MAPENZI NI GAME | EPISODE 11|

  Рет қаралды 81,411

KING_NOELY1

KING_NOELY1

Күн бұрын

Пікірлер: 456
@NoshardZuberi
@NoshardZuberi Ай бұрын
Wanangu mi mnanitenga hamjawah nipa like roho mbaya tuuu😮😮😮
@MussaRashid-m5y
@MussaRashid-m5y Ай бұрын
Daaah nimewah Leo jmn naomben moment Zang alaf mbon wanachelewesha San tunaofatilia like hapan chin
@ClariceMatulanga
@ClariceMatulanga Ай бұрын
Waomba moment zako ziwapii😂
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 Ай бұрын
​@@ClariceMatulanga😂😂😂😂😂
@PhoebeOdera-kl3ip
@PhoebeOdera-kl3ip Ай бұрын
Mbn mnachelewesha hiki kipindi ivi jamani yani hdi tunasahau ,,,,,, kazi nzuri sana lkn ❤❤❤
@DeedarlexIddrisa
@DeedarlexIddrisa Ай бұрын
Nice..❤ Mungu baba anawaita tubuni na mrejee nyakati za mwisho sasa
@HapeMlungu-ci4ek
@HapeMlungu-ci4ek Ай бұрын
Kama na wewe umeikubali mapenzi ni game gonga like❤
@IreneDavid-w2d
@IreneDavid-w2d Ай бұрын
Jamnii na Mimi nimeungana na nyie kwenye hii series Basi nikaribisheni na like nyingi🤙🤙🤙🤙
@MaigeMitenenko
@MaigeMitenenko Ай бұрын
😢
@ChrisantJohn-d3l
@ChrisantJohn-d3l Ай бұрын
King hakika siamini mapenzi na umefanya moyo wangu kukumbuka maumivu ya zamani kunavipengele unavyopitia vinanigusa na Mimi kubali usikubali hiyo ni true story utatuambia mwisho wa muvi , shukrani na hongera Mr Noel 💪
@ViolethIssangya
@ViolethIssangya 28 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@LilianUhodanga
@LilianUhodanga 26 күн бұрын
Pole sana
@ChrisantJohn-d3l
@ChrisantJohn-d3l 25 күн бұрын
@@LilianUhodanga asante Sana Lilian hakuna maumivu makali kama ya mapenzi Bora hata kufiwa ukisha muhifadhi kaburini basi maumivu huanza kupunguza lakini maumivu ya mapenzi weeee usiombe unaweza kukonda balaaaa
@LilianUhodanga
@LilianUhodanga 25 күн бұрын
Naelewa aiseee🙌
@monicahjoseph2528
@monicahjoseph2528 Ай бұрын
Kaz nzuri ❤❤❤ila mwachelewesha sanaa jamn jaribn mlete Kwa wakti jamn
@IdrisaIsmailMkweche
@IdrisaIsmailMkweche Ай бұрын
Mamb vp
@NellyKanana-nx2ed
@NellyKanana-nx2ed Ай бұрын
Jamani leo nimechelewa guys wapi like zangu akh❤❤❤❤
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it Ай бұрын
Hivi humu ndani kuna wadada wanatabia km za maua wanajificha2😂😂😂😂😂
@ChangaJisava
@ChangaJisava Ай бұрын
Wengi sana afu wanapataga wanaume wapole ila wanakujaga kutimuliwa vibaya😅😅
@Bamutumubaya
@Bamutumubaya Ай бұрын
na akina papii wapo wa kutosha 😅😅
@naahmushi5622
@naahmushi5622 Ай бұрын
Wapo tena wengi kinomaa
@EDINESIFENIAS
@EDINESIFENIAS Ай бұрын
Ndio tena wengi
@irenehebuka3218
@irenehebuka3218 Ай бұрын
Waleteee😂😂😅
@rukiahamisi3079
@rukiahamisi3079 Ай бұрын
Huyu papy sijui papaya anakera ati kodi napandisha ama mnahama 😅😅😅😅
@naahmushi5622
@naahmushi5622 Ай бұрын
Apostropoo njoo huku kunamuujizaa kwa mwenye nyumbaaa😂😂😂😂😂
@DicksoneSahan
@DicksoneSahan Ай бұрын
😂😂atoe nyumba yake kwenye vi2 vyangu.
