MAONI: Afrika itafanikiwa kupata viti Baraza la Usalama UN?

  Рет қаралды 2,691

DW Kiswahili

DW Kiswahili

Күн бұрын

Tangu kuundwa kwa Umoja wa Mataifa 1945, Marekani, China, Urusi, Uingereza na Ufaransa wameendelea kuwa wananchama wa kudumu wa Baraza la Usalama la umoja huo. Afrika yenye wakaazi takriban bilioni 1.4 inataka mabadiliko na kupata uwakilishi katika chombo hicho kikuu cha maamuzi. Je, Afrika itafanikiwa? Ungana na Saumu Mwasimba katika Maoni Mbele ya Meza ya Duara.

Пікірлер: 6
@AliAliInnalillahwainnailayhira
@AliAliInnalillahwainnailayhira 6 күн бұрын
Tuombe dua, İnshaallah. Inawezekana, Mungu ibarika Afrika na Watu wake. Au revoir.
@CheerfulDrumKit-du7qk
@CheerfulDrumKit-du7qk 7 күн бұрын
Kwa maoni yangu Marekani wanafanya Ili kujiaminiaha Kwa Afrika kuwa wao ni waungwana Kwa Afrika ila lengo ni kujaribu Kuivuta urusi katika influence contradiction
@johnsemuna3670
@johnsemuna3670 8 күн бұрын
Napata sawasawa nikiwa Australie 🇦🇺
@IssaJuma-n1c
@IssaJuma-n1c 7 күн бұрын
Kama ndoto ya afrika itatimia bc vingozi temperature rais wa Burkina Faso awe mwakilishi wa bara la afrika
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 8 күн бұрын
nyie wanaoipigania África ni warusi na wachina tangu zama hizo sasa hatutaki kutuma ya magharibi bali ni wakati umefika
MAONI: Ipi hatma ya Gachagua? #DWKiswahili #dwswahili
40:59
DW Kiswahili
Рет қаралды 3,5 М.
Netanyahu at UN: I have a message to the world - we are winning
34:53
Israel National News - Arutz Sheva
Рет қаралды 1,2 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 20 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,4 МЛН
Launch of PM E-DRIVE
1:45:40
Ministry of Heavy Industries , Government of India
Рет қаралды 6 М.
Jua Kali Leo Jumapili Usiku 06-10-2027
20:02
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 4,3 М.
How the Gaza genocide will lead to Israel's collapse, with Shir Hever
1:09:02
The Electronic Intifada
Рет қаралды 482 М.
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 20 МЛН