MAPYA:MAUAJI YA MFANYAKAZI WA GGM, MASHUHUDA WA TUKIO WAFUNGUKA MAZITO, "WAMEMKATA VIUNGO VYA MWILI"

  Рет қаралды 83,368

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 126
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 Жыл бұрын
Wabongo bhna, kuna watu maarufu wanajonyesha mashoga ila mpo kimya, leo huyu dada eti bora afe alikuwa sijui nan, shida sio msagaji shida ni wivu wa maendeleo, ni chuki za kutuzidi kipato, na maskini akiona mwenye hela kapata shida anafurahi kweli, MBONA KINA JAMES WAPO NA WANAJITANGAZA MPO KIMYAAAA.
@dicksonfrank6031
@dicksonfrank6031 Жыл бұрын
Li
@violetjozey4425
@violetjozey4425 Жыл бұрын
Walipozidi kumuhoji YESU akainuka akasema "Yeye ajijuae kwamba hatendi dhambi miongoni mwenu basi na awe wa kwanza kumpiga jiwe mwanamke huyu" Nao waliposikia maneno hayo wakaanza kutoka mmoja mmoja akabaki YESU peke yake na yule mwanamke.(YOHANA 8:7)
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Jamani kwani hatupumziki matukio🙌🙌🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu tunusuru Pumzika kwa amani dada
@titonsimbazi5532
@titonsimbazi5532 Жыл бұрын
0
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 Жыл бұрын
Msagaji Hana pumziko la amani Abadan, muuwaji nae ni hivyo, Tutubu tu wema wa Mungu unangoja
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Huo ni wivu tuu, wameona atafika mbali kimaendeleo, apumzike kwa amani ila Mungu atawaumbua pia na hawataishi kwa amani hao waliofanya tukio hilo.
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q Ай бұрын
Kumbe wa kike😂😂bas mm nikajua mume wa mtu Mungu tunusuru vizazi vyetu duu
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 Жыл бұрын
Geita hii sio mara ya kwanza , kipindi naishi uko Kuna matukio kama haya yaliwai kutokea, namkumbuka huyu ccta RIP MILEMBE
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Wamepata faida gani ?hata sote tutakufa ,kakini mikembe katuwakilisha vzr wasukuma wote,mbona hanuwataji walio hai wanai fanya hayo kweli???
@yasintamichael-bg9fk
@yasintamichael-bg9fk Жыл бұрын
Auae kwa upanga nae hufa kwa upanga malipo ni hapa hapa ,mungu amlaze mahala pema peponi,ee mungu mpunguzie adhabu 😢😢
@mwajumaissa2358
@mwajumaissa2358 Жыл бұрын
Kwa nn unasema hivo?
@francissimbaufoo-wd2ls
@francissimbaufoo-wd2ls Жыл бұрын
mungu tusaidie
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 Жыл бұрын
Yan pumzika baba magu huko uliko mngu tunusuru ya rabb,😭😭
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii😮😢🎉
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Poleni
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani 😢😢
@issaalfani1030
@issaalfani1030 Жыл бұрын
Hapo inaonesha kuna mgao umeenda ndivyo sivyo au kuna siri anazo kuhusu wenzake kuona atatibua kwa upeo wao wakafanya hayo hatari sana
@nassorsuleiman9155
@nassorsuleiman9155 Жыл бұрын
Milard waandishi wako hawajui kuuliza maswalii
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA Жыл бұрын
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😢mmh nimetoka sasaa hivi Facebook 😮inasemekana ni msagaji huyu dada 🤦subiri nitafute habari kamili 🏃🏽‍♀️
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Ndio inasemekana hivyo ni Laana tu
@alexoxo100
@alexoxo100 Жыл бұрын
Ni kweli ni msagaji aliekubuhu..aliwahi kuoa kabisa mwanamke mwenzie
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
@@alexoxo100 Sasa 🤣 huo mwanamke yupo wapi nayeye
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA Жыл бұрын
@@alexoxo100 doooh! Uwiii
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA Жыл бұрын
@@khadidjasuleiman8006 😟😟mmh!
