Labda alikutana na jini ohh mungu amusaidie... Isha allah atakua poa🙏🙏🙏
@hemedabac29994 жыл бұрын
kazaneni kuomba👀👀👀
@YasminaMkali3 ай бұрын
Poleni sana. Ni miaka minne sasa, twaomba ukamtembelee Kijana Jafari, utujuze maendeleo yake. Inshaallah!
@fatmakhanii16764 жыл бұрын
Subhana Allah enyi washirikina muogopeni Allah nasiku ya mwisho dunia nimapito haya mambo yapo kiukweli mtihani hawa watu wabaya wapo na Allah atawahukumu
@aminafesali58174 жыл бұрын
Insha allah yaraby
@meisme75404 жыл бұрын
INSHAALLAH
@ansilaphilipo51054 жыл бұрын
ee mungu niepushie hili kwenye family yangu, maana kusikia Kwa mwenzangu NI rahisi lakini siwez kuyabeba.😭😭😭
@pendogunda46284 жыл бұрын
Hhh
@masuaselemani68544 жыл бұрын
mh
@nsabimanaseremani18993 жыл бұрын
Ikiwa niJafari awe Jafari daima ,na ikiwa ni kingine ambacho kinafanywa kwa namna ingine ,kitoke kisipate kudumu ktk nyumbani huko ,kbsa laakini ikiwa niJafari amerudi kwa uwezo wamwenyezimungu ,mungu amuhifadhi ,amurokowe kama anavomufufunuwa ktk kaburi ,au ikiwa walijidanganya wakamzika sio yeye basi mungu amemurejesha kwa uwezo wake.Hayaaka Allah yaa Jaafari
@silasomondi50653 жыл бұрын
I appreciated your work
@neemamzande85472 жыл бұрын
Ss mm niulize kwan muislamu akifa anaekewa msahada myiiiiii makubwa hayo pole ddngu Allha atuepushie atulindie vizazi vyetu inshaaaallha 🙏
@JacklineBoss4 ай бұрын
jamani njie ayajawakuta ushirikina upo jaman
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Kaeni naye karibu asiwatoroke, mwombeni Mungu azidi kumlinda
@annaackim67734 жыл бұрын
Lilian Luhasi
@filemonclemens8223 жыл бұрын
Mmmh uyu Dada amuogopi mungu maiti ikomochwali then inatokadamu nyingi🤣🤣🤣🤣
@lauraijossy78624 жыл бұрын
Mganga ni mwanadamu, mwafwata nni hukooo, tangu lini shetani akatoa shetani mweziwe? Wakristo Yesu ni dawa tosha, pia Waislam maombi/Sala ni tiba tosha, wachawi hawana nguvu, mtumainie Mungu ndie mweza yote
@amishawatif82224 жыл бұрын
Umeongea ya maana sis
@auntiemylee31574 жыл бұрын
Amiin
@catherinemsaki24174 жыл бұрын
Duuu
@orestakapuna34674 жыл бұрын
Acheni.mirayakwawaganga.munguyupo.
@SennyFleva_14 жыл бұрын
amin
@mamapendo26303 жыл бұрын
Mungu awaepushe na majaribu ya kila namn mkazane kumuomba mungu ni majarib ya shetan hayo msikubali awashindwe
@florenceshikuku76104 жыл бұрын
Pelekeni mtoto kanisani, kanisa la kiroho lenye nguvu ya Kristo. Kwani Yesu ndiye mganga wa waganga, atamponya mtoto na kumkomboa tokana na nguvu za mapepo. Kupitia maombi na kwa Imani yenu kwa Kristo Yesu na wala si mohammed wala majini. Naomba Mungu aliye hai awafunguwe macho ya rohoni mkamjuwe kristo, yeye ndiye ngome imara wenye haki wamkimbilia wakawa salama.
@katiewilliams42124 жыл бұрын
AMEN
@fauzatisospita50534 жыл бұрын
Mohammed wengine mnabwabwaja tu maana hamumjui ongeeni mengine
@valerieobanya51723 жыл бұрын
@Florence Shikuku, amen!!
@esthernasuku82034 жыл бұрын
Poleni Sana Mama Nitakusaidiya Kimawazo Ninaelewa Vizuri Unapenda sana mwanao Umpeleke Kanisani Akaombewe. Yesu mwenyewe Anaweza Akamufanya mwanao kuwa muzima
@aliceanyango7704 жыл бұрын
Acheni hizo alama ya mshangao, fukueni kaburi na DNA ifanywe sio eti hamja amini mpaka mtangazaji eti ameogopa 🙆. Mimi nina hakina huyo ni Jebali mwenyewe mpokee kwa njia nzuri sana, maswali mingi muachia Mungu.
@abdallahselemani8014 жыл бұрын
Iyohabari siokweli
@DrMangiMfunga3 жыл бұрын
Tafadhalini sana wazazi wa mtoto Jaafar msijichanganye haki na batwili,mtegeemeni Allah peke yake na inshallah mtoto Jaafar atapoa hayo matatizo, na mambo ya waganga- wachawi,hawana lolóte zaidi ya kubahatisha,huyo babu ghafla anataka sh 50000/- kwa msaada gani ilihali mtoto Bado anahangaishwa na hawo wanga!? watakusumbueni sana hao wachawi lakini mkifanya Ruqya na pia kufanya adhkaari za asubuhi na jioni inshallah hayo madhila yatamwondoka huyo mtoto kipenzi Chetu Jaafar.الهم امين
@mohammedkilembamohammedkil12894 жыл бұрын
Jamani mbona binadamu tumekuwa na rohombaya hivi unamnyima amani mwenzio unamuangaisha usiku na mchana Dahhh mwenyezimungu nijaalie mwisho ulio mwema insha Allah 🙏🙏🙏
@Rehema-h6t3 жыл бұрын
Subhana Allah yaalabi nimtihani kwakweli yaalabi tunusulu na haya majanga ya dunia heeee 😳😓😓😓
@peninahruth28704 жыл бұрын
Wakriso tumuombeeni huyu kijana nawenye wako nahuu mpango wakumuangamiza mipngo yao isifanikishwe....wlcm to christianity muachane nauganga
@irenenandutu50293 жыл бұрын
Pole sana mama jafari na familia ,lakin naomba mupeleke kanisani,namutajua nin shida,kimbilieni Mwenyezi MUNGU sio waganga,muganga ni mwanadamu kama wewe,naalicho taka ni pesa tu,naomba MUNGU awafungue macho kama wazazi,uyo mutoto asaidike.
@fediliaulomi49694 жыл бұрын
Dada nakushauri usiende kwa mganga nendeni kwenye maombi
@welcome-qk6ps4 жыл бұрын
Duh mtangazaji una jicho zuri sana masha allah
@chynabongoo35634 жыл бұрын
Duh pole sana dada ubongo wamechukua wachaw ndio zao
@estasage55064 жыл бұрын
Yani Watu wote kwa mji Huu ni mapagani hawajuwi jina lake yesu kristo wa Nazarethi
@just_this_way4 жыл бұрын
@@estasage5506 Ww unalijua? Au na ww ndo mpagan mwnyw
@papaamashana39622 жыл бұрын
Huyokijana munguamusaidie
@youngcarlos63434 жыл бұрын
Ya mungu mengi asio weza mwanadamu kwa mungu yana wezekana
@alexberenado69344 жыл бұрын
Mungu nimuweza wayote nikweli uchawi upon duniyani
@surusuru19942 жыл бұрын
Jmn jmn wachawi mungu anawaona kuwateza wezio mmmmh allahmdulillah kardi
@fistonkazimili48904 жыл бұрын
Merci bcp pour votre musique.
@MariamuMkombozi11 ай бұрын
Dada Mungu mshukuru Mungu mm natamani mzazi wangu angerudi hataleo
@asnatmlewa13544 жыл бұрын
Subhannallah yarab kwanini wachawi wasife tu
@joharhamisi91404 жыл бұрын
Mchawi hafi haraka
@winfridagama20424 жыл бұрын
Tena Corana ingewapa wachawi wote.
@nicksonBarasa-b8p3 ай бұрын
Waaah mungu n mwema sku sote
@najmashimary25634 жыл бұрын
mmmmmhh iyo sio kawaida jamani mmh mpaka naogopa 😱😱🤔🤔
@rosemosses12433 жыл бұрын
Inatisha
@neemamzande85472 жыл бұрын
Maskiniiiiii jafari mungu azidi kukulinda yarab 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@niwaelymziray86464 жыл бұрын
Dunia ina mengi🙌🙌🙌...Mungu arudishe ufahamu wake haraka
@abdalahhasani57234 жыл бұрын
Tusingekuw tunakuf na kuzikwa kama wap wafufuaj
@abdalahhasani57234 жыл бұрын
Wew Naw unaamini kit kama ichi kama cy uchaw huuu
@Judithkadzo5 ай бұрын
Nijambo la kumshukuru mungu kama mtoto yuko hai zingatieni maombi
@captendunga13924 жыл бұрын
Uchawi upo bwana wee hata hao wanaosema haupo waongo tuu kikubwa tumuombe mungu na omba yasikukute yasikie tuu kwenye mitandao.
