MAPENZI NI GAME [ EPISODE 19 ] Love Story 💕

  Рет қаралды 86,985

KING_NOELY1

KING_NOELY1

Күн бұрын

Пікірлер: 453
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 Ай бұрын
Dah! Tuliokuwa tunachungulia hadi huruma tujuane😂😂😂😂 kazi nzr ila inachelewa hii ndio tabu ila sio mbaya tuna enjoy tukiiona❤❤❤❤❤❤
@JoyceShagi-i7z
@JoyceShagi-i7z Ай бұрын
@@sayunimnguruta98 kabisa
@MuyamaMarrion
@MuyamaMarrion Ай бұрын
Good action 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@AbasiMbega
@AbasiMbega Ай бұрын
Awana.ela ya kutoa kila.sku
@ClaudiaAizack
@ClaudiaAizack Ай бұрын
Wew skubal nasema
@NajimaShabani
@NajimaShabani Ай бұрын
Mshangaziiii kimekulambaaa😂😂,,, king👑 Noel hakupendiii Anampendaaa Mauaaa wakeeee
@LatifaShabani-wn6vs
@LatifaShabani-wn6vs Ай бұрын
Aibuuu 😭😂😂😂😂😂😂
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@queenbby92
@queenbby92 Ай бұрын
😂😂😂😂
@CarolynKala
@CarolynKala Ай бұрын
@@NajimaShabani Aibu ilioje? Upande wa maua pia na landloard kumeanza kulipuka
@melkizedekdanieli
@melkizedekdanieli Ай бұрын
😂😂😂
@LatifaShabani-wn6vs
@LatifaShabani-wn6vs Ай бұрын
Haka ka Bint kadaktar kana kaumalaya flan HIVi 😊😂😂😂😂😂
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k Ай бұрын
Ni kwel😂😂😂
@issaabdallah5142
@issaabdallah5142 Ай бұрын
Mie nahisi Yule bint kama mpelelezi yule
@JacklineMgata-f4d
@JacklineMgata-f4d Ай бұрын
😅😅😅
@fellidavids4469
@fellidavids4469 Ай бұрын
😅😅😅😅😅ata mm nimeona
@MsabilaRuhaga-d8n
@MsabilaRuhaga-d8n Ай бұрын
ila mi nimekapenda
@Christine-ho5us
@Christine-ho5us Ай бұрын
Kwani watu hawayuko Church weee Nathaniel m ndiye wa kwanza badi niko ishirini waaa noma tearm King-Noerly1 kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mmmh-s4w
@mmmh-s4w Ай бұрын
jamani tunaopenda tabasam lw king Noely gather here😊
@MaryTesha-le2ql
@MaryTesha-le2ql Ай бұрын
Yaaan kazry sanaa
@UpendoOwenya
@UpendoOwenya Ай бұрын
Natamani angekuwa bwashe wenu 😋
@MaryTesha-le2ql
@MaryTesha-le2ql Ай бұрын
@@UpendoOwenya yaaan😆😆😆
@OmanSohar-r7z
@OmanSohar-r7z Ай бұрын
Tupoo 😊
@LUCYKHALAI
@LUCYKHALAI Ай бұрын
Tupo❤❤
@SalmaAbdallah-k3e
@SalmaAbdallah-k3e Ай бұрын
Wee Leo nimewah nipeni like apaa🎉🎉🎉
@UnrulyHope-e9j
@UnrulyHope-e9j Ай бұрын
Kweli mapenzi n game😢😂😂😂😂Waah king Noely umenichekesha sana eti relax I love you hiyo imeenda mauwa yako Noely kama mke wako Mauwa🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@EasterHamisi
@EasterHamisi Ай бұрын
Mume wa mtu sumu
@CarolynKala
@CarolynKala Ай бұрын
Kunaendelea kuwaka moto humu ndani ...big up from Kenya
@chrisenciaChilato
@chrisenciaChilato Ай бұрын
King Noel umenifurahisha Sana kuludi kwa maua weweweeee tulofurah tujuane
@JovinDominic-n4g
@JovinDominic-n4g Ай бұрын
Kimemramba dada😢
@FloraMwavula
@FloraMwavula Ай бұрын
Hongera king Noel kwa kurudi tena kwa maua big up to sana👍👍👍
@MycoSamwery
@MycoSamwery Ай бұрын
Mipia nime hapy
@mwanakombobakari-b8e
@mwanakombobakari-b8e Ай бұрын