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Dah mtihan geita ndo matokeo meng hayo mungu amlaze panapo stahil plen wafiwa
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Hiyo ni dua yk 😅😅tu sema nikutumie video yk ujuwe nini alikuwa afanya
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
​@Majer sasa hivi watu wanapambana na mashoga na wasagaji so acha atangulie
@dinajonasmollel4159
@dinajonasmollel4159 Жыл бұрын
@@ashuuuaisha9122 naomba video😀😀
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
​@@dinajonasmollel4159 alikuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia Moja inavyo semekana Astaghfiru llah
@praisesteven7774
@praisesteven7774 Жыл бұрын
watu wa geita wambea jmn kila ntu anachukuaaa usafir kuona tukiooo 🌚😫
@fedmiradaf3141
@fedmiradaf3141 Жыл бұрын
Yaani utafikiri waandishi wa habari
@deborahmassawe4367
@deborahmassawe4367 Жыл бұрын
Nakumbuka alikuwa na sakata la kumvisha mwanamke mwenzie engagement ring Mwanza, tena huyo aliyevishwa pete alikuwa ni mdogo wa Kiongozi mmoja kipindi hicho, ila mauaji ni mauaji, hao waliomuua washughulikiwe, hata kama alikuwa ni lesbian, hao wauaji ni wema sana au, na hao walikuwa wanaridhia kutoka naye kimahusiano ni wao na upuuzi wao, unaweza kuta hata hao wauaji ni wivu tu wa kimaendeleo wala si suala la lesbianism.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Deborah khiky way! Unamvisha pete dada mwenxako??ni hayo maombi Tanxania inalia.Debby ndugu yangu kwema lakini.
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Shetani anaishi Geita
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani. Dada mirembe
@elishaladslaus650
@elishaladslaus650 Жыл бұрын
😢😢hatujui ni nini kipo nyuma yake,
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Nikija bongo mpaka nikirudi salama nashukuru sana watu wanaroho ngumu kweli hofu ya mungu hakuna sijui imani ya mungu hakunaa yani ni makatili hatari
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 Жыл бұрын
Wewe upo wap?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@mkohoexperience7322 Pemba kwetu hata akiuliwa mmbu kwa kupigwa dawa mimi huko naogopa kuja
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 😅😅😅Kuna watu wana matani, haya bana mpemba
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@mkohoexperience7322 hahahaaa
@samhattemba2233
@samhattemba2233 Жыл бұрын
Du R I P damu ya mtu hayindi bure mungu atawalaani hao wote walohusika
@furahinimbise3382
@furahinimbise3382 Жыл бұрын
Huyu alikua msagaji
@realpolybeatz
@realpolybeatz Жыл бұрын
crime scene panajaaje watu hivo?? 😢
@josephineminanisalma3792
@josephineminanisalma3792 Жыл бұрын
Ame uwawa vibaya sana 😢
@deborahmassawe4367
@deborahmassawe4367 Жыл бұрын
Usagaji na ushoga unakera but pia kuna wakati tunaweza kudhani mtu ni shoga au msagaji kutokana na tulivyokuwa naye toka utotoni kumbe alikuwa na jinsia mbili, baada ya balehe anaanza kuendana na jinsia yenye nguvu, tunashangaa
@davidmwita139
@davidmwita139 Жыл бұрын
Sawa lkin inahusika VIP na hayo mauwaji?.
