MAPENZI YAMENIFANYA NITESEKE HIVI| NINA WATOTO 3 WOTE WAMEKATALIWA NA BABA ZAO| UCHAWI UMENITESA

  Рет қаралды 4,502

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 19
@assiakhadijz4167
@assiakhadijz4167 7 ай бұрын
Dada bora utafute mdada wa kazi mm watoto wangu nimewaacha nyumbni lakini yupo na dada wa kazi sioni shida kutoa laki moja kumlipa i
@Nashoora8
@Nashoora8 7 ай бұрын
mwenzio ana ogopa wadada wenyewe siku hizi wengi wauwaji asije kuji ongezea stresi bile muwache dada wa watu aombe msaada tu 😢
@HamidaKondo-z1s
@HamidaKondo-z1s 7 ай бұрын
ila usije ukarubuniwa ukaongeza watto maisha unayaona watatu tu wakutowa machozi
@AzizaRajab-q7n
@AzizaRajab-q7n 7 ай бұрын
Kiukweli kaka Dhahiri mimi sijaafiki aje huku kwa sasa mtt mdogo sana kisha kumuacha kwa jirani.In Shaa Allaah ni bora achangiwe apate biashara alee watt wake binti yake ni Mashaallaah akiondoka amempoteza
@maximumtvonline
@maximumtvonline 6 ай бұрын
Mtumie hela sasa
@AndrewKanyika-t9s
@AndrewKanyika-t9s 7 ай бұрын
Pole sana mama Mungu yupo atakusaidia
@maryamshija566
@maryamshija566 7 ай бұрын
My love❤❤ pole sana kipenz
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 7 ай бұрын
Tatizo unachukuwana na mtu hujuwi hata kwao mh unamoyo pole lakini ❤ usikate tama Allah niwasisi wote
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 7 ай бұрын
Aisee pole Sana ndugu yangu huyo mwanaume alaaniwe kwakweli
@mesiamatheo2230
@mesiamatheo2230 7 ай бұрын
Iseee pole dada
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 7 ай бұрын
Dada wa kazi? 😢😢Siafiki wamekengeuka Sana. Huyu bint akienda shule ahakikishe anarudi na kumchukua mdogo wake 😢😢😢 wallah inauma 😢😢 jamani mtoto bado mdogo sana. Mm niliacha mtoto wa miaka 3 sembuse wa mwaka 1?
@antiyasanitiago3221
@antiyasanitiago3221 7 ай бұрын
Sisi wakwetu tume waasha Nawadada wakazi Nakwako vizuri2
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 7 ай бұрын
Chunga wasikubebeshe mimba nyingine
@azizirania63
@azizirania63 7 ай бұрын
Love
@tato8979
@tato8979 7 ай бұрын
Pole sana mama 😢😢
@modesterchristophermodchri4233
@modesterchristophermodchri4233 7 ай бұрын
Sipendi kuona mwana mke mwenzangu analiya najua maumivu anayo yapitia Tena mbele ya watoto
@valenakomba7686
@valenakomba7686 7 ай бұрын
YAANI MATATIZO UNAYAONA KWA HAO WATOTO WAKUBWA, LAKINI BADO UNAONGEZA MTOTO. JAMANI. 😢
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 7 ай бұрын
ILA KUNA MIBABA MINGINE INAKERA SANA HAWA NDY WANAOZALISHA WATOTO WA MITAANI.. CJUI KWANN SERIKALI ISIWE INAWAKAMATA ILI LIWE FUNZO KWA WENGINE. MAMA PAMBANA MUNGU ATAKUSAIDIA. HAO WATOTO USIWAPELEKE KOKOTE WATAPOTEA LEA MUNGU ATASIMAMA NA WEWE.
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa usemayo ila angalia tokea zamani maisha ndivyo yalivyo pili viongozi wetu wanakula nchi bila huruma yeyote kumgekua elimu bure na kutumza wenye uhitaji haya yasingekuwepo mwanaume kukimbia familia nindunia nzima hata wanya ma pia 😢😢
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 345 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 42 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 90 МЛН
"Mawazo" Sehemu Ya 50 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
29:49
Chomoza Tv
Рет қаралды 6 М.
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 25 М.
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН