MAPENZI YAKWELI YAPO JAMANI

  Рет қаралды 131,978

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Пікірлер: 431
@elizabethmnkeni6136
@elizabethmnkeni6136 21 күн бұрын
Huo sio upendo hata kidogo bali ni kumzalilisha mtu na kumlazimisha kuingia kwenywe mtego wa kipepo
@Dls24-l6v
@Dls24-l6v Ай бұрын
Sema hzi movie zenu nazipenda kwasababu zimetafsiriwa😅
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t Ай бұрын
😂😂😂
@PreciousJonas-q8q
@PreciousJonas-q8q Ай бұрын
😂😂😂😂😂🙌
@daudihankungwe5802
@daudihankungwe5802 Ай бұрын
😂😂😂
@mackysuphian
@mackysuphian Ай бұрын
mwaaaah sukari hapa😂😂😂😂😂😂😂
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu Ай бұрын
😂😂😂😂😂 zipo kama za kichina maana kunakuwa na mikong'oto balaa😂😂
@omanoffroadriders747
@omanoffroadriders747 Ай бұрын
hyo test yenu mm ddka 2 nyingi nishafeli nakaza huyo na nyie mkitoka chini ya uvungu na pididi wote 🤣🤣🤣🤣
@meshackharuna1071
@meshackharuna1071 Ай бұрын
Dem mwenyewe hajui kushawishi mwehu maneno kibao hayupo Ata romantic
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 Ай бұрын
Huyo dem mtegaji nae hajui.hangekutabana na wakina Nicol asingetopoa kwaiyo tu zingezidi b❤❤
@chieffofofoodinternational4102
@chieffofofoodinternational4102 6 күн бұрын
uaminifu tu kitu cha bure 😂😂😂na mapenzi yangeisha hapo 😂
@Ellise-u9t
@Ellise-u9t 2 сағат бұрын
Wanaume wahivyo kumbe bado wapo😂😂
@abuu-hx3ru
@abuu-hx3ru 16 күн бұрын
Hii movie ingekuwa ni series watu tungefatilia sana shida ipo single 😅😅😅😅😅😅
@natashadickson4958
@natashadickson4958 Ай бұрын
Siooo sawa dah mpaka nimemwonea huyo kaka huruma 🥲
@mwejstar5678
@mwejstar5678 Ай бұрын
Huyo demu kaanza lesi sana ataningekua mimi asinge nipata ningekua mshindi tu yan nngegundua kua huu ni mchezo...
@SaumuMusa-h6d
@SaumuMusa-h6d Ай бұрын
Kaka yupo vizuri sana
@maxiellmillian
@maxiellmillian Ай бұрын
Brother yuko vizuri sana
@essirmalifedha6561
@essirmalifedha6561 Ай бұрын
movie kali sana Dj mack 😅😅😅😅
@Dully-p6c
@Dully-p6c Ай бұрын
Demu wangu usirogwe kunifanyia hiv. Me nakula mzigo na uniambii kitu. Khaaaa ushenz kabisa
@marymmasi-u2w
@marymmasi-u2w Ай бұрын
Weee utanitambua tena tulia nipo hapa nimekuona
@Dully-p6c
@Dully-p6c Ай бұрын
@marymmasi-u2w . 🤣🤣🤣 Nakutania mpenz wangu wa kambo
@VioletMahombo
@VioletMahombo Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@saidshabani7740
@saidshabani7740 Ай бұрын
Kwenye kikao Cha mwisho wewe uliuzulia man
@Dully-p6c
@Dully-p6c Ай бұрын
@@saidshabani7740 wap
@Arsenal5000
@Arsenal5000 Ай бұрын
Kiredio atabaki Kuwa legend wa content creation
@rugewapili6191
@rugewapili6191 25 күн бұрын
Kiredio ndo nani
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 25 күн бұрын
Umenunua sim jana😅​@@rugewapili6191
@EdisthaMgilanga
@EdisthaMgilanga 25 күн бұрын
Kijana upo vzr big up
@eladiladislaus2913
@eladiladislaus2913 Ай бұрын
Mimi ndio demu wangu aniletee hii michezo Yani lazima nimuweke huyo shoga ake ata kama ni badae Yani lazima nimle kwa garama yoyote
@DidyUdudu
@DidyUdudu Ай бұрын
😂
@Happy-g5r
@Happy-g5r Ай бұрын
😮😮😮😮😅😅😅😅😅
@RacKido-m3x
@RacKido-m3x Ай бұрын
At ww umeon yaan 🤣🤣
@EllenNgassa
@EllenNgassa 16 күн бұрын
Yaan ningekuwa me ndo mwanaume,na uchumba unakufa,sio muda wote watu wana waza ngono,watu wanatafuta maisha,km ni movie au sio movie,hii haijakaa sawa kweny kichwa changu,mtu anajiheshimu mwenyew si kwa kuwekewa mitego.