@AshulaMbola
@AshulaMbola 14 күн бұрын
Mwenye nyumba kapatikana 😂😂😂😂😂
@floramacheva5855
@floramacheva5855 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂huyo kashaingia inboxyyy😅😅😅😅😅
@JacksonChilangwa
@JacksonChilangwa Ай бұрын
Namm nimewahi jamani gongeni like
@zainabumtego5873
@zainabumtego5873 Ай бұрын
Jama nipeni jina la huu wimbo nimeipenda bure
@SadraAwadhi
@SadraAwadhi Ай бұрын
Movie nzuri kweli ila inachelewa kutoka sanaa ♥️♥️
@PerisNgigi-f8c
@PerisNgigi-f8c Ай бұрын
Sijui mbona hii movie inaendana na maisha yangu...wah nammiss mume wangu Raymond sijui nifanye vipi anirudie
@VanwelyMwakilambo
@VanwelyMwakilambo Ай бұрын
Lakini awa wanawake umbwa tu
@SoboHamisi
@SoboHamisi Ай бұрын
Hili iigizo nalo halieleweki Kila siku maudhui Yale Yale hawaendi kwenye pointi Ndo mana Kanumba is the great
@ackisalfaksard9668
@ackisalfaksard9668 Ай бұрын
😂😂😂 et si nd hpo yaan inazunguk t
@Andrea-f4e
@Andrea-f4e Ай бұрын
Igiza weww🤔
@FranciscoKisisiwe
@FranciscoKisisiwe Ай бұрын
Kweli awaendagi kwenye pointi
@SamuelMusyoka-sw8wv
@SamuelMusyoka-sw8wv Ай бұрын
Mwanamke una ombea mwanaume pesa ya kulipa nyumba 😮😮😮😮 Mm siwezi kama mwanamke
@AngelKitomari-q3z
@AngelKitomari-q3z Ай бұрын
Mwenye nyumba kimekuramba 😅😅😅
@LovieBulenge
@LovieBulenge Ай бұрын
😂😂😂
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 Ай бұрын
Asa mnaomba like ziwasadie nn badala ya kuomba kwa wiki ziruke EP hata 3 jmn
@NoshardZuberi
@NoshardZuberi Ай бұрын
Uyo ndo mauwa kachangamka Hadi rahaaa😅😅
@kambachibae6
@kambachibae6 Ай бұрын
Much love king noely from Riyadh episode 12 ikam
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o Ай бұрын
Yan papi anakutumia ww na pesa zako izo nguvu unatoa wap maua jaman dah
@GladysWandera-j7v
@GladysWandera-j7v 27 күн бұрын
Mauwa jamani umemchanganya mwenye nyumba weee 🤣🤣🤣🤣
@FranciscoKisisiwe
@FranciscoKisisiwe Ай бұрын
Haka kamaua ni kamalaya live na hako kapapii nanasura kama mbuzi mwenye minyoo
@HevenlightMakoi
@HevenlightMakoi Ай бұрын
Kazi nzurii sana ila papii anakera na maua wakee jmnnn
@ChrisantMwairwa
@ChrisantMwairwa Ай бұрын
king noel tunaomba tuwahishie hii umechelewesha sana ila ni moto✅✅
@FaustineJovine
@FaustineJovine Ай бұрын
Maua umepigaj hapo umalaya tu kodi aaah
@ZephaniahSekwa-fl2go
@ZephaniahSekwa-fl2go Ай бұрын
Noma sana
@officialfighter-o9b
@officialfighter-o9b Ай бұрын
😂😂😂😎 kama vp atoe nyumba yake kwenye vitu vyangu🙌🙌
@fadhilafelician5018
@fadhilafelician5018 Ай бұрын
Akiiii ni hatarii nyieee ety atoe nyumba yangu kwenye vitu vyakee aiiiii
@officialfighter-o9b
@officialfighter-o9b Ай бұрын