Wakwanz mm hap nimefurah pia
@KarolinaOman
@KarolinaOman Ай бұрын
Move nzuri ila mnachelewesha jaman , mpaka tunasahau 😂😂😂😂
@BintiMzamilo
@BintiMzamilo Ай бұрын
Dada ake maua hapo ndo utakapojua cha mtu mavi😂😂😂😂😂😂
@Saidathshekiyao
@Saidathshekiyao Ай бұрын
King noy unabalaa wewe🤣🤣 njo namimi nikufanyie bure bila malipo😮😮😮
@JoyceShagi-i7z
@JoyceShagi-i7z Ай бұрын
Wa kwanza like toka manyara
@JoyceShagi-i7z
@JoyceShagi-i7z Ай бұрын
Naomba like zenu
@monicahjoseph2528
@monicahjoseph2528 Ай бұрын
Twawapenda 🤩❣️❣️💓💐ila mwatuchelewesha jmn😔😔
@JoyceEmanuel-o5q
@JoyceEmanuel-o5q Ай бұрын
Jaman wadau naombeni mnijibu. Huyu dokta na dada yake maua mbona kama wanafanana.ila king noely kaa kwa kutulia jiamini kama mwanaume ukipapalika utajutia jamaniiii baba k😂😂😂😂😂
@loymsauge5503
@loymsauge5503 Ай бұрын
Sanaaa aseehyan me mpkk a mda nawachanganua San kasoromwili ti
@BintiMzamilo
@BintiMzamilo Ай бұрын
Itakua mtu na dada ake mana wanafanana so pw
@Halimahassan-iw9tg
@Halimahassan-iw9tg Ай бұрын
Yaani wote mpka mauwa angalia pua zao na midomo na visura vyao
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db Ай бұрын
Ndio bila shaka ni dadaake
@ModesterSeverin-rq5uo
@ModesterSeverin-rq5uo Ай бұрын
Watakua ndugu hawa
@janenjoki-fr6ib
@janenjoki-fr6ib Ай бұрын
Wakwanza kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪
@Christine-ho5us
@Christine-ho5us Ай бұрын
Tupo done🇰🇪🇰🇪
@evanyawira
@evanyawira 16 күн бұрын
Tupo titi😂😂
@WASATOTANU
@WASATOTANU Ай бұрын
Mnachelewesha sana jmn movie nzuri but naomba like at tano tu❤
@LeonardSeni
@LeonardSeni Ай бұрын
Hii episode imebamba sana, kazi nzuri sana na king noel, episode ijayo king noel na mke mtalajiwa wa landlord watakuwa wapenzi anayepinga apinge kwa hoja 😂😂😂😂
@Sylviah-sm4mb
@Sylviah-sm4mb Ай бұрын
King Noel n maus kaxi nzuri AFu dada pole sana😂😂😂
@DjumaTerry
@DjumaTerry Ай бұрын
jamn naomba like na mm hapa
@MauaCharle
@MauaCharle Ай бұрын
Kazi nzur sana ila mnachelewesha kurusha
@OliverPaul-y3e
@OliverPaul-y3e Ай бұрын
Muna chelewesha move sema nini tuko pamoja tunaipenda😂😂❤❤🎉🎉
@MohamedMohammed-ew8yv
@MohamedMohammed-ew8yv Ай бұрын
Kweli kabisa
@OliverPaul-y3e
@OliverPaul-y3e Ай бұрын
@MohamedMohammed-ew8yv Wana tuferisha hapo tuuu mwisho bando zikate 🤣🤣🤣🤣 akati tunaweka kwaajili Yao sema move nzurii 💯🥰
@MohamedMohammed-ew8yv
@MohamedMohammed-ew8yv Ай бұрын
@OliverPaul-y3e mzuri sana naipenda kama ni ivyo watowe tangazo siku yakutoka
@mmmh-s4w
@mmmh-s4w Ай бұрын
movie inachelewa jaman ni vile tu tunaipenda bila hivo duuh 😢😂
@MohamedMohammed-ew8yv
@MohamedMohammed-ew8yv Ай бұрын
Kweli kabisa
@Salama123-iw7hj
@Salama123-iw7hj Ай бұрын
❤❤❤❤ nawapenda wote kutoka Kenya
@yaledyesse
@yaledyesse 6 күн бұрын
Manina unajua nacheka kwanini 😂😂😂
@Officialsamiahassan
@Officialsamiahassan Ай бұрын
Naona nimefrahi hta kumzidi maua kuhusu kurudi kwa noely 😅
@fatmaothman9156
@fatmaothman9156 Ай бұрын