@BellaBella-mv4uw
@BellaBella-mv4uw 26 күн бұрын
Mwanamke hata ushawishuna hahaha nyie ndomnaamsha wa penzi wenu usiku nakusema bby naomba😂😂😂😂 tumia uanamke wako jamani mnakwama wapi wadada lakini😂😂😂
@meddy0812
@meddy0812 Ай бұрын
DEMU halipo ROMANTIC kha!
@UmayyaMunisi
@UmayyaMunisi Ай бұрын
Yupi sasa hapo juu
@amynaabdallah6558
@amynaabdallah6558 Ай бұрын
Mbn dada ayuko romantic 😮😮😮😮mh ashawishi mwenzang 😂😂😂
@TishaniUlanga-bj3nx
@TishaniUlanga-bj3nx 27 күн бұрын
Hiyo mitego mke wangu asijaribu asije kufa na presha
@AirfaAirfa-ic8sr
@AirfaAirfa-ic8sr 27 күн бұрын
Wee kaka nimechek kwa nguvu peke yang
@KalundesaidiKalunde
@KalundesaidiKalunde 12 күн бұрын
Naa akufee tuu sababu niujinga 😅😂 me siwez fanya uo ujinga kumpima mtu looooh
@sophianyirenda2337
@sophianyirenda2337 27 күн бұрын
Mbona demu mwenyewe mkali na hayuko romantic😅😅😅Aloooh
@oliverngualo4028
@oliverngualo4028 28 күн бұрын
Yaani nngemshenyentaaa kubabakeeee😂😂😂😂 don't try this at me
@FelixMiyamini
@FelixMiyamini 27 күн бұрын
Mshikaj huko chini kala denda kapukuta mdomo Waze wa investigation 😊😊
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 26 күн бұрын
Hiki ki happy mbona kifup sana😅😅😅 hakjui ata kujibebisha nguo sasa yenye kimevaa😅😅😅😅😂😂😂
@AkxaEdwin
@AkxaEdwin Ай бұрын
Huko uvunguni sio sawa, next time jificheni ata kwenye pazia apo mbn pako sawa tu
@SantaJumaa
@SantaJumaa Ай бұрын
Mtakuja kupoteza wanaume wazuri kwa ujinga wenu sasa ndo nn ivo
@NeemaEvarist-g1v
@NeemaEvarist-g1v Ай бұрын
Umeona ee hakuna mwanaume anae tegwa kias hiki akataa jmn mitego ya kilazma me simuachi mtu wangu kwa kitegwa kupitia kias
@SantaJumaa
@SantaJumaa Ай бұрын
@NeemaEvarist-g1v hawana akili hao yan hapo kma unamfundisha mwanaume achepuke tu
@NeemaEvarist-g1v
@NeemaEvarist-g1v Ай бұрын
@SantaJumaa kwasababu mwanaume yoyte yule huez mtega kama hvo na asimle demu hyo sio mzma lakn kma hyo kaka ndo angekua anatongoza wadada ndo jau
@mourenmhagama5399
@mourenmhagama5399 Ай бұрын
Kweli kabisa😊
@missrozzaofficial1280
@missrozzaofficial1280 Ай бұрын
Uyu dada nampenda ana jua kuigizaa nitumie number nimtumie ela ya soda ananifurahisha
@neuro-rehabilitation
@neuro-rehabilitation 22 күн бұрын
Mr uk msenge sana aiseeee hajakatomba kweli hako ka kadada huko uvunguni
@abilahiMajasho
@abilahiMajasho 22 күн бұрын
Mwangu wewe umenuonelea
@violetteniyongabire3859
@violetteniyongabire3859 29 күн бұрын
Uyu mwaname nikweri anajuw Mapenzi anashim mupeziwake❤❤
@Piusprotacemondosonalimuch-i4d
@Piusprotacemondosonalimuch-i4d Ай бұрын
Mbn zinafanyika geto moja huna force manbo mkuu
@steveabel5819
@steveabel5819 Ай бұрын
Kwahio huyu mdada kazi yake kupima mabwana za watu😂😂😂🤣🤣🤣
@RamadanRamadhaniJackson
@RamadanRamadhaniJackson Ай бұрын
Wamlete na kwangu
@haryanyawu640
@haryanyawu640 Ай бұрын
Sasa si ndio nilikuwa nataka nijiulize mbona hili geto lilishatumika ikiwa na huyu huyu dada
@SmilingCupcakes-iz2sz
@SmilingCupcakes-iz2sz 20 күн бұрын
Hii kitu inanichanganya Yani makusud kbsa mtu Hana kosa kbsa nauwa asee,,
@PiliQueen-sm1nm
@PiliQueen-sm1nm Ай бұрын
Watu wafupi wivu unatumbua sana jamani yani tuna wivu haswa😂😂😂
@Phizo_officiall
@Phizo_officiall Ай бұрын
Kwani dada chichi wewe ni mvurugaji tu😂😂😂