@estasage55064 жыл бұрын
@Neema Myango Shida wote ni wapagani jina lake yesu kristo hawajuwi. Oh lord, they need to take him to the church
@just_this_way4 жыл бұрын
@@estasage5506 Ili akazidishiwe uchawi. Hv sasa kuna ambae hajui uchawi uliopo kanisani? Kujidai wanatibu wagonjwa kumbe waigizaji tu. You won't find pastors in hospitals treating people b'se there are real sick people, all in churches are actors.
@aminatanzanya74754 жыл бұрын
Kweli omba yasikukukte kabisa
@Kijana-wa-Tanzania4 жыл бұрын
@@just_this_way Very true! Usanii umezidi sasa.
@samuelpaluku72464 жыл бұрын
@@just_this_way kzbin.info/www/bejne/hauqoZaVqa-ajNE Ingawa una fursa ya kufanya chochote unachotaka, ila hiyo haimaanishi ufanye chochote kile. Ingawa unaweza kuwa na uwezo wa kufanya biashara yoyote unayotaka, hiyo haimaanishi ufanye yoyote inayokuja. Ingawa unaweza kuwa rafiki na yoyote unayetaka, hiyo haimaanishi uambatane na yoyote yule. Mafanikio katika maisha yamejengwa katika uwezo wako wa kuchagua UFANYE nini na kwa WAKATI gani. Story By Saidi_Tambwe Director By Tambwe_Remy As_Director By Ndayishimiye_Lucien Camera By Pops Editor By Pops Producer Tambwe_the_Great_Films Location By Harinoti_Bienfait Executive_Producer Tambwe_Remy For_more_contact: Tambwe Remy : +25768851491 Gmail : tambweremy4@gmail.com Bujumbura_Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@issahmaganga93093 жыл бұрын
Kweli ama maigizo
@lorraineatieno65444 жыл бұрын
Majirani zetu watanzania...langu ni hili...tuweke tumaini na tegemeo letu kwa mwenyezi Mungu. Namambo tatakuwa sawa
@bonnymwaitambila89143 жыл бұрын
Inasikitixha sana
@shifahokinda2 жыл бұрын
Mpelekeni kanisani acheni mambo mengi God knows
@berthasamson75674 жыл бұрын
Mmmmh jaman tumuachen mwenyezi mungu afanye kazi yake
@suma6434 жыл бұрын
Binaadamu kweli wanayaweza duuuh...Mungu akisema haiwezekani binaadamu hana lake daaah
@qkventertainment58284 жыл бұрын
Alhamdullilah Mwenyezi Mungu amerejesha mtoto wenyu .Allah Akbar 🙏🙏🙏❣️❣️❣️
@dullysanto16724 жыл бұрын
nijambo lakushukuru allah hata ss waislam tunaiman kubwa sana
@hoseapkomoi10083 жыл бұрын
God bless your work Young leader of our father God
@sharifazakayo62804 жыл бұрын
Mngemtumia yule ustadhi alosoma dua ile ck ya 40,,,Ile dua ilikuwa tosha kwa kumlilia Allah,,,,Hapo ni dua saana hakuna kingine
@abdallahiddi6114 жыл бұрын
Oky
@dullysanto16724 жыл бұрын
kabisa kazi kubwa kaifanya ostadhi inatakiwa wamludie tena huyo shehe
@maigamanyama64674 жыл бұрын
pole sana mam kwa msiba huwo waajab
@graceadhiambo16144 жыл бұрын
Imani mtoe kwa wanganga yesu ndio kimbilio peke yake
@nsabimanaseremani18993 жыл бұрын
Assalamu alaykumu warahmatullah wabarakaatuh Huyo mtoto mungu anampenda ,kama mtangazaaji anasema inaonekana kama kinimacho laakini mungu alikuwapo yupo na atakuwapo ,yeye muweza wavyote ,hata ikiwa kuna kjnachojificha humo naombea familia ya Jafali mwenyezimungu awape iimaani thaabiti kwa hilo kbs, kama mtoto alivoombewa dua wakati waliisha mzika waendelee kumuombea dua baada yakufufuka kwake , nduguzanguni ktk iimani tumtwi Allah sbuhaanahu wataalaa nayoyafanya ktk miujiza nimengi huwezi hata kuyahesabuuuu!!!