Daaah!! Tunasubiri move kama sadaka😂😂 sema kaxi nzuri
@dodathy24
@dodathy24 Ай бұрын
Jmn king noely mbn umestop kutoa episode saiv na wakat pameanza kuchangamka 🧐 si tunasubir episode inayofata
@jacklinekadii513
@jacklinekadii513 Ай бұрын
Mbona mwatucheleewesha king jameni 🙆🙆
@DottoSilas
@DottoSilas Ай бұрын
Mume wa mtu so wakwako jua iposiku atarud tu kwa mke wake, kwa wale mnaotembea na waume za watu kula chuma hiyo
@bettykachira5710
@bettykachira5710 Ай бұрын
Lishangazi limekasirika😂😂
@zhaomanajer1644
@zhaomanajer1644 Ай бұрын
Wa kwanza from Drc 🇨🇩🇨🇩 tujuwane hapa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤍🤍🤍🤍
@sarabeston2075
@sarabeston2075 Ай бұрын
Hahaha Maua huyu Nes atakupatia dawa kweli jamani maskini😂😂 kweli Mapenzi ni Game🙌
@lindauma982
@lindauma982 Ай бұрын
Yani miezi 4 na bado tuko epsode 19 surely nyie watu mko nyuma sana slow lanner😂😂
@ScholasticLena
@ScholasticLena Ай бұрын
Mm mgeni hapa naomba mnikaribishe na likes tu
@ChristabelMigide
@ChristabelMigide 26 күн бұрын
Wale watu wana Tabia ya kuchukua waume za watu halooooo😂😂😂😂na kiherehere ya kushika mimba😅
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 Ай бұрын
Hii kazi nimeipenda snaa ina mafunzo makubwa sana broo ila jitaidi bc iwahi wahi tusisahau tulikoishia jman tunaamin unaangaliag na comment jamnii kaz yako ni nzur snaa
@Mohamedishabani-om8qf
@Mohamedishabani-om8qf Ай бұрын
Brother kazi yako ni nzuri sana ila inapoteza mvuto kutokana na kwamba unachelewa sana
@tausifautini407
@tausifautini407 Ай бұрын
Kwel
@KevyneSimiyu
@KevyneSimiyu Ай бұрын
Mbona hii ilikawiaa
@HassanHezron
@HassanHezron Ай бұрын
Daaah movie hii nilijua imeishaa
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 Ай бұрын
King noel unachelewa sana mpaka tunasahau kama kuna muv kama hii cku hiz series ni nying sana na zipo updated we unakwama wapiiiiiiii
@BoniphaceMakenge-q3u
@BoniphaceMakenge-q3u Ай бұрын
@King noely naomba nafasi mkuu tuigize pamoja nina talent
@SalmaMichael-u4z
@SalmaMichael-u4z Ай бұрын
Tulia wew mshangazi mwachie mdogo wako mume wake
@RocketSebastian
@RocketSebastian 19 күн бұрын
😂😂
@Salmasaidi-h5p
@Salmasaidi-h5p Ай бұрын
Dada wa hovyo limemkuta 😂😂😂😂😂😂
@FredyBennymassawe
@FredyBennymassawe Ай бұрын
Maanina kweli mapenzi ni game😂😂😂 jamaa kala dada na mdogo mtu😂😂😂
@LovelyCows-dq2uv
@LovelyCows-dq2uv Ай бұрын
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@HappyJohn-n7y
@HappyJohn-n7y Ай бұрын
Uwiiii dada limemushuka et karibu shem😂😂😂😂😂😂
@SabinaKioko-i1f
@SabinaKioko-i1f Ай бұрын
King 👑 umusamehe mke wako ataukijua ako na mbimba usimuache .....ata wewe umepeana mbimba ...kwa shem 😢😢
@MwanaishaMungulu-ok4no
@MwanaishaMungulu-ok4no Ай бұрын
King Noely mahaba uliyonayo yanaumiza jmni ❤
@PrettygirlPretty-ck9dj
@PrettygirlPretty-ck9dj Ай бұрын
Nimefurah sana king kurud kwa mke wake❤
@EliasPeter-bf7tz
@EliasPeter-bf7tz Ай бұрын
Kidogo mjitaid kuwahisha Mzee tunaisubir Kwa mda mrefu Sanaa?