@@fadhilafelician5018 Ndo hapo sasa afu dume 😂😂😂
@زينزوادي
@زينزوادي Ай бұрын
KUSEMAULEUKWELI NITAMU ILA MUNAKAWIA SANA
@SalamKomanya
@SalamKomanya Ай бұрын
Jamanii sijui hataa nifanyaje hakaa kamuvii katamuu ni hatarii
@ViceJmnn-j8b
@ViceJmnn-j8b Ай бұрын
Kazi nzuri nimependa sana jalibu kurejea tena
@OmbeniJosephat
@OmbeniJosephat Ай бұрын
Jaman ndo imeishia apa au mbn mwendelezo unachelewa sanaa
@SurprisedLizard-zy4tq
@SurprisedLizard-zy4tq 29 күн бұрын
@NajimaShabani
@NajimaShabani Ай бұрын
Atoeee nyumba yake kwenye vitu vyangu uwiiiiii😂😂😂😂
@JacklineMunisi
@JacklineMunisi Ай бұрын
Mwenye nyumb ase kawai kulegea😂😂😂😂
@stellasaid-h7n
@stellasaid-h7n Ай бұрын
Team papiiiiiii😂😂😂tujuane kwa likes
@EzekielJoseph-n7p
@EzekielJoseph-n7p Ай бұрын
Dah ww maua utamaliza wanaume wote bas maana Una mmeo,una papi, una kale kajamaa kaboda boda, halafu Tena mwenyenyumba
@EzekielJoseph-n7p
@EzekielJoseph-n7p Ай бұрын
Bado unadanganya kuwa hujaolewa ww noooooma
@ELKAKEMUNTO
@ELKAKEMUNTO Ай бұрын
Papi Ni aibu mwanaume kutegemea mwanamke😂😂unakera sana
@eunicetumainieunicetumaini6547
@eunicetumainieunicetumaini6547 Ай бұрын
Niaibu niaibu niaibu niaibu😂😂😂
@MichaelJaji-m7s
@MichaelJaji-m7s Ай бұрын
Sjui mwanaume gan
@LovenessRubben-ue8nx
@LovenessRubben-ue8nx Ай бұрын
Papi achinjwe Christmas plz
@annanchimbi5388
@annanchimbi5388 18 күн бұрын
Hahahaha nyie wanaume😂, maua hongera bhn umemtega ba mweny nyumba
@SalumVullu
@SalumVullu Ай бұрын
Mauwa una ata akili Yan ufai ata kua na mume wee Malaya ad unaboa
@officialfighter-o9b
@officialfighter-o9b Ай бұрын
Epsode inayokuja nitakuwepo tutawaisha ndugu zang 😀😀
@iddyfoncemtenga7711
@iddyfoncemtenga7711 11 күн бұрын
ⓘ _This message cannot be viewed without P.diddy's permission
@NeemaNeemaAyo
@NeemaNeemaAyo Ай бұрын
Naweza kupata hii move studio nimeipenda sana
@MohamedSalumu-cl5mv
@MohamedSalumu-cl5mv Ай бұрын
Nyie mnaoomba like achen ujnga mnaacha kusapot kaz mnadai like kwan mmetumwa muangalie
@NeyHerman-j4t
@NeyHerman-j4t Ай бұрын
Maua unavo mdambua baba mwenye nyumba wa papi kalegea mwenyew hahahaah😅😅😅
@Mungumwema-g9p
@Mungumwema-g9p Ай бұрын
Nachompendea maua wangu Wala hanaga maneno mabaya kwa mpole
@iddyfoncemtenga7711
@iddyfoncemtenga7711 11 күн бұрын
Appostleeeeeeeeeeeeee
@Sabokuyagira
@Sabokuyagira Ай бұрын
Yaani sijawahi kuchange top kwasababu ya dem hapana
@chamwinotv1
@chamwinotv1 Ай бұрын
King noel nahitaji mawasiliano yako
@ShabanMachibya-o8c
@ShabanMachibya-o8c Ай бұрын
Nawakubali sana hawa jamaa wanajua na huyo dem dah papi kaokota dodo kwenye mnazi na anapandisha bei ya koddi ila namuomba zamu yake kumuhudumia mauwa