@zakyahya46454 жыл бұрын
Kabla sijampa pole uyu dada nawapa pole wanao bisha kuhusu ushirikina... Haya mambo yapo kabisa kama hayaja kukuta utabisha adi ujambe lakini kama ulishawai kukutwa uwezi bishia haya mambo
@ezrajuma89704 жыл бұрын
Hao wanaobisha wanapromote dini, na ukwelii wanaujua wanaobisha kipumbavu 2 Tz hii nani hajui kwamba kuna uchawi?
@asteriambwei33494 жыл бұрын
Uchawi upo kabisaaa wanaokataa hayajawakuta hawanawahi kuona vimbwanga huku duniani huyo japhary alichukuliwa msukule Yale maombi yaliyofanywa uck kuna Aina ya maombi yaliyofanywa Kule wanamshiñdwa
@AMI-ip1lx3 жыл бұрын
Duuuuuh Jafari Bado Unamaisha marefu Kaka Yangu 😭😭😭Allah Akupe Maisha Marefu Kwakweli
@LADYZEE7024 жыл бұрын
Waganga watawamaliza! Audhubillah. Ombeni maghfirah kwa Allah kwa shirk munazozifanya. Am do e watching...after hearing mganga
@aminaseleman51473 жыл бұрын
Gwajima akisema Aya Mambo yapo ooonh muongo Aya mjionee Aya Mambo yapo jmn tumtegemee Mungu
@nanadenbygreconanadenby11114 жыл бұрын
Mpeleken mtt kweny maombi... Damu ya Yesu ni kiboko ya yote....
@ibrahimrukundo30644 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@damaamasimba6414 жыл бұрын
Mungu atusaidie jaman mpeleke kwenye maombi
@kokokotb95174 жыл бұрын
Allah amraisishie huyo mama anamtihani mzito, na huyo mtoto mungu amuokowe kuna kitu kinacho jificha hapo
@ahmedelalawi61434 жыл бұрын
Hakuna mtu mwenye damu ya yesu. Yesu hajasulubiwa
@swaumuathuman85244 жыл бұрын
Nana Denby Greco Nana Denby pole sasa
@eliamlay94753 жыл бұрын
Pole mama kwayaliyo kukuta yote maisha ucjl
@jailosndoha25324 жыл бұрын
Kweli Mungu yupo
@annakomba72613 жыл бұрын
Hakika yupo
@magrethmwandele8273 жыл бұрын
Daah dunia imekwisha eee mungu tusadie tuepushe na majanga ya kishilikina
@roselinemukhwana36704 жыл бұрын
Mtafuteni Yesu ni suluhisho la kudumu. waganga wa kienyeji ni wanadamu kama sisi. Ombeni kwa Jina la Yesu mtapata suluhisho bila malipo.
@zamratbavon86723 жыл бұрын
Kwel tumheshm Alla kwa kila jamb
@asiamohd55163 жыл бұрын
Uchawi upooooo jmnnn.😔duh hadi naogopa
@sophiabenjamin5254 жыл бұрын
Hii story ni nzito na inasikitisha sana. Ila tafadhali sana wanahabari tuwe na upeo wa jinsi ya kuuliza maswali kutokana na tukio husika. Kama Mdada huyu mwandishi hana upeo na hastahili ktk kuhoji watu wenye nyakati ngumu kama hii.
@unknown-vl6tz4 жыл бұрын
Hao wamezika mwili ambao sio wao Sasa mwenye huyo mtoto wao kazi anayo😂😂😂
@nyotacleavertv16094 жыл бұрын
Exactly
@margarethsolomon98234 жыл бұрын
Mlichukua maiti ya MTU mwingine. Ombeni kibali polisi mkafukue kaburi muone kama hakuna maiti ili kujiridhisha acheni imani za waganga na kumsahau Mungu.