@miriummbisse2278
@miriummbisse2278 Ай бұрын
Noeli we ni mzuri sana ndio mana uyo demu kakuganda kama ruba
@RoyBrown-q1x
@RoyBrown-q1x Ай бұрын
MUNGU awabaliki san jaman ❤❤
@fatmaubwa-z8s
@fatmaubwa-z8s Ай бұрын
aloona para la papi lina tuta tujuane😂😂😂
@MargaretMtende
@MargaretMtende Ай бұрын
Landlord kanaswa leo😂😂😂
@MerryRapha
@MerryRapha Ай бұрын
Naenda sanaaaa🎉
@WitnessIpetania
@WitnessIpetania Ай бұрын
😂😂😂😂😂 dada mtu miguu mizito kuludi nyumbani
@MariamNecmi-cy2jl
@MariamNecmi-cy2jl Ай бұрын
Aibu mume wa mdogo wako duh!!! Hatariiii hatariiii na ushayakanyaga na mimba juu😢😢😢😢😢😢
@GladysKhalayi-b6e
@GladysKhalayi-b6e Ай бұрын
lifunguze hili mama lina roho chafu sana🎉🎉🎉🎉
@HidayaKahongole
@HidayaKahongole Ай бұрын
Lakn kaka upo srow sana sku zote hiz kipande kimoja tu wanao chukia kuhusu hili tujuane jaman
@HamisiBarakusa
@HamisiBarakusa Ай бұрын
Kimeumana 😂jmn hii movie nzri sana, undugu kazi
@zainabzainab3907
@zainabzainab3907 15 күн бұрын
Yaan huyu dada hapendwi mpaka anajua khaa😂😂😂😂
@RucyVictor-rv9zn
@RucyVictor-rv9zn Ай бұрын
Hakuna kitu nime fulahi kama kuludi kwa mauwa ama kweli hakunaga mapenzi yadhati kwa mume wamutu✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
@HashmaMarlo
@HashmaMarlo Ай бұрын
Wewe dada nitakutafuta umembebea mume wang mimba sijapenda😂
@MourineAtieno-t4v
@MourineAtieno-t4v Ай бұрын
Papi hebu weka dreads bwana 😊😊
@LeilaMbeya-y3g
@LeilaMbeya-y3g Ай бұрын
Aiseee. Siwezi temby na shemu ata kidogo ivi ipo kweri hii au move tuu
@AvilaZephania
@AvilaZephania Ай бұрын
Ipo dear ila kwa asiye jielewa
@Flora-nl8kq
@Flora-nl8kq Ай бұрын
Ipoo mamaaa Tena mim nimeshuhudiaa coz mim ndo nilikuwa Kam kijumbee waooo😅😅
@Fatumasureman-jg3qg
@Fatumasureman-jg3qg Ай бұрын
Dokt kampenda tayali King 😂😂😂
@EliyaMponda-qz6to
@EliyaMponda-qz6to Ай бұрын
Tatzo n hb kinyama na hayo macho xxa
@PriscaMwaswale
@PriscaMwaswale Ай бұрын
Jamani dada huna huruma kbs na mdg wako duu😂😂😂
@AnethMunishi-b1h
@AnethMunishi-b1h 14 күн бұрын
Huyu dadaa ake mauwa anamanyonyo kama madumu ya maziwa ya meruuu😂😂😂
@SitaSai-i8i
@SitaSai-i8i Ай бұрын
Mume wa mtu ni kama gari la serikari utaenda nalo ppte ila mwisho lazima riludi serikaini abadani😅😅
@Nelly-s3h
@Nelly-s3h Ай бұрын
Mambo si mambooo😂😂😂mtu limemshukaaaa😂😂😂
@SharonwayuaMwendwa
@SharonwayuaMwendwa 18 күн бұрын
King kaubika jameni❤❤❤
@happydamian903
@happydamian903 Ай бұрын
Bonge wawatu akakosa miguu ya kurudi kwake😂😂😂😂
@EdithNandi
@EdithNandi Ай бұрын
Wow good job ❤❤❤
@MwendeMunyao-zi1iy
@MwendeMunyao-zi1iy Ай бұрын
Kazi zuri ila mnachelewa 🎉🎉🎉
@juliusmakau-vd6bh
@juliusmakau-vd6bh Ай бұрын
Sema kimeumana Harakisheni hio ep 20
@AaaAaa-s7e
@AaaAaa-s7e Ай бұрын
Dada mauwa pole saana Huna haya dada wa mdogo mtu unaleta bala
@peterjohn2099
@peterjohn2099 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 haya ni mapenzi mzunguko😂😂😂
@ludeaphicvin
@ludeaphicvin Ай бұрын
na me ntanza kupiga chuma hahah😂😂😂