@VictoriaKitaly-b2y
@VictoriaKitaly-b2y Ай бұрын
Yaani uyu papii bwnaaa ,hakiii mapenzi game 🎮
@Fanmedia98
@Fanmedia98 Ай бұрын
Kunakoelekea Tamthilia inaboa hakunaga ujinga wa hivi
@josephmassele
@josephmassele Ай бұрын
sema kuna kipande papi katoa tusi why director hakuona au
@RichardEmmanuel-u8j
@RichardEmmanuel-u8j Ай бұрын
Yan mm namkubali sana mzee PAPI Anaupiga mwingi sana tena alivyopewa madaraka ya kusimamia nyumba daah…😂
@ساميهحسن-ش8ص
@ساميهحسن-ش8ص Ай бұрын
Duuuh jamni noely kabadilika vibaya jmn😢😊
@irenehebuka3218
@irenehebuka3218 Ай бұрын
Mwenye nyumba kauponza kodi ya mwaka mzima hapo😂😂
@SitellaMbunda
@SitellaMbunda Ай бұрын
Move tam machelewesh sana sasa jmn 😂😂
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is Ай бұрын
Maua acha tamaa basi mmmmh umezid😢😢😢
@MarcoBoniphace-z6c
@MarcoBoniphace-z6c Ай бұрын
Maua eeee,ww utumiwe nahela umpe duhh huyo papii nmutam kiasi gan!!
@Mwandegu
@Mwandegu Ай бұрын
Jamani mwaichelewesha Sana mpk nilikua nimesahau
@ErnesterMashelle
@ErnesterMashelle Ай бұрын
Wamo wengi tuuu
@MargaretMtende
@MargaretMtende Ай бұрын
Jamani mwachelewesha sana kweli 🤔. Otherwise, congratulations 🎉🎉🎉
@eliyazani
@eliyazani Ай бұрын
Ya kumi na mbili ikowap
@ANDREWCOMEDIAN
@ANDREWCOMEDIAN Ай бұрын
Saf kabisa kazii hiii haijawah kua mbovu hongera sana sana vely nice
@MtuKwao-ll8sw
@MtuKwao-ll8sw Ай бұрын
Ipo vizuri nimeipenda ila mnachelewesha mbona
@Anna-y1p4d
@Anna-y1p4d Ай бұрын
Maua ni kibokoo
@EginithaMazengo
@EginithaMazengo Ай бұрын
Yan mauwa anakela huyu umalaya2 kumuhendo mume wake aaah
@meryjohn2902
@meryjohn2902 Ай бұрын
Ndugu zangu wachaga kama wote 🔥🔥🔥
@amanijackson8085
@amanijackson8085 Ай бұрын
Bwana achien next episode
@RuhumurizaJohn-h8z
@RuhumurizaJohn-h8z Ай бұрын
Huu musichana mais nimunafiki tena kieleele kbs
@KelvinRamsey-x9q
@KelvinRamsey-x9q Ай бұрын
Wakenya wanasema When deal is so good thing twice 😊😊
@BeathaSarwatt
@BeathaSarwatt Ай бұрын
😂😂😂baba mwenye nyumba kapatikana tenaa
@zamzamisaa4130
@zamzamisaa4130 Ай бұрын
Yani aya mapenzi bac tu mana unajitutumua kwa mtu ambae habar na ww hana ohh mapenz weee shkamoo Wallah 🙌🙌🙌
@adammallya3229
@adammallya3229 Ай бұрын
Wanangu Ili li mov ni lamambele
@RebecaBosco-f9k
@RebecaBosco-f9k Ай бұрын
Mnachelewesha sana bhn
@NduwimanaMwamini
@NduwimanaMwamini Ай бұрын
Asanteni sana
@ModesterSeleman
@ModesterSeleman Ай бұрын
Jaman muwe mnawahisha
@SamiirrRamadhan-s5l
@SamiirrRamadhan-s5l 16 күн бұрын
Jamani jamani 😮😮hapa duniani Kuna wanawake matapeli akiamungu😮😮
@MunezeroKevin-y7x
@MunezeroKevin-y7x Ай бұрын
Jamen sehem ga kumi na mbilk bado haojatoka??