@tahirnephessalum36784 жыл бұрын
Bro hili swala kwa maelezo haya hili Jambo limekaa kishirikina zaid
@palomabaraka39914 жыл бұрын
Be the 1 hakika hii sio imani ni ushirikina kabisaaa
@ashaomary89694 жыл бұрын
Kama anasema baba mzazi kakagua mwili na ndio wakauchukua hapo hapo na kuusafisha y wachukue mwili wa mwingine Tena na mtoto kakaa mocharw siku nyingi. Lazma wahisi Kuna kitu
@carolakinasha26864 жыл бұрын
Polisi wafukue Kaburi na DNA ya maiti ifanyike ili kujuwa mtu halisi aliyezikwa kuliko kuamini moja kwa moja ushirikina. Inawezekana aliyezikwa bado anatafutwa na.ndugu zake. I
@barbiepixie924 жыл бұрын
Mtu akifariki kwa ajali huwa anavimba vimba kwa hiyo ni rahisi kukosea kutambua mwili ilishatokea stori kama hiyo morogoro
@MarthaJoelle4 жыл бұрын
Inabidi mama yake Jafari Atubu awe mcristo yaan Kama Yeye Ni muislamu Abadili dini Awe Mcristo Kamili Hilo ndo Mimi namshauri mama Jafari Asante 🙏🏼🙏🏼💗💗
@ilumohamed2464 жыл бұрын
Mmhhhhhgh ati awe mkiristo wewe hutaki kua muisl Amu
@lumark58374 жыл бұрын
Marry Martha.... Mungu ni mwema habagui dini uwe muislamu au mkristo wote ni waja wake na anatupenda wote. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@lumark58374 жыл бұрын
Marry Martha....... Tuwaombee sana watoto wetu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@dolisjulias15474 жыл бұрын
Au hawakuangaria vizuri mait wamechukuwa wamwinginetuu
@nadrabogy9544 жыл бұрын
Mungu hakutaka kuwa pamoja nao wachawi. ...wacha mungu aitwe mungu .....mungu amjaalie aishi maisha Marefu amin amin
@alphonsinesingirankabo62744 жыл бұрын
Mungu alinde mtoto wenu amupatiye maisha marefu sana Mungu asifiwe sana
@janelawendi80624 жыл бұрын
Mungu ni. Mungu tu.
@kevootarimo97933 жыл бұрын
Namba za na bibi nikupe uongee nee hakika Huyo moto Ata Lona kwelkweli
@dismasstanislaus65234 ай бұрын
Weenimwehueti mganga ndokirakit nayesundokirakit🎉
@andrew.gadimrinji17134 жыл бұрын
Kwanza mlisema alipata ajali..je aliyepatikana ana majeraha?
@mwanahamisraphael89194 жыл бұрын
Du!!, pole sana dada Mungu akutie nguvu
@hassanomary73664 жыл бұрын
Jaman 2fanye mema dunia imeixh
@nishimwelilian4624 жыл бұрын
Miujiza yadunia Katika jina layesu tukemea ushirikina mwahuu watatutoa roho navituko da
@erasmuslyimo12794 жыл бұрын
Aĺahh😢
@masudiami83404 жыл бұрын
Duuuuh Ina tisha
@samsonelinisa40034 жыл бұрын
Dada
@vevirawailod51664 жыл бұрын
Pole sana baba kwa kufanya polosesi zote. Pole mama jafari Daaa ila mtazame sana Mungu pole jafari Wewe ni lulu mbele za Mungu
@keamikel19134 жыл бұрын
"Polosesi" hapo umetisha
@keamikel19134 жыл бұрын
"Polosesi" hapo umetisha
@vevirawailod51664 жыл бұрын
Ndo alivyo sema lkn sio process polesesi
@harrietharriet54434 жыл бұрын
There is power in the blood of Jesus ... divine protection
@malengalukonga194 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@louishodens82334 жыл бұрын
Amen👍👍
@benedettakavesu79124 жыл бұрын
Jesus Christ my son died in a mysterious death no sickness seen by doctor and only 6am to 6am and died just like that maybe he is not dead half to now nobody believes he is has died my God if my son is alive bring him back I will Glorify your name lord
@alisalimnzagu40914 жыл бұрын
Yesu Hana nguvu kumshinda mungu mungu ndie mwenye nguvu zote kumshinda yesu acheni ukafiri wenu
@danielmalai44343 жыл бұрын
.TX-by
@sadickchagila60864 жыл бұрын
Jamani pole sana. dada kwa mitiani pole sana mwanangu
@ratifaharry33154 жыл бұрын
Daaah sad story aisee mwenyezi mungu amlinde huyo mtoto
@aminajairu21114 жыл бұрын
Pole sana Mama jafar akika mung anawez
@salmahewah62304 жыл бұрын
Daaah..hii kali, Inshaallah mungu atampa mtto wepesi na kumlinda kwa kila lenye shari nae
@unclejunior40014 жыл бұрын
Pole Sana mama jafar
@attukadege60144 жыл бұрын
Jaman mckurupuke,,, huwenda aliyezikwa cyo man mtoto alishazoea kupoteapotea,,, dunian watu 7
@davidgerson6504 жыл бұрын
Kwann akili yake haiko poa
@sevelinpetro91954 жыл бұрын
Polesana
@carlosmalusi4003 жыл бұрын
Mnasinya,tusingize simulinzi au mziki?