@LatifaMohammed-p4k
@LatifaMohammed-p4k Ай бұрын
Huyu nae si team kiredio.. Yani ndio wale wale kina Mr uky😅😅😅😅 Ila cha kujiuliza sijuw hana mpenzi 😂😂😂
@TecklaSillo
@TecklaSillo Күн бұрын
Nanyie kwanin mjifiche ufunguni kulikuwa na usalam kweli 🤣🤣🤣
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 Ай бұрын
Mr Uk hizi moment zako unazofanya,ipo siku yako,unawakosea sana vijana wenzangu,inauma sana 😢
@Rylee_kerrueche
@Rylee_kerrueche Күн бұрын
Ndo angekua baby wangu angeniacha hapohapo ,yaan kwanini umtest? Yaan why?😂😂😂
@EvaristKilawe-x4f
@EvaristKilawe-x4f Ай бұрын
Unaujinga sana ndg hv unakibari na hizo kazi zenu nataka ck umwagiwe maji ya moto ufe
@aumuelly2909
@aumuelly2909 27 күн бұрын
Hii simzuri sikipimo chakumpima mwanaume mwanaune haya nimaumbile yake musi wajaribu jamani😂😂
@nelsonjohn-r8j
@nelsonjohn-r8j 14 күн бұрын
yaaani natombaa na nampigaaa kipigooo cha mmbwa
@yassiryussuf1140
@yassiryussuf1140 Ай бұрын
Ila bongo kuna ain nying ya utapeli 😂😂
@OmaryNusu
@OmaryNusu Ай бұрын
Move kali sana
@ElisMelodie
@ElisMelodie 24 күн бұрын
Madam kwangu umgefeli😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@razackpaulo6375
@razackpaulo6375 Ай бұрын
Nmewafatilia nyinyi mnatengeneza2 Kiki cyo kweli kitanda, chumba nikile kile2
@BigMan-f1v
@BigMan-f1v Ай бұрын
😂😂 Daaah mnafosi sana kwa mwanaume aliekamilika mtasababisha uvunjifu wa amani kwny mahusiano lkn sio poa
@SamShooter-d1r
@SamShooter-d1r Ай бұрын
😂😂Nakupendraaaaah ah haaaaa
@Mo-Melody
@Mo-Melody 10 күн бұрын
😂😂 daaah! ingekua Mimi hapo sitoboii walai au labuda nijekupata mwanamke atake nirithisha mwenye mahaba niuweee anae penda sana kukulana maana mimi kwakupenda hicho kishibwada laaa weewee
@WitnessKimaro-sx3rj
@WitnessKimaro-sx3rj Ай бұрын
Jamn huyo Idris nitafut nimpe zawadi 😂😂
@yusuphgamestz3909
@yusuphgamestz3909 16 күн бұрын
Uy jamaa ana moyo ninge kuwa mimi ningekuw nmeixh kitumbua nisinge vumilia mtot an nishika mkono😅😅 najijua
@Oman-b1e
@Oman-b1e Ай бұрын
chichi kazi yake kuharib tu sijui hana mpnz😅😅😅
@monalisaclarence218
@monalisaclarence218 Ай бұрын
Kwenye mtego wangu asingechomoka huyoo kaka mpak maji angeita mmma 😂😂
@felistercharles
@felistercharles Ай бұрын
Huyu dada hata hajui kushawishi kabisa 😂 kwa staili hyo mwanaume analegeaje
@aishaali8109
@aishaali8109 Ай бұрын
Kama ndio kweli utampoteza mtu anaekupenda
@rebeccamayo911
@rebeccamayo911 Ай бұрын
Huyu dada mbn kma anafoka km mm ndo huyo kaka nishasepa zaman unamfokeaj mwanaume 😏😏😏 ananikera kwan kutendo ndo kwa stail hy jmn😮😮😮
@jumahamisi4660
@jumahamisi4660 Ай бұрын
Sema bana kidem kizuli
@Paulokonekanunga
@Paulokonekanunga 18 күн бұрын
movie zimetafasiriwa vizur tu 😂😂
@AbdulkareemAbdulrazaki
@AbdulkareemAbdulrazaki 15 күн бұрын
Kaka mwaminifu sana huyo mbajo ni mwanaumme wa aina gani ningepewa hiyo nafsi namchakaza huyo madhaa hongera sana idrisi shoka
@gloryayo-w1x
@gloryayo-w1x Ай бұрын
Hainogi kwasbb mnakuwa kama mnaforce, maskini kama ile itopita inaonesha kabsa uyo chichi ndo alikuwa anamforce yule mkaka, kwaio haipendezi Hawa wadada ndo wanafanya waachwe wenyewe 😢😮
@RashidiMrisho-h4o
@RashidiMrisho-h4o Ай бұрын
Mwamba kajitahidi sana wange kua walafi wengine hapo wangeshapita nae