@EsterKikoti
@EsterKikoti Ай бұрын
Atowe nyumban yake kwenye vitu vyangu
@ElishaLongidare
@ElishaLongidare Ай бұрын
Kaka zinachelewa sanaaa fanya ziwe ata 4 kwa wiki
@brendanawanga
@brendanawanga Ай бұрын
Dada wee🤔Dunia itakufuza mbaya 😢😢
@AgnessMirisho
@AgnessMirisho Ай бұрын
jamn ya 12 iyachiliwe haraka
@SalumVullu
@SalumVullu Ай бұрын
Yan wewe maua una akili ata chembe Yan umsaliti mumeo na uchukue elazake ukaonge mhhh ad unaboa
@NuruenezaJosephEnock
@NuruenezaJosephEnock Ай бұрын
Daaaahh jaman mwisho wa King Noelly na mkee wake utakuaje
@florenceMwakio-h2r
@florenceMwakio-h2r Ай бұрын
Papi kaa kama mwanaume bana,Fanya kazi jitegemee..
@neymishytz9302
@neymishytz9302 Ай бұрын
Jitahidini jmn kuwahisha kazi nzur sana
@petermapunda2364
@petermapunda2364 Ай бұрын
Apo kwa baba mwenye nyumba ilitakiwa atambulishwe kwanza kwa wapangaji and then Apo badae hauwasumbue kwa maneno yake hayo ya kupandisha Kodi na kuwafukuza wapangaji wa zamani aweke wapyaa
@MaryCharles-c7n
@MaryCharles-c7n Ай бұрын
😂😂😂😂maua nakup maua yake du
@RachelKyomo-yt4jn
@RachelKyomo-yt4jn Ай бұрын
😂😂😂😂eti toa nyumba kwenye vitu vyangu🙌🤣🤣
@LILIANAWINJA-kf1ky
@LILIANAWINJA-kf1ky Ай бұрын
Wacha umalaya mama mbona unatesa mumeo
@NeemaMbuji-i7s
@NeemaMbuji-i7s Ай бұрын
Kazi zuri ila tunaomb muwe mnawahi kidg kutoa mwendelezo
@irenekimaro6523
@irenekimaro6523 Ай бұрын
Jamani mnatucheleweshea sana mweee😢😢😢
@AliceIzike
@AliceIzike Ай бұрын
Mumefanya vizuri sana kutupa episode 11
@HasaniMohamedi-e9j
@HasaniMohamedi-e9j Ай бұрын
maua kiboko landlord amejaa kwenye vipimo
@SaidMohd-u3i
@SaidMohd-u3i Ай бұрын
Like zenu wadau mapem mnooo
MAPENZI NI GAME [ EPISODE 12 ] Love story💞
22:29
KING_NOELY1
Рет қаралды 68 М.
MAPENZI NI GAME { EPISODE 15 } LOVE STORY 💞
34:33
KING_NOELY1
Рет қаралды 21 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
KIZAZI CHA HAMDALA KIUNO•|EP 96|
8:10
MPEMBA COMEDIAN
Рет қаралды 18 М.
USALITI 💔--full short film | university films |
12:52
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 4,6 М.
Get Deep Sleep and Cure Your Insomnia Disease with Beautiful Quran ✦ NOOR
1:10:29
MAPACHA WALIBADILISHANA MWILI
16:00
Movie Recap swahili
Рет қаралды 123 М.
MAPENZI NI GAME | EPISODE 10 | #lovestory
26:51
KING_NOELY1
Рет қаралды 70 М.
MWANAFUNZI MTUKUTU NA MAPENZI SHULE (muendelezo)
9:43
BabaJoan
Рет қаралды 1,6 МЛН
HUBA Leo Jumatano Usiku 09-10-2027
22:42
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 10 М.
HOUSE GIRL EP 25 | S3 | Love Story 💕💞
23:33
BUSATI TV
Рет қаралды 43 М.