@mwajabually27734 жыл бұрын
Inatishaaaa!!ALLAH tunusuru na shirk
@SalimhchialaAtilio-qj5cs11 ай бұрын
Pole sana dda angu😢
@hildadaniel48924 жыл бұрын
Kweli bibi ulikua mlinzi
@asiaally43603 жыл бұрын
allah atuepushe na shirk kam iz
@aminamtime1434 жыл бұрын
Baba Jafari anajua kila kitu.Kwanini amuaminishe mkewe kama Jafari atarudi?UKWELI ANAO NA NDIO MUHUSIKA MKUU.
@rizikikalist62984 жыл бұрын
Umeona ee
@mathayonaata99034 жыл бұрын
Kwa hyo baba jafar anajua kla k2
@amishawatif82224 жыл бұрын
True
@barakagwakisa52074 жыл бұрын
Hata Mimi Nina shaka na Baba wa mtoto, huenda alitaka kumfanyia jambo lkn Mungu alikuwa karibu na mtoto.
@magrethmkira62504 жыл бұрын
Labda baada ya kuombewa Dua
@frasiscakiungo89952 жыл бұрын
Pole sanaa inasikitisha
@winfridathomas17174 жыл бұрын
Jmn wachawi wapo na maneno ya mungu yanasema usimuache mchawi haishi azabu yake kifo
@winfridagama20424 жыл бұрын
Wachawi wabaya jamani, watafute dawa ya Corona kama wao wana nguvu za ajabu.
@morokichuna35274 жыл бұрын
Jamani jamani mungu nisaidie namm mwanangu aludi nampenda NASRY wng jamani pia kanitoka kwenye mazingira yakutatanisha afu aliefanya ivyo namjua nayupo hai kabisa yy anaishi atakavyo daah mungu muweke mahara pema baba angu NASRY ISSA KINANA INSHAALLAH
@hfafjjhdfgh15453 жыл бұрын
@@morokichuna3527 Aamiin
@vickilenad14063 жыл бұрын
Pole dada mung ataksaidia
@husseinramadhani74614 жыл бұрын
Msekule hawaangalii mtu
@deisdediterkomba63694 жыл бұрын
Poleni sana pia hongereni sana mtoto ameshinda mauti. Nawashauri mpelekeni kwa mtume dr Mwamposa atamwombea na anakuwa salama kabisa
hii story niyakweli kabisa mimi ni jirani yake wa mbezi mtaa wetu mpaka sasa unataharuki kuhusiana na tukio hili
@irenemacha74574 жыл бұрын
Dogo ni kwel yupo na mnamwona kwell
@silyadamian57084 жыл бұрын
Polen mana hapa dunian mmmmh
@kijubakidiza51814 жыл бұрын
Itabidi uje utupe mwendelezo wa ufukuaji wa kabuli
@khalekichambo21434 жыл бұрын
@@kijubakidiza5181 😂😂😂😁
@victajospht48354 жыл бұрын
Duuh mnaishije sana
@munjalwinking4 жыл бұрын
Huyo ni msukule mpelekeni kwa kanisa yoyote ya UFUFUO NA UZIMA kwa Bishop Gwajima... Ndiyo mtajuwa kwa Yesu Kristo ni Mungu wa miungu.. Wachaneni ni waganga.. Waganga wanamtumikia shetani. Yesu anawapenda na anaweza yote... Last bus stop ni UFUFUO NA UZIMA kwa BISHOP MUHESHIMIWA GWAJIMA.
