watu wengi wamefunguliwa kupitia Mwombezi Pastor Godwin Ndelwa na wewe utapokea muujiza wa kufunguliwa kupitia jina la Yesu.
Пікірлер: 196
@doreenjane3215 Жыл бұрын
Ninachukulu mungu juu wakati nikuomba maombi haya niliota nimepewa funguo nanikaichika nikaikubatia na chukulu mungu na mungu akubaliki
@evangelistheleneange320 Жыл бұрын
❤
@julienneaboki41059 ай бұрын
Nashukuru kwa maombi asante sana muchungaji
@NdayishimiyePacy6 күн бұрын
Naomba kuombewa Niko Burundi Niko n'a tatitizo ya kukosa Amani na kukosa usingizi naomba kuombewa mungu anikumbuke
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Naomba maobezi ya kuwekwa huru
@jenniferhamis9315 Жыл бұрын
Pastor ubarikiwe sana kwa maombi mungu azidi kukufunulia maono
@nurundumo7587 Жыл бұрын
Amina mtumishi najisikia Aman nilikua Sina aman
@lucyjoseph4025 Жыл бұрын
Mtumishi nimebarikiwa sana naomba uniunganishe kwenye maomb yko kila utakapo toa nimebarikiwa sana mungu akubarik🙏🙏
@AndjelaniIlombe Жыл бұрын
Amina, nionganishe kwenye maombi
@slamafamily5720 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana pastor nimefunguliwa mikono yangu sai nimesikiya vitu vinatambaa kwa mkono wangu Asante sana
@RehemaNzeyimana-j1k Жыл бұрын
Nashukuru sana mutumshi wa mungu napokeya maombezi yakuwekwa juru kwa jina layesu asante mungu akubariki saana
@elishamafulu106 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen
@siwonikewilliam9146 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@mercyjay559511 ай бұрын
Ameen 🙌🙏
@LilianWabwile-g3q Жыл бұрын
Amen in the name of Jesus 🙏🙏🙏
@RehemaNzeyimana-j1k Жыл бұрын
Haleluyaàaaaa haleluyaaaaàa haleluyaaaaaaaaa amen mutumisshi wa mungu nashukuru sana napokeya kwa jina layesu
@elishamafulu106 Жыл бұрын
I received i received I received
@markomarkokomba97052 жыл бұрын
Kwakwer Kun vimenichom mwlin km sindano sijuw nini ameeeen pasta 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@friedamkiramweni9736 Жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa maombi haya ' nimewekwa huru" Yesu kuwa pamoja nami.
@nzanzex7831 Жыл бұрын
Amina Amina Mungu akubariki sana kwa ajili ya nguvu ya Mungu nilio ipata sasa asante
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Amina baba
@eshafjef7352 жыл бұрын
Amen, pastor naomba ndoa na pia kunawatu walinidhulumu zaidi ya laki moja na elfu kumi na sai wamenifungia simu naomba wasumbuke mpka wanirudishie in Jesus name
@michaellumumba1779 Жыл бұрын
Eshafjef735...Tafadhali sana nakuomba toa uchungu katika Moyo wako...Amini MUNGU pekee.usiende kwa mganga sababu ya uchungu.Mwambie MUNGU akupe amani Moyoni mwako....upate pumziko la kipekee....Tulia tulia tulia katika BWANA.