@FARAJAMESHACK-q1z
@FARAJAMESHACK-q1z Ай бұрын
We ungetoboaa au nd warafi wenyewe😅😅
@WORSHIPJESUSMINISTR
@WORSHIPJESUSMINISTR Ай бұрын
😂😂😂​@@FARAJAMESHACK-q1z
@tumainimalima8112
@tumainimalima8112 Ай бұрын
Mapema sanaaa asee
@jameslucas8128
@jameslucas8128 11 күн бұрын
nikitegewa mimi nategua mtego na wategaji nawatega wote
@DaudDavis-ur6cm
@DaudDavis-ur6cm 13 күн бұрын
Hii bar ni nzuri ila haileweshi
@edinahimali
@edinahimali Күн бұрын
😊
@nhandandatulu714
@nhandandatulu714 26 күн бұрын
Wangemuacha kidogo2 kilkuwa kimeumana😂😂😂😂
@Paulokonekanunga
@Paulokonekanunga 18 күн бұрын
naelewa dj jaman kudadek 😂😂😂😂
@TobikoMahelela
@TobikoMahelela 23 күн бұрын
Nahisi kikao cha mwisho huy jamaa hakuwepo 😂😂😂
@vyaduoj
@vyaduoj 11 күн бұрын
Sasa hiyo test gani au ni kuforce mtu afanye hicho kitu bila kutaka kwake jamah piga mzigo mambo mengine baadae na unamwambia ame kuforce mwenyewe.
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide Күн бұрын
Huyu mwanamke mjinga sana huyu yaan mm ningemwacha tu kwan bei gan unajua kuna kuteleza hee
@RacKido-m3x
@RacKido-m3x Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 m2ajichanganye atajuwa ajuhi napiga shoo naata mkitoka uku chii ya kitand naendelea kupig shoo naamna chakunifanya 🤣🤣🤣🤣
@SheilahMbilo
@SheilahMbilo Ай бұрын
😅😅kumbe mpenz yakwel yapo 😅😅 jamn mbn sisi wengine atupati watu km hao
@SelineChandja
@SelineChandja Ай бұрын
Uyo dada mwenye nyumba nimwengine kweli😏
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 Ай бұрын
Huu ndo ujinga nauchukia ctaki kujaribiwa kabisaaaaa mamaeeee
@HenryNjau-c1v
@HenryNjau-c1v Ай бұрын
Mi ningesha feli 😂😂huwa nachinjaa vibaya mno
@monalisaclarence218
@monalisaclarence218 Ай бұрын
Mimi kujitaftia maumivu siwezi ❤ huu utoto sifanyi
@SamwinaTz
@SamwinaTz 28 күн бұрын
Ilo jamaa jinga kweli daaah mimi nisinge chomoa 😅😂😂
@samwelikikoti7331
@samwelikikoti7331 27 күн бұрын
wametengeneza movie
@peterpetermdaku1691
@peterpetermdaku1691 21 күн бұрын
Jamaa kaonyesha fethea kwa wana😂
@FaresterGaspary
@FaresterGaspary 7 күн бұрын
Hahudhurii vikao vya kago 😂😂
@MwanaidSaid-l7g
@MwanaidSaid-l7g Ай бұрын
Jaman Uky mvunguni wawili 😂😂😂😂😂😂😂ila nyie
@AaAa-tf7sl
@AaAa-tf7sl 24 күн бұрын
Kumbe una miezi tu dda😂😂 🙆
@jasminemussa4546
@jasminemussa4546 Ай бұрын
Kaka wawatu anakohoa kila muda 😂😂🤣🤣💃🏼
@yussufmohammed9299
@yussufmohammed9299 Ай бұрын
Km Konde boy
@HabibaBb-d3s
@HabibaBb-d3s 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😢una jua nime cheka sana 😭
@shivobs4485
@shivobs4485 24 күн бұрын
Mbona movie lenyewe la kichoko
@EmmySulley
@EmmySulley 28 күн бұрын
huyu dada hayupo romantik ata kidogo
@EverPeter-pl5kw
@EverPeter-pl5kw Ай бұрын
Mmmh angeendeleea kukaa apo kingetokea kitu tuh apo
@kelvinchadulaga310
@kelvinchadulaga310 Ай бұрын
Mwanaume kaongea point sana Mwanamke ndo wa kwanza kubomoa ndoa yake
@InnocentKessy-d5j
@InnocentKessy-d5j Ай бұрын
Sema wanaume mungu anawaona zuieni miemko yenu
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t Ай бұрын
Wanaume ndo tumeumbwa ivyo
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay Ай бұрын
Wanaume wajinga wangu mie inshallah ifanye vp hna mda aipenda sehemu yake siri.