@alhajkhatib55974 жыл бұрын
Someni suratl kahfi aya ya 109 mara 71 bi idhin-llah yatakwisha tu
@vicentraphaelthomas33344 жыл бұрын
Uchawi upo jaman
@Mamake64 жыл бұрын
Na sura baqara
@christinaelius44973 жыл бұрын
jamani lipo jinmojatu YESU
@josephstephen20474 жыл бұрын
Hii background music imesimama kwelikweli
@GAMER-wb6so4 жыл бұрын
Acha bangi
@RucyMakapa5 ай бұрын
Hayo mambo yapo msishangae uchaw upo na yyte atakae panik ndio mchawi mwenyewe jambo la msing muombeni mungu uchaw upo mungu kataka kuwaumbua wachawi wakome kuwaweka watu misukule
@emmanuelmacumi31604 жыл бұрын
Yesu ndiye kiboko wakumfanya awe mzima okokeni wapendwa
@ramseyhusseinkhamis82584 жыл бұрын
Nyie wafanya biashara
@ebisollili66464 жыл бұрын
Yesu angekuwa kiboko agekamatwa na kuuliwa na watu
@حورالفهد-ف4ز4 жыл бұрын
Ebi Sollili : Mungu akusamehe kwa tamshi hilo maana hujielewi hata kidogo na ndie utakaemsujudia mbele za kiti cha enzi maana kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kua Yesu ni Bwana .
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
@@حورالفهد-ف4ز, Goti hata wazee unapigia. Sujudu ndio heshima ya Mungu.
@shukurumsebaloli4 жыл бұрын
Acheni ubishi wanao mjuwa mamauyo wa mshauri apelekwe kwenye maombi atapona
@JasminiBujiji Жыл бұрын
Allahu aumuzishie kila rakheli
@judithcha-mushala88524 жыл бұрын
Jiulizeni kwa nn adhana ikilia anataka kuondoka kuna nn hapo?
@rachelevarist704 жыл бұрын
msilete dhihaki adhana inauhusiana nini mbona mnataka mlete mada ambazo hazipo
@hannankhalid17274 жыл бұрын
Basi mama mtu mzima unaonaaa umeongeaa pointii😂😂😂
@hannankhalid17274 жыл бұрын
@@rachelevarist70 ✔️✔️kabisa
@abdallahkamau95254 жыл бұрын
Judith cha masihala wewe sio timamu, jitazame vizuri..
@mrbigmank0174 жыл бұрын
Mungu anaweza ,mungu ampe ngovu
@mrbigmank0174 жыл бұрын
Mungu aongeze kumpa ngovu ,Kaeni bila kumwacha
@dianamalingumu45164 жыл бұрын
kiukweli ningekuwa mimi dah nisingemuchua huyu mtoto kiukweli dah Dunia hii inamambo mengiiiiiii
@salimnassem63094 жыл бұрын
Diana nicheki 0714123710
@dianamalingumu45164 жыл бұрын
Salim Nassem nikucheki kwa sababu ipi
@salimnassem63094 жыл бұрын
Nashida na wewe
@salimnassem63094 жыл бұрын
Nashida nawe
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Kweli uchawi upo Ila mtihani watu hatumuogopi mngu
@judithkatoto33163 жыл бұрын
Mpelekeni akaombewe kanisani mungu anaweza yote
@danielsagire7163 жыл бұрын
L
@asiaally43603 жыл бұрын
Allah amdhalilishe aloshirki kumuhukum mtoto huy
@hamadbamu8504 жыл бұрын
Ampeleke kwa Yesu ayapona kabisaa toka lini jini likamtoa jini mwenzie mpeleke mtongani kwa mchungaji katunzi atapona kabisaa
@evamumia17884 жыл бұрын
True giza haiwezitoa giza ,ni mwangaza utoe giza
@nassabtransportation70244 жыл бұрын
ww Dada Habari nakuomba hiyo namba yahuyo mama nimtumie hata pole Du sio mchezo
@saidntisi59944 жыл бұрын
Jini babaako
@hijathomary95484 жыл бұрын
Mbna kwa maombi ya hao majini ndo amerud??
@hamadbamu8504 жыл бұрын
Na ndoo maana hajawa sw mpk xx Bd wanamfata but kwa Yesu ukienda hawawezi kuja tena na hawatakuona maana kazi ya Yesu Kristo nikunfunika mtu kwa damu yake ili shetani asimwone
@youngmasamah98644 жыл бұрын
Kina mwajuma mwanahawa mwanahamisi wanaaaamin sana waganga hawamwamin alo waweka dunia huko amna ishu achen iman hzo