MAPISHI YA CHAPATI

  Рет қаралды 14,519

shaida's kitchen

shaida's kitchen

Күн бұрын

Mapishi yana nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku, leo nakuletea mapishi ya chapati
#mapishi
#shaidaskitchen
#chapati

Пікірлер: 39
@Hafsa-p3c
@Hafsa-p3c Жыл бұрын
My lovely teacher hop you r good aunty
@rehematawalani733
@rehematawalani733 2 жыл бұрын
Hongera sana ukhty naipenda sana kazi yako
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Sema upo vizuri kwenye hayo matangazo hasa unaposifia like gas vizurii
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen 4 жыл бұрын
Ahsante..
@ruqaiyazahor8936
@ruqaiyazahor8936 4 жыл бұрын
Mashallah your cooking style is Amazing... Keep it up. 👍
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen 4 жыл бұрын
Thank you so much 😊
@missgarwan7462
@missgarwan7462 Жыл бұрын
MashaAllah ❤
@salojaanbaloch
@salojaanbaloch 3 жыл бұрын
Salaam mimi ni mapad vitumbua yrs and it's my frist time to see yr site mashallah yr food its good
@rehematawalani733
@rehematawalani733 2 жыл бұрын
Mimi ndoto mara ya kwanza kuona chapati ya hamila
@SurprisedBread-gr3jz
@SurprisedBread-gr3jz 10 ай бұрын
Naomba kukujoin
@Sisterjemi1
@Sisterjemi1 8 ай бұрын
Kuna aina nyingi za chapati hii si ile mlozowea hii ya hamira ni zuri sana pia mjaribu chapati za aina tofauti tofauti
@safiaothman5175
@safiaothman5175 2 ай бұрын
Naomba mapishi ya mkate wa mofa.
@maryanomar119
@maryanomar119 4 жыл бұрын
Nimependa sana zinaka mzuri nitajaribu
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen 4 жыл бұрын
Ahsante
@SWAUMUAYUBU-rn7zm
@SWAUMUAYUBU-rn7zm 9 ай бұрын
A
@RebeccaJohn-h8c
@RebeccaJohn-h8c Жыл бұрын
Naitwa Rebeka np arush pishi lak nzuri
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen Жыл бұрын
Ahsante
@4pesa
@4pesa 2 жыл бұрын
Can u please make a video on how to make 'mofa'
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen 2 жыл бұрын
Sure..next week
@tiaraoscarjuma4522
@tiaraoscarjuma4522 2 жыл бұрын
Chapati za hamira! Si unakua mkate tena ngoja nitajaribu🤷‍♂️
@notwextv4635
@notwextv4635 2 жыл бұрын
huyu mama anajua sana kuelekeza mtu
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 3 жыл бұрын
Salam alekum
@salojaanbaloch
@salojaanbaloch 3 жыл бұрын
Napada
@MarthaShalua
@MarthaShalua Жыл бұрын
Chapati ya hamira ni pishi lingine, chapati kama chapati haiwekwi hamira
@sharqaawsingoyi8166
@sharqaawsingoyi8166 3 жыл бұрын
Sorry mom iv kwakuweka hamira chapat haiwi kama mkate?
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen 3 жыл бұрын
No dear...inatoka soft kabisa
@sharqaawsingoyi8166
@sharqaawsingoyi8166 3 жыл бұрын
Asante sana dear inshallah mungu atuweke utupe na mapishi ya Ramadhan
@Alykondo99
@Alykondo99 Жыл бұрын
Hizo si chapati ni andazi chapati haitiwi hamira na chapati inatakiwa iwe na tabaka haisukumwi hivo
@mariamselemani7771
@mariamselemani7771 9 ай бұрын
Chapati ziko aina nyingi kipenzi
@WahidWahidRamdhan
@WahidWahidRamdhan 9 ай бұрын
Chpty mikate ya jemu
@husseintayar699
@husseintayar699 9 ай бұрын
Kiukweli kwa chapat samahan nitafte nikufahamishe
@emmadora7848
@emmadora7848 9 ай бұрын
😂😂😂😂 ila wewe jamani ,naomba unifahamishe na mm
@maulidmsahilo7777
@maulidmsahilo7777 5 жыл бұрын
Unafundishia wapi na ada shilingi ngapi
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen 4 жыл бұрын
Call 0784 230120
@munirariyami6880
@munirariyami6880 4 жыл бұрын
Ahsante kwa kutufundisha map ishi ya biriani
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen 4 жыл бұрын
@@munirariyami6880 inshallah soon
@munirariyami6880
@munirariyami6880 4 жыл бұрын
@@shaidaskitchen thank stay blessed
@allymzungu1751
@allymzungu1751 3 жыл бұрын
Unatoa maelezo mengi mamii
@shaidaskitchen
@shaidaskitchen 3 жыл бұрын
Ahsante
How to make Soft and Fluffy Chapati | Soft Layered Chapati | Paratha | Roti
17:35
I found the easiest way to make croissants. You will be amazed by the result
15:42
JINSI YA KUTENGENEZA BIRYANI YA KUKU  /CHICKEN BIRYANI
19:07
shaida's kitchen
Рет қаралды 2,3 М.
HOW TO MAKE BAKLABA (IN TIGRIGNA 🇪🇷) NAY BAKLABA ASERARHA
7:53
JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA NAZI NA MAINI YA NAZI - UHONDO WA MAPISHI
15:58
Turn 2 Eggs Into Fluffy Japanese Soufflé Pancakes!
5:26
CookingAtHome
Рет қаралды 3,5 МЛН
JINSI YA KUPIKA KEKI #mapishirahisi
8:39
SARAH NATURAL
Рет қаралды 219 М.
BIASHARA YA CHAPATI LAINI SANAA KILO 2(2KG) #chapati
8:02
Hadija Sheban
Рет қаралды 589 М.