@JUDITHMWINUKA
@JUDITHMWINUKA Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂awali yoyote ngoja ncheke
@AnthonyMkama-n4l
@AnthonyMkama-n4l Ай бұрын
Movi Ina chelewa sana maua apewe maua yake
@RashidyKhatibu-i9e
@RashidyKhatibu-i9e Ай бұрын
Wakwanza leo ila broo unatucheleweshea san❤
@TindikwaLukumba-h2r
@TindikwaLukumba-h2r Ай бұрын
Please tunaomba tuharakishiwe ep20 maana sio kwa utamu ulipofikia
@GladysKhalayi-b6e
@GladysKhalayi-b6e Ай бұрын
hili Limama linakaa aje sasa halina ata huruma jamani na mme wa mwenyewe
@IdayaMujibu
@IdayaMujibu Ай бұрын
safi sana noely jamani tumipe maua yake❤❤❤❤❤❤
@ReginaMwenzelatifah
@ReginaMwenzelatifah Ай бұрын
Iyi ni tamu balaaah🎉🎉
@lovenesreuben6179
@lovenesreuben6179 Ай бұрын
M Nina hasira 😢 mnachelewesha bnh
@ashiakibwanaashia4934
@ashiakibwanaashia4934 Ай бұрын
Hy
@LovenessJamesi
@LovenessJamesi Ай бұрын
Mbn mmewahisha leo si hatujazoea hivi jmn😂😂
@rehemajulias-p9c
@rehemajulias-p9c Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤wa 15 leo
@Oumaymahmm
@Oumaymahmm Ай бұрын
Duuuh 😢 yaani we dadaake maua We mnafki sanaa una vyo mpelemba maua 😂
@SophiaAlifa
@SophiaAlifa Ай бұрын
We daktar we ebu fanya kazi la aka kanaumalaya flani 😂😂😂😂😂😂
@Grandwell-ov3pp
@Grandwell-ov3pp Ай бұрын
N hii movie sinitamu jameni, hadi na cocoment befor nimalize 😂😂😂❤❤
@HashmaMarlo
@HashmaMarlo Ай бұрын
Mtoto amepumzika ataki kelele😂😂
@James-z8w
@James-z8w Ай бұрын
Yaani katika kipande nicho enjoy ni iki yani full action 😂😂
@RachaelCharles-g5z
@RachaelCharles-g5z Ай бұрын
Lishangazi ety kama huniambii take care basi mwambie mtoto wako 😂😂😂😂😂yakuazima nguo hio haistiri mwili
@TinoKatuni
@TinoKatuni Ай бұрын
Pinky 😂😂😂😂😂😂😂ashanasa kwa king noely
@HalimaJuma-j8l
@HalimaJuma-j8l Ай бұрын
Mmmhh dada ake mauwa amejikazaa😅😅😂😂😂
@AmosErnestkatunzi
@AmosErnestkatunzi Ай бұрын
Naomba tu munitolee uwo wimbo jamni wa mapenz ni game kw mara ya pili naomba
@ednahmanyasa6024
@ednahmanyasa6024 Ай бұрын
Queen Kwan mkutano walast hukuhudhuria mbona😂😂😂😂😂tulisema hakuna kuzalia mume Wa mtu
@veronicawambwe-mz9cf
@veronicawambwe-mz9cf Ай бұрын
Hakuwepoo😂
@christinewanga7385
@christinewanga7385 16 күн бұрын
Alikalia nyumba walipiga kelele😅
@IRENENDOLWA
@IRENENDOLWA Ай бұрын
Jamani waooh ❤❤❤
MAPENZI NI GAME { EPISODE 20 } Love story💞
37:09
KING_NOELY1
Рет қаралды 75 М.
DUNIA (Ep 37)
22:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 24 М.
NDOA YA MGUMBA FULL MOVIE FINAL  | Love Story |  NYUKI TV
1:03:49
Nyuki Empire
Рет қаралды 33 М.
UMUTURANYI_S12EP21_Rufonsina_baramubuze
26:59
X-COMEDY RWANDA
Рет қаралды 5 М.
MAPENZI NI GAME | EPISODE 16 | Love Story💞
40:26
KING_NOELY1
Рет қаралды 99 М.
THE FALL OF MY HEART 💔 | Sady Story | Love Story
40:42
DONTA TV
Рет қаралды 671 М.
MAPENZI NI GAME { EPISODE 23 } Love Story 💞
30:45
KING_NOELY1
Рет қаралды 62 М.
MISSION IMPOSSIBLE [32] SEASON 2
24:02
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 21 М.