@salummussa1139
@salummussa1139 Жыл бұрын
Hatari
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Watanzania awataki usagaji sasa kiricho baki watu wanaua kimia kimia mpaka wahache au serekari itowe uwito no wadagaji no wasenge abari ndio hiyo
@gngn762
@gngn762 Жыл бұрын
Wauwajimungu anawaona
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Жыл бұрын
Duuh wamemuua kinyama jmnii Yani ka vile kumkomoa jmnii jmnii wan roho ngumu hao wauwajii
@TasianaProsper-hd1zr
@TasianaProsper-hd1zr Жыл бұрын
😢
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Жыл бұрын
R.I.P waliohusika hawataishi na amani milele
@AMANILYMO-ut4ml
@AMANILYMO-ut4ml Жыл бұрын
Naomba namba
@davidlyimo8079
@davidlyimo8079 Жыл бұрын
😭😭
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Waseme tu MSAGAJI kauwawa😂😂😂😂😂
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Sijui alikua anatumia mashine ya kampuni gani maana zingine ni feki😂😂😂😂
@allymadenge4603
@allymadenge4603 Жыл бұрын
KINA DADA. ACHENI. KUCHUKUA. WAUME. ZA. WATU. MTAUWAWA. MPAKA. MUISHE. WASENGE. SANA NYIE
@shukurumrema1072
@shukurumrema1072 Жыл бұрын
Kwani alichukua mme wa mtu
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Жыл бұрын
Usiandike usichokijua
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Inaonekana unajua zaidi kifo chake au ndio wauwaji wenyewe
@fizzotizzy7692
@fizzotizzy7692 Жыл бұрын
Hakuna kitu kizuri ma.a kuchunga ndio yako
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 Жыл бұрын
Mshamba wa mapenzi wewe.. wanaume wenzio wanatafuta pesa wewe unaongelea ujinga.. sijui shoga wewe😏
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 Жыл бұрын
Dah mtu anachinjwa utafkri anachinja ng`ombe
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Lesbiansm.tuna matajiri wengi sana Bongo Wanawake Na wanaume .Hawajakatwa kama Huyo Tom Boy. Lazima tujiulize . Lesbian mkome kabisa.Nendeni.Ulaya na Marekani kufanya ujinga wenu
@yahyamlawa2069
@yahyamlawa2069 Жыл бұрын
Huyu si ndo kipindi kile zilisambaa wanafanya romanti katika party usiku na mwanamke mwenzie...aende t..alikua ni lgbtq huyo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Kila mtu ana haki ya kuishi wewe ndio nani kusema watu fulani wauwawe? Au nyie ndio wauwaji wenyewe
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Жыл бұрын
Ndio huyo huyo Bora alivyotangulia mapema angezidi kutuharibia vizazi vyetu.
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q Ай бұрын
Sana duu
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Жыл бұрын
Wamemuonea wivu.
@jacklinmacha2964
@jacklinmacha2964 Жыл бұрын
Ole wao wamwagao dam isiyona hatia
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Wivu wa nini wakati anawasagia watu wake zao au humjui huyu
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
​@@jacklinmacha2964 ni sawa ila ila huyu dada uchafu wake ulizidi anavisha mpaka wanawake wenzie pete ili awasage vizuri
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Жыл бұрын
@@ashuuuaisha9122 du kumbe!mnisamehe bule kumbe ni shoga la kike.!
@MisosimitamuC
@MisosimitamuC Жыл бұрын
​@@georgedaniel4962 hâta kama ila SIO sawa
@wcb4life875
@wcb4life875 Жыл бұрын
Ana fanana na harmonize 😢 au naona vibaya? R.I.P my sister
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
🤣🤣🤣mi stak jmn
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@Majer 🤣🤣🤣nyie
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
​@Majer kanywa faru hyu😅
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
😂😂
@gracemadondola7331
@gracemadondola7331 Жыл бұрын
Jamanii
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Mexican Cartels
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Wajinga. Wote wakome.
@realpolybeatz
@realpolybeatz Жыл бұрын
crime scene panajaaje watu hivo?? 😢
@realpolybeatz
@realpolybeatz Жыл бұрын
crime scene panajaaje watu hivo?? 😢
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,3 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 8 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 18 МЛН
Environmental & Sustainability Summit 2024 - Day 2
3:32:10
Business Review
Рет қаралды 6 М.
Mch Moses Magembe - JINSI YA KUTUNZA MOTO USIZIMIKE
1:29:01
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 21 М.
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,3 МЛН