@sophiamgaya2814
@sophiamgaya2814 Ай бұрын
Huyu dada wawatu wasije mvamia wakampiga 😂😂 mana kwake kunajulikana 😅
@SophiaDismas-k5k
@SophiaDismas-k5k Ай бұрын
Uko uvunguni nanyie uskute mmefanya yenu🤣🤣🤣🤣🤣
@DhairaiSaid
@DhairaiSaid 17 күн бұрын
Kadem n kabaya ndomana Jamaal hajashawishika
@AzizaHassan-wj9kf
@AzizaHassan-wj9kf Ай бұрын
Jamaa anajitahidi kuupangua mtego lakini analazimisha😮😮
@neynaelias8265
@neynaelias8265 Ай бұрын
Ni vile Hana Tako asinge chomoka😂😂😂
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 16 күн бұрын
Hii michezo ni hatari sana kwa mahusiano hususana kwa zama hizi
@officialbasheer13_tz
@officialbasheer13_tz 26 күн бұрын
HII MOVE MUENDELEZO NI KILA JUMANGAPI😂😂😂😂
@Mkiga_junior
@Mkiga_junior 25 күн бұрын
Dem kawakia kwenye gia angekua kwnye kanga arafu akawa kama anazulula zulula humo ndani hata dakika 2 zisingefikaa😂😂😂
@kingspy6933
@kingspy6933 7 күн бұрын
Kwanza mm huyo mpnz wang ningemuacha upuuzi kama huo sifagilii aseeh
@AlbertMganga
@AlbertMganga Ай бұрын
daah mi nisinge chomoa hapo😂😂😂
@MwitaMarwa-s6u
@MwitaMarwa-s6u Ай бұрын
jamaa angepewa muda wakutosha😂😂
@HassanMlamso
@HassanMlamso Ай бұрын
Babu unazingua ww humalizi unatuekea vipande tu 😢
@RashidiMussa-b5f
@RashidiMussa-b5f 24 күн бұрын
Walahi mk wangu usijeukajilibu
@abdulykilossa9182
@abdulykilossa9182 Ай бұрын
mchumba angu popote ulipo usithubutu. kwnz sultan alikuwa kaisha elekea kibla mngeongeza dakika hapo mngelaumiana . wanaume wote baba etu mmoja . (hakuna mkate mgumu mbele ya chai ) nitafutie kwenye vitabu maana halisi alioitumia huyu mhenga . mkiludi hapa tutaongea rugha moja ,
@PaulYuda
@PaulYuda 22 күн бұрын
yaan ningekua mm tungeachana na huyo dem mwinge huyo ningemtafuta kwa mda wangu.
@JacklineJanuary-mo4gd
@JacklineJanuary-mo4gd Ай бұрын
Yan hizi zinaonekana ni uwongo kabisaa sababu huyo mwanaume maiki katoa wapi mpaka saut inasikika ivi 😅😅😅
@userlizkenya
@userlizkenya Ай бұрын
Kwahiyo chichi Kaz yke kuwatega wapenz wa watu😅
@MozessStivin
@MozessStivin Ай бұрын
Mm nipo sambamba mpaka wawauwe 🤣🤣🤣
MAPENZI YA NAUMA
21:32
Mr Uky
Рет қаралды 92 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 105 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 516 М.
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 313 М.
Ila Kuchepuka Huku | Tx Dullah, GreyMan & Madirisha
3:18
GreyMan
Рет қаралды 10 М.
This light-skinned bachelor confused all the ladies on Hello Mr Right KE
9:17