@HappnecPaullo4 ай бұрын
Ameen
@ReginaMpagama5 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi nimefunguliwa nimetapika sana pia biashara zangu haziendi kuomba nimekuwa mzito pia kuna mtu alinidhurumu laki sita naomba uniunganishe kila unapoomba na pia unitumie nam ba ya sadaka
Najiunganisha na mathabau ya mungu kufungua tumbo langu kizazi changu watoto wangu famila yangu pesa utajiri ndoa uchumi Kibali kazi kirahisi katika jina la yesu cristo amen 🙏 🙌 👏
@DevothaMashala6 ай бұрын
Mimi devota mashalla napokea Kwa jina la yesu
@bawiligeorge7823 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏
@Pendezabylydia3 жыл бұрын
Amen
@chancematabishi92162 жыл бұрын
Amen Amen
@RechoLikindo Жыл бұрын
Amine
@beatricechepkurui91612 ай бұрын
Amen this message is ready to me please pay for me because I don't have a job for know man of God god bless you all amen thanks alot for this message has made me feel better
@rosemarymbise4191 Жыл бұрын
Amen napokea katika jina la Yesu
@elishamafulu1062 жыл бұрын
Amina baba lao
@simonguyo75385 ай бұрын
Niko na roho ya madeni mtumishi wa mungu naomba uniunganishe kwa maombi yako maana hata nkipata pesa yakunitosha mwisho naishia bado kukopa tu.barikiwa sana.amen
@elishamafulu1062 жыл бұрын
Amen amen I received
@Karembo-bb5tc Жыл бұрын
judy saudia emen nimebarkiwa
@marianakabendera38926 ай бұрын
Amen mtumishi mungu akubaliki naomba mtumishi niombee biashara yangu imekuwa ngumu sana mtumishi
@lucyjoseph4025 Жыл бұрын
Ameeen mtumishi nimebarikiw naomba uniunganishe kwenye maomb yako kila unapotoa 🙏🙏
@mayxh19182 жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
@bagonzabienvenue75082 жыл бұрын
Mungu akubariki mutumishi
@waleedbahar52756 ай бұрын
Amen MUNGU akulinde na akubariki sana mtumishi Kwa maombi
@naomycherono55403 жыл бұрын
Amen and Amen glory to God powerful message hallelujah barikiwa sana pastor nimebarikiwa 🔥🙏🙏🙏🙏
@jack-mx8et2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi niunganishe kwy maombi ya uponyaji au kama naweza kukupigia simu pia uko wapi
@pamelakodhek40382 жыл бұрын
Amen Amen and Amen
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Asande sana Yesu mwokonzi waku Kwa uzima umenipa Kwa ushindi wako muzalabani Asante sana
@LydiaNasimiyu-h1n10 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen tuko pamoja.naomba Uniuganishe namaombi kila unapotoa mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana
@JescaRichard-dz7zo10 ай бұрын
amen ubalikiwe mtumishi wa mungu naomba uninganishe kwe Nye maombi ya usiku
@ndikumagengeconcilie21372 жыл бұрын
Pasta Asante sana
@Zuchufyp4 ай бұрын
Asanti Kwa maombi mema Mungu akubariki mchungaji 🙏🏽... Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@AngelNelson-wj3iu10 ай бұрын
Amina mtumishi,eeh YESU nisaidie naomba amani juu ya Moyo wangu
@evangelistheleneange320 Жыл бұрын
Hallelujah 🙌🙌🙌
@evangelistheleneange320 Жыл бұрын
❤
@اال-خ2ت11 ай бұрын
Mm ni Ann lngabi mtu mishi. Wamungu. Naomba. uni unga ni she ki ia siku ni si kose maombi ni dawa Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@محمدالقايد-د6بАй бұрын
Amina barikiwa mtumishi wa Mungu napokea uponyaji wa Sukari in name Jesus Amen
@neemamustafa Жыл бұрын
Ameen
@اال-خ2ت11 ай бұрын
Amen asante mtu mishi wa mungu mm ni Ann lngabi. nashu kuru mungu. Ani Fu ngu we maombi ni dawa asante san baba yangu kwa maombi. haya Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌
@JacklineKileo-rk9rl11 ай бұрын
Ameni namuomb mungu ailinde familia yangu usiku huu na siku zote aondoe roho za kukata tamaa na roho za mauti na magonjwa atupe amani na furaha
@SammondJoseph10 ай бұрын
Kupita ombi hili la kuwekwa huru katika maisha yangu nipo tayali kupokea uponyaji sasa na mambo yangu yote nikafanyikiwe sasa na piya kuepushwa na mgonjwa kupushwa na nguvu za giza maana nimeteseka sana na nguvu za giza mwili wangu ukakae sawa na hafya yangu piya mungu naombe unitedee maajabu sasa na mimi piya nipate kuona ufunguwo wa maisha yangu 🙏🙏
@editaruta48452 жыл бұрын
Amen Amen nimepokea
@sergineMote6 ай бұрын
Amen Amen mungu wangu ansate kwa kunifungula, papa pasteur akika uko n'a mungu
@baybeshayo182 жыл бұрын
Ameeeeeeeeen pasta
@JonasKisuda-ri5hk6 ай бұрын
Ameeen nitarejea kwenye ndoa yangu kwa jina la Yesu Kristo aliye hai
@esthernkashi2 ай бұрын
Amen. Nimewekwa huru kwa jina la Yesu kristo. AMEN AMEN AMEN.
@iluminatambilinyi50622 ай бұрын
Mtumishi wa mungu naomba Uniunganishe ktk maombi Kila unaapoomba familia Haina amani kabisa Fedha haikai Mikosi Majoka kila wakati nyumba Iluminata mbilinyi
@stellahokworo65613 жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏 Amen glory to Jesus
@naramatleah57292 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@DativaMassawe-wk2nz7 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu naomba uniunganishe kwenye maombi yako kwani nina shida ya magonjwa na ndoto mbaya na kukosa wateja katika biashara yangu