@omarihamisishekanga 21 күн бұрын
Kamahujasoma nakusomea mimi yesu hajawahi kuingia kanisani kama mnabisha nisomeeniandiko linalosema yesu kaingiakanisani nasubili hiloandiko
@sheikhaswalehsalim3392
@sheikhaswalehsalim3392 4 ай бұрын
Huyu ndacha ni tahira ,na ana jitahid kumpotowa dini ya kiislam,lakini huwezi dini ya kiislam ni ya haki na hawezi, kama una lipwa katabiri kani sani,maana una wapa wakiristo kuwa na uhakika wa dini ya kiislam,ni ya uhakika hata muka fanya nani 😂😂😂😂😂😂😂
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 4 ай бұрын
@@sheikhaswalehsalim3392 amewakamata pabaya safari hii....mlimwita wenyewe. Hamkujua...?? Na bado!!!!
@jameskilasa759
@jameskilasa759 3 ай бұрын
Uislam sio dini kabisaa
@erickmsigala138
@erickmsigala138 3 ай бұрын
Dini kiislamu ni dini ya Majini mtu mwenye akili huwezi kuwa Muislam
@abdul-majidndegwa6607
@abdul-majidndegwa6607 3 ай бұрын
​​@@erickmsigala138wewe kama una akili basi tuambie Dini ni nini na Jini ni nini ?
@JamalOnzima
@JamalOnzima 21 күн бұрын
Ndacha wewe hujui unaongia lakini najua wewe unae😢😢ndesha na shaitan
@mamyto_aziza5157
@mamyto_aziza5157 3 ай бұрын
huyu mpeni 3yrs later atakua mwislam tu. kisha hizi maudhui zinaitaji subra wallahyi mmananikera sema basi tu.
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 Ай бұрын
utasubiri sana dada yangu hicho chuma
@florencemushi6561
@florencemushi6561 3 ай бұрын
Ndacha hawezi kushindwa kabisa.eaislam uongo umewakolea sasa munatapatapa. MANENO ya mtumishi Ndacha ni kiboko yanawavhoma kweli kweli. Hata kujipinga ni bure ndani mwenu munajua ukweli ni kupitia kwa aliye Kweli na Uzima..YESU KRISTO.
@NassorSuleiman-jy4ro
@NassorSuleiman-jy4ro 20 күн бұрын
Nimeamini leo mkristo hata akiwa na phd bado ni mtumwa mbele ya mungu😮
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Yesu ndie njia iliyo sahihi,muhamadi jia yake sio sahihi ni mpinga kristo nimuongo anae acha kristo na kuingia Islam hajielewi amechanganyikiwa nisawa na mujinga,
@ashurantunzwenimana5975
@ashurantunzwenimana5975 Ай бұрын
Asante sana
@schammahkasongo3408
@schammahkasongo3408 2 ай бұрын
Kinyogoli tayari ameondolewa inamaana ameshindwa 😂😂😂😂
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs 3 ай бұрын
Ndacha mungo kweli ila kinyogoli kiboko hata ndacha anamtambua
@ashurantunzwenimana5975
@ashurantunzwenimana5975 Ай бұрын
Waisilam kwanini murudia maswali walio wajibia ubongo wenu hauna kumbukumbu umebebe muda,tena hamuoni kama wanawazarau kuwapa dakika nyingi za upuuzi
@Mudi-zk2cy
@Mudi-zk2cy 3 ай бұрын
Dini ni uislamu tu.
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 4 ай бұрын
Wajua ndacha mi uwa nakuona unapoteza muda..ssa ukisema wakufuatwa ni yesu cio muhammad..swali langu ni je! Huyu yesu mwamfuata kwa ibada zake na kila kitu ama munamfuata kwa kumuimbia tu..inafaa ndacha ukimfuata yesu afanye ibada kama alivyo fanya yesu uwe muislamu kama yesu
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 4 ай бұрын
anhaa mbn nyinyi hamuoe binti wamiaka 7 kama muhamadi??
@estakenia
@estakenia 4 ай бұрын
😂 wewe hauna ufahamu wowote kuhusu Yesu. Badilika umfuate Yesu, yeye tu ndie njia pekee ya kwenda peponi.
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 4 ай бұрын
@@zuenahassan8882 wewe mnansingizia YESU HAJAWAHI KUWA MUISLSM. NI MUYAHUDI .YOHANA 4:18- 21 ANASEMA WOKOVU WATOKA KWA WAYAHUDI.haya najua hiyo hutaipenda. Uislamu imeanza MWAKA 622 Karne ya Saba. YESU kesha paaa.....Hata waarabu wa kale walikuwa wanaenda kuabudu...uyahudini. matendo 2: 5-10. Na waarabu walikutanika siku ya pentecost...
@charokazungu1655
@charokazungu1655 4 ай бұрын
Yesu na uislam niwapi nawapi😂😂😂
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 4 ай бұрын
@@charokazungu1655 wakristo mkifa ndio mtajionea upotovu wenu saii mmekuwa kama vipifu ssa mkisema yesu ndio ananjia ya uzima kwaio c mungu mwenye njia ya uzima yesu ndio kila kitu kwenu cndio
@MwamvuaHamis
@MwamvuaHamis 3 ай бұрын
Ndacha.nimfuasi.wa.shetwani.hata.nasaba.ya.yesu.huijui
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 23 М.
JE YESU NI MUNGU?  | MAZINGE VS NDACHA +254705602959
1:47:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 526 М.
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE
29:23
arkas online tv
Рет қаралды 406 